Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kiujumla sidhani kama kuna anayepinga hadithi za MS, kinachopinga ni kule kutaka ku-institutionalize hadithi hizo kuwa historia. Na pale anapoombwa ufafanuzi huchagua maswali ya kujibu, ukiombwa ushahidi aliyemwambia ni marehemu so and so. Mohamed said you just need to come clean juu ya agenda unaoipigania. Adios.

Hili ni bandiko langu la mwisho kwenye mjadala huu.
N,

Sikulaumu hata kidogo kwa kufananisha kitabu changu na vitabu vya
riwaya.

Kwa msimamo huo wako wala sitajishughulisha kukueleza lolote katika
matatizo yanayoikabili nchi yetu kwa hivi sasa.

Ila nitakuwekea hapa habari iliyochapwa katika gazeti la An-nuur la siku
ya Ijumaa iliyopita: "Wanafunzi Waislam sasa waikataa NECTA."

Wanafunzi hawa wamefanya mkutano na wameazimia kuandamana hadi
ofisi za NECTA.

Ikiwa hili litafanyika na polisi kama kawaida yao watapambana na hawa
watoto.

Mungu apishie mbali...
Naogopa hata kufikiria nini kitatokea.

Kauliwa mtoto wa Kiislam kwa kuikumbusha serikali kuondoa dhulma dhidi
ya wanafunzi Waislam...

Hapa ndipo tulipofika hivi sasa.
Haisaidii sana kuwapuuza Waislam na shutuma zetu dhidi ya mfumokristo.
 
Brother MS.......maandishi uliyotoa hapo juu hayajibu maswali uliyoulizwa.......rudia kusoma swali la MMKJJ....

....na huo ndio MTEGO wa Brother MS...... uliowanasa vijana wengi....

Njia ya kupinga kitabu changu ni nyie kuandika kitabu.
Hivi hivi itakuwa tabu sana kunishinda.
 
Ndio maana sisi wengine tunamwambia mchochezi Mohamed Said aache kujaza kurasa za JF na ngano na kujinukuu mwenyewe, ajibu maswali anayoulizwa lakini akiamua kuwa muongo ajue kutunza kumbukumbu.

Mag3,

Kujinukuu mwenyewe nitaachaje ilhali mie ndiye niliyetafiti na kuandika?
Utaridhika nikitumia nukuu za nani?

Ikiwa kuna uongo kwangu mimi nyie kinakuzuieni kitu gani kuandika kitabu
kitakachosema kweli?
 
Bi. Z,

Sheikh Mwilima amefariki miaka mingi sasa inazidi 15 na zaidi.

Sheikh Mwilima alipambana na Nyerere katika Halmashauri Kuu
ya CCM.
Anasema ukumbi mzima ulikuwa kimyaaaaaa...
Wajumbe wanasikiliza mwenyekiti Nyerere atajibu nini.

Kwa kama dakika moja mbili...

Sheikh Abubakar Mwilima na Nyerere walitazamana kama majogoo
wanaotaka kupigana.

Nyerere akaahirisha kikao....

Tukisema lengo lako ni kumdunisha Nyerere mbele ya Waislamu utakataa; simulizi hili ni ushahidi mwingine pia. Inakumbusha kile kisa kingine ulichosimulia miaka ya sitini ambapo Nyerere alikuwa confronted na mmoja wa wazee wako na Nyerere akagwaya; hakujibu kitu.
 
Njia ya kupinga kitabu changu ni nyie kuandika kitabu.
Hivi hivi itakuwa tabu sana kunishinda.

Hili ni chaguo moja lakini siyo chaguo la pekee. Njia nyingine ya kukupinga ni kukupinga kila unapoeneza propaganda zako hizi. Haiitaji kitabu kufanya hivyo.
 
Mohamed Said sijui mpaka lini utaendelea kupotosha ukweli kuhusu hili jambo, Nilishakueleza hili mjadala ule wa 2010/2011) na ukakiri huku ukiendelea kusisitiza eti msukumo mwingine ulitokana na hadithi zako. Haya narudia tena kukuelezea historia ya wazo la uandishi wa biografia ya Nyerere lilikujaje: This is an extract kutoka gazeti lile lile lilochapisha makala zako kwa wiki tatu mfululizo - The East African, October 26, 1999.

Bahati mbaya na Prof Othman akafariki pia.

Mzee Mohamed ni upotoshaji wa namna hii unaofanya baadhi ya members humu na watanzania kiujumla waone kwamba wewe una nia ovu, unataka kufitinisha jamii na kuleta mitafaruku isiyo na tija kwa "histohisia" , na lengo lako si jema hata kidogo. Unawezaje kuendelea kudanganya jamii mchana kweupee namna hiiii and not once Mohamed, not once. Sasa utaaminikaje na haya si mambo ya 1960's au enzi za African Association sijui 1930's. Kama nakumbuka vizuri MMM, Nguruvi na Mag3 walikubana utuambie kama umewahi kuwahoji Prof. Mohiddin na Ruhinda kuhusu uwepo wa hadithi zako kwenye maandalizi ya hiyo biographia jibu lake hujatoa mpaka leo. Halafu bila haya eti unasema yote uliyosema ni kweli!!!!

N,

Ndugu yangu amini usiamini.
Yote niliyoandika katika kitabu changu
ni kweli.

Narudia kukueleza tena.

Ilikuwa baada ya Prof. Haroub Othman
kusoma kitabu changu ndipo akaenda kwa
Nyerere.

Matokeo ndiyo haya ya kitabu cha Nyerere
kinachoandikwa hivi sasa.

Kuamini au kutoamini hilo ni chagua lako.
 
Hili ni chaguo moja lakini siyo chaguo la pekee. Njia nyingine ya kukupinga ni kukupinga kila unapoeneza propaganda zako hizi. Haiitaji kitabu kufanya hivyo.

MM,

Unakipinga kitabu kipo kinasomwa mwaka wa 15?
Utawapingaje na hao wanaokisoma?

Kitabu kinakwenda toleo la tatu.
Unasemaje kuhusu hili?
 
Tukisema lengo lako ni kumdunisha Nyerere mbele ya Waislamu utakataa; simulizi hili ni ushahidi mwingine pia. Inakumbusha kile kisa kingine ulichosimulia miaka ya sitini ambapo Nyerere alikuwa confronted na mmoja wa wazee wako na Nyerere akagwaya; hakujibu kitu.

MM,

Iikiwa wewe umeona hivyo hiyo ni bahati mbaya sana.
Ila kisa cha Sheikh Mwilima na Nyerere hakijesha.

Ungependa nikieleze hadi mwisho?
 
Mohamed hebu watendee haki watu wanaotufuatilia hapa,

Hivi Mwalimu aahirishe kikao baada ya swali hilo la Abubakar Mwilima?

Je ni kweli Mwalimu hakujibu kitu akabaki kumtazama tu Mwilima kama usemavyo majogoo watazamanavyo?

Y,

Pale haikuwa mwisho.
Nyerere akaahirisha kikao wakenda mapumziko kwa chai.

Sheikh Mwilima anasema katika mapumziko yale wajumbe
wenzake walikuwa wanamkimbia.

Hakuna aliyetaka kumkaribia hata mmoja.

Ikifahamika sana kuwa Uislam lilikuwa suala nyeti na likiepukwa
kuzungumzwa.

Sheikh Mwilima alikuwa amevunja mwiko.

Waliporudi ukumbini kikao kikaendelea bila ya kujadili hoja ya
Sheikh Mwilima.
 
Mohamed Said anatoa hoja based on some very wrong premise ambayo ni hatari katika ustawi wa taifa letu. Kwamba eti waislamu ambao hawajafanikiwa ni kutokana na dhulma ya mfumo kristo na wakristo waliofanikiwa basi ni kutokana na kupendelewa na mfumo kristo. Hii ni premise ya aibu kabisa and makes u fail hata kabla safari haijaanza. Lakini ndugu yetu huyu na mashabiki wake kwao huo ndiyo ukweli. Je ni vipi kwa waislamu waliofanikiwa na wakristo walioshindwa na kukata tamaa?????????

Turudi nyuma kidogo, Mohamed katika kujenga hoja zake juu ya mfumo kristo amebase zaidi Dsalaam kitu ambacho ni cha ajabu pia kwani taasisi dhulmati huwa ni nchi nzima hukuhitaji kwenda Johanesburg kuprove uwepo wa apartheid au DC kwenda kuuona utumwa.

Hoja ya waislamu kunyimwa elimu mifano mingi sana ameitolea kutokea Dar. Sasa twende nyuma kidogo mwanzoni mwa miaka ya 80. Nimechagua kipindi hiki kwani nilishuhudia nayotarajia kuyaandika. Kifupi Dar enzi zile elimu haikuwahi kupendwa na wala haikuwa ujanja. Shule ilikuwa ni kimbilio ya mijitu ya kuja ambayo ilikuwa haina namna nyingine zaidi ya kusoma ili ije mjini. That was the perception of the day. Wajanja enzi hizo walikuwa mabaharia, Ma Dj, wachezaji (Simba, Yanga, Pan), Wanamuziki wa dansi na Wafanyakazi wa Bandari (kama akina Mohamed Said mwenyewe). Shule haikuwa na nafasi, role models kwa vijana wadogo enzi hizo walikuwa akina Gerry Kotto, Kalikali, Seydou, Makochela etc. na si wasomi. Baadae walikuja wauza unga, clearing and forwarding agents etc. Perception hizi potofu kuhusu umuhimu wa elimu ziliathiri vijana wote waislamu kwa wakristo na zilienea mpaka mijini kwingine nchi nzima. I know some fools watarukia kwamba see they are now blaming it on ubaharia, samba, yanga, dansi etc. lakini ukweli ndiyo huo kuhusu perception ya shule by then jiini.

Mwanzoni mwa miaka ya 80 kukaruhisiwa kuanzisha shule binafsi, ungetegemea nafasi hiii kutumiwa nchi nzima tena hasa kule kulikokuwa na shule chache za serikali. Lakini haikuwa hivyo shule binafsi zikashamiri kule kule kulikokuwa na shule nyingi za serikali Kilimanjaro, Mbeya, Kagera, Iringa Mwanza etc
na si Dar why? (Wateja wakuu wakiwa ni locals kutoka maeneo hayo zilikojengwa shule hizo binafsi) Kifupi ni kuwa Dar hakukuwa na local demand period. Maana hata hapa pia supply and demand rules. Lakini pia wazee wetu "wa kuja" hawakuiona Dara kama sehemu muafaka ya kusomesha watoto wao kutokana na shule kutothaminiwa. Dar ukichanganya na pwani kukawa na shule chache binafsi ukilinganisha na wilaya kama Moshi vijijini au Rungwe. Ikumbukwe kuwa hizi ni enzi ukipasi darasa la saba unafanyiwa sherehe nyumbani.

Ni sometimes mwanzoni miaka ya 90 ndio shule ikaanza kuonekana muhimu tena, "twisheni" kila mahali hadi "uswazi". Sera za soko huria zikapelekea influx ya uwekezaji mfano mabenki binafsi, makampuni ya sm yaliyokuja bidae, migodi, uchumi kukua. Na huu ndio ukawa mwisho wa umaarufu wa mabaharia, wachezaji, wafanyakazi wa bandari. Its just shule shule, shule. Sasa akina Mohamed badala ya kufanya utafiti wa kitaalamu na mikakati ya kujenga shule zaidi na nzuri, kuongeza vyuo, kupanua nafasi za ajira na kuhakikisha vijana wa kitanzania wanakuwa na bright future mbeleni wao wanatafuta wachawi kwa mgongo wa dini.

Ungetarajia basi kwa kuwa kuna hiyo alleged dhulma iliyo wazi basi akina MS wangemobilize taifa zima (Wakristo kwa Waislamu) tupambane na hiyo dhulma. Kama ilivyokuwa South Africa au US, wazungu wengi tu walikuwa wakizipinga serikali zao kwa mifumo ile dhalimu pamoja na wao kufaidika nayo. Unaweza kuwa mjinga kufikiri kuwa Mzee Said hajawahi kunavigate into those waters hell no!!!!!!!!!!Msisitizo kuwa mfumo kristo chini ya kanisa katoliki ulikuwa na lengo la kuwapendelea wao kuliko watu wengine ilikuwa ni careful move kuwafanya walutheri, wasabato, wahindu ect. wa-sympathize na hoja zake. Bahati nzuri na mbaya kwake hilo halijawezekana.

Kinachoshindikana hapa ni kuwa hiyo alleged dhulma kutoka mfumo kristo haijawa substantiated, wala kutolewa ushahidi usio na mashaka na haipo. That is why ni marehemu tu ndiyo wanaotumiwa na Mzee said kujengea hoja

Jingine ambalo hatuhitaji kulinyamazia ni hii tabia ya Tambo za Mohamed Said kujustfy Authority ya hoja zake. Hii ni staili ambayo amekuwa akiitumia sana kwenye majukwaa yake ya wale wanaomsikiliza tu. Mfano aliposema kitabu chake kipo mpaka library of congress, Mohamed Said hii kwake ni sifa mno na justification kwamba alichoandika ni facts tupu. Lakini kwa taarifa yake ni kuwa ndani ya library of congress kuna vitabu chungu nzima vya simulizi based on conspiracies, uzushi, hila etc. Mfano ni hivi hapa chini:

1. Obama's America : unmaking the American dream / Dinesh D'Souza.

2. Roots of Obama's rage / Dinesh D'Souza.

3. Demonic : how the liberal mob is endangering America / Ann Coulter.

4. Way things ought to be / Rush Limbaugh.

5. Real America : messages from the heart and heartland / by Glenn Beck.

Ndani ya hiyo Obamas America mwandishi amemtuhumu marehemu mama ya sitting president Obama kwamba alikuwa Malaya aliyependa kujirusha na wanaume wa thirld world. Sasa kwa wasikilizaji wa hadithi za Mohamed Said ni vema watambue kuwa maktaba hiyo ina vitabu mpaka vinavyomtukana raisi kwa uzushi ilhali MS anatumia uwepo wa kitabu chake mle kama authority.
Lakini pia kuna watanzania mfano Musiba, Hammie Rajab, Eric Shigongo etc. wana vitabu ndani ya Library of congress (Bofya hapa) na tumbukiza majina yao kwenye search utaviona. Hatujawasikia watanzania hawa wakitoa tambo kama hizi za MS.

Tukija kwenye suala zima la Nyerere kuwa alitaka aonekane yeye tu kama anavyotuhumu Mohamed Said hili ni kichekesho. Mwalimu by then na to the African politics of the day kama hii ingelikuwa hulka yake asingeshindwa kuuita UD university of Nyerere, same to the airport, port and all the major roads na wala isingeonekana kuwa jambo la ajabu. But hakuwa hivyo na historia yake itamsimamia.

Kiujumla sidhani kama kuna anayepinga hadithi za MS, kinachopinga ni kule kutaka ku-institutionalize hadithi hizo kuwa historia. Na pale anapoombwa ufafanuzi huchagua maswali ya kujibu, ukiombwa ushahidi aliyemwambia ni marehemu so and so. Mohamed said you just need to come clean juu ya agenda unaoipigania. Adios.

Hili ni bandiko langu la mwisho kwenye mjadala huu.

Hizi kweli ngano ni vizuri liwe bandiko lako la mwisho watu wanajadili mambo mazito wewe unaongelea habari za Madj's kina Chogo, Saydou.

Wewe huijui Dar eti unasema miaka ya 80 watu walikuwa hawapendi shule ni kichekesho nakutajia shule za Ilala tu Bunge, Gerezani, Amana, Boma, Ilala, Lumumba, Mnazi Mmoja, Msimbazi, Mtendeni, Muhimbili, Uhuru, Upanga, Zanaki, Olympio, Agha Khan, Tambaza, Kisutu, hizi shule walikuwa wanasoma kina nani hapa sijataja Kinondoni, Temeke.

Halafu darasa la saba kulikuwa hakuna kupasi wanachaguliwa tu bila hata ya kuona matokeo hapa ndiyo mfumo kristu unafanya kazi, umeishajiuliza wale ambao hawajachaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza walikuwa wanaenda wapi au ndiyo hawa hawataki shule.

Unalalamika kuhusu mabaharia wakati Dar kuna bahari hii ingekuwa Moshi, Iringa wangekuwepo mabaharia tu.

Kama Nyerere hakuandika jina lake uwanja wa ndege na chuo kikuu basi hana matatizo mengine.
 
MM,

Unakipinga kitabu kipo kinasomwa mwaka wa 15?
Utawapingaje na hao wanaokisoma?

Kitabu kinakwenda toleo la tatu.
Unasemaje kuhusu hili?

Ni kwa sababu kwa miaka 15 uliweza kuwashawishi kikundi cha Waislamu kuwa unachosema ni kweli, kundi kubwa la wasomi wengi walikuwa hawajakaa chini kusikiliza au kusoma hoja zako. Bahati nzuri mtandao wa net huu umewezesha hoja zako kuwafikia watu wengi zaidi na watu kuzipima kwa ukaribu zaidi kuliko miaka 15 iliyopita. Kusema ukweli naamini muda si mrefu hoja zako zitajibiwa na kwa uzuri zaidi na hatimaye utalazimishwa kujibu hoja ambazo tumezitoa hapa. Hutoweza kuendelea kutoa madai yale yale ambayo hujaweza kuyathibitisha.

Kwa wakati huu furahia miaka kumi na tano ya unchallenged fame.
 
MM,

Wapo wajumbe walio hai kisa hiki ni maarufu
watakikumbuka Insha Allah.

yeah lakini huwaulizi hadi wakifa ndio unatuambia walichokuambia. Si kina Maria Nyerere wapo? Kawawa alikuwepo hadi miaka michache nyuma; Ben Mkapa yupo, na wengine wapo tu lakini unawatuhumu kila kukicha bila kuthubutu kuwahoji.
 
Y,

Pale haikuwa mwisho.
Nyerere akaahirisha kikao wakenda mapumziko kwa chai.

Sheikh Mwilima anasema katika mapumziko yale wajumbe
wenzake walikuwa wanamkimbia.

Hakuna aliyetaka kumkaribia hata mmoja.

Ikifahamika sana kuwa Uislam lilikuwa suala nyeti na likiepukwa
kuzungumzwa.

Sheikh Mwilima alikuwa amevunja mwiko.

Waliporudi ukumbini kikao kikaendelea bila ya kujadili hoja ya
Sheikh Mwilima.
Unasema wazi kuwa uislamu ulikuwa ni mwiko kuuzungumzia, je ukristu ilikuwa ruksa kuuzungumzia?
 
Mohamed Said anatoa hoja based on some very wrong premise ambayo ni hatari katika ustawi wa taifa letu. Kwamba eti “waislamu ambao hawajafanikiwa ni kutokana na dhulma ya mfumo kristo na wakristo waliofanikiwa basi ni kutokana na kupendelewa na mfumo kristo. Hii ni premise ya aibu kabisa and makes u fail hata kabla safari haijaanza. Lakini ndugu yetu huyu na mashabiki wake kwao huo ndiyo ukweli. Je ni vipi kwa waislamu waliofanikiwa na wakristo walioshindwa na kukata tamaa?????????

Turudi nyuma kidogo, Mohamed katika kujenga hoja zake juu ya mfumo kristo amebase zaidi D’salaam kitu ambacho ni cha ajabu pia kwani taasisi dhulmati huwa ni nchi nzima hukuhitaji kwenda Johanesburg kuprove uwepo wa apartheid au DC kwenda kuuona utumwa.

Hoja ya waislamu kunyimwa elimu mifano mingi sana ameitolea kutokea Dar. Sasa twende nyuma kidogo mwanzoni mwa miaka ya 80. Nimechagua kipindi hiki kwani nilishuhudia nayotarajia kuyaandika. Kifupi Dar enzi zile elimu haikuwahi kupendwa na wala haikuwa ujanja. Shule ilikuwa ni kimbilio ya mijitu ya kuja ambayo ilikuwa haina namna nyingine zaidi ya kusoma ili ije mjini. That was the perception of the day. Wajanja enzi hizo walikuwa mabaharia, Ma Dj, wachezaji (Simba, Yanga, Pan), Wanamuziki wa dansi na Wafanyakazi wa Bandari (kama akina Mohamed Said mwenyewe). Shule haikuwa na nafasi, role models kwa vijana wadogo enzi hizo walikuwa akina Gerry Kotto, Kalikali, Seydou, Makochela etc. na si wasomi. Baadae walikuja wauza unga, clearing and forwarding agents etc. Perception hizi potofu kuhusu umuhimu wa elimu ziliathiri vijana wote waislamu kwa wakristo na zilienea mpaka mijini kwingine nchi nzima. I know some fools watarukia kwamba see “they are now blaming it on ubaharia, samba, yanga, dansi etc.” lakini ukweli ndiyo huo kuhusu perception ya shule by then jiini.

Mwanzoni mwa miaka ya 80 kukaruhisiwa kuanzisha shule binafsi, ungetegemea nafasi hiii kutumiwa nchi nzima tena hasa kule kulikokuwa na shule chache za serikali. Lakini haikuwa hivyo shule binafsi zikashamiri kule kule kulikokuwa na shule nyingi za serikali Kilimanjaro, Mbeya, Kagera, Iringa Mwanza etc
na si Dar why? (Wateja wakuu wakiwa ni locals kutoka maeneo hayo zilikojengwa shule hizo binafsi) Kifupi ni kuwa Dar hakukuwa na local demand period. Maana hata hapa pia supply and demand rules. Lakini pia wazee wetu "wa kuja" hawakuiona Dara kama sehemu muafaka ya kusomesha watoto wao kutokana na shule kutothaminiwa. Dar ukichanganya na pwani kukawa na shule chache binafsi ukilinganisha na wilaya kama Moshi vijijini au Rungwe. Ikumbukwe kuwa hizi ni enzi “ukipasi” darasa la saba unafanyiwa sherehe nyumbani.

Ni sometimes mwanzoni miaka ya 90 ndio shule ikaanza kuonekana muhimu tena, "twisheni" kila mahali hadi "uswazi". Sera za soko huria zikapelekea influx ya uwekezaji mfano mabenki binafsi, makampuni ya sm yaliyokuja bidae, migodi, uchumi kukua. Na huu ndio ukawa mwisho wa umaarufu wa mabaharia, wachezaji, wafanyakazi wa bandari. It’s just shule shule, shule. Sasa akina Mohamed badala ya kufanya utafiti wa kitaalamu na mikakati ya kujenga shule zaidi na nzuri, kuongeza vyuo, kupanua nafasi za ajira na kuhakikisha vijana wa kitanzania wanakuwa na bright future mbeleni wao wanatafuta wachawi kwa mgongo wa dini.

Ungetarajia basi kwa kuwa kuna hiyo alleged dhulma iliyo wazi basi akina MS wangemobilize taifa zima (Wakristo kwa Waislamu) tupambane na hiyo dhulma. Kama ilivyokuwa South Africa au US, wazungu wengi tu walikuwa wakizipinga serikali zao kwa mifumo ile dhalimu pamoja na wao kufaidika nayo. Unaweza kuwa mjinga kufikiri kuwa Mzee Said hajawahi kunavigate into those waters hell no!!!!!!!!!!Msisitizo kuwa mfumo kristo chini ya kanisa katoliki ulikuwa na lengo la kuwapendelea wao kuliko watu wengine ilikuwa ni careful move kuwafanya walutheri, wasabato, wahindu ect. wa-sympathize na hoja zake. Bahati nzuri na mbaya kwake hilo halijawezekana.

Kinachoshindikana hapa ni kuwa hiyo alleged dhulma kutoka mfumo kristo haijawa substantiated, wala kutolewa ushahidi usio na mashaka na haipo. That is why ni marehemu tu ndiyo wanaotumiwa na Mzee said kujengea hoja

Jingine ambalo hatuhitaji kulinyamazia ni hii tabia ya Tambo za Mohamed Said kujustfy Authority ya hoja zake. Hii ni staili ambayo amekuwa akiitumia sana kwenye majukwaa yake ya wale wanaomsikiliza tu. Mfano aliposema kitabu chake kipo mpaka library of congress, Mohamed Said hii kwake ni sifa mno na justification kwamba alichoandika ni facts tupu. Lakini kwa taarifa yake ni kuwa ndani ya library of congress kuna vitabu chungu nzima vya simulizi based on conspiracies, uzushi, hila etc. Mfano ni hivi hapa chini:

1. Obama's America : unmaking the American dream / Dinesh D'Souza.

2. Roots of Obama's rage / Dinesh D'Souza.

3. Demonic : how the liberal mob is endangering America / Ann Coulter.

4. Way things ought to be / Rush Limbaugh.

5. Real America : messages from the heart and heartland / by Glenn Beck.

Ndani ya hiyo Obama’s America mwandishi amemtuhumu marehemu mama ya sitting president Obama kwamba alikuwa Malaya aliyependa kujirusha na wanaume wa thirld world. Sasa kwa wasikilizaji wa hadithi za Mohamed Said ni vema watambue kuwa maktaba hiyo ina vitabu mpaka vinavyomtukana raisi kwa uzushi ilhali MS anatumia uwepo wa kitabu chake mle kama authority.
Lakini pia kuna watanzania mfano Musiba, Hammie Rajab, Eric Shigongo etc. wana vitabu ndani ya Library of congress (Bofya hapa) na tumbukiza majina yao kwenye search utaviona. Hatujawasikia watanzania hawa wakitoa tambo kama hizi za MS.

Tukija kwenye suala zima la Nyerere kuwa alitaka aonekane yeye tu kama anavyotuhumu Mohamed Said hili ni kichekesho. Mwalimu by then na to the African politics of the day kama hii ingelikuwa hulka yake asingeshindwa kuuita UD university of Nyerere, same to the airport, port and all the major roads na wala isingeonekana kuwa jambo la ajabu. But hakuwa hivyo na historia yake itamsimamia.

Kiujumla sidhani kama kuna anayepinga hadithi za MS, kinachopinga ni kule kutaka ku-institutionalize hadithi hizo kuwa historia. Na pale anapoombwa ufafanuzi huchagua maswali ya kujibu, ukiombwa ushahidi aliyemwambia ni marehemu so and so. Mohamed said you just need to come clean juu ya agenda unaoipigania. Adios.

Hili ni bandiko langu la mwisho kwenye mjadala huu.
Asante sana mkuu kwa maelezo murua, bado mchango wako nimuhimu sana katika uzi huu mkuu, rudi ndugu uzidi kuwafunza waamini wa Mohamed Said
 
MM,

Iikiwa wewe umeona hivyo hiyo ni bahati mbaya sana.
Ila kisa cha Sheikh Mwilima na Nyerere hakijesha.

Ungependa nikieleze hadi mwisho?

Ilikuwa ni kwenye kikao gani na cha lini? baadhi ya wajumbe wengine waliokuwepo kwenye kikao hicho ni kina nani?
 
quote_icon.png
By Mohamed Said

MM,

Iikiwa wewe umeona hivyo hiyo ni bahati mbaya sana.
Ila kisa cha Sheikh Mwilima na Nyerere hakijesha.

Ungependa nikieleze hadi mwisho?

Ilikuwa ni kwenye kikao gani na cha lini? baadhi ya wajumbe wengine waliokuwepo kwenye kikao hicho ni kina nani?

Hiyo ndio maana yake ungependa au sio?
 
yeah lakini huwaulizi hadi wakifa ndio unatuambia walichokuambia. Si kina Maria Nyerere wapo? Kawawa alikuwepo hadi miaka michache nyuma; Ben Mkapa yupo, na wengine wapo tu lakini unawatuhumu kila kukicha bila kuthubutu kuwahoji.

Kuwahoji namna gani sasa,kila kitu kipo wazi na wao wenyewe wanakijua na wanakiskia mbona hawakanushi?
yani mtu anaonekana kabisa kavaa shati la kijan kisha umuhoji 'eti hii shati yako ni ya kijani?'
sasa hiyo itakuwa akili ama matope??
maswali yako yanakosa mantiki wakati mwingine..
 
Hili ni chaguo moja lakini siyo chaguo la pekee. Njia nyingine ya kukupinga ni kukupinga kila unapoeneza propaganda zako hizi. Haiitaji kitabu kufanya hivyo.

Unapinga tu kwa sababu upinge lakini ukweli unapingika? hayo ni maradhi yalio ndani ya moyo wako.
 
Unasema wazi kuwa uislamu ulikuwa ni mwiko kuuzungumzia, je ukristu ilikuwa ruksa kuuzungumzia?

hivi mzee mohamed unaweza kutukumbusha vita vya Kagera kwanini tulipigana kwasababu nimesoma gazeti la raia mwema sio annur kwamba Nyerere alikuwa na chuki na IDD AMIN na alikuwa anataka swahiba yake MILTON OBOTE na pia Nyerere alikataa chuo kikuu cha kiislamu kujengwa hapa Tanzania na OIC ndio kikajengwa Uganda hii ni moja wapo hoja za waislamu kwamba kuna mfumo kristo na the founder ni NYERERE
 
Back
Top Bottom