Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kuwahoji namna gani sasa,kila kitu kipo wazi na wao wenyewe wanakijua na wanakiskia mbona hawakanushi?
yani mtu anaonekana kabisa kavaa shati la kijan kisha umuhoji 'eti hii shati yako ni ya kijani?'
sasa hiyo itakuwa akili ama matope??
maswali yako yanakosa mantiki wakati mwingine..
Ndugu bado hujajua njia stahiki za uandishi wa historia,

Kumhoji mtu ni hatu ya mwisho na ya uhakika kwa asilimia miamoja kuliko kuamini na kuishi katika dhahania tu.
 
Ni kwa sababu kwa miaka 15 uliweza kuwashawishi kikundi cha Waislamu kuwa unachosema ni kweli, kundi kubwa la wasomi wengi walikuwa hawajakaa chini kusikiliza au kusoma hoja zako. Bahati nzuri mtandao wa net huu umewezesha hoja zako kuwafikia watu wengi zaidi na watu kuzipima kwa ukaribu zaidi kuliko miaka 15 iliyopita. Kusema ukweli naamini muda si mrefu hoja zako zitajibiwa na kwa uzuri zaidi na hatimaye utalazimishwa kujibu hoja ambazo tumezitoa hapa. Hutoweza kuendelea kutoa madai yale yale ambayo hujaweza kuyathibitisha.

Kwa wakati huu furahia miaka kumi na tano ya unchallenged fame.

Yale yale:

Hakuna mpaka sasa, hata mmoja aliyekuja akasema Mshume ni wa kutunga, Said Tewa hakuwepo, EAMWS haikuwepo, Abdul Skes hakumkaribisha Nyerere. Mashado Plantan si kweli. Mama Maria hakuuza mafuta ya taa Mchikichi, Iddi Tosiri ni wa kubuni hakuwepo mtu namna hiyo. TAA haikuanzishwa na wazee wa Dar. AA haikuanzishwa na Kleist Sykes. Mweka hazina wa kwanza wa TANU hakuwa mweka hazina wa Jammiatul Islamiya fi Tanganyika nayo haikuanzishwa na Sykes

Jamani, hivi mnachobisha haswaa ni nini? tarehe fulani? siku fulani? kavaa nguo gani? hakulitumikia kanisa?
 
Kuwahoji namna gani sasa,kila kitu kipo wazi na wao wenyewe wanakijua na wanakiskia mbona hawakanushi?
yani mtu anaonekana kabisa kavaa shati la kijan kisha umuhoji 'eti hii shati yako ni ya kijani?'
sasa hiyo itakuwa akili ama matope??
maswali yako yanakosa mantiki wakati mwingine..

Huyo kishasema yeye anapinga mradi apinge tu.
 
hivi mzee mohamed unaweza kutukumbusha vita vya Kagera kwanini tulipigana kwasababu nimesoma gazeti la raia mwema sio annur kwamba Nyerere alikuwa na chuki na IDD AMIN na alikuwa anataka swahiba yake MILTON OBOTE na pia Nyerere alikataa chuo kikuu cha kiislamu kujengwa hapa Tanzania na OIC ndio kikajengwa Uganda hii ni moja wapo hoja za waislamu kwamba kuna mfumo kristo na the founder ni NYERERE

Unaamini kuwa Mwalimu Nyerere ndie mwasisi wa hicho unachokiita ni mfumo kristu?

Thread kuu nimeeleza kwakirefu sana juu mfumo kristu na chimbuko lake hadiulipotokomezwa miaka ya 1961-1965 chini ya Mwalimu Nyerere huyohuyo unaedai leo kuwani founder wa mfumo kristu nchini,

Rudiaupyakuisoma ile makala pale juu mkuu
 
Asante sana mkuu kwa maelezo murua, bado mchango wako nimuhimu sana katika uzi huu mkuu, rudi ndugu uzidi kuwafunza waamini wa Mohamed Said

Mkuu, ntaweka record straight tu kwa baadhi ya maandishi yaliyofuatia lakini baada ya hapo ntashiriki kwa kusoma tu. Huu mjadala tulishaupeleka karibia mwaka before sijui this tyme utachukua muda gani.
 
Asante sana mkuu kwa maelezo murua, bado mchango wako nimuhimu sana katika uzi huu mkuu, rudi ndugu uzidi kuwafunza waamini wa Mohamed Said

Mkuu Yeriko,hawafunzi waamini wa M' said tu bali hata sisi tunaotaka kujua historia ya kweli
 
Mkuu, ntaweka record straight tu kwa baadhi ya maandishi yaliyofuatia lakini baada ya hapo ntashiriki kwa kusoma tu. Huu mjadala tulishaupeleka karibia mwaka before sijui this tyme utachukua muda gani.

Asante sana mkuu
 
Unaamini kuwa Mwalimu Nyerere ndie mwasisi wa hicho unachokiita ni mfumo kristu?

Thread kuu nimeeleza kwakirefu sana juu mfumo kristu na chimbuko lake hadiulipotokomezwa miaka ya 1961-1965 chini ya Mwalimu Nyerere huyohuyo unaedai leo kuwani founder wa mfumo kristu nchini,

Rudiaupyakuisoma ile makala pale juu mkuu

Nikakuuliza, Jee, kwa kuutokomeza huko ndio kawa mwenyeheri ? Kuelekea utakatifu ?
 
Unaamini kuwa Mwalimu Nyerere ndie mwasisi wa hicho unachokiita ni mfumo kristu?

Thread kuu nimeeleza kwakirefu sana juu mfumo kristu na chimbuko lake hadiulipotokomezwa miaka ya 1961-1965 chini ya Mwalimu Nyerere huyohuyo unaedai leo kuwani founder wa mfumo kristu nchini,

Rudiaupyakuisoma ile makala pale juu mkuu

YERICKO leo usiende church sikiliza sasa hivi radio imaan upate darsa mkuu
 
Wewe sipendi kujadiliana nawe kwa sababu ya ukurupukaji na kutotumia akili yako kufikiri wewe ni kurukia tu hoja za wengine.

Hizi kweli ngano ni vizuri liwe bandiko lako la mwisho watu wanajadili mambo mazito wewe unaongelea habari za Madj's kina Chogo, Saydou.

Jambo gani la msingi unaloliongelea, kwa taarifa yako wakati wewe ukiwa inspired na Chogo, vijana wa huko Kanyigo na Kibosho walikuwa inspired na watu waliosoma, sorry that was my generation na hakuna wa kupindisha hii.

Wewe huijui Dar eti unasema miaka ya 80 watu walikuwa hawapendi shule ni kichekesho nakutajia shule za Ilala tu Bunge, Gerezani, Amana, Boma, Ilala, Lumumba, Mnazi Mmoja, Msimbazi, Mtendeni, Muhimbili, Uhuru, Upanga, Zanaki, Olympio, Agha Khan, Tambaza, Kisutu, hizi shule walikuwa wanasoma kina nani hapa sijataja Kinondoni, Temeke.
Hapa unaonyesha kukurupuka kama kawaida yako, hivi wakati Mohamed Said anasema kanisa katoliki linashiriki mpaka kuchagaua vijana wa kuendelea na masomo alikuwa anazizungumzia Amana, Boma, Ilala, Lumumba, Mnazi Mmoja au gongo la mboto? Tunazungumzia shule za sekondari wewe unakuja na Olympio vipi? Taja shule za sekondari binafsi Dar kuanzia 1980 - 1990 utafahamu naongelea nini.

Halafu darasa la saba kulikuwa hakuna kupasi wanachaguliwa tu bila hata ya kuona matokeo hapa ndiyo mfumo kristu unafanya kazi, umeishajiuliza wale ambao hawajachaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza walikuwa wanaenda wapi au ndiyo hawa hawataki shule.
Hivi kupasi si ndiyo neno lilokuwa likitumika au? Umekurupuka tena. Kwa hiyo kuchaguliwa kulikuwa bila mtihani au ndiyo ile hoja ya mwalimu wako kwamba Malima alianzisha kutumia namba za mitihani?

Unalalamika kuhusu mabaharia wakati Dar kuna bahari hii ingekuwa Moshi, Iringa wangekuwepo mabaharia tu.

Kama Nyerere hakuandika jina lake uwanja wa ndege na chuo kikuu basi hana matatizo mengine
Nani analalamika mm naeleza nilichokiona na kilichokuwepo that time wewe unasema nalalamika Vp mbona unakurupuka tena????, Wanalamika walioshindwa mimi sikushindwa na sijawahi shindwa yale yote yanayowezekana na bado nasonga under the flag of striving for excellence. Habari ya Moshi na Iringa kutokuwa na bahari inakujaje hapa?????? Na nani kasema Mwalimu hakuwa na matatizo mengine?????
 
Ndugu bado hujajua njia stahiki za uandishi wa historia,

Kumhoji mtu ni hatu ya mwisho na ya uhakika kwa asilimia miamoja kuliko kuamini na kuishi katika dhahania tu.

Historia gani sasa mnayoitaka nyinyi??
Si ni nyinyi mlioamua kuiita hii kuwa ni HISTOHISIA?

Kama mmeshaamua kupinga kila kitu yumkin hamtaamini kitu..!!
 
N,

Ndugu yangu amini usiamini.
Yote niliyoandika katika kitabu changu
ni kweli.

Narudia kukueleza tena.

Ilikuwa baada ya Prof. Haroub Othman
kusoma kitabu changu ndipo akaenda kwa
Nyerere.

Matokeo ndiyo haya ya kitabu cha Nyerere
kinachoandikwa hivi sasa.

Kuamini au kutoamini hilo ni chagua lako.

Mohamed Said haya mambo mengine sasa unatakiwa uwe unaona aibu kidogo japo ile ya kiutu uzima.

Prof. Ahmed Mohiddin, a former academician, told the East African that three people himself, Prof Haroub Othman, now live in Liberia, and former ambassador Ferdinand Ruhinda one of mwalimu's confidants had earlier approached the late Mwalimu to seek his consent.

Wewe bado unakomaa tu na hadithi yako isiyo na ushahidi.
 
Hii redio naisikia kwa watu tu, inapatikana kwenye masafa yapi mkuu?

ha ha haaa yericko umenichekesha yani uliletwa uzi kuhusu radio imaan na wewe ulichangia kwa mbwembwe leo huijui! frequnce zake ni 104.4 mimi najua uko dsm
 
N,

Sikulaumu hata kidogo kwa kufananisha kitabu changu na vitabu vya
riwaya.

Kwa msimamo huo wako wala sitajishughulisha kukueleza lolote katika
matatizo yanayoikabili nchi yetu kwa hivi sasa.

Ila nitakuwekea hapa habari iliyochapwa katika gazeti la An-nuur la siku
ya Ijumaa iliyopita: "Wanafunzi Waislam sasa waikataa NECTA."

Wanafunzi hawa wamefanya mkutano na wameazimia kuandamana hadi
ofisi za NECTA.

Ikiwa hili litafanyika na polisi kama kawaida yao watapambana na hawa
watoto.

Mungu apishie mbali...
Naogopa hata kufikiria nini kitatokea.

Kauliwa mtoto wa Kiislam kwa kuikumbusha serikali kuondoa dhulma dhidi
ya wanafunzi Waislam...

Hapa ndipo tulipofika hivi sasa.
Haisaidii sana kuwapuuza Waislam na shutuma zetu dhidi ya mfumokristo.

MS kama kawaida yako mzee wangu nimeorodhesha hapo vitabu vitano na waandishi wake na vyote si riwaya. Dinesh D'souza au Glen Beck hawaandiki riwaya. Wewe ulipoona tu majina ya kina Musiba, Hammie Rajab na Shigongo tayari unataka kupindisha hoja. Hawa mm niliwataja kwa sababu ndiyo wanafahamika na watanzania wengi.

Na hao vijana wanaotaka kuandamana mimi niko pamoja nao, lakini tu wasisite kuleta ushahidi yakinifu wa namna gani NECTA inabagua kwa mgongo wa dini.
 
Back
Top Bottom