Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #21
Si kweli! vitendo vyako vipo wazi.
...unatafuta pa kutokea! kwanza ulimdandia mwanasiasa kijana wa chama tawala ili akupe mdahalo, akakushtikia na kukutosa, sasa unaona njia ya kutokea ni kupitia Mohamed Said.
Kama Mohamed Said atakujibu basi itakuwa amekufanyia hisani sana, vizuri kawalete Maaskofu waje hapa na majina yao kamili (kama Mohamed Said anavyojiamini na jina lake kamili) ili waingie mdahalo na Mohamed Said, si wewe Yericko.
Na mimi nimekuhukumu kutokana na matendo yako.Ili uweze kupembuka na kufaidi mang'amuzi ya nera, ni vema ukaangalia kkilichoandikwa kuliko kuniangalia mimi!
Mimi sijamjadili Mohamed Said binafsi, bali nimeyazungumzia maandiko yake, vivyohivyo kaa katika dhana hii!
Nimezungumza kama mtanzania yeyote yule anaekereka na uchochezi wa Mohamed Said,
Sijabeba undugu damu katika hili.
Si kweli! vitendo vyako vipo wazi.
...unatafuta pa kutokea! kwanza ulimdandia mwanasiasa kijana wa chama tawala ili akupe mdahalo, akakushtikia na kukutosa, sasa unaona njia ya kutokea ni kupitia Mohamed Said.
Kama Mohamed Said atakujibu basi itakuwa amekufanyia hisani sana, vizuri kawalete Maaskofu waje hapa na majina yao kamili (kama Mohamed Said anavyojiamini na jina lake kamili) ili waingie mdahalo na Mohamed Said, si wewe Yericko.
Ndugu yangu Yericko Nyerere achana na porojo za ustadh mohamedi Said na wapambe wake.
Unapoteza muda wako adhimu bure tu. Mimi nilishiri mjadala wa makala zake za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika mwaka 2011 najua sanaanavyoeneza sumu ya udini kwa watanzania.
Unapomuuliza maswali ya msingi ili kunyoosha mjadala lazima akimbie ama adivert mjadala kwa kuleta nukuu za vitabu ambazo hazijibu hoja/swali.
Na muhimu zaidi zingatia kwamba amefuzu katika kuwasingizia na kuwasemea marehemu ukimtaka apate ushahidi wa uchochezi wake kwa watu walio hai hakubali kamwe kwakuwa anajua watamuumbua.
haya ni mawazo yako lakini ukweli utabaki palepale

Umeelewa Mada hii na umeshasoma maandiko ya Mohamed Saidi?
Kama kina nani?Ni kweli kabisa mkuu, aina za ushiriki wa mijadala ya wazi kwa Mohamed Said hasa kwa anaoona wanaijua historia ya nchi hii huwa anaikwepa sana!
Nimezungumza kama mtanzania yeyote yule anaekereka na uchochezi wa Mohamed Said,
Sijabeba undugu damu katika hili.
Ili uweze kupembuka na kufaidi mang'amuzi ya nera, ni vema ukaangalia kkilichoandikwa kuliko kuniangalia mimi!
Mimi sijamjadili Mohamed Said binafsi, bali nimeyazungumzia maandiko yake, vivyohivyo kaa katika dhana hii!
Kuna watu walisema hii nchi haitatawalika hao sio wachochezi ila watu wakimzungumzia mwenyeheri povu linawatoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kwamba mohaded ni mhaini na mchochzi! hapo sawa tuko pamoja