Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mohamed unabusara sana ningependa hizi busara zako utumie kuwaweka watu wa madhehebu yote pamoja bila mifarakano,tunaihitaji sana amani ya Tanzania yetu

Raphert,

Penye haki mifarakano itajiondoa yenyewe.

Mimi na wewe tupigane kuondoa dhulma katika
jamii yetu.

Angalia fitna hii:

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2] Ibid. p 37.
 
Hivi wewe na hao wenzako hamuwezi kukaa kimya mkaacha huu mjadala?mnatia aibu

Hakuna mtu aliyezuia mjadala una weweseka bure usipokuw makini unaweza kupata ugonjwa wa moyo inauma lakini vumilia tu.
 
Kwenye uzi huu pia ingekuwa vizuri pakazungumziwa matokeo ya kidato cha nne,
hasa habari ya mgawanyo wa kufaulu/kefeli na hatima ya dhuluma kama ipo tena ama imekwisha.
nguruvi, Mohammed Said, Ritz.......Mtuambie hali ikoje kule Kipatimo, Chumbageni, Mkuranga, Kisarawe n.k.
Kuna dhulma imepita au tatizo nje ya hilo?
 
Last edited by a moderator:
Multiple ID's at work...ha haa haaa haaaa! Njoo na ID yako ya kawaida unaangaika bure masikini mpaka unatia huruma.

Leo umeandika kingereza bila kukosea?we ni mweupe sana tu hauna unachojua

Sina ID nyingine zaidi ya hii.Pole
 
Hata wewe ni mpuuzi achilia mbali maswali ya kipuuzi unayouliza hapa na kudakia maswali ya Mzee Mohamed alaf huna unachojua

Wacha mkwara kila mtu ana haki ya kuchangia wewe unaujua upuuzi?naogopa kupigwa ban ningekupa jibu ambalo hutakaa usahau
 
Leo umeandika kingereza bila kukosea?we ni mweupe sana tu hauna unachojua

Sina ID nyingine zaidi ya hii.Pole

Kwani wapi mie nimekuambia najua chochote nipo humu kujifunza kutoka kwenu nyie wajuaji.
 

Mkuu wangu hayo maneno mbona mnashindwa kuyathibitisha?,

Ni vipi kanisa liliuwa hiyo jumuiya?
 
Wacha mkwara kila mtu ana haki ya kuchangia wewe unaujua upuuzi?naogopa kupigwa ban ningekupa jibu ambalo hutakaa usahau

Hauna jipya,Pole kama imekuuma unaweza kunitukana hata PM kama unahamu sana ya kutukana kukwepa hiyo BAN
 
Tayari tunafanyia kazi, tunaomba subra. Tutaangalia kila kona nakuomba utustahmili ndugu yangu.
 
Mkuu wangu hayo maneno mbona mnashindwa kuyathibitisha?,

Ni vipi kanisa liliuwa hiyo jumuiya?

R,

Mimi sina haja ya kukupa jibu au uthibitisho.
Serikali na Kanisa wanajua tunachokisema Waislam.

Wewe umetoa rai na mimi nimekueleza tatizo linalokabili
nchi yetu.

Hili la ushahidi si lako.

Kama unataka kuamini kuwa hakuna tatizo mimi siwezi
kukukataza.
 
Kwanza kuhusu majina yako napenda nikuhakikishie mimi ni mpenzi wa majina ya asili.
Haya majina ''imported'' ndiyo yanapelekea tujenge chuki hata kufikia mahali pa ''kumwasha'' mtu risasi bila sababu kama asemavyo Nduguyo swahib Ilunga.

Kwamba mimi nikiitwa John au mwingine Hussein basi ndicho chanzo cha chuki hata kama hatujawahi kukutana.
Kwamba mimi bin Abdallah ni bora sana kuliko bin Wallace kwasababu tu ya jina.

Kwamba nikifanya mtihani kwa kutumia jina la Abdallah inatosha mfumokristo kunihukumu na nikitumia John nina msamaha.
Sijui akina Gugurumo Mwakipemba wao wanatetewa na nini yarabi! That's why I hate imported names.

Imported names tend to divide us and often make us think like zombie! they inteject the sense of inferiority or superioty complex for nothing.

Laini pia mzee Said, kuna tatizo gani nikiandika Mwekapopo, Muyukwa au Semtungo? Si nawakumbuka wazee wako binafsi kama unavyokumbuka wa jirani zako? Anyway tuendelee.

Kwahiyo Cecil Matola was nothing, absolutely nothing kwa mujibu wako.
Mag3 yupo naye atutuambia upande wa pili wa shilingi.
 

Hapana mkuu wangu nataka sana kuamini kwamba kuna tatizo ila napata wakati mgumu bila vielelezo vya uhakika

Ni kweli hili la ushahidi sio langu kwasababu hata ukinipa sitakuwa na la kufanya mi sio Serikali ila itasaidia tukajua tatizo hili linalowasibu kwa uthibitisho,hii itasaidia sisi kuwapa-support kwenye madai yenu hata kwa kuishinikiza tu Serikali
 
Heee....!!

kweli kutapa tapa huku,umehamia nigeria tena??
 
MM,

Usipende kusema jambo bila kutafakari.

Kitabu changu kuna sehemu ya pili nimeeleza TANU
katika majimbo na nimefika hadi TANU Mombasa, Kenya.

Namfananisha na kasuku!!
Bingwa wa kuongea lakini maneno kutoka vinywa vya wengine,
 

R,

Huko unaturudisha nyuma.
Serikali na Kanisa havishinikizwi kirahisi hivyo.

Angalia hapa tulipo na taasisi zote hizo zinatupuuza.

Soma Mwembechai Killings utaielewa serikali imehodhiwa
na nani.
 

N,

Wewe mchokozi sana lakini unanifurahisha.
Wewe ni panya.

Unauma na kupuliza.

Jina langu ni Mohamed Said Salum Abdallah Samitungo Mwekapopo Muyukwa.
Ushaona spelling hizo...

Hao ndiyo Wamanyema wenyewe.
Huyu Samitungo alipigana na chui na akamuua chui kwa sime.

Lakini na yeye alipooza mkono baadhi moja.

Matola si kama alikuwa ''nothing'' lakini hakuwa na uwezo kwa kumshinda Kleist.
Kleist alikuwa ni mtu khasa kwa wakati wake.

Utacheka...
Kati ya Waafrika wa kwaza kwenda kazini pale Railway na baskeli.

Mimi sina ugomvi na ''upande wa pili wa shilingi'' nitafurahi kusoma kile nisichokifahamu.
 

[SIZE=+3]Count down to the killings[/SIZE] [SIZE=+0]It was in the afternoon of 13 February, 1998 that policemen armed with live ammunition were ordered to open fire at the people who were outside the Mwembechai mosque. From the video tape of the shooting at least four people were killed and many others maimed. It is also quite clear from the tape that the aim was to kill the Muslims. In the tape the police commanders are seen and heard ordering their armed policemen to take careful aim of their targets. In two cases the first bullets wounded without killing the intended victims, and the police commander in both cases ordered his men to shoot again. And they did, with unmistakable zest and ruthlessness. The tape also shows the police dragging the bodies of the dead and throwing them into the lorries. There is one brief scene in this tape which has always moved me to tears. The commander orders a young policeman to shoot. He shoots in the air. The commander orders him to aim his gun at the crowd. The young policeman is clearly torn between obeying his commander and obeying his conscience. The commander repeats the order. The policeman makes a brave attempt to obey his commander. He raises his gun, he looks at the crowd, but his hands become weaker and weaker, and the gun slowly falls to the ground. Was he a Muslim? Or a Christian whose conscience revolted against the idea of killing innocent human beings? I guess his name was not in the list of those policemen who were later to be praised and promoted for their fine job at Mwembechai. But why was the commander so particular that his policemen should shoot to kill? Why was he so sure of his footing? I do not know, and we may not know the truth without an independent public inquiry. What is known is the chronology of events before and after the killings.[/SIZE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…