Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Maadili niliyofunzwa hayaniruhusu kukujibu mpaka ufute ulichoandika hapo juu kuhusu hali inayowapata mama zako!
na utuombe radhi! si heshima wala adabu kuropoka ropoka mambo yanayohusu ndani ya miili ya kina Mama Zako!
nadhani umenielewa!
Haya unaona ndio maana nimekwambia umeingia choo cha kiume yaani huu mnakasha sii wako wewe...

Swala la damu umelileta wewe kutokana na hoja yangu. Nilichouliza ni vipi mmeshindwa kuuondoa mfumo wa Nyerere nawe ukaleta maswala ya damu na ndipo nikajiuliza kwani damu chafu haiwezi kuondolewa? ina maana wewe umefungua hoja na kwenda ktk swala la uzazi, nikidhani una maana mbegu alizopandikiza Nyerere haziwezi kutoka pasipo kusafisha damu chafu ilokuwepo...Labda nifahamishe wewe huo mfumo kristu wa Nyerere na damu inavyofanya kazi vinahusianaje? karibu tena JF...
 

We vipi! mfumo wa damu unavyofanya kazi mwilini ni sawa na Mfumo kristo, sasa wewe damu ya Mwezini ambayo Mama ako na Dada zako wanazipata kwanini unataka kuunganisha na Mfumo kristo?
 
Huu ndio uongozi wa Kikwete:

From having being the continent’s ‘darling’ of integrity under Nyerere’s leadership, especially in the 1960s and 1970s, Tanzania is slowly evolving into becoming a criminalized state. Her legal system is in shambles and court rulings are for the most eminent bidders; the country has become heaven for money laundering and a drugs fortress for international drug lords; and has also become a major transit centre for drugs, whereby allegedly, some senior officials from the ruling party and the government are largely involved.

 
Yeyote aliyeshiriki harakati za kudai uhuru wa nchi hii na ambae leo halalamiki kwakusema anadhulmiwa kwasababu ya dini yake huyo ndie mzee wangu.

Kwa maana nyingine huna lolote, unahamu tu wangekuwemo. Mpaka kujipachika jina lisilokuhusu.
 

Hayo si ndio maneno yenu. Sasa soma ripoti ya uhakika na iliyofanyiwa utafiti:

Tanzania is projected to emerge as the fastest growing country in the EAC regional grouping and will match its 2011′s growth rate this year, making it one of East Africa's fastest growing economies. The country is expected to experience accelerated growth in 2013 as investment in energy and consumer spending picks up, said a Reuter's poll on Monday July 30, 2012. Tanzania which is viewed as East Africa's second biggest economy after Kenya will according to the poll expand 6.4 percent this year and 6.9 percent in 2013 as foreign investment in gas industries rises and power production improves, according to the median of 10 analysts.

source: Tanzania outsmarts its peers – CEO Magazine

Funguwa nyuzi nikupe darsa.
 

Mkandara,
Uislam ni mfumo wa maisha pamoja na siasa. Sisi ni umma bora tumeambiwa tukumbushae mema na kukataza maovu hii ya kila mtu atabeba msalaba wake sijui umeipata wapi.
 
Mzee Mohammed Said amekuwa mwepesi zaidi.
Kumbe ni rahisi zaidi kuamsha hisia kali ndani ya jamii yako mwenyewe lakini ngumu kuzituliza.

Halafu yeye na wafuasi wake wanafikiri itakuwa rahisi sana kuishi mustarehe mambo yatakapoharibika.
Ndio maana nakubaliana na mchambuzi mmoja juu ya mafundisho ya Maliki (Mpakistani) juu ya kuchochea kuanzia chini,
kwa sababu wanajua hawa ndio rahisi kuwadanganya na kuwatia hasira.
 
Hizi uwa tunaziita nondo za uso hadi ubongo unachanganyikiwa. Umemueleza na kumuuliza maswali magumu sana'lakini yeye atakupa majibu mepesi yenye vioja na mipasho lukuki. Big up Mkandara....sisi tunaendelea kuwasomeni.
 
Wafia dini wa gerezani wameshikwa pabaya kwelikweli...sasa wanaamishia viroja vyao kwa Dr Slaa na CDM.

Hakika watanzania wanawasomeni hapa na wanajua nani ni great thinker na nani ni poyoyo. Haya endeleeni sisi tunawasomeni.
 

Ndiyo, growth yetu imo kwenye vitabu ambako Bulyankulu wanapeleka nje madini ya dola milioni arobaini kila wiki lakini
hakuna senti inayoingia kwenye hazina yetu, labda kwenye mifuko ya akina Kikwete. Na pia umeangalia takwim za utalii?
Tumeruhusu makampuni ya kigeni nayo "yawekeze" kwenye utalii. Hela hiyo inaandikwa kwenye mabuku lakini sehemu kubwa inaishia nje ya nchi. Kwenye mabuku tunafanya vizuri lakini umemsikia waziri wa afya akisema hatuna madawa? Umeangalia shule zetu zina vitabu vingapi na waalimu? Umeangalia hali wanayokaa wanafunzi wetu? Wawekezaji wanatusifia kwa sababu wamekuja kuchota. Siku tukiamka tumebaki na mashimo na makorongo ya madini na kuendelea kutembeza bakuli la omba omba. Ndiyo Kikwete wenu huyo ndugu yangu.
 
Jamani nipo hapa mitaa ya Mafia na Lumumba. Jirani kabisa na msikiti wa Manyema. Habari za chini kwa chini ambazo nazisikia hapa ni kuwa Mohamedi Saidi anatafutwa na usalama au teyari ameshashikwa kutokana na yaliyotokea Zanzibar.
Inasemekana kuna watu walitokea Mombasa,wakafikia mitaa ya gerezani,na baadae wakapelekwa Zanzibar,na jana mchana
wale watu wakarudi Dar mitaa ya gerezani na sasa hawajulikani walikotokomea. So mkiona Mzee wetu Mohamedi Saidi aonekani tena kwenye masimulizi haya ya mababu zake basi mjue habari ndiyo hiyo.

Note: hii ni hearsay chini yakapeti au mzee MS uwa anapenda kusema Inasemekana.
 

BD,

Mdomo ndiyo starehe yake.
Huwa haumkatai bwana wake.
 
BD,

Mdomo ndiyo starehe yake.
Huwa haumkatai bwana wake.
Ha ha haaaaaaa kumbe upo? Unakumbuka nilisema hapa jamvini kuwa kunaconection fulani baina yako na viongozi wa Uamusho na serikali ya Irani? Na wewe mwenyewe kwa kinywa chako ukakiri hapa bila kificho. Sasa je hizi habari aambazo nimezipata sasa hivi za kuwa unatafutwa na usalama nazo ni za kweli au ni uzushi tu? Je ni kweli kuna wageni umewapokea
toka Mombasa?
 

Huna jipya unataka kuuharibu tu huu mjadala, nilikupa ofa ya kufunguwa nyuzi nije nikupe darsa naona umeghafilika.

Naona umesahau kuwa mzee wa kanisa Mkapa ndiye aliingia mikataba na Barick na Anglo gold. Ardhi ya Bulyanhulu ilikuwa ya kanisa katoliki ya kilimo, vipi? Unayo hiyo habari? Sasa jiulize, waliiachia hivi hivi au wana vijihisa humo au walilipwa kwa mkupuo?
 

Wewe ni futuhi wetu humu JF wala hautupi shida kila soko lolote lazima liwe na wehu haswa msimu wa maembe.
 

BD,

Ningeweza kukupuuza lakini nachelea unaweza ukadhani nimekuogopa.
Kwa Muislam uoga si sifa yake.

Na mimi hii si sifa yangu.

Sasa ikiwa unataka haya yangu na Iran na uhusiano wangu na Waislam
duniani pamoja na Uamsho na wengine fungua uzi mpya tujadili.

Hapa si mahali pake.

Uko tayari?
Nasubiri.
 
Mikataba ya Barrick aliisaini Kikwete akiwa waziri wa madini. Hiyo kaisema mwenyewe na kujipiga kifua katika hotuba aliyoitoa Afrika kusini February 2007 ( Indaba 2007) Pia usisahau urafiki wake na mkuu wa Barrick Sinclaire, na Joseph Kahama, ambaye naye anamiliki migodi ya dhahabu na ana cheo kikubwa tu kwenye kampuni hiyo. Ardhi ya Bulyankulu ilikuwa ya wachimbaji wadogo wadogo ambao walifukuzwa na wengina kufukiwa wazima wazima, kwa mujibu wa LEAT. Lakini hii ya kwako kumtetea Kikwete sishangai kwani nyote ni Islamists na mnaona ameanza kutekeleza matakwa yetu. Tuna macho.
 

Kuna masanduku yamekamatwa mpakani mwa Tanzania na Zambia inasemekana yamesheheni makaratasi ya kura hewa! uchunguzi bado unaendelea!

Yaani ni uzushi bin wazushi!
 
Kuna masanduku yamekamatwa mpakani mwa Tanzania na Zambia inasemekana yamesheheni makaratasi ya kura hewa! uchunguzi bado unaendelea!

Yaani ni uzushi bin wazushi!
Hii habari haikuwa uzushi. Kuna vijana wanne wa usalama wa taifa waliingia na baadhi ya masanduku hayo Musoma lakini wakashtukizwa nayo. Polisi waliitwa wakaondoka nao lakini mpaka leo sijasikia kesi yoyote. Unadhani mwizi atajichunguza mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…