Wanajavi,
Kuna vitu viwili vya kufahamu. Kwanza kuna kusoma na pili kusoma na kuelewa.
Kila mtu anaweza kusoma lakini si lazima eelewe jambo linalopelekea mtu kuji-contradict.
Kwa habari ifuatayo inaweza kuonekana ina ukweli sana lakini ukiisoma hasa kwa watu walioishi nyakati fulani za matukio au wanaojishughulisha kuelewa utaona mambo mengi sana ya kutunga, kuzusha na hata kupotosha.
Tuiangalie kidogo habari hii
Ritz;5762947]Development and Religion in TanzaniaTHE CATHOLIC CHURCH MOVEMENT
This is clear testimony indicated that Nyerere ruled his country for the betterment of clandestine Catholic Church Movement (CCM)
Hapa anataka kuonyesha kuwa CCM ni chama cha kanisa. Fair enough!
Je, kiliongozwaje na Al Haji Mwinyi na JM Kikwete! Je, iliposemwa waislam walinong'oneza misikitini waichague CCM kufanya hivyo si kuchagua chriatian church movement!
Je, chama kilichokuwa cha waislam kikiwa na baraza la wazee wa TANU na ambacho ''chimbuko'' lake ni Sykes kwa mujibu wa Mohamed kiligeukaje na kuwa tawi la kanisa?
in Tanzania and Muslims in this country were the first in the world who contributed money to the Catholic secessionist state of Biafra in Nigeria to fight against their fellow Muslims in Nigeria, the most populous Muslim nation in Africa
Akisema the most populous nation ana maana yenye idadi kubwa ya waislam au ana maanisha yenye idadi kubwa ya waislam katika jamii hiyo.
Vyovyote iwavyo si kweli kuwa Nigeria ina population kubwa ya waislam Afrika.
Ukiangalia takwimu Egypty, Algeria zinaongoza.
Kama utaangalia uwiano katika jamii Mauritania yenye population ya karibia 4 milioni ina waislam 99.4.
Kwa hali yoyote ile huu kama si uongo na uzushi basi ajuaye ni mola peke yake.
Halafu mwandishi hajaonyesha waislam wa Tanzania walichanga pesa kwa namna ipi.
The Catholic Church Movement in Biafra demanded to secede to rid themselves in what they called "a calamitous slavery in an ocean of Muslims." In contrary, a number of Muslim troops from Zanzibar were disproportionately killed during the Nyerere's invasion of Uganda in 1979 which toppled a Muslim ruler, Iddi Amin and re-installed Nyerere's old friend, Milton Obote, a Christian who supported Nyerere for the creation of Tanzania in collaboration with the Central Inteligence Agency (CIA) whose director was George Bush, later the former US President.
Hapa anaunga mkono uvamizi wa Amin na kuua watu wa Kagera hata kama kufanya hivyo si katika Uislam.
Uungaji mkono wake upo katika jina la Idd Amin ambaye ni mwislam bila kujali imani na matendo yake.
Anasema Wazanzibar waliuawa katika vita ya Kagera, hajasema watanzania kutoka bara waliouawa.
Hapa ni kuonyesha kuwa Nyerere alifanya makusudi na kuwatanguliza wazanzibar wauawe na Amin au wapigane na mwislam Idd.
Kusudio lake ni kuonyesha unyama wa Nyerere dhidi ya waislam hata kama hadithi hiyo haiunganiki wala kuleta mantiki.
Their huge Christian Churches as well as many seminaries and proliferation of foreign priests and sisters in Tanzanian Churches, is a firm evidence that Christian organizations in Tanzania are affiliated with and used by foreign countries, because they can not through their local donation alone to carry out such activities and finance the lavish-style of their Church leaders. All the Churches and monasteries in Tanzania are the property of the Western nations, from where they recieve their orders and budgets for evangelism. For instance, the Tanzanian Catholic Church is the property of Italians, Portuguese, Spaniards, Belgians and French, the Lutheran Church is the property of Germans and Dutch, the architect of the apartheid in South Africa. The Anglican Church is the property of the British, the Moravian Church is the property of the Nordic countries, the Church of Pentecostal Assemblies of God, Seventh Day Adventists and African Inland Mission, among others are the properties of the United States. Further evidence of their affiliation is that all the Churches in developing countries, including Tanzania are referred to as "provinces" meaning that they are a sort of institutional chapters, and that their highest leadership is from the Western countries instead of host countries.
Hapa anasahau kuwa Uislam una affiliation na Arab world! kuna AIB ambayo inapata donation kutoka Uarabuni, kuna World Muslim Tanzania Branch n.k ambazo zote kama zilivyo local churches zisizoweza kujiendesha nazo hizi za kiislam zinapata donation kama hizo.Amesahau nyama, tende na misaada ya ujenzi wa misikiti inayotoka Arab world
Labda mtu atasema Shia wana affiliation na Iran kama walivyo sunni na Saudi Arabia.
Sufi kutoka Saudia n.k.Hapa tusisahau kuwa kuna Ismailia, Bohora n.k.
Kwani ni mara ngapi kiongozi wa Bohora duniani Syedna Burhanuddin amekuja Tanzania kama kiongozi wa dhehebu hilo dunia?
Je, hii inatofauti gani na provinces za church au institution chapter!
Agakhan makao makuu yapo Paris, sasa Agakhan Tanzania branch siyo tawi kama lilivyo tawi la Roman Catholics.
Kwa msingi huo kwanini hizi zisiwe institutional chapters kama zilivyo za kikristo
The proliferation of Western Churches in Tanzania, led to the formation of many organizations such as the Tanzania Episcopal Conference (TEC), the Catholic Secretariat representing the largest Christian denomination; the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT), representing the non-Catholic denomination; the Christian Council of Tanzania (CCT), comprising of Protestant Missionary Societies, the Office of the Anglican Archbishops, the Office of the Archbishop of the Greek Orthodox Church and the National Spiritual Assembly of the Bahais, among others
Kuna tatizo gani wakristo wakiji-0rganize katika makundi yao to forge ahead their agenda! what's wrong with that.
Kama waislam hawataki kuunda organization zao, should that be a national problem or their own problems?
Hata hivyo mbona kuna Taasisi ya baraza kuu la waislam, BAKWATA,Shura za Maimam, Bohaora community, Islamilia community, Shia community, Tareq, Istiqama, UAMSHO, Africa Muslim agency n.k. na hakuna anayehojia uwepo wake kidini.
Mwandishi anafanya comparison ya dini bila kuangalia mapungufu yatokanayo na comaprison yake.
Upotoshaji wa kiwango kizuri sana na wa kulaaniwa kwa vile hausimamni katika ukweli
The Tanzanian Churches are affiliated either with World Council of Churches or Lutheran World Federation. In contrast, the Muslims in Tanzania are marginalized and they are not allowed to be affiliated with any global Muslim organization, whether the Organization of Islamic Conference (OIC) or the Islamic Organization of Africa (IOA), in the gist that Tanzania is a secular state, despite the fact that secularism is a Christian ethos of governance (Matthew 22:21) and mimicked from the Western nations like the Unites States
Anachotaka ni kuwachangaya wasomaji ili abaki na agenda yake.
Hizo organization za kikristo zina affiliation na global institutions kama zenyewe na si kama serikali.
Hakuna kibali kilichotolewa kwa Lutheran kuungana na world council of churches of Lutheran. Hizo ni intiative zao.
Wala serikali haijawazuia Waislam wa Tanzania kujiunga na world institutions kama walivyojiunga na IDBA au world musim council.
Kinachokatazwa ni kujiunga kwa institution za kiislam au kikristo kwa kupitia serikali na wala siyo zenyewe kufanya mawasiliano yao
Ironically, that Tanzania is a member of the Commonwealth, whose chief should always be the head of the Anglican Church of England, the former colonial ruler before the ascendancy of Nyerere in Zanzibar and Tanganyika.
Tazama, Nigeria yenye populous muslim ni mwanachama wa Commonwealth kama ilivyo Bangladesh, Pakistan na India.
Pakistan yenye 96% waislam na watu 180 milioni ambao kwa kutazama percentage ni sawa na watu milion 176 ni mwanachama wa Common wealth. Yaani population ya Pakistan ni sawa na population nzima ya Tanzania bila kujali dini mara 4.
Halafu ukitaka kujua upuuzi wa huyu mwandishi kama si wendawazimu, kuwa mwanachama wa common wealth kunafuata nchi zilizokuwa chini ya Malkia na wala si kuwa ni chini ya kanisa la Anglican.
Kuna Francophone n.k. ambazo zinawanachama kama ilivyo commonwealth.
Hivi Arab League inaendeshwa kwa dini au ni kwa utaratibu gani.
Hapa anataka kufanya stupid and crazy insinuation ambayo mtu mwenye akili timamu ataendelea kusoma ili kujua kiwango cha wendawazimu wa mwandishi wala si kuongeza maarifa
At the University of Dar es Salaam alone, the research reported that the total enrollment for the 1986-1990 was 4,191. Out of this number, Muslim students were only 586, or 13%, whereas Christians were 3,609 or 87%.
No University in this planet which enrolls students from the heaven or streets.
Kama shule inafungwa kwasababu hakuna wanafunzi ni ujinga uliobobea kutegemea kuwa mtu atapa wanafunzi chuo kikuu.
The research should tell more about primary and secondary education where students are prepare for university level
It is was not therefore a sheer coincidence throughout his uninterrupted 24 years as the President of Tanzania (1961-1985), Nyerere, being a Catholic had always appointed a Christian to head the Ministry in Education. Muslims stated that because of this ever-increasing under-representation of Muslims in relation to Christians in Secondary and Higher Education, all key posts in the Tanzanian administration and public institutions came to be dominated by Christians, while Muslims largely relegated to menial positions such as drivers and messengers.
Ni ujinga mwingine wa huyu mwandishi.
Hivi kuna mtu ana degree au Diploma aliyeajiriwa kama dereva au messenger.
Kama watoto hawaendi shule in the end they will pay the cost, simple! It's natural justice nothing more nothing less.
Kama shule zinageuka kuwa vijiwe vya wahuni the natural justice will say it all.
Mwandishi anataka watu hasa wasiofikiri waamini kuwa kuna mwislam mwenye PhD aliyewahi kuwa dereva! stupid!
The Muslims in Tanganyika are demanding their a fair share of the national cake because after independence, Tanganyikan Muslim student intake, is below 10%; the Muslim Cabinet ministers are negligible while Muslim principal secretaries and heads of parastatal organization are non-existent.
Another gaffe! Tatizo la waislam ni kupeleka watoto shule, kuwa na strong organization, kusimamia shule zitoe watoto wenye elimu, kuwa na vyuo vya ufundi, kuhimiza wajiendeleze kwenda college n.k.
Tatizo si kuwa na waziri au katibu mkuu.
Hivi nusu ya baraza la mawaziri likiwa waislam, wale watoto maia tatu kule kilwa walioacha shule watanufaika na nini.
Hivi katibu mkuu anasaidiaje waislam katika kuondokana na matatizo yao ya elimu.
If someone out there is not appreciating the source of the problem then that person is a problem ab initio.
But like Tanganyika, the Muslims in Zanzibar have been discriminated against education in foreign countries after the forceful union of Tanganyika and Zanzibar to form Tanzania. Mohammed Mwinyi Mzale, the then Minister for Education in Zanzibar stated that of the 12 members of the Joint Selection Committee (JOSECO) which selects students for higher education in university and institutions at home and abroad, none is from Zanzibar. He lamented that when students on Zanzibar's scholarship turn up at Tanzania missions abroad, they are kept a stiff arm's length away on the pretext that they are not on a United Republic's scholarship, even though in fact Zanzibar pays its share in the Union's higher education budget
Mwandishi na waziri Mwinyi Mzale haionekani kama kuna anayeweza kumsaidia mwenzake kufikiri.
Hawa wajinga wamesahau kuwa Gharib Bilal makamu wa rais aliwahi kuwa katibu mkuu wa wizara ya elimu ya juu.
Lakini upumbavu zaidi ni pale mtu anapodai kuwa Zanzibar inachangia wizara ya elimu ya juu.
Mwandishi hajui kuwa Zanzibar haina bajeti ya elimu ya juu tangu mwaka 1964, bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, wala ulinzi na uslama.
Hakuna, narudia hakuna siku SMZ imewahi kuchangia elimu ya juu. Kinyume chake wanafunzi wa ZNZ wanapewa upendeleo wa kuingia elimu ya juu hata kama wana division karibu na sifuri.
Wanafunzi wa Zanzibar wanalipiwa na serikali ya muungano licha ya ukweli kuwa ZNZ inapata mgao wake kutoka muungano.
Asilimia 98 ya viongozi wa ZNZ wamesoma, narudia wamesoma bure kabisa na wala hawadaiwi kama walivyo watoto wa Tanganyika. Ni ujinga wa hali juu sana kuudanganya umma na hilo litawezekana kwa wapuuzi.
Watu wenye akili zao watasoma hili na kudharau hata kile chenye thamani ndani yake. Absolutely stupid!
He contended that the executive bodies of higher education are Union only in word but in deeds and in their structure, there are mainland creatures and are there to do its biding. The Union parliament formulate policies for the interest of Tanganyika and believed that somehow the Tanganyika and Union governments are Siamese twins
Mwandishi ameshindwa kuelewa kuwa ZNZ wamepewa fursa ya kujitoa katika muungano, wamegoma wanataka mkataba! sasa kama wanaonewa wanasubiri nini.
Lengo la mwandishi ni kujenga dhana isiyokuwepo kuwa waislam wanaonewa popote walipo.
Huu ni udanganyifu wa dhahiri, ni uongo na ubazazi kwasababu kipande hiki tu kinaonyesha jinsi gani mwandishi alivyomchonganishi, mdanganyifu achilia mbali mzandiki.
Watanzania watu kama hawa watatufanya tuchapane mapanga na baadaye tutakapotambua kuwa walikuwa wapuuzi waliojua kutumia kalam zao vema basi tutakuwa tumeshapotea njia.
Tusimame pamoja na kuwaambia watu wa aina hii kuwa hawasimamii dini kwasababu dini inakataza uongo uliojaa katika ndimi zao. Dini zinakataza uzushi, usengenyaji, fitna n.k. sasa huyu asiyeweza kusimamia haya anawezaje kusimama na kusema anasema kwa niaba ya dini.