Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
mzee MS ilikuwa jambo la ajabu kweli kweli TAA iliyoanzishwa miaka karibia 20 iliyopita wakati huo wamkabidhi mtu mwenye miezi 2 tu tangu ajiunge na TAA.
MM,
Abdu Sykes ndiye aliyeunda TANU.
Fuatilia kwanza historia ya baba yake kisha njoo yake
mwenyewe.
Si lazima uanzie Burma.
Anza na mchango wake katika kisa cha Dockworkers Union
akiwa kiongozi.
Kisha njoo katika TAA Political Subcommittee 1950.
Si kuwa Abdu Sykes alikuwa kiongozi mwana siasa...
Abdu alikuwa mmoja wa wafadhili wakubwa wa harakati
za kudai uhuru.
Sisi hatushughulishwi na nyie kuikataa historia hii.
Sisi huko tushapita.
Sisi hivi sasa hii ndiyo historia tunayoisomesha na ndiyo
historia tunayoitambua sasa mwaka wa 15.
Kwa taarifa yako Ibrahim Kaduma alikuwa muislamu mpaka utawala wa Ali Hassan Mwinyi. He converted to christianity for reasons best known to himself.wote hao ni wa dini moja! katika nchi ambayo idadi ya waumini wa dini mbili kuu haitofautiani sana tunaona vitu kama hivi halafu mnasema tusiseme kuwa kuna udini!. lazima tutasema hata mkikasirika. hii imezidi tena. mfano wewe ungekuwa ndio muislamu ungeridhika na hili? ungekaa kimya?usijibu kwa ushabiki.
Peke yake?
Mohamed,Ngongo,
Unatia kejeli.
Uchaguzi ule nimeueleza kwa kina humu ukumbini
na katika kitabu.
Nyerere mwenyewe hadi anaingia kaburini hili hakuligusa hata
kwa mbali.
Kama nisingeliandika hata nyie msingejua Nyerere kafikaje TANU.
Ikiwa wewe unaona kufanya mzaha katika hili unajisikia raha basi
mimi sitakuvurugia starehe yako.
Ritz,Tafuta kitabu cha Jan P van Bergen kinaitwa Development and Religion in Tanzania.
Zamani kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop Dar es Salaam.
Kilipigwa marufuku kuingia Tanzania humu ndiyo utajua mengi kuhusu NECTA.
Hicho kitabu muhimu sana kimeleeza mengi kuhusu mfumo Kirstu serikalini.
Mohamed,
Usijisifie kiasi hicho. You are not the only source of how Nyerere came to TANU. Baadhi yetu tulishasoma Nyerere alifikaje TANU hata kabla ya kitabu chako cha 1998.
Ritz,
Naona na wewe umeshakolewa na uwongo wa Mohamed. Kitabu cha van Bergen hakijawahi kupigwa marufuku Tanzania.
Hili nitalirudia mara kwa mara kwa sababu naona mnalitumia kuongezea hoja zenu. Kitabu kiko out of print. That is not the same na kupigwa marufuku. Capice? Kama wewe unacho basi tuwekee huku kurasa husika.
haihitaji kupapasa macho kujua waliokuwa na TAA hawakuwa na malengo ya kuikomboa nchi, ndiyo maana alipoingia mwenye mawazo hayo, alifanya kazi nzuri mpaka wakamkubali na kumpa support. big up J.K.N
Ritz,
Naona na wewe umeshakolewa na uwongo wa Mohamed. Kitabu cha van Bergen hakijawahi kupigwa marufuku Tanzania.
Hili nitalirudia mara kwa mara kwa sababu naona mnalitumia kuongezea hoja zenu. Kitabu kiko out of print. That is not the same na kupigwa marufuku. Capice? Kama wewe unacho basi tuwekee huku kurasa husika.
ajiKwanini haujiulizi Abdulwahid Sykes ni nani mpaka msomi Nyerere aelekezwe kwake na amtafute?
aji
KIPAAZA SAUTI- SI UNAJUA MUTU ZA DAR KELELE NYINGI-wala huitaji loudspeaker
Mohamed Said you are jumping from one extreme to another-mara wewe pekee ndio ulikuwa na GOLA wengine wakicheza peku,mara TABLET imeisha umeme,sasa umekuja na Blu-ray,haya yote ya nini??au ndio kipwani pwani unaturingisha?? remember u is bigger then thatZomba,
DVD Blue Ray ntaileta hapo hapo.
Haina chenga.
Ila nahofu ya jambo moja huyu sahib
wangu Yericko kwanza faluda anaijua?
Maana jamani lazima tuchukue tahadhari
asijepindukwa na tumbo ikawa tabu...
Jasusi,
Sisi hatuna shida nyie mnachoamini.
Sisi tunazungumza na wale wasiojua
hayo yaliyotendeka miaka iliyopita.
Ni juu yao wao kutumia akili zao na kuamua
nani muongo nani mkweli.
Mimi sina sababu ya kusema uongo.
Weka, Ritz, weka. Hakuna haja ya kuandikia mate kumbe kuna wino.Jasusi,
Takuwekea vipande vya hicho kitabu cha Bergen Jan Pvan sijui utasemaje kaelezea mengi mpaka unachombishia Mohamed Said.
Mohamed Said you are jumping from one extreme to another-mara wewe pekee ndio ulikuwa na GOLA wengine wakicheza peku,mara TABLET imeisha umeme,sasa umekuja na Blu-ray,haya yote ya nini??au ndio kipwani pwani unaturingisha?? remember u is bigger then that
Z,
Ngoja nikuongeze nyingine.
Nafasi ile ya rais wa TAA Abdu alimuomba Chief Kidaha Makwaia
wa Shinyanga aichukue.
Hii ilikuwa 1950/51.
Chief Kidaha akakataa ndiyo Abdu akampa nafasi ile Nyerere 1952.
Kama Chief Kidaha angekubali ushauri wa Abdu uchaguzi ungekuwa
kati ya Abdu Sykes na Chief Kidaha Makwaia.
Historia hii hakuwapendeza wengi na ndiyo maana hadi leo inapigwa vita.
Lakini ukweli ndiyo huu.
Binti Kamba: Mwasisi wa TANU aliyepo kwenye nembo ya Uhuru na Umoja!
Ni nembo ipi hiyo anapatikana Bibi huyu Muadhama?
Mohamed Said
Ilikuwaje Abdul akamwomba Kidaha Makwaia (another up country guy) ili washindanie urais kwenye uchaguzi? Au alitaka apate weak opponent ambaye angemshinda kirahisi? Je inawezekana ndio sababu akamwomba na Nyerere badala yake na wakaishia kwenye stiff election ambapo yeye akashindwa? Was he (Abdul) a hypocrite with lust for power au alikuwa na nia nzuri ya kukamilisha democratic excercise? Funguka zaidi mzee wetu Moh.