Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwenye kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni katika waasisi wa TANU lipo jina la Dome Okochi mmoja wa wale wazalendo kutoka Kenya katika TANU.
 
Kwenye kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni katika waasisi wa TANU lipo jina la Dome Okochi mmoja wa wale wazalendo kutoka Kenya katika TANU.

Ritz,
Hujajibu swali langu. Ulichotubandikia humu umetoa kwenye kitabu cha van Bergen? Yes or No?
 
Barking as a hungry dog, sending no message, poor young boy why can't you go back to classroom!



You see,you can not get a message because you are KIHIYO,and you can not understand what Mohamed Said keeps on telling you either,


Some people say if you don't stand for something you will fall for anything,and thats true..,

What are you standing for?
 
A brotherly advice to you, stop shaming yourself here, go back to your kown tongue!
 
Ritz,
Hujajibu swali langu. Ulichotubandikia humu umetoa kwenye kitabu cha van Bergen? Yes or No?

Jasusi,

Hayo ndiyo aliyoandika van Bergen. Tatizo lako hutaki kuamini kuna mtu umemwambia akiweke nadhani akiwekea ndiyo utaamini.
 


Its enough for you today,i hope you will give us some space.,

Gwalihenzi,to have once been a dumb is no disgrace.,but to remain in such a dumbness is the disgrace,

So,its my hope that from now on you will try to find a place where people like you belong and deserve to be,
 
Jasusi,

Hayo ndiyo aliyoandika van Bergen. Tatizo lako hutaki kuamini kuna mtu umemwambia akiweke nadhani akiwekea ndiyo utaamini.
Ritz,

..bado kuna ulazima wa kwenda kuhakiki ktk kitabu cha Van Bergen.

..zaidi, hicho kinachoripotiwa humo ni lazima kiwe-substantiated with facts on the ground.

..kwa mfano, kauli hiyo iliyoripotiwa itakuwa na maana gani kama ilifuatiwa na uamuzi wa Mwalimu kutaifisha shule za kanisa katoliki??

..kama un
 
Last edited by a moderator:
Go back to you kiswahili you foolish boy!
 
Jasusi,

Hayo ndiyo aliyoandika van Bergen. Tatizo lako hutaki kuamini kuna mtu umemwambia akiweke nadhani akiwekea ndiyo utaamini.
Ritz,
Hii quote niliyokuwekea hapa chini inaonyesha kuwa imetoka kwenye kitabu cha mtu aliyekuwa anajadilia kitabu cha van Bergen na si kitabu chenyewe. Unless unataka kuniambia kuwa van Bergen referred to himself in the third party:

THE CATHOLIC CHURCH MOVEMENT
Jan P. van Bergen's book quoted Nyerere by saying that the interest of his (Roman) Church came first, and would never go against his Church so as to liberate it from the matope (mud), which it has accumulated by being identified with world situation in Europe. This is clear testimony indicated that Nyerere ruled his country for the betterment of clandestine Catholic Church Movement (CCM), in Tanzania and Muslims in this country were the first in the world who contributed money to the Catholic secessionist state of Biafra in Nigeria to fight against their fellow Muslims in Nigeria, the most populous Muslim nation in Africa.

Aliyeandika hayo hapo juu si van Bergen. Rudi ukafanye home work yako.
 
 
 
Nimeshaanza kuchoka sasa na hii thread!!
Ile audio tuliyoahidiwa iko wapi?

Kama ingekua kesi mahakamani basi kesi ingeshatupiliwa zamani.
Waliodai uchochezi mpaka sasa hawajatoa ushahidi kamili wa uchochezi

Mwanzo nilikua sina upande wowote kwani nilitaka kujua na upande wa pili lakini sasa inabidi niwe upande wa Mohamed.

Hii thread imenifundisha mambo mengi kuhusu TANU

Mohamed asante kwakutokuchoka kuandika kile unachokijua japokua unakumbana na kejeli.

Kwa wale waliotoa madai akina Jericko Nyerere, kama unataka kutupa historia sahihi ya TANU umepewa nafasi na washabiki wako kuandika historia ya kweli ili kumchalenge Mohamed.
 
Kwenye kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni katika waasisi wa TANU lipo jina la Dome Okochi mmoja wa wale wazalendo kutoka Kenya katika TANU.

Ritz,

Kivukoni hawakumtaja huyu hapo chini watamtaja Dome Okochi Budohi?

Baada ya kuunda TANU hiyo hapo ndiyo adhabu ya kwanza alopewa na Waingereza.
Alipewa uhamisho kutoka Dar es Salaam kwenda Korogwe:

''When I arrived in Korogwe there was no accommodation for me so I had to put my things in a government godown until such time that I find a place.

I was not entitled for a house and therefore I had to make my own accommodation arrangement. Late in the evening through fellow Muslims I was able to get a place to spend the night.

The following day I met an old friend Alphonce Akena who was working with the Police Department and in charge of Kororgwe district.

Akena found a house for me although the rent was a bit high.

Korogwe at that time was a small township but a busy one since it was the connection centre where travellers from the northern part of Tanganyika travelling by rail connected by bus to Dar es Salaam and other areas in the Central Line.

But the place was infested with malaria because of the river passing through the township.

Clean drinking water was scarce.

I had to travel by bicycle for more than four miles to fetch water.

The river, which could be the source of clean drinking water, was polluted with sisal waste deposits from the sisal estates owned by settlers many of them Greeks.

Once in a while Akena used to fetch water for me using police vehicles. The white officer I was working under I believe had instructions to harass me a TANU founder and close friend of Nyerere and make my life in Korogwe as difficult as it could possibly be.

When I asked him for permission to go and fetch my belongings from the PWD godowns, he told to do that over the weekend. He insisted that office hours were for government work.
''
 
duh! hicho ndo kizungu unachomsifia mbumbumbu mwenzio?
 
Mohamed Said, leo kwenye habari nimesikia huko Liwale/Lindi kati ya wanafunzi 1157 waliokuwa wanatakiwa kujiunga kidato cha kwanza ni wanafunzi 311 tu ndiyo waliojiandikisha kuanza form 1...na kuna uwezekano mkubwa mpaka wanafika kidato cha nne idadi yao inaweza kuwa nusu au robo ya hapo. Huko kilwa tumeshasikia shule ilifungwa kwa kukosa wanafunzi. Hivi hujisikii aibu unapopita maeneo haya na kuwaambia kwamba uduni wao wa maisha ni kutokana na Mfumo Kristo wakati ukweli wenyewe unajionyesha ni kukosa mwamko wa Elimu? Mfumo Kristo unawezaje kuwazuia watoto wasijiunge na kidato cha kwanza?
*****************
paper yako!
 

Sweke,

Hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Sweke,

Hivyo ni vitu viwili tofauti.
Tofauti kivipi? Hebu fafanua...

In order to understand the Tanzanian political environment and to appreciate this study we first need to establish even in a nut
shell the source of the problem. Why is the Church in Tanzania and particularly the Catholic Church in control of the government
and all that it entails? Why are Muslims, fifty years after independence still backward, uneducated and form the lower strata of society? Is this by default or design?
 
Hivi haya maeneo unayoyaita ya waislam wengi kwenye paper yako unafikiri yanaweza yakaendelea kama baada ya miaka 50 ya uhuru shule zinafungwa kwa kukosa wanafunzi au kama hii case ya sasa hivi ya wanafunzi 311 tu kati ya wanafunzi 1157 kujiandikisha kuanza kidato cha kwanza?
Nilikuuliza vile kwa sababu kila kitu iwe uduni wa maisha , kukosa elimu na mengineyo yanayowapata waislam unasema kuna mkono wa Kanisa...
 
Ritz, wewe ni muongo mkubwa...naona umeiga sifa ya mchochezi na muongo Mohamed Said...kweli unathubutu kuandika uongo kama huu kwenye jamvi hili. Jamshid bin Abdullah bin Khalifah bin Haroub (1963-1964), hajafa na bado anaishi akiwa na ndoto za kurudi Zanzibar. Sultani Jamshid bin Abdullah bin Khalifah bin Haroub, baada ya kumkimbia Field Marshall John Okelo, alipewa hifadhi Dar es Salaam na Raisi Mwalimu Julius Nyerere, baada kukataliwa kukanyaga ardhi ya Kenya na Raisi wa nchi hiyo Jomo Kenyatta...Kama madai haya ya kizushi yanaweza yakatolewa na wahitimu wa Mohamed Said na wapuuzi wachache wakayaamini, basi iko kazi.
 
Unajua mtu aliyeandika hii topic kwa ajili ya kumchallenge Mohammed Said anashindwa kuelewa kuwa kila nchi ina matatizo yake, na mfumo kristo siyo product ya Nyerere per say, yeye alikuwa ni implementer hapa Bongo tu. Muslims are mistreated all over the world, in many different ways, through being called terrorists, through being denied basic human rights by occupations from other countries, etc. Thus, the results of maltreatments of Muslims in other parts of the world will be connected to those responsible in those countries, so you can't go on and illogically say Nyerere was not in Somalia, why does it have problems. You can decide to ask who was the Nyerere of Somalia? it can be another countr, religion and so on.

Unajua wasomi wa jamii forum wanashindwa kuwa impartial in their examination of many of the arguments posted here. We fail to use evidence to find conclusions but we make conclusions and force evidence to support it. We also fail to even closely examine our opponents claims before challenging them.

Kwa mfano swali hili:
" Ulijuaje kuwa wazee hao walipigania uhuru ilihali hawapo katika historia stahiki ya nchi hii?" I mean if you read the introductory pages of Mohammed Said's book, you should have seen the answer to this question articulated in a clear, elegant structure. I am quite impressed by brother Mohammed for taking the time to answer such questions. I would have just told the asker to go and read the book more closely, because it looks like he did not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…