Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

hata baba yangu alipigania uhuru lakini mbona hajulikani , mambo ya udini ni vitu hatari sana. tuwe makini na watu wanaoeneza udini.

Kama baba yako alipigania uhuru halafu hajulikani ni kipindi cha kumtaja tumsome.tupe kisa chake.
 
Sweke,

Hili ni tatizo kubwa tunalo.
Wala si kitu cha kufanya maskhara.

Ushahidi upo wa kutosha.
Hiki si kitu cha kufanyia maskhara.

Vitu kama hivi vinaangamiza taifa.
Ngoja tusubiri matokeo.

Mmeshaufikisha huo ushahidi kwenye mamlaka zinazhusika?

Hebu tupe nasi hapa huo ushahidi ili tuungane nanyi katika kudai haki hiyo wanayodhulmiwa watanzania wenzetu katika nchi yao ya haki!
 
hata baba yangu alipigania uhuru lakini mbona hajulikani , mambo ya udini ni vitu hatari sana. tuwe makini na watu wanaoeneza udini.

Maswi hiki ndicho kilio chetu Waislam.

Angalia hapa chini:

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2] Ibid. p 37.
 
Twende hoja kwa hoja na majibu ya hoja husika ndugu zangu!

Mi na wewe bado hatujamaliza sifa za kupewa uwenye heri, wewe unasema kwa kuwa nyerere aliutokomeza mfumo kristo na nyingine, mimi nakuwekea na nyingine na wewe uniwekee na nyingine tuone ni sifa zipi haswaa ndio za kweli.

Msome mwenzenu huyu:

Nimesoma maandiko mengi sana yanayomuhusu kambona hata katika nadharia nyingi kuhusiana na Vita Ya Biafra kule Nigeria.Kweli katika jambo ambalo najutia na ninalichukia kupita kiasi ni kuimbishwa nyimbo za kumkashfu na kumtukana kambona nikiwa Nursery school.

Halafu kuna tawala nyingine ni za ajabu kweli kweli.hivi makosa ya ndugu inakuaje wakamatwe ndugu halafu wafungwe mika 10 na wengine waendelee kukamatwa na kufungwa hata baada ya mahakma kutoa hukumu ya kuwaachia huru?

Kwangu serikali ya Tanzani hadi leo imeonyesha Usaliti wa hali ya juu kutomuenzi Oscar kambona.Kwangu huyu ni shujaa hata kama nitamuona hivyo peke yangu kama ninavyoamini kwenye Ushujaa wa Kasim Hanga,Abdulrahaman Babu,Muammar Ghaddafi na Robert Mugabe
 
Mzee wangu mohamedi.
Tujuavyo, rais ni mtu mwenye madaraka makubwa sana, pia akiamua kuvunjilia mbali mtandao wowote anaweza.
Je, kipindi hiki cha utawala wa Kikwete, amefanya nini kuvunja huu mtandao wa 'mfumo kristo'?

MD25,

Tatizo kubwa ni kuwa serikali haikubali kama kuna mtandao wa Wakristo
ndani ya serikali unaopiga vita Uislam.

Lakini pembeni ukizungumza na Waislam walio serikalini watakuhadithia
mambo ya kusikitisha sana.

Hapa sasa tulipo jamvini toka tumeanza wengi katika hao wanasikiliza.
 
Wewe ni mdini uliepikika, hivi hujui kama Nyerere alisema kumwambia rafiki yake wa kiingereza hakujua kama atamuandika kitabuni. Nyere alisema hivi: "If I could tore this Island into the Indiana Ocean, I would do it. Raelly the Island is giving me a big headache". Kasome kwanza kaka usikurupuke kwa mapenzi na ushabiki badala ya uhalisia.
 
Mi na wewe bado hatujamaliza sifa za kupewa uwenye heri, wewe unasema kwa kuwa nyerere aliutokomeza mfumo kristo na nyingine, mimi nakuwekea na nyingine na wewe uniwekee na nyingine tuone ni sifa zipi haswaa ndio za kweli.

Msome mwenzenu huyu:

Maandiko ya Ben niliyaona kule kwenye mjadala juu ya Kambona,

Juu ya Kambona na Mwalimu Nyerere watu wengi wamepandikiza hoja na mijadala isiyo sahihi,

Hakuna aliyewahi kumsikia Nyerere au Kambona enzi za uhai wao kuwa wao wanamgogoro,

Ukweli unasimama kuwa Kambona alikuwa na mgogoro na serikali ya Tanzania, hilo lilikuja baada ya kuasi tu na sio Mwalimu Nyerere!

Wenzake Bibi Titi Mohamed siku wapofikishwa Mahakamani yeye aliikimbia nchi na kwenda uhamishoni nchini Uingereza alikoishi hadi 1993 aliporudi tena katika ardhi ya Tanzania hiyo ni baada ya mfumo wa vyama vya siasa huria!
 
Wewe ni mdini uliepikika, hivi hujui kama Nyerere alisema kumwambia rafiki yake wa kiingereza hakujua kama atamuandika kitabuni. Nyere alisema hivi: "If I could tore this Island into the Indiana Ocean, I would do it. Raelly the Island is giving me a big headache". Kasome kwanza kaka usikurupuke kwa mapenzi na ushabiki badala ya uhalisia.

Hujaeleweka ndugu, una maana ya mimi au Mohamed Said?
 
Maandiko ya Ben niliyaona kule kwenye mjadala juu ya Kambona,

Juu ya Kambona na Mwalimu Nyerere watu wengi wamepandikiza hoja na mijadala isiyo sahihi,

Hakuna aliyewahi kumsikia Nyerere au Kambona enzi za uhai wao kuwa wao wanamgogoro,

Ukweli unasimama kuwa Kambona alikuwa na mgogoro na serikali ya Tanzania, hilo lilikuja baada ya kuasi tu na sio Mwalimu Nyerere!

Wenzake Bibi Titi Mohamed siku wapofikishwa Mahakamani yeye aliikimbia nchi na kwenda uhamishoni nchini Uingereza alikoishi hadi 1993 aliporudi tena katika ardhi ya Tanzania hiyo ni baada ya mfumo wa vyama vya siasa huria!
Na wale wadogo zake Kambona waliokaa jela zaidi ya miaka kumi walikuwa na mgogoro na nani.
 
Maandiko ya Ben niliyaona kule kwenye mjadala juu ya Kambona,

Juu ya Kambona na Mwalimu Nyerere watu wengi wamepandikiza hoja na mijadala isiyo sahihi,

Hakuna aliyewahi kumsikia Nyerere au Kambona enzi za uhai wao kuwa wao wanamgogoro,

Ukweli unasimama kuwa Kambona alikuwa na mgogoro na serikali ya Tanzania, hilo lilikuja baada ya kuasi tu na sio Mwalimu Nyerere!

Wenzake Bibi Titi Mohamed siku wapofikishwa Mahakamani yeye aliikimbia nchi na kwenda uhamishoni nchini Uingereza alikoishi hadi 1993 aliporudi tena katika ardhi ya Tanzania hiyo ni baada ya mfumo wa vyama vya siasa huria!

Bado unarusha, kwa hiyo kisa cha Kambona kuikimbia nchi na Bi Titi kufungwa ni moja katika vigezo vya kumfanya Nyerere mwenye heri au sio?
 
Yericko Nyerere

Au hii inaweza kuwa ndio "Nyingine"?

In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ.......What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so.
-Njozi, Hamza M.Mwembechai killings and the political future of Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Mzee wangu mohamedi.
Tujuavyo, rais ni mtu mwenye madaraka makubwa sana, pia akiamua kuvunjilia mbali mtandao wowote anaweza.
Je, kipindi hiki cha utawala wa Kikwete, amefanya nini kuvunja huu mtandao wa 'mfumo kristo'?

Kikwete alijaribu kutingisha kibiriti pale alipoanzisha kuwalipisha kodi kile kinachoitwa Jumuiya za dini kwa mali na bidhaa zinazoingia nchi ambazo kwa miaka na miaka hazikuwa zikilipiwa kodi! matokeo yake Kikwete aliyeonekana kuwa ni CHAGUO LA MUNGU mwaka 2005,
viongozi wa Makanisa waziwazi waliamua kumpigia debe kiongozi wa upinzani ktk uchaguzi mkuu wa 2010 na kumtupa mkono Kikwete!

Baadae ilibidi Kikwete asalimu amri baada ya kuona mvutano mkubwa kati ya Serikali yake na Kanisa!
 
Yericko Nyerere

Au hii inaweza kuwa ndio "Nyingine"?

In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ.......What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so.
-Njozi, Hamza M.Mwembechai killings and the political future of Tanzania

Labda nikufahamishe juu ya binadamu kuitwa mwenye heri ama mtakatifu,

Hilo halina mafungamano na siasa za nchi au serikali yoyote ile bali ni la KANISA katoliki na waamini wake tu!

Hivyo kanisa linavigezo vyake mpaka liamue kumpa mtu heshima hiyo,

Kwakukujuza zaidi kwa Tanzania wapo wengi waliopewa heshima na kanisa Katoliki ya kuwa wenye heri, mfano,

Julius Nyerere ni mwenye heri, Mkuu wa mkoa wa Mtwara wa sasa hivi ndugu Simbakaria ni Mwenye heri!

Hao wote wanasubiri kutawazwa kuwa WATAKATIFU!

Kwahiyo ya kaisari tumwachie Kaisari na ya Mungu aachiwe Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Taarifa za kijasusi ziliainisha usharika wao kati uasi

Mbona hawakufikishwa mahakamani hata wale wengine waliofikishwa mahakamani kwa kutaka kuipindua serikali ya Nyerere walishinda kesi lakini Nyerere alitoa amri wakamatwe tena. Mwenye heri anakuwa na shari.
 
Hilo la mtu kusimamishwa na kuchukuliwa hatua NECTA nalifahamu sana na waziri wa elimu Dr Shukuru Kawambwa ameshalitolea ufafanuzi. Hili la hoja binafsi bungeni kuhusu suala la NECTA kwangu mimi ni jipya...pengine ungewasaidia na wanaukumbi ambao hawajalisikia hili, ni mbunge gani aliyepeleka hoja binafsi kuhusu NECTA halafu ikazimwa?

Watu wa usalama bwana! yaani unataka atajwe hapa ili mkamshugulikie au jina lake lisirudi tena 2015 bila kuisoma hoja yake? Mfumo Kristo at the work!
 
Mbona hawakufikishwa mahakamani hata wale wengine waliofikishwa mahakamani kwa kutaka kuipindua serikali ya Nyerere walishinda kesi lakini Nyerere alitoa amri wakamatwe tena. Mwenye heri anakuwa na shari.

Nchi huendeshwa kwa taarifa za kijasusi,

Walishiinda kesi lakini ile sheria ya ya kumuweka mtu kizuizini na katiba yetu viliendelea kumpa mamlaka rais kuzuia aina yoyote ya hofu katika nchi!

Mengi alikuwa na uwezo wa kuyajibu Mzee Nyerere ikiwa Mohamed Said au yeyote angetaka kujua zaidi hasa baada ya kung'atuka/kustaafu!

Kuhusu utakatifu na wenye heri kwa Mwalimu Nyerere hayo ni ya kanisa Katoliki na nimeshaeleza hapo juu mahitaji yayo!

Mimi nitajibu ya juu juu tu ninayoyafahamu!
 
Yericko Nyerere

Au hii inaweza kuwa ndio "Nyingine"?

In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ.......What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so.
-Njozi, Hamza M.Mwembechai killings and the political future of Tanzania
Sijakisoma kitabu cha Njozi lakini inaelekea uandishi wake unafanana sana wa Mohamed Said. Anachomoa kitu kimoja na kukiwekea mazingira fulani ili ionekane Nyerere alikuwa adui wa waislam na uislam. Interview nzima ipo wapi? Kabla ya hilo swali Nyerere aliulizwa nini? Tunataka mtiririko wote ndiyo tufikie conclusion.
Bahati nzuri ninacho hapa kitabu cha Nyerere, Freedom and Socialism|Uhuru na Ujamaa.
Tukumbuke alikuwa anajibu kuhusu jitihada zake za kuujenga ujamaa ambao msingi wake mkuu ni usawa...

Soma kipande hiki:

SOCIALISM IS SECULAR
Socialism’s concern about the organization of life on earth does not involve any supposition about life elsewhere, or about man’s soul, or the procedures of fulfilling the will of God or Gods.
Socialism is secular. It has nothing to say about whether there is a God. Certainly it rests on the assumption of the equality of man, but people can reach this conclusion by many routes. People can accept the equality of man because they believe that all men were created by God, they can believe it because they feel that the scientific evidence supports such a conclusion , or the can accept it simply because they believe it is the only basis on which life in society can be organized without injustice. It does not matter why people accept the equality of man as the basis of social organization; all that matters is that they do accept it.
.
.
.
What matters in socialism and to the socialist is that you should care about a particular kind of social relationship on this earth. Why you care is your own affair. There is nothing incompatible between socialism and Christianity, Islam , or any other religion which accepts the equality of man on earth.
Kwasisi wakristu tunasema: Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote, Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe(Usawa).
Kwenu nyinyi waislam tunasikia kila siku mkisema dini yenu ni ya Haki. Kwenye haki kuna usawa na ndiyo maana tunaona malalamika kwamba hakuna usawa.
Ninahitaji kuongeza tena bwana zomba ili ujue mantiki ya jibu la Nyerere?
 
Back
Top Bottom