Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

ha haa haaa! mzee wa NECTA kaingia wewe jamaa una uchungu na NECTA kuzidi hata Dr Shukuru Kawambwa.
Nisaidie ndugu yangu...kwani hao makatibu wakuu wa NECTA huwa wanachaguliwa na nani ?
 
mtu anayeenda sokoni hana hata senti akitegemea fadhila ya matajiri wa mjini akina Sykes ila kwenye uchaguzi Nyerere kammwaga, hahahahahahahaahaha!
mbaya zaidi akiwa na miezi miwili tu ndani ya TAA, loh!

Z,

Ngoja nikuongeze nyingine.

Nafasi ile ya rais wa TAA Abdu alimuomba Chief Kidaha Makwaia
wa Shinyanga aichukue.

Hii ilikuwa 1950/51.

Chief Kidaha akakataa ndiyo Abdu akampa nafasi ile Nyerere 1952.

Kama Chief Kidaha angekubali ushauri wa Abdu uchaguzi ungekuwa
kati ya Abdu Sykes na Chief Kidaha Makwaia.

Historia hii hakuwapendeza wengi na ndiyo maana hadi leo inapigwa vita.

Lakini ukweli ndiyo huu.
 
mzee MS ilikuwa jambo la ajabu kweli kweli TAA iliyoanzishwa miaka karibia 20 iliyopita wakati huo wamkabidhi mtu mwenye miezi 2 tu tangu ajiunge na TAA.
 

Attachments


[h=1]Binti Kamba: Mwasisi wa TANU aliyepo kwenye nembo ya Uhuru na Umoja! [/h]Ni nembo ipi hiyo anapatikana Bibi huyu Muadhama?

 
mzee MS ilikuwa jambo la ajabu kweli kweli TAA iliyoanzishwa miaka karibia 20 iliyopita wakati huo wamkabidhi mtu mwenye miezi 2 tu tangu ajiunge na TAA.

haihitaji kupapasa macho kujua waliokuwa na TAA hawakuwa na malengo ya kuikomboa nchi, ndiyo maana alipoingia mwenye mawazo hayo, alifanya kazi nzuri mpaka wakamkubali na kumpa support. big up J.K.N
 
Hao makatibu wa necta wanachaguliwa na kadinali?
Kati ya rais na makatibu wa necta ni nani wa muhimu? Mbona tunaona marais wakatoliki wakiwalisisha marais waislam?
huyo kikwete mdini no.1 kashindwaje kubadilsha hao makatibu wa hiyo necta? Jalibuni basi kuchanganya na zenu si kila uambiwacho na hao wadini basi na ww unameza tu ka kinda la ndege.
 
Nisaidie ndugu yangu...kwani hao makatibu wakuu wa NECTA huwa wanachaguliwa na nani ?

Tafuta kitabu cha Jan P van Bergen kinaitwa Development and Religion in Tanzania.

Zamani kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop Dar es Salaam.

Kilipigwa marufuku kuingia Tanzania humu ndiyo utajua mengi kuhusu NECTA.

Hicho kitabu muhimu sana kimeleeza mengi kuhusu mfumo Kirstu serikalini.
 
Zomba,

DVD Blue Ray ntaileta hapo hapo.
Haina chenga.

Ila nahofu ya jambo moja huyu sahib
wangu Yericko kwanza faluda anaijua?

Maana jamani lazima tuchukue tahadhari
asijepindukwa na tumbo ikawa tabu...
Yericko Nyerere

Faluda unaijuwa?
 
Last edited by a moderator:
hapo red hilo ndo tatizo lenu kuu, mngeanza na shule mngekuwa na uwezo wa kufanya reasoning, sasa kwasababu mnaanza kinyume lazima uathirike kiakili hivyo kila fundisho linalotolewa hata na mlezi kwako unalichukua kama limetoka mbinguni.

[h=4](Al-Qur'an) "As a miracle of purity of style, of wisdom and of truth, it is the one miracle claimed by Mohammed, his standing miracle he called it, and a miracle indeed it is!" REV. BOSWORTH-SMITH
[/h]
 

Unaonesha huu mjadala umeuvamia bila kusoma posts za mwanzo, kwa faida yako nakurudisha page ya kwanza yenye majibu, jisomee kidogo upate faida:

 

Mohamed,
Hii ya kanisa katoliki kuwatisha waumini wake wasijiunge na TANU ni dhana isiyo na mashiko. Nimekuuliza swali, iweje kanisa ambalo halikutaka wafuasi wake wajiunge na TANU liwe kanisa la kwanza Tanganyika kumchangia Nyerere kwenda UNO? Naomba utoe uthibitisho nje ya kitabu chako kuhusu shutuma hizi. Kama huwezi naomba uzifutilie mbali. Ukubali unapokosea.
 
Mbona zinalimwa sana Musoma maeneo ya Mwitongo.

RITZ,
Umenikumbusha hotuba ya Jomo Kenyata Rais wa Kwanza Kenya ktk hotuba yake ya shukrani kwa watu wa Mambasa baada ya kula Visheti, Vitumbua na kalmati alichekesha watu kwa kuomba mbegu ya vitafunwa hivyo ili awapelekee watu wa bara wakapande mashambani!

Mohamed Said baada ya kutaja FALUDA mate yamenidondoka na kuamua kutafuta picha ya Faluda ktk Mtandao maarufu wa Faluda Katika Shepu Mbalimbali | Alhidaaya.com

na kuikuta picha ya FALUDA:

 

Jasusi,

Hii Kanisa kuwatisha waumini wake kujiunga na TANU ilikuwa 1954
chama kilipoanzishwa na hadi kufikia mkutano mkuu wa 1955 hali
ilikuwa haijageuka.

Kama kanisa lilikuja badilika hii itakuwa baada ya Nyerere kujrejea
UNO Machi 1955 na ukweli kudhihiri kuwa TANU ilikuwa ina nguvu.

Mimi sina tabu ya kurekebishwa pale nilipokosea.

Ikiwa wewe una ushahidi kuwa Kanisa liliunga mkono TANU toka
1954 sina ugomvi na hilo.

Na kama lilichangia safari ya UNO hii itakuwa ni ile safari ya pili ya
Nyerere mwaka 1956.

Safari ya kwanza yote iliratibiwa na Baraza la Wazee wa TANU chini
ya Mwenyekiti Sheikh Suleiman Takadir na mkusanyaji fedha alikuwa
Idd Faiz Mafongo ambae pia alikuwa mweka hazina wa Al Jamiatul
Islamiyya fi Tanganyika.

Lakini Salum Mpunga na Yusuf Chembera niliwafanya mahojiano
Lindi wakanieleza kuwa Kanisa Katoliki lilipinga TANU.

Hawa ni waasisi wa TANU Jimbo la Kusini.
 

nyie watu kwa kupenda kula tuuu!! siwawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…