Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Hapo kwenye rangi nyekundu ndipo penye mzizi wa HISTOHISIA yako! tangu ulipoanza kuimba hizo nyimbo zako za uchochezi hujawahi kutoa ushahidi thabiti kuthibitisha madai yako haya zaidi ya kujenga hoja kupitia hisia na dini ya kislam kuungwa mkono.
Waislam wanaeleza dhulma walizofanyiwa na Nyerere wewe hutaki kuzisikia hizo habari hakuna cha kukusaidia kwenye hilo.
Kwanza tambua anayosema Mohamed Said ndiyo msimamo wa Waislam.
Wewe unaumia nini Waislam wakieleza dhulma walizofanyiwa.