Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Bi. Zubeda hilo Daladala unalolisema mimi sii abiria bali mwenye hisa..hivyo napouliza linakwenda wapi ni kwa sababu linaenda njia ambayo hatukutulipangia liende...Wewe ndiye abiria unayetaka ufike Tabata haraka bila kujali athari za upande wa pili ambao ni kinyume cha sheria na utaratibu tulopewa kibali cha usafiri...Hivyo swala langu hapa sio Tabata ama Kimara bali njia ya usafiri wenyewe..
 

Jasusi,

Hakika ulichosema ni kweli wala mimi siwezi kujifanya ati hilo
silijui.

Lakini kweli unaweza ukaandika historia ya TANU au historia
yake Nyerere mwenyewe bila ya kumtaja Abdu Sykes?

Au historia ya uhuru wa Tanganyika ukamtoa nje Abdu?

Na hapa nimeamua kutaja mtu mmoja tu katika wengi.
 
Sawa, sasa wewe nambie kiongozi yeyote duniani ambaye yeye ndiye aliyeongoza wakati wa harakati za Uhuru hatajwi yeye zaidi japokuwa kuna watu wengine waloshiriki ktk harakati hizo? iwe Abraham Lincon, Castro, Stalin, Nkurumah, Kenyatta au Mao Tse Tung....Mkuu wangu ndivyo historia huandikwa konda na Tingo hawajulishwi kama madereva japo wote ni wamoja..
 

Mkandara,

Hayo mengine sitayasemea.

Niko na hili la Zanzibar.
Waliopindua serikali si Umma Party.

Lilitoka jeshi kutoka Kipumbwi la Wamakonde wakata mkonge likaingia
Zanzibar kuvamia.

Fungua uzi mpya Insha Allah tuzungumze ya Zanzibar na mapinduzi na
propaganda dhidi ya Waarabu.

Uko tayari?
 
Mkandara,

Tupe maoni yako kuhusu mfumo wa elimu na afya Tanzania kuna haina yeyote ya ubaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Katika akili zako (Elimu) mwenyewe unafikiri hao Wamakonde wakata mkonge waliweza vipi kujipanga nyuma ya Okello mpasua mawe ya kokoto huko Pemba wakawa na azma moja siku moja? Jiulize....
 

Mkandara,

Tatizo lenu huwa hamasomi vitu mnavyoandika ila juu juu tu.

Tuanze na Lincoln.
Hebu pitia American Civil War.

Fidel Castro hebu soma toka wanaanza safari na Granma hadi
Sierra Maestra.

Stalin soma ''Kruschev Remembers.''
Nkrumah soma ''Nkrumah of Ghana.''

Kenyatta kamsome Bildad Kagia ''Roots of Freedom.''
Mao hebu pitia historia ya ''The Long March.''

Ukimaliza kasome ''Historia ya TANU'' cha Kivukoni College.
Sasa ukishapita kote huko njoo hapa jamvini tujadili.

Hapo utaweza kuweka hiyo mifano yako ya konda na Tingo
uone kama inaenea.
 
Katika akili zako (Elimu) mwenyewe unafikiri hao Wamakonde wakata mkonge waliweza vipi kujipanga nyuma ya Okello mpasua mawe ya kokoto huko Pemba wakawa na azma moja siku moja? Jiulize....

Mkandara,

Fungua uzi mpya.
Insha Allah utayapata yote hayo.

Usiandikie mkono wakati lap top zipo.
 
Mfumo alouanzisha Mwinyi dhidi ya ule wa Nyerere ndio una ubaguzi...

Unataka kutuambia hakuna tatizo lolote katika masuala ya afya na elimu Tanzania na kama yapo kayaleta Mwinyi.
 
Mkandara,

Fungua uzi mpya.
Insha Allah utayapata yote hayo.

Usiandikie mkono wakati lap top zipo.
Nimeandika sana juu ya hili hapa JF, hivyo sitozungumzia tena harakati za Mapinduzi ya Zanzibar maana najua kiini chake na sii historia iloandikwa na upande wowote kujikweza. Hao Wamakonde kati yao nani aloingia madarakani?

Nachozungumzia hapa ni hii hulka ya kuwagawa watu badala ya kuwaunganisha sijui nani kauleta Uhuru. Waislaam na Wakristu sote tulikuwa bus moja, ukianza kusema Wakristu walikaa nyuma ya bus tayari unaanzisha hoja yenye mgogoro...
 
Unataka kutuambia hakuna tatizo lolote katika masuala ya afya na elimu Tanzania na kama yapo kayaleta Mwinyi.
Swadakta!.. Mwinyi ndiye alouleta mfumo wa kikoloni mwaka 1992 na hivi sasa hizi hadithi za Mohammed said zinapamba moto kwa sababu tunaziona tofauti baina yetu...
 

Mkandara,

Kuanzia chapter 5 ukitoa sehemu chache kitabu changu Nyerere
hakupungua.

Kipitie tena kitabu kama unacho.
Nimekuwekea hapo chini hizo chapters:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Table of Contents[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 1. Dedication [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 2. Acknowledgements [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 3. Table of Contents [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 4. Introduction [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1] [/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Part One[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Abdulwahid Sykes 1924-1968[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Old Town of Dar es Salaam and its Elites [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · World War One 1914-1918 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Chapter 2.The Second World War and Tanganyika's Political Foundation, 1938-1945[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Burma Infantry, 1942 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Dar es Salaam Port, 1947 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Erika Fiah [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Dockworkers' Union, 1948 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanganyika African Association, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA Political Subcommittee, 1951 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika as a Mandate Territory [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Meru Land Evictions, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Story of Julius Nyerere, 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Ally Kleist Sykes [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Part Two[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Mass Mobilisation and Independence 1954-1961[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 7. Mass Mobilisation 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Elders' Council and Nyerere's Visit to the United Nations, New York, 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Idd Faiz Mafongo [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Propagandists-The Bantu Group,1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Incorporation of Swahili Women's Societies into the Struggle, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Football As a Political Weapon [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Central Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Southern Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Western Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanga Province, 1956 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TANU in Mombasa, Kenya, 1957 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanga Strategy, 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Debate for Tripartite Voting [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Independence, 1961 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Part Three[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Conspiracy Against Islam 1961-1970[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Islam: The Ideology of Colonial Resistance [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The First Muslim Congress, 1962 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Resistance to Change [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Second Muslim Congress, 1963 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Proposal for an Islamic University, 1964 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Politics of Islam, Church, State and the African Christian [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis' [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis' [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Islamic National Conference, 1968 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Omissions Analysed [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Betrayal of Ideals [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Conspiracy Theory [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Epilogue [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Bibliography [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2] [/h] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Mkandara,

Fungua uzi mpya.
Zomba huita hii ''ofa.''
 
Katika akili zako (Elimu) mwenyewe unafikiri hao Wamakonde wakata mkonge waliweza vipi kujipanga nyuma ya Okello mpasua mawe ya kokoto huko Pemba wakawa na azma moja siku moja? Jiulize....


Mkandara,

Ni kweli wote Wakirsto na Waislam walikuwa bus mmoja katka kuleta uhuru bahati mbaya au sujui makusudi kuna kundi limeshushwa kwenye bus. Alichofanya Mohamed Said kulirudisha kwenye bus.
 
Sijasema kitabu chako kimepungua kumtaja Nyerer bali unapomtambulisha Nyerere kama Mkristu na Abdul Sykes kama Muislaam ndipo napoyaona makosa.. Mbona hukumtambulisha Nyerere kama Mzanaki na Abdul Sykes kama Mzulu? na kama leo hii miye nikianza kuandika kitabu juu ya mchango wa wazulu ktk Uhuru wa Tanganyika na kuwasifia askari wote wa Kizulu na Kishona kutoka Malawi kama ndio waasisi wa harakati hizo.. Je, hutashangaa na kujiuliza nini azma yangu?
 
Asiye Mswahili ataona hivyo, mimi ni sifa kubwa kwangu kuwa Mswahili. Mie nnavyojuwa ukiitwa "wakuja" ndio kuna mushkel kidogo.

Mswahili muungwana sana.
Anaingia msalani na kopo la maji kujinadhifisha.
 
Asiye Mswahili ataona hivyo, mimi ni sifa kubwa kwangu kuwa Mswahili. Mie nnavyojuwa ukiitwa "wakuja" ndio kuna mushkel kidogo.
Tatizo tunalopingana humu ni pale"WAKUJA" kuingia mjini,na kumuacha "mswahili" palepale gerezani aki mark time-wakati mwenzio ana march on-hili ndio tatizo mnalotaka ku wipe off na single blow,wakati mshaambiwa solution ni skuli
 

Mkandara,

Nieleze kwa lugha nyepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…