Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hicho kitu ameshakisisitiza sana mkuu wetu Nguruvi3. Kimsingi Mohamed Said anawafanya waislam wanaomfuata wawe kama mazezeta. Yaani matatizo yao yote wanawasingizia wakristo bila kujitazama wenyewe kwanza. Akifeli, mfumo kristo. Akikosa kazi, mfumo kristo. Sasa wakristo wanaofeli au kukosa kazi wenyewe wanakosa kwa sababu gani?
 
Tumeishazoea kejeli zenu na dhiaka dhidi ya Waislam, mnawaita mazezeta, wanywa kahawa hawakusoma, akili za madrasa, waswahili. Hakuna geni kwetu.
 
Tumeishazoea kejeli zenu na dhiaka dhidi ya Waislam, mnawaita mazezeta, wanywa kahawa hawakusoma, akili za madrasa, waswahili. Hakuna geni kwetu.
Wale wakristo/wapagani wanaofeli, wanaokosa kazi, na wenye maisha magumu, wamlaumu nani?
 
kuna tatizo kubwa la kimfumo katika uwasilishaji wa mafundisho ya dini yao.

Tumeishazoea kejeli zenu na dhiaka dhidi ya Waislam, mnawaita mazezeta, wanywa kahawa hawakusoma, waswahili. Hakuna geni kwetu.
hizo kejeli mnajitakia wenyewe, kila kitu kwenu mnahisi mnaonewa....
 
R,

Dharau kwa Waswahili...vibaraza, gahawa nk. nk.

.........................
unaweza kufafanua hapa? ni nani ameleta dharau?
kama utaleta na ushahidi litakuwa jambo la kheri kwasababu utani wa vijiweni na stori za mtaani si kitu cha kuweka kwenye public kama sababu kuwa kuna dharau zinafanywa dhidi ya uislam.
 
kuna tatizo kubwa la kimfumo katika uwasilishaji wa mafundisho ya dini yao.

hizo kejeli mnajitakia wenyewe, kila kitu kwenu mnahisi mnaonewa....

Wewe ni Mkirstu huwezi kufahamu mafundisho ya Uislam labda kama umeamua kujifurahisha.

Naomba nikuulize nyie ambao mnajiita wasomi wa Kikirstu ambao mmejaa serikalini toka enzi za Nyerere mmelisaidiaje taifa letu kutoka katika dimbwi la umasikini duniani na kupambana na ufisadi.
 
mwanakijiji inabidi uelewe kuwa mfano wako wa Somalia kuifananisha na Tanzania si sahihi kabisa wasomali wana historia na mazingira tofauti sana issue hapa i mfukomo kristo kandamizi :confused2:
Hebu ueleze upo wapi?
 
Wale wakristo/wapagani wanaofeli, wanaokosa kazi, na wenye maisha magumu, wamlaumu nani?

Wewe si unawaita Waislam mazezeta hakuna anayekupinga hizo ni fikra zako nadhani Waislam wanakusoma.
 
unaweza kufafanua hapa? ni nani ameleta dharau?
kama utaleta na ushahidi litakuwa jambo la kheri kwasababu utani wa vijiweni na stori za mtaani si kitu cha kuweka kwenye public kama sababu kuwa kuna dharau zinafanywa dhidi ya uislam.

Unaomba ushahidi mbona upo humu kwenye huu uzi tulizana pitia post moja baada ya nyingine utakutana na hayo maneno ya kejeli na dhiaka.
 
mkuu kwanza naomba uniondoe kwenye hilo kundi la wakristo wasomi, siifaham vyema hiyo elimu ya kikristo, vivyo hivyo elimu ya kislam,
vita ya umaskini, maradhi, ufisadi na ujinga ni vita yetu sote tukiongozwa na serikali tunazozisimika, vivyo hivyo Dini nazo zina vita yake kubwa kupambana na Shetani, labda uniambie leo Dini ya uislam ipo kundi gani?
 
kuna tatizo kubwa la kimfumo katika uwasilishaji wa mafundisho ya dini yao.

hizo kejeli mnajitakia wenyewe, kila kitu kwenu mnahisi mnaonewa....
Mkuu inasikitisha sana. Kuna akina mama wanaamka karibu kila siku ya Mungu saa tisa/kumi usiku kwenda kariakoo kutafuta mbogamboga na matunda, wapo wanaookaanga samaki/chapati/vitumbua nk. Yoote hayo ni katika kupambana na maisha magumu tuliyonayo. Wanapambana. Sasa hapa JF tunaona mijanaume na 'mikia' yao ikilialia eti inaonewa na Mfumo Kristo. Sasa sijui ndiyo inataka ipewe maisha bora kwa upendeleo bila kuhangaika. Upumbavu mkubwa...
 
japhet kirilo ni muislamu???
 
Sweke34,

Basi tuishie hapa hakuna haja ya matusi.
Tija yoyote haipatikani tukiwa katika hali kama hii ya ghadhabu.
 
Unaomba ushahidi mbona upo humu kwenye huu uzi tulizana pitia post moja baada ya nyingine utakutana na hayo maneno ya kejeli na dhiaka.

Hata mm nimeona dharau nyingi kwenye huu uzi hasa huyu mtu anaeitwa YERICKO X
 
Sweke34,

Basi tuishie hapa hakuna haja ya matusi.
Tija yoyote haipatikani tukiwa katika hali kama hii ya ghadhabu.
Inakera sana mkuu wangu. Nimemuuliza Ritz, wakristo na wapagani wanaotaabika na maisha haya wamlaumu nani?
Wewe unaweza kutusaidia kwa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…