Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #4,921
Ndugu bado hujajua njia stahiki za uandishi wa historia,Kuwahoji namna gani sasa,kila kitu kipo wazi na wao wenyewe wanakijua na wanakiskia mbona hawakanushi?
yani mtu anaonekana kabisa kavaa shati la kijan kisha umuhoji 'eti hii shati yako ni ya kijani?'
sasa hiyo itakuwa akili ama matope??
maswali yako yanakosa mantiki wakati mwingine..
Kumhoji mtu ni hatu ya mwisho na ya uhakika kwa asilimia miamoja kuliko kuamini na kuishi katika dhahania tu.