Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Tupatie hints angalau kuwa "dhulma" tulizopeleka serikalini ni hizi:
-BAKWATA ifutwe turudishe EAMWS;
-Tugawane vyeo, ajira na madaraka ya NCHI hii kwa uwiano wa DINI;
-Waislamu wasifikishe wala kufikishwa kwenye hizi mahakama za kawaida kwa lolote;
-Mwalimu avuliwe heshima na hadhi yote aliyonayo kwa WATANZANIA;
-MoU na makanisa ifutwe mara moja. Walooisaini wafikishwe mahakamani;
-Ubalozi wa VATICAN ufungwe mara moja;
MfumoKristo kama ilivyo lugha ya Kiingereza, upo dunia nzima. Ndio unaotawala dunia. Tanzania sio kisiwa.
WC,
Katika hayo mie sina la kusema huo ni uwanja wako wewe.
Mimi nitakusikiliza tu.
BAKWATA ni chombo kizito kwelikweli. Kama unadhani ni rahisi kukisukuma pembeni jaribu. BAKWATA ni ya WAISLAM, inaongozwa na WAISLAM. BAKWATA ina umri wa zaidi ya miaka arobaini sasa. Mzee Mohamed angefanikiwa sana kuwaunganisha Waislam kwa malengo yake kama asingekibeza na kukidharau chombo hiki na viongozi wake.
Mbadala wa BAKWATA ni taasisi ipi? Muulize Mzee Mohamed, maswali yao kwenda serikalini wametumia chombo gani kuyapeleka? Kama hayana baraka za BAKWATA yeye aendelee kusubiri tu kwa miaka mingine 20 ijayo!
Sasa tupo kwenye madai mliyoyapeleka miaka miwili iliyopita. Mbona unasahau haraka? Ya Mkapa nimekukumbushia tu ili tuwekane sawa kwenye haya madai ya sasa.
Masahihisho kidogo.
Nyerere anataka kutawadhwa kuwa MWENYEHERI na sio MTAKATIFU>
Mzee Mohamed,WC,
Katika Uislam subira imekokotezwa sana.
Sisi hatuna hofu na kusubiri kwani kila
mwenye kusubiri yuko na Allah.
Tulianza haya kwa kunon'gona leo tuna
radio inarusha madhila ya mfumokristo
kila Muislam yuko na mkewe, wanae na
watoto wao wanasikikiliza.
BAKWATA ilikuwa na nguvu.
Hii leo viongozi wake wanaogopa kuja kuswali
na Waislam wenziwao.
BAKWATA imebaki wao na jengo lao bovu pale
Kinondoni.
Wewe ulikuwa unanijua mimi?
Leo Waislam wakitangaziwa kuwa Mohamed Said
atakuwa hewani hatoki mtu...
Mafti wa BAKWATA hathubutu hata kutia pua yake
kwenye vyombo vya habari vya Kiislam.
Huyu ndiye Allah Hakimu Muadilifu.
- Na hii ndiyo subra aliyotufunza katika kitabu chake.
WC,
Katika hayo mie sina la kusema huo ni uwanja wako wewe.
Mimi nitakusikiliza tu.
kwa staili hii ya kujibu mnakasha huu utaenda hadi koment 10000 pasipo hata kudadavua hoja ndogo
nimeshangaa tupo page ya 227 na bado hamna hoja inayojibiwa kwa hoja yenye mashiko, watu wanazunguka mlemle tu.kwa staili hii ya kujibu mnakasha huu utaenda hadi koment 10000 pasipo hata kudadavua hoja ndogo
Sio Nyerere, ni Julius au Kambarage. Nyerere alikufa mpagani kabisa.Masahihisho kidogo.
Nyerere anataka kutawadhwa kuwa MWENYEHERI na sio MTAKATIFU>
Mkuu BashaDido hivi ulikuwa hujui Mohamed Said ni mbabaishaji,mzushi na mfarakanishaji mkubwa nashangaa anajitapa waislam wanamsikiliza na wanamwamini anachowaambia!.Ikiwa umma wa waIslam Tanzania unashabikia ngano za Mo basi lipo tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri.Yapo maswali mengi kaulizwa kashindwa kujibu,ujanja anaotumia akiona swali limemzidi kimo analikwepa kijanja kwa kutumbukiza hadith za kitabu chake.
Mzee Mohamed,
Unajua kilichoipa umaarufu ile Tv ya Kiarabu ya Al Jazeera? Mikanda ya Osama bin Laden. Tulipokuwa tukiambiwa leo kuna mkanda wa Osama utarushwa pale hata kama ni kwa audio pekee bila picha tulikuwa hatubanduki pale. Unapenda mno kusikilizwa kuliko kuhojiwa. Unapenda sana kutukuzwa, kuenziwa na wakati mwingine unatamani kuabudiwa!
Yana mwisho haya. Wewe jifanye "celebrity" wa udini.
Angalia maandishi yako tangu mwanzo wa thread hii. Kuna wakati unatamani kuabudiwa!Audhubillah min dhalika.
Kuabudiwa?
Can you give some specific examples of how the Catholic Church is controlling the government by proxy? Who in the Catholic Church that is in charge of this controlling? The Cardinal, the Chairman of TEC, individuals bishops and priests?
How does the Church controls 75% of the seats in the parliament? By "Muslims" what do you mean? Do you mean those members of BAKWATA and thus BAKWATA controls these seats? Granted... how? How did the Church manipulate the political system? A system that one time under Nyerere nationalised Church's schools and hospitals? A system that one time declared a catholic priest a persona non grata is controlling the government?
So Othman Chande (Chief Justice) - A Muslim - is a servant of the Catholic Church?
Is Fakih A. R Jundu (Principle Judge) - A Muslim - is a servant of the Catholic Church
President Kikwete - A Muslim
Vice President Ghaib Bilal - A Muslim
Rashid Othman (Head of TISS) - A Muslim
Said Mwema (Inspector General) - A Muslim
Are all these people being controlled by the Catholic Church? Do they know it or not? If not would you inform them to their face that they are serving the Catholic Church which controls them by proxy?
How does the Catholic Church control all these Muslims so effectively that none of them is aware of the controlling? Unless...
You don't consider these people good Muslims.. and more especially if they belong to BAKWATA...

nimeshangaa tupo page ya 227 na bado hamna hoja inayojibiwa kwa hoja yenye mashiko, watu wanazunguka mlemle tu.
Tunachotaka kujua sisi ni wapi mliyapeleka hayo madai miaka miwili iliyopita.Sweke,
Ndugu yangu nakupenda inaelekea unayapenda maneno yangu
maana hukawii kunijibu tena kwa haraka.
Ahsante sana.
Hapana sijasahau kitu.
Ningekuwa nimesahau nisingekuambia kuwa huko tushapita.
Maana ya msemo huo ni kuwa usinirudishe nyuma.
Hata mm nimeona dharau nyingi kwenye huu uzi hasa huyu mtu anaeitwa YERICKO X
Boko haram,huyu jamaa mimi ananichanganya sana..!!
MODS WATUSAIDIE,ILI MTU UWE VERIFIED SI LAZIMA UWE MTU MWENYEWE HALISI?
MFANO..
1.MOHAMED SAID,NI VERIFIED USER NA TUNAMFAHAM KWA JINA HILO HATA MTAANI NA KWENYE JAMII YETU..
2.DR W. SLAA NI VERIFIED USER NA TUMEJITOSHELEZA NA UHALALI WA JINA LAKE,,
3.ZITTO KABWE.,JOHN MNYIKA.KITILA MKUMBO NA WENGINEO WENGI,,
4.ANDREW NYERERE
5.BEN SAA NANE N.K,,
NI WAZI KWAMBA TUMEJITOSHELEZA NA UHALISIA WA MAJINA YAO HAO WATU WOTE WALIOAMUA KUJIVERIFY,SASA HUYU YERICKO NYERERE NI NANI HASA??NA MODS WALIAMUA VIPI KUMVERIFY MTU ANAETUMIA JINA KUBWA KAMA HILI NCHINI KWETU HALI YA KUWA HANA UHUSIANO WOWOTE NA FAMILIA HIYO?
KWA MAANA HIYO SASA,MTU YEYOTE ANAWEZA KUJIITA MFANO SHARIFF KIKWETE AKAWA VERIFIED?NA SISI TUKIHOJI YEYE NI KIKWETE YUPI NI KOSA?NA JE HUYU MHUSIKA MWENYEWE KUKAA KIMYA BILA YA KUSEMA YEYE NI KIKWETE FLANI SIO KOSA??
MODS MTUSAIDIE KATIKA HILI...
Wakuu wangu Mzee Mwanakijiji sweke34 Nguruvi3 JokaKuu zumbemkuu Mohamed Said Ritz WildCard .......
Bunge la JMT lina jumla ya wabunge 323 kati yao wabunge 232 ni wakuchaguliwa na wananchi moja kwa moja,wengine 10 wanateuliwa na Rais wa JMT, 75 ni viti maalum [wanawake],wabunge 5 wanachaguliwa na BLW Zanzibar.
Zanzibar ina jumla ya majimbo 50 ya uchaguzi na idadi ya watu 1,303,568 na Tanganyika majimbo 182 ya uchaguzi na idadi ya watu 43,625,435.
Mfumo kristo umetoa nafasi kwa Zanzibar yenye jumla ya watu 1,303,568 ambao zaidi ya 90s% ni waislam kuwakilishwa na zaid ya wabunge 55.Wastani ni mbunge mmoja watu 23,700.Zanzibar ingekuwa na idadi kubwa ya wakatoliki pengine ningekubaliana na hadith za Mohamed Said .
Fungua thread mpya hapa tunajadili fitna na chuki za Mo dhidi ya wapigania uhuru wasio wazee wake wa Gerezani.
Mods wasipokuwa makini watawapiga ban watu wengi sana kuhusu huyu Yericko.
Yeye mwenyewe anasema Nyerere ni baba yake anaenda mbali zaidi na kusema akienda likizo Butiama ataleta ushahidi wa picha za Mariale.
Watu wakimuuliza wewe ni mtoto wa ngapi wa Julius Kambarage hataki kusema mama yako ni Mama Maria hataki kusema.
Mtoto mkubwa wa Julius Kambarage, Andew Nyerere kasema wazi hamjui Yericko basi na yeye apigwe ban.