Is it a coincidence kwamba hoja za
Mohamed Said zinashabihiana na hoja za akina Malaria Sugu and the so called redio Imaan?
What is funny though, kuna vichekesho vingi sana ktk hoja zao. Ntatoa mfano, chukulia hili la waislamu kudhulumiwa kielimu, anayeonekana mbaya ni Dr. Ndalichako (some say she is a Muslim herself, how funny) sasa kichekesho hapa mbaya ni Ndalichako ila waziri na Rais safi na watenda haki kwa wasilamu! (kumbuka hawa ni mabosi wa Ndalichako!) mtu mwene akili atajua tu hapa where is this heading to.
Kwene ule uzi mwengine
Mohamed Said alidai eti Nyerere alisoma kitabu chake, sasa kumuuliza what was his response kwa tuhuma nzito alizombalimbikizia? , akabaki kugwayagwaya na kutumia mbinu za kukwepa hoja. What else is new?
Lakini the irony here is, Sultan Mungungu wa Bagamoyo, would have never be in the transparent, sorry white house kama mzee mchonga angekua hai. This is a fact, anaebisha amezaliwa jana. Sasa cha kujiuliza ni kwamba hizi harakati za 'kuandika upya historia' na tuhuma nzito za mifumo islamu (wazee wa lawama) na kristu( wanaolaumiwa) ndio imeshika kasi, basi hata huyu Sultan Mangungu anakaa kimya na kusema eti siku za karibuni udini umetawala mioyo ya watz. Cha ajabui yeye hakanushi chochote au kukubali chochote, ila anaonekana hana kosa ktk vuguvugu lote hili! how funny! mi nadhani source ya hili vuguvugu na matokeo ya hili vuguvugu yanakua monitored na Sultan Mangungu, na sababu zi wazi. Sultan Mangungu is incompetent looking for excuses and cheap hide and seek.../