Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Msome huyu sijui nani? Anasema haya maneno:
Zomba,
Kapanda daladala ya kwenda Tabata wakati yeye anakwenda Gongolamboto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome huyu sijui nani? Anasema haya maneno:
Kwa hiyo tafsiri ya mzee ni muislamu.
Dullah, kama kiingereza kinakushinda kwanini unaking'ang'ani? sasa hapo kwenye rangi nyekundu ndio kiingereza gani?
Ritz, wewe ni muongo mkubwa...naona umeiga sifa ya mchochezi na muongo Mohamed Said...kweli unathubutu kuandika uongo kama huu kwenye jamvi hili. Jamshid bin Abdullah bin Khalifah bin Haroub (1963-1964), hajafa na bado anaishi akiwa na ndoto za kurudi Zanzibar. Sultani Jamshid bin Abdullah bin Khalifah bin Haroub, baada ya kumkimbia Field Marshall John Okelo, alipewa hifadhi Dar es Salaam na Raisi Mwalimu Julius Nyerere, baada kukataliwa kukanyaga ardhi ya Kenya na Raisi wa nchi hiyo Jomo Kenyatta...Kama madai haya ya kizushi yanaweza yakatolewa na wahitimu wa Mohamed Said na wapuuzi wachache wakayaamini, basi iko kazi.
Nimeongelea matokeo ya kidato cha nne ambayo yapo hapa JF.Nguruvi3,
Kuna siku nilikuambia usichanganye tamaduni za watu na Uislam huwezi kuelezea matatizo ya watu wa Kilwa, Mtwara, watoto hawataki kwenda shule ndiyo matatizo ya Waislam wa Tanzania unakosea sana katika hao ambao hawaendi shule na Wakirsto wapo wengi usitake kuwasingizia Waislam.
Hebu nenda mikoa kama Mwanza, Bukoba, Shinyanga, kaangalie jamii ya Kiislam inafanana na jamii ya Mtwara na Lindi.
Matatizo ya Mtwara na Lindi yanajulikana mpaka watu wanakosa msukumo wa elimu siyo Uislam wao kutokana na siasa mikoa ivyo kutupwa na serikali toka ukoloni.
Nguruvi3, matokeo ya darasa la saba kwenda kidato cha kwanza alama za kufahulu uwa zinapatikana wapi.
Zomba,
Kapanda daladala ya kwenda Tabata wakati yeye anakwenda Gongolamboto.
Ni wapi uliposoma pameandikwa kafa? na huo uongo uko wapi? mbona unaruka-ruka kama kadondo. Unamjuwa kadondo?
Kama kapandia Buguruni sheli,namshauri asifike mbali sana,ashuke tuh hapo tabata dampo au matumbi asubiri hizo zinazotaka ubungo kwenda gongo la mboto,
kama anang'ang'ania basi mwache aende zake..
Mzee msG,
Panapo dhulma hayo ndiyo matokeo.
Mzee ms
Unapenda kung'ang'ania dhuluma, je? Ni dhuluma ipi mfano wewe kama wewe ulofanyiwa na mwl nyerere?
Sasa baada ya kupandikiza chuki kwenye hiyo miskiti nini basi faida uipatayo wewe kama wewe.
Muongo ni wewe pambaf. Do you know the meaning of being out of stock?Acha uongo kiliisha lini?
Unamjuwa Joan?
Hivi uwakamate Masheikh wa Waislaam uwaweke rumande, mmoja baada ya mwingine, wengine uwafukuze nchi, wengine uwahamishe kutoka makazi yao ya asili kuwapeleka kwingine, ufunge jumuia ya Kiislaam iliyokuwa na inaonesha kuleta maendeleo ya haraka haraka kwa Waislaa, Yote hiyo kwako wewe siyo dhulma?
Muongo ni wewe pambaf. Do you know the meaning of being out of stock?
Mama yangu nakumbuka wakati nipo shule ya msingi,alikua ananihusia mara kwa mara,Dullah hakikisha unaisoma vema na kujitahid kuihifadhi na kuilewa vyema Qur an kwani ndio msingi wa maisha yako na chakula cha ubongo wako,hata siku moja usizembee kwenda madrasa kujifunza,huku akiwa ananisimamia katika masomo yangu ya shule ya msingi kimasikini katika hizi ST KANUMBA,,shule zetu hizi walalahoi,,
Alikua ananiambia jitahid pia huko shule kuzingatia masomo kwani ukishindwa hapo mimi sina uwezo wa kukupeleka Private school,na alikua ananiambia Dawa ya hiyo hali yako ni kupiga shule na kuchimba maradufu ya wenzako,niliyafanyia kazi kweli kweli,nakumbuka Mtihani wa kumaliza Darasa la saba,hesabu nilipiga 50/50,lugha nikapiga 48/50,Maarifa ya jamii nikapiga 46/50 na nikachaguliwa kwenda Mzumbe high school(Special schoool),,
Kazi sasa ilikua mara baada ya kufika mzumbe high school enzi hizo kile chuo kikuu cha mzumbe kikitambuliwa kwa jina la IDM-MZUMBE,,
Bahati pale mzumbe high school kuna msikit uliojengwa karibu na shule na upo maeneo ya shule,nilishangazwa sana kipindi tunafika pale,ile ni shule ya serikali lakini idadi ya waislam ilikua ni ya kuhesabika,katika wanafunzi tulioripoti form one kwa idadi ya 105 waislam tulikua hatufiki hata 20,na ukiangalia kwa undani hata hao wakristo tulioripoti nao si kwamba walikua imara kias cha kusema walistahiki sana kuwepo pale,
Tulichokawa tunafanya sisi ni kuvaa vipedo kama wanavosema na kupiga kitabu kwa kwenda mbele,tuliwaprove wrong hasa katika National results,tukaambiana jaman mnajua hawa siku zote wanatusemanga ya kwamba sisi si chochote si lolote,kwaiyo tunawathibitishie,
National results zikija ni mwendo wa Div one tuh za single digit,div1 point 7,point 8,poit 9 na vipedo vyetu,
Hadi kuna kipindi wakristo wakaanza zengwe ya kwamba ooooh waislam wanashinda sana msikitini,hawafanyi kazi za shule,hawaudhurii roll call etc,mkuu wa shule Mzee R.J Mwasha akawaambia as long as hao jamaa wananipa matokeo mazuri mimi sion umuhim wa allegations zenu,ikawa kila mwaka ukifika tunaambukizana ile hali na hadi leo tumeuacha utamaduni huo katika shule kama ile,,
Sio kweli kwamba waislam hawazingatii shule,yapo mengi sana watu tunafanyiwa na tumefanyiwa,tunazungumza tunazungumza kwa mantiki ya kukemea na kujenga tanzania bora kwa kizazi kijacho,sasa kama watu hawataki ukweli usemwe ni juu yao..
Ukweli utasemwa tuh..
Wewe mtoto umepotea njia, hapa sio kwako, rudi madrasa kwa mzee Mohamed Saidi akakufunze upya, eboo!Wewe umeona nimempa likes dullah ukakosoa kithungu chake nilichofanya hapa nikusifu dullah kwasababu ameonyenya kithungu chake ambacho wewe na wagalatia wenzako mumekiponda na kuthibitisha kwamba dullah hacopy na kupaste kama nyinyi wagalatia hapa JF.Cc GWALIHENZI,KABONDE na SWEKE34
Jasusi,
Nakuheshimu lakini nashangaa unaanza matusi sisi wengine uhuni tumeishastaafu kama utataka kunirudisha kwenye uhuni pana shaka tarudi.
Kutokukubaliana mie na wewe kwenye hoja siyo uadui wala ugomvi hakuna haja ya kutukanana hakuna ambaye hawezi kutukana.
Tusifike huko Jasusi nakuheshimu kama mkubwa wangu na wewe niheshimu kama mdogo wako.
Hapo Mfumo kristo katika NECTA ulikuwa haufanyi kazi?
Huu ni ushahidi tosha kuwa mafanikio yako yalitokana na kujituma kwako, Huo uchache wa Waislamu ulioukuta Sekondary ulisababishwa na kutojituma kwao tofauti na wewe ulivyokuwa unajituma,
na labda nikwambie tu hilo halikuwa kwa Waislamu tu bali hata Wakristo liliwaathiri, miaka niliyokuwa na Nasoma kulikuwa na Wakristu wachache sana wa kabila la Kigogo, Wasumbwa, Wasukuma, japo yalikuwa ni makabila yenye Wakristo wengi lakini walikuwa ni wachache sana mashuleni na wala hapakuwa na hila ya kuwabeba kuwapelekwa sekondary bila kujituma kwao., na wengi mazingira na culture ndio zilikuwa zinawaathiri same na hayo yanayotokea Lindi na kilwa sasa
Tuna tatizo la Kitamaduni ambalo Waislam wanalinasibisha na DIni, kama maeneo yenye Waislamu wengi hayana maendeleo ya Kielimu basi wajaribu kuangalia ni nini kinachosababisha hilo, ni dini ama ni utamaduni? kuliko kuweka dhana ya uonevu
Of course I knew Joan Wicken. We had lunch a few times in her lifetime. What is the issue?
Dullah,Mama yangu nakumbuka wakati nipo shule ya msingi,alikua ananihusia mara kwa mara,Dullah hakikisha unaisoma vema na kujitahid kuihifadhi na kuilewa vyema Qur an kwani ndio msingi wa maisha yako na chakula cha ubongo wako,hata siku moja usizembee kwenda madrasa kujifunza,huku akiwa ananisimamia katika masomo yangu ya shule ya msingi kimasikini katika hizi ST KANUMBA,,shule zetu hizi walalahoi,,