WC,
Katika Uislam subira imekokotezwa sana.
Sisi hatuna hofu na kusubiri kwani kila
mwenye kusubiri yuko na Allah.
Tulianza haya kwa kunon'gona leo tuna
radio inarusha madhila ya mfumokristo
kila Muislam yuko na mkewe, wanae na
watoto wao wanasikikiliza.
BAKWATA ilikuwa na nguvu.
Hii leo viongozi wake wanaogopa kuja kuswali
na Waislam wenziwao.
BAKWATA imebaki wao na jengo lao bovu pale
Kinondoni.
Wewe ulikuwa unanijua mimi?
Leo Waislam wakitangaziwa kuwa Mohamed Said
atakuwa hewani hatoki mtu...
Mafti wa BAKWATA hathubutu hata kutia pua yake
kwenye vyombo vya habari vya Kiislam.
Huyu ndiye Allah Hakimu Muadilifu.
- Na hii ndiyo subra aliyotufunza katika kitabu chake.