Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Sahihisho:

Kambona alirudi home 1992 tena kiubavu ubavu pamoja na Lyatonga Mrema kutishia kumkamata atapokanyaga ardhi ya TZ! na baadae alihutubia ktk uwanja wa Jangwani na mimi nilikuwepo siku hiyo Kambona akaanza kuwataja wapigania uhuru wa Tanganyika na kuwaombea dua na mwisho kuwaomba Nyerere, Amir Jamal na Kawawa kurudisha fedha za wananchi walizoweka Benki za Uswisi!

Nyerere baadae alijibu tuhuma hizo na kuchekesha watu pale alipomtetea Kawawa na kusema kama ni yeye hana neno kuhusu fedha hizo ila Rashidi kwa anavomjua hawezi kuwa na fedha hizo Ulaya!
 

Nikweli watu hawa wanalandana, hawana tofauti na baadhi ya wakristu wanaochomoa maneno kadhaa katika biblia na kuanza kukashifu wakristu wenzao kwakuwaona si lolote, hawamjui Mungu na hawajui biblia
 



2015 Kikwete hatagombea uraisi, kwa hiyo kwa namna moja au nyingine, yeye hawezi kuogopa kutokuchaguliwa au kuangushwa na mfumo kristo, sasa kama mtu huru sasa hivi ni hatua gani amechukua?
Pili, tambua tunaposema mfumo kristo ni kitu kikubwa sana na sio tu ile misamaha ya kodi wanayopata.
Pia, kuhusu misamaha ya kodi hata taasisi za ki islamu zinapata.
Bado hujanijibu, je kikwete amechukua hatua gani? Ila ulichojibu wewe hapo juu ni kwamba kikwete aliuogopa mfumo huu
 

Naam hapo kwenye red umenena! ndio maana sasa kwa kasi kubwa ameamua kuwashugulikia viongozi waliomstari wa mbele dhidi ya Mfumo kristo na ameanza na Shekh Ponda na wengi tu watafuatia! Kikwete ili aweze kusalia madarakani mpaka 2015 hana budi kutekeleza Tamko la Viongozi wa makanisa la sivyo watatumia nguvu ya Umma!
 

Ni vigumu sana hawa ndugu kututhibitishia huo mfumo kristu!
 

YERICKO maswali ya ZITTO kuhusu Nyerere yalikuwa ni haya hapa;why did Nyerere support panafricanisms and at the same time BIAFRA? why did Nyerere oppose South African capital and at the same time allow DE BEERS into our diamonds?
 

Ndugu acha kupotosha watu,

Hiyo nguvu ya umma unayoisema hapa ni umma upi huo? Kwahiyo tanzania kuna UMMA wa mfumo kristu wenye nguvu kuzidi mamlaka ya kiraiis na kuna kikundi kidogo kisichotambulika kinachopinga huo mfumo kristu?

Duuuuh aisee hii hatari sana ikiwa mnawarithisha watoto wenu maono hayo mliyonayo!
 
YERICKO maswali ya ZITTO kuhusu Nyerere yalikuwa ni haya hapa;why did Nyerere support panafricanisms and at the same time BIAFRA? why did Nyerere oppose South African capital and at the same time allow DE BEERS into our diamonds?

Kwamtazamo wangu hapo kilichomfanya Zitto kujiuliza maswali hayo ni kuliangalia tukio hilo katika mtazamo wa kidini badala ya kuangalia scientific ya siasa za afrika na harakati za ukombozi!

Ukikaa kidini lazima ujenge hoja tata juu ya Mwalimu Nyerere,

Sio Zitto tu wenye maswali juu ya Mwalimu bali wapo wengi tu, Kasisi Zelger alisema,

"Kwaku kunakizazi cha Melancholic duniani basi kitatokea pia Afrika na kitasimama upande wa wenye hofu na wenye tashwishwi mioyoni mwao"

Julius Nyerere, Nkurumah, Netto, Mandela nk ni mfano wayo!
 

Ukinisoma vizuri hapo nimekuuliza, Au hii inaweza kuwa ndio "Nyingine"? bado hujajibu, tuendelee, hebu soma hiki kipande nilikiandika 12th December 2010, 10:55 mpaka leo hakina jibu:

 



Na hakika kwa majibu yako haya tutakuwa hatujaelewana. Kwenye reply yako ulisema kikwete aliuogopa mfumo kristo wakati wa uchaguzi, sasa hivi uchaguzi umeisha na hautokuwepo tena uchaguzi wa kumchagua kikwete, je sasa anaogopa nini kuchukua hatua?
Labda mniambie nyie waislam ndio mnauendekeza huu mfumo, kwa sababu kipindi hiki, mwislamu mwenzenu yupo madarakani, je anashindwa nini? basi nyie wenyewe kwa wenyewe mna nafikiana.
Turudi sasa kwenye mada.
Mimi nakubariana na mzee mohamed asilimia 100 kwamba kuna historia imeachwa nyuma au imefichwa huo ni ukweli...
 
Ukinisoma vizuri hapo nimekuuliza, Au hii inaweza kuwa ndio "Nyingine"? bado hujajibu, tuendelee, hebu soma hiki kipande nilikiandika 12th December 2010, 10:55 mpaka leo hakina jibu:

Mbona hoja yako juu ya udini na mfumo kristu nimeijibu zaidi ya mara kumi hapa jamvini mkuu? Au hujaridhishwa na majibu yangu?
 
Unashidwa kunipa majibu? au ndio bingwa wa kuchakachuwa?
Mkuu angalia au soma mada kuu hapo juu nimelielrza hilo kwa mapana yote na nikatoka usharika wa kanisa katika harakati za ukombozi ea nchi yetu
 
Historia gani sasa mnayoitaka nyinyi??
Si ni nyinyi mlioamua kuiita hii kuwa ni HISTOHISIA?

Kama mmeshaamua kupinga kila kitu yumkin hamtaamini kitu..!!

Dullah,

Tafadhali wewe na wanaukumbi hebu someni haya hapa chini kutoka maswada
''Under the Shadow of British Colonialism...'':

''Kleist preserved this history through his own pen.

And it was from Kleist’s pen that many years after he had passed away that we now have
an accurate account of those days long passed.

Before he died on 23 May 1949 my father left behind his memoirs in his long - flowing Germany
handwriting picked from a Germany school he attended in Dar es Salaam, as a child in early
1900s.

These memoirs [1] were later revisited by Abdulwahid my elder brother with his daughter
Aisha Daisy Sykes, then an undergraduate student at Dar es Salaam University under the
tutelage of Illife the renowned historian from Cambridge University.

A month before he died on 12 October 1968 Abdulwahid had had already assisted Daisy to
complete her research assignment of prominent Africans in Tanganyika for a history seminar
on the life of her grandfather.

The aim of this project was to document the life history of our father, Kleist Sykes and
his achievement in politics, education and business.

It was from his diaries, personal papers as primary sources and with the assistance of
Daisy that Iliffe was able to research and write accurately on African Association and
early colonial politics.[2]

This work was submitted to the History Department of University of Dar es Salaam in
September 1968.''

It was later published in 1973 in a book edited by Illife.[3] It is a pity that Abdulwahid
who was the main informant on the biography did not leave to see the fruits of his work.

Prior to publishing of my father’s biography, little was known about the founding fathers of
the African Association.


[1] A.D. Sykes “The Life of Kleist Sykes,” University of Dar es Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15.

[2] See John Illife: A Modern History of Tanganyika, Cambridge University Press, London, 1977;
Also “The Role of the African Association in the formation and Realisation of Territorial Consciousness
in Tanzania.” Mimeo, University of East Africa Social Sciences Conference 1968.

[3] Illife Modern Tanzanians, (ed), East African Publishing House, Nairobi, 1973.
 
Mkuu angalia au soma mada kuu hapo juu nimelielrza hilo kwa mapana yote na nikatoka usharika wa kanisa katika harakati za ukombozi ea nchi yetu

Mada kuu ni hiyo yako au kitabu cha Mohamed Said? kama wewe kila swali ukiulizwa unapeleka watu kwenye maandiko ambayo sio yako, ume copy na ku paste, sijui tukuelewe vipi? Mohamed Said anapowarudisha kwenye kitabu alichoandika yeye mwenyewe mnalalamika. Hivi mnakijuwa haswaa mnachokitaka?

Nimekupa maandiko yangu na nimekwambia hayajapata majibu toka 2010, naona umerusha tena! kwi kwi kwi teh teh teh. Vipi?

Usharika wa kanisa ndio ukavunja mfumokristo ndio maana nyerere kapewa uwenyeheri akingoja uyakatifu? ndivyo unavyokusudia?

Unajuwa unachakachuwa sana mpaka unakuwa huelewi unachokijibu au ndio unapinga ili mradi upinge tu kama alivyokiri mwenzako anaejiita Mzee Mwanakijiji?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tofautisha hoja yako na mada ya Mohamed Said,

Nimeijibu mada yako kwa maelezo yakinifu kwakuwa haihidaji ushahidi wa vielelezo kama tunavyotaka Mohamed afanye,

Ukurasa wa tatu tu kutoka hapa tulipo nimerudia kujibu, na mada kuu yangu hapo juu nimejibu pia, sijui unataka majibu yapi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hao wasomi anaowasema wote hawajuhi historia ya Tanganyika wenyewe wanajua historia ya kuanzia 1961 ya kivukoni.

Ritz,

Ona mambo haya hapo chini huu ndiyo mwanzo wa historia ya kudai uhuru:

Kleist preserved this history through his own pen. And it was from Kleist's pen that many years after he had passed away that we now have an accurate account of those days long passed. Before he died on 23 May 1949 my father left behind his memoirs in his long flowing Germany handwriting picked from a Germany school he attended in Dar es Salaam, as a child in early 1900s. These memoirs [1] were later revisited by Abdulwahid my elder brother with his daughter Aisha Daisy Sykes, then an undergraduate student at Dar es Salaam University under the tutelage of Illife the renowned historian from Cambridge University. A month before he died on 12 October 1968 Abdulwahid had had already assisted Daisy to complete her research assignment of prominent Africans in Tanganyika for a history seminar on the life of her grandfather. The aim of this project was to document the life history of our father, Kleist Sykes and his achievement in politics, education and business.

It was from his diaries, personal papers as primary sources and with the assistance of Daisy that Iliffe was able to research and write accurately on African Association and early colonial politics.[2] This work was submitted to the History Department of University of Dar es Salaam in September 1968. It was later published in 1973 in a book edited by Illife.[3] It is a pity that Abdulwahid who was the main informant on the biography did not leave to see the fruits of his work. Prior to publishing of my father's biography, little was known about the founding fathers of the African Association.


[1] A.D. Sykes "The Life of Kleist Sykes," University of Dar es Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15.

[2] See John Illife: A Modern History of Tanganyika, Cambridge University Press, London, 1977; Also "The Role of the African Association in the formation and Realisation of Territorial Consciousness in Tanzania." Mimeo, University of East Africa Social Sciences Conference 1968.

[3] Illife Modern Tanzanians, (ed), East African Publishing House, Nairobi, 1973.
 

mzee mohamed hiyo lugha uliandika dullah haielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…