2015 CCM wanasimamisha mtoto wa askofu utakimbilia wapi??
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] MM,
Hujasema kweli.
Kitabu cha Nimtz kinaitwa ''Islam and Politics in East Africa'' kitabu hiki kinatokana na tasnifu yake, ‘The Role of Sufi Order in Political Change,' Ph. D Thesis,Indiana University, 1973.
Nimtz hakuandika historia ya TANU.
Nimtz yeye alijikita katika kutazama ushawishi wa Tariqa Qadiriyya katika siasa na ndiyo maana alikaa sana pale Bagamoyo kwa Sheikh Mohamed Ramiyya ambae kwa wakati ule ndiye alikuwa khalifa wa tariqa hiyo.
Ukweli ni kuwa kabla ya kitabu changu hakuna mwandishi aliyepata kuandika historia ya TANU kwa namna nilivyoandika mimi.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
2015 CCM wanasimamisha mtoto wa askofu utakimbilia wapi??
Mambo ya kike haya nayo tuiite HISTORIA! Mzee Mohamed, hukupaswa kuyaandika haya.Ritz,
Nyerere alikuwa na dada yake anaitwa Sophia.
Bi. Sophia na mumewe walikuwa wakimpenda sana Bwana Abdu.
Abdu akiwafanyia party hadi watoto wao.
Huyu mama ni marehemu sasa.
Yericko atamjua maana ni shangazi lake.
Unajua the ''Tanu spirit ...'' wazee wanasema mpaka uwe umieshi
zama zile ndiyo utaijua.
Mtu anatoa chumba cha mbele nyumbani kwake kuwa ofisi ya TANU.
Hadai kodi.
Chamwenyewe anapanda baiskeli kutoka Dar es Salaam hadi Rufiji
njia nzima anawakatisha watu kadi za TANU.
Akifika Dar es Salaam anamtafuta Idd Faiz kumkabidhi hela za kadi
na yeye wala hachukui hata masurufu kwa ajili ya kujikimu.
Hawa ndugu zetu wanakejeli haya kwa kuwa hawayajui.
Hapana haja ya kuwalaumu sie tuwafahamishe tu wajue kuwa watu hawa walikuwepo
katika historia ya Tanganyika.
Rashidi Ali Meli alikuwa mhasibu wa Dar es Salaam Municipal Council.
Kachukua fedha za ofisi kampa Idd Faiz kutunisha mfuko wa safari ya Nyerere UNO.
Rashid Ali Meli alihudhuria ule mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo.
Baada ya kutoa zile fedha asubuhi wakaguzi wamemvamia kufanya ukaguzi...
Pazuri hapa....
Inaelekea makachero walinusa wakapeleka taarifa kwa Waingereza kuwa TANU
wamechota katika hazina ya serikali na Rashid Ali Meli ndiyo mbaya wao.
Huyu kachero katika TANU Wazungu watu kama hawa wanawaita ''mole.''
Huyu ''mole'' mzee wangu mmoja kanitajia alikuwa ndani kabisa katika uongozi
wa juu wa TANU.
Mbona nilitaka kuzimia?
Rashid Ali Meli akikaa Ilala.
Wazee walikesha wakimlilia Allah amnusuru Rashid Ali Meli...
Visomo kuanzia Isha hadi Salat Fajr.
Siku nilipompelekea kitabu cha Abdu Sykes (English Version) Mama Daisy (Mke
wa Abdu Sykes)alinambia, ''Nilikuwa nikimwambia baba yako Bwana Abdu taratibu
na mambo haya. Maana alikuwa na kabati lake la fedha. Yeye akiletewa taarifa kuwa
TANU ofisi kuna tatizo hili haulizi zaidi anaingia ndani anatoka na fedha anakabidhi
basi ilikwenda vile hadi ile biashara yake ya Petrol Station pale Ilala Boma ikafilisika.
Nazerali ndiyo akamkopesha fedha na dhamana akaweka ile nyumba yake ya Stanley.
Uhuru umepatikana baba yako anaambiwa si yeye aliyeasisi TANU...''
Kwa muda mama yangu akajiinamia...
''Ahsante mwanangu Mohamed leo watu watamsoma baba yako na watamjua Abdu
kafanya nini. Nilikutana na Maria baada ya miaka mingi sana pale Diamond Jubilee siku
Nyerere anaaga tulikukaanae wanawake wa Dar es Salaam. Maria akasimama akasema,
''Mimi nafika Dar es Salaam kanipokea Mama Daisy na mumewe marehemu Abdu Sykes...''
Mama Daisy anasema, ''Tulikuwa tukienda sokoni namwambia Maria jitande kanga kichwani
maana yeye hawezi kuvaa baibui namwambia huku kwetu wanawake hawatembei kichwa
wazi anacheka ananambia Mwamvua unataka kunifanya niwe Mswahili?''
Haya ndiyo yalikuwa maisha pale Stanley Street kwa Bwana Abdu au Kirk Street kwa Bi.
Mluguru pale kwenye ile nyumba ilipoingia hofu kuwa Nyerere kalishwa ''sumu.''
Yericko kakikumbuka kisa hiki.
Mie sikusema yote kwa maana kwa kweli Abdu na TANU nzima walipata pigo na mtihani
mkubwa kupambana na propaganda za Waingereza.
Hivi Abdu anaweza kumtilia rafiki yake kipenzi sumu...
Au nani, au nani, au Bi Mluguru nk. nk. nk.
Hawa watu wametoka mbali sana.
Sishangai kama anatoka mtu akasema yeye wazee wangu hakupata kuwasikia hata siku
moja wala mambo haya hayajui.
Na ni kweli hajapatapo kuwasikia.
Atawasikiaje?
Na sisi yeye peke yake wengi humu hawayajui haya ndiyo maana wanasema ''hadithi''
na ''ngano'' za Mohamed Said.
Laiti Nyerere angeliwaadhimisha wazee wangu dunia nzima ingewajua na kuwathamini.
Panatosha.
Tunamuona Mzee Mwanakijiji, yuko chini, chali, si yeye tu jamani, hata sisi hii ngumi iliyompeleka chini hatukuona ilipotokea.
1........2.........3..........4..........5.........6...........7.........8.........9.........."Knocked out, totally flat out". Hili sumbwi lilikuwa fupi lakini ni zito sana, tunaona anagaragara chini pale, miguu kila mmoja umeelekea unakojuwa wenyewe, refa anakwenda kumtoa kile kiziba meno asije akakosa pumzi, tunamuona promota wa pambano hili Yericko Nyerere ameinamisha kichwa chini akiwa na huzuni.
Mohamed Said kama kawaida amenyanyua mikono yote miwili juu akiashiria ushindi hata kabla refa hajatangaza. Hata jasho halimtoki, hii jamani ni ile ngumi inayoitwa "phantom" Mzee Mwanakijiji hakuiona ilipotokea, ngoja tusubiri akiamka, tumuombee aamke salama maana anatapatapa pale chini...
Baada ya dakika kumi za kulala chini bila fahamu tunaona Mzee Mwanakijiji kaamka pale kwa kusaidiwa na Ritz huku bado miguu haikanyagi chini vizuri, sumbwi limemlewesha, tunamsikia anaongea aahh anasema Khalifa Hamis, jamani kachanganyikiwa bado, anasema hovyo. Tunaomba watu wa kona yake wakina Mag3 na Nguruvi3 na promota wa pambano hili na mshabiki mkuu Yericko Nyerere wamsaidie mwenzao, kajeruhiwa vibaya sana.
Pigo lililonyooka, pigo takatifu.

Mzee Mwanakijiji,
Hao wote mie ninawajua vizuri tena kwa kuongea nao wewe ndiyo hujui tofauti ya Mohamed Said na Khalifa Khamis, Mohamed Saidi siyo mtu wa malumbano.
Halafu usidhani mie mtoto marais wote wanne wa Tanzania nimewaona kwenye utawala wao.
Wewe wa kunifahamisha kuwa Khalifa Khamis na Mohamed wanajuana, lazima wajuane wanakutana miskiti ya Mtoro, Manyema, Kipata, na mingineyo.
Mambo ya kike haya nayo tuiite HISTORIA! Mzee Mohamed, hukupaswa kuyaandika haya.
Mambo ya kike haya nayo tuiite HISTORIA! Mzee Mohamed, hukupaswa kuyaandika haya.
Basi kama unaamini haya masimulizi na unasema una umri huu wote na huwezi kuuliza maswali sahihi basi kuna tatizo kubwa zaidi.
By zomba
Tunamuona Mzee Mwanakijiji, yuko chini, chali, si yeye tu jamani, hata sisi hii ngumi iliyompeleka chini hatukuona ilipotokea.
1........2.........3.......... 4..........5.........6........ ...7.........8.........9...... ...."Knocked out, totally flat out". Hili sumbwi lilikuwa fupi lakini ni zito sana, tunaona anagaragara chini pale, miguu kila mmoja umeelekea unakojuwa wenyewe, refa anakwenda kumtoa kile kiziba meno asije akakosa pumzi, tunamuona promota wa pambano hili Yericko Nyerere ameinamisha kichwa chini akiwa na huzuni.
Mohamed Said kama kawaida amenyanyua mikono yote miwili juu akiashiria ushindi hata kabla refa hajatangaza. Hata jasho halimtoki, hii jamani ni ile ngumi inayoitwa "phantom" Mzee Mwanakijiji hakuiona ilipotokea, ngoja tusubiri akiamka, tumuombee aamke salama maana anatapatapa pale chini...
Baada ya dakika kumi za kulala chini bila fahamu tunaona Mzee Mwanakijiji kaamka pale kwa kusaidiwa na Ritz huku bado miguu haikanyagi chini vizuri, sumbwi limemlewesha, tunamsikia anaongea aahh anasema Khalifa Hamis, jamani kachanganyikiwa bado, anasema hovyo. Tunaomba watu wa kona yake wakina Mag3 na Nguruvi3 na promota wa pambano hili na mshabiki mkuu Yericko Nyerere wamsaidie mwenzao, kajeruhiwa vibaya sana.
Pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Mambo ya kike haya nayo tuiite HISTORIA! Mzee Mohamed, hukupaswa kuyaandika haya.
M,nyerere was abled leader hana mfano wake naamini lilikuwa chaguo halisi la mungu kwa watanzania sipati picha hao watu wasiofaa wangetwaa madaraka tungekuwa wapi leo tunatembea vifua mbele kwa misingi madhubuti aliyotuachia baba wa taifa mungu amrehemu mzee wetu
M,
Hakuna anaeweza kupinga uwezo wa Nyerere wakati
wa kudai uhuru.
Lakini uzi huu hatubishani kwa hilo.
Hapa kuna swali la Nyerere kuasisi TANU na mchango
wake na Kanisa katika kuupiga vita Uislam baada ya
uhuru kupatikana.
Mwisho ni nafasi ya Waislam katika kuutokomeza ukoloni.
Akili yako na uwezo wako wa kufikiri ni zaidi ya simulizi hizi za akina mama. Tuwekee simulizi zote kama unaweza! Tuwekee Abdu alivyowazaa akina Meya wetu,..., Abdu alikuwa anastarehe wapi na nani,...WC,
Mambo ya "kike" hao ni mama na bibi zangu.
Ahsante sana.
Nimechota mengi kutoka kwao.
Kama si hawa akina mama zangu wewe
ungekisikia wapi kisa hiki cha sumu?
Wapi ungesikia kuhusu kabati la fedha la
Abdu Sykes lililokuwa wazi kwa TANU?
Mambo ya "kike."
Ahsante sana.
Basi kama unaamini haya masimulizi na unasema una umri huu wote na huwezi kuuliza maswali sahihi basi kuna tatizo kubwa zaidi.
Akili yako na uwezo wako wa kufikiri ni zaidi ya simulizi hizi za akina mama. Tuwekee simulizi zote kama unaweza! Tuwekee Abdu alivyowazaa akina Meya wetu,..., Abdu alikuwa anastarehe wapi na nani,...

Nyerere hakuwa miongoni mwa waasisi wa TANU tena Rais wao?
Hadi leo hii hujaweka neno hata moja baya la Nyerere ama dhidi ya Uislamu au dhidi ya Waislamu. Huna hotuba, hona andiiko wala huna rekodi yeyote ambapo unaweza kusema "Nyerere alisema hivi kuhusu kuukandamiza Uislamu au kuwanyima Waislamu haki zao".
Uislam upi alooupiga vita Mwalimu? Huu wa akina Rashid Kawawa, Salim Ahmed Salim, Abdulrahman Moahamed Babu, Amani Abeid Karume, Harith Bakari Mwapachu, Jakaya Mrisho Kikwete, Mohamed Gharib Bilal, ..., au huu wa akina Mohamed Said, zomba, Ritz, Ponda Issa,...M,