Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu Ritz, heshima kwako

kwanza uelewe sina interest na mambo ya Dini kwangu hayana nafasi

Pili labda nikwambie nimemsoma Moh kwa muda Mrefu na kwenye minakasha yote inayomuhusu Moh nimeifatilia mwanzo mpaka mwisho, katika moja ya maoni yake alizungumzia kuwa nyuma kielimu kwa baadhi ya maeneo yenye Waislam. Na katika kumalizia alilifanya hilo tukio lilikuwa ni makusudi ya Serikali ama niseme ni njama za Nyerere na Kanisa lake la Kikatoliki dhidi ya Waislam

Hiyo hoja ya Mzee Moh imechukuliwa nzima nzima na Waislamu wengi na hata wasomi wakiwemo DULLAH MSAVIVOR, ukimsoma Dullah anakwambia mamake ndio alimuencourage kupiga shule na alipofika sekondary walijikuta wako (Waislamu) wachache na moja kwa moja aliingia kwenye upepo wa Mzee Moh kuwa Waislam walibaguliwa kuingia Masekondary

Hoja ni kuwa
Utafiti ufanywe wa kujua sababu hasa ni nini?
mimi nilieleza hivi
1) Utamaduni na mila unaweza kuwa ni chanzo kikubwa kwa baadhi ya maeneo kutozingatia Elimu, hili nililiona usukumani miaka ya nyuma kwa wengi kushiriki zaidi kwenye ufugaji na kilimo. pia inaweza kuwa kwenye maeneo yenye Waislamu wengi pia kutozingatia Elimu kutokana na mila ama Tamaduni zao (kuolewa mapema, elimu za unyago na jando) uvuvi?

2) Nilizungumzia Dini pia inaweza kuwa chanzo cha watu kutofatilia Elimu, hapa tatizo kubwa ni nani anatafsiri maandiko ya Dini na anayatafsiri kwa malengo gani?. Kuna imani iliyokuwepo ZAMANI kuwa Elimu ya Kizungu ni ya Kikristo hivyo kwa Muislamu kushiriki hiyo elimu ni sawa na kujisilimisha na kuwa Mmisheni, swali ni kuwa watu wa hayo maeneo wameelimishwa kuwa hilo sio sahihi? na elimu ya Kizungu haihusiani na mtu kusilimu?
Je tafsiri na Mahubiri kama ya kule Nigeria ya BOKO HARAM, yaani Elimu ya Kimagharibi ni haramu ni tafsiri sahihi ya Uislamu? je tunajuaje kama hayo yanayotafsiriwa Nigeria hayatafsiriwi kule Kilwa, Tabora, Kigoma nk?

Nadhani Mzee kama Moh angejitahidi kutumia nguvu na wakati wake kuwaelimisha Waislamu kuhusu umuhimu wa Elimu hasa katika maeneo yenye uvivu na kutozingatia elimu kama kule Kilwa nk, zaidi ya kuwaonyesha kuwa kukosa kwao elimu kumesababishwa na Nyerere na Kanisa lake la Kikatoliki

Kituko,

Kwanza unatakiwa hujue Uislam na ujinga ni vitu viwili tofauti, Surah ya kwanza kwenye Quran tuaambiwa IQRA.

"Iqra bismi rabbikalla dhi khalaq. Khalaqal insana min alaq. Iqra WA rabbukal akram. Alladhi 'allama bil qalam. 'Allamal insana malam ya'lam, "

which means
"Read in the name of your Lord who created, created man from a clot. Read, for your Lord is most Generous, Who teaches by means of the pen, teaches man what he does not know." (96: 1-5).

Usiufananishe Uislam na matukio ya Boko Haram, labda na mimi nikuulize Askofu Kibwetere alikuwa anafanya mafundisho ya Ukirsto, hebu wapitie hawa wasomi wa Kiislam hapa chini halafu ujiulize Uislam na kusoma huna uhusiano gani.

[h=2]Astronomers and astrophysicists[/h]

[h=2]Chemists and alchemists[/h] Further information: Alchemy (Islam)

[h=2]Economists and social scientists[/h] Further information: Islamic sociology and Islamic economics in the world
See also: List of Muslim historians and Historiography of early Islam

[h=2]Mathematicians[/h] Further information: Islamic mathematics: Biographies
 
Sikukuuliza kwa sababu najua hutoweza kulijibu.
Hata ukweli wa historia ya waislamu katika kudai uhuru wa Tanganyika nayo unaijua isipokuwa wewe ni mshindani.Upo hapa kujaribu kuipindisha lakini unajua kuwa kazi hiyo mbele ya Mohammed Said,Zomba na Ritz imekuwa ngumu.
Kutokujibu kwako na kutokuuliza kwako maswali ni namna tu ya kurefusha mjadala
Kupotea kwako na kujitokeza kichwa halafu ukarudi nyuma najua umeelewa somo na wasomaji nao wamejua kuwa kabla ya hapo ulikuwa hujui kitu.
 
Moderators mmefunga thread nyingi za udini, lakini mbona hii bado inadunda? Hapa hakuna cha historia wala nini, NI UDINI TU!
 
My alma mater was books,wiseful discussions, a good library.... I could spend the rest of my life reading, just satisfying my curiosity,,

And not wasting my time talking with Ridiculous People like you..
Ujinga unakutesa, jitahidi kuutua mzigo wa ujinga!
 
Moderators mmefunga thread nyingi za udini, lakini mbona hii bado inadunda? Hapa hakuna cha historia wala nini, NI UDINI TU!

Naona umedandia daladala la Kitunda wakati wewe unaelekea Mwenge.
 
Kwene gazeti moja hapa Tz jana nimeona wito wa mdahala / mhadhara / semina ilioandaliwa na jumuia fulani na wanasema watafanzia hapo UDSM na mmojawapo wa wakhutubi ni msomi wetu Mohamed Said (pengine labda si Mohamed huyuhuyu, nitaomba tuelekezwe vinginevyo). Tunaomba akiwa muungwana basi akadarasisha contents za kinachoongelewa basi kiwafikie wengi zaidi. Ni ktk muktadha huohuo, Je hiyo ndio nature ya kudarasisha huku ndiko kule anakojinasibisha ktk vyuo anavoviita vya "Merekani na Ulaya" ?

Inshallah twasubiri mrejesho/
 
Mama yangu nakumbuka wakati nipo shule ya msingi,alikua ananihusia mara kwa mara,Dullah hakikisha unaisoma vema na kujitahid kuihifadhi na kuilewa vyema Qur an kwani ndio msingi wa maisha yako na chakula cha ubongo wako,hata siku moja usizembee kwenda madrasa kujifunza,huku akiwa ananisimamia katika masomo yangu ya shule ya msingi kimasikini katika hizi ST KANUMBA,,shule zetu hizi walalahoi,,

Alikua ananiambia jitahid pia huko shule kuzingatia masomo kwani ukishindwa hapo mimi sina uwezo wa kukupeleka Private school,na alikua ananiambia Dawa ya hiyo hali yako ni kupiga shule na kuchimba maradufu ya wenzako,niliyafanyia kazi kweli kweli,nakumbuka Mtihani wa kumaliza Darasa la saba,hesabu nilipiga 50/50,lugha nikapiga 48/50,Maarifa ya jamii nikapiga 46/50 na nikachaguliwa kwenda Mzumbe high school(Special schoool),,

Kazi sasa ilikua mara baada ya kufika mzumbe high school enzi hizo kile chuo kikuu cha mzumbe kikitambuliwa kwa jina la IDM-MZUMBE,,

Bahati pale mzumbe high school kuna msikit uliojengwa karibu na shule na upo maeneo ya shule,nilishangazwa sana kipindi tunafika pale,ile ni shule ya serikali lakini idadi ya waislam ilikua ni ya kuhesabika,katika wanafunzi tulioripoti form one kwa idadi ya 105 waislam tulikua hatufiki hata 20,na ukiangalia kwa undani hata hao wakristo tulioripoti nao si kwamba walikua imara kias cha kusema walistahiki sana kuwepo pale,

Tulichokawa tunafanya sisi ni kuvaa vipedo kama wanavosema na kupiga kitabu kwa kwenda mbele,tuliwaprove wrong hasa katika National results,tukaambiana jaman mnajua hawa siku zote wanatusemanga ya kwamba sisi si chochote si lolote,kwaiyo tunawathibitishie,

National results zikija ni mwendo wa Div one tuh za single digit,div1 point 7,point 8,poit 9 na vipedo vyetu,

Hadi kuna kipindi wakristo wakaanza zengwe ya kwamba ooooh waislam wanashinda sana msikitini,hawafanyi kazi za shule,hawaudhurii roll call etc,mkuu wa shule Mzee R.J Mwasha akawaambia as long as hao jamaa wananipa matokeo mazuri mimi sion umuhim wa allegations zenu,ikawa kila mwaka ukifika tunaambukizana ile hali na hadi leo tumeuacha utamaduni huo katika shule kama ile,,

Sio kweli kwamba waislam hawazingatii shule,yapo mengi sana watu tunafanyiwa na tumefanyiwa,tunazungumza tunazungumza kwa mantiki ya kukemea na kujenga tanzania bora kwa kizazi kijacho,sasa kama watu hawataki ukweli usemwe ni juu yao..

Ukweli utasemwa tuh..
Sasa ukiitwa mpumbavu unabisha nini? wakati huo wewe unapata div 1. ya single digt NECTA ilikuwa imeshikwa na waislam? au wewe ulikuwa umeupeleka uislam wako likizo? Nilisha waambia matutusa kama ninyi daima hamtumii akili zenu, mnaazima akili za kichochezi za Mohamedi Saidi, baadae akili zenu zikirudi mnaanza kuweweseka mambo mliyo kuwa mnayapinga bila kutumia akili! shame on you!
 
wewe si hutumii akili katika kufikiri?

utaelewa vipi mantiki yangu,mimi nishakupuuza tokea mda mrefu sana..

nakukanyaga kanyaga tuh kama makubazi ya kwendea msalani kwa hoja..
 
Najua NECTA Wasingekua na jeuri ya kunipa matokeo ya ajabu mimi,,ile shule MZUMBE special school jina limenilinda,wanajua wangeaibika,hasa wakizingatia continous assessment zangu walikua nazo na taarifa zangu wanazo wakaamua kutoa kwa shingo upande,,

daima tutasimamia kwenye ukweli kuhusu hili..
 
wewe si hutumii akili katika kufikiri?

utaelewa vipi mantiki yangu,mimi nishakupuuza tokea mda mrefu sana..

nakukanyaga kanyaga tuh kama makubazi ya kwendea msalani kwa hoja..
Ukiitwa mpumbavu unatokwa mapovu wakati unachoandika hapa ni upumbavu mtupu! Nakuuliza hivi, wakati wewe na waislam wenzako mnapata div.1. za digt 1 pale Mzumbe, NECTA ilikuwa mikononi mwa waislam? au wewe uliahirisha kwanza uislam wako? kwa Lugha nyepesi mfumo kristo ulienda likizo?
 
Hilo la utamaduni wa sehemu nakubaliana nawewe moja kwa moja,,

Ila hoja yangu kuu ni kwamba tuliokawa tuna juhudi tulikuwa wengi sana,lakini mwishon tulijikuta tuliosonga mbele sa safari tulikuwa wachache sana kupitiliza..
Aaa, chinga boy, habari za Newala au Tandahimba! msomi wa div.1 ya single digt Mzumbe Special school hata kiswahili kinakupa shida!
 
wewe si hutumii akili katika kufikiri?

utaelewa vipi mantiki yangu,mimi nishakupuuza tokea mda mrefu sana..

nakukanyaga kanyaga tuh kama makubazi ya kwendea msalani kwa hoja..
Dullah wakati unapata div.1 Mzumbe mfumo kristo ulikwenda likizo? mbona hujibu maswali msomi wa div.1!
 
Najua NECTA Wasingekua na jeuri ya kunipa matokeo ya ajabu mimi,,ile shule MZUMBE special school jina limenilinda,wanajua wangeaibika,hasa wakizingatia continous assessment zangu walikua nazo na taarifa zangu wanazo wakaamua kutoa kwa shingo upande,,

daima tutasimamia kwenye ukweli kuhusu hili..
Nilishakuambia chinga boy, matutusa kama ninyi hamtumii akili zenu! Mohamedi Saidi kawalisha ----- sasa mnawashwa mwili mzima mnashindwa hata mkune wapi! shame on you.
 
Sijakuelewa. Funguka.
Ni kwamba swla la kutofautiana na mwl halikufuata imani ya mtu,
Ila leo hii nyie wadini kila jambo mnaliangalia kwa dini.
Mfano basil mramba, yona na mgoja wapo mahakani wakituhumiwa kwa ufisadi wao.
Fikili hao wote wangekuwa waislam leo hii misikitini yangeongelewa tofauti kabisa.
Leo waziri wa elimu anatakiwa ajihuzulu lakini watu wanamtetea kulingana na imani yake.
Mwl, nyerere hakuwa hivyo ukienda tofauti na ajenda za kuliangamiza taifa hato jali wewe ni nani utaishia lupango tu bila kujali unaswali wapi.
 
Nilishakuambia chinga boy, matutusa kama ninyi hamtumii akili zenu! Mohamedi Saidi kawalisha ----- sasa mnawashwa mwili mzima mnashindwa hata mkune wapi! shame on you.

Naona leo una sumbuka sana na mimi,hata nikikuambia nakupuuza bado unazidi kujitoa ufaham,,

NAULIZA MODS,KWANINI MNASUMBUKA KUYAFUTA NA KUYAEDIT MANENO YA HUYU MTU?

WENGINE KAMA ZOMBA MNAWAPIGA BAN,WENGINE WENYE KUTOLEANA MANENO YA KIFEDHURI MNAMUACHIA ANAHARIBU HALI YA HEWA HUMU NDANI??

MODS,SOMETIMES MNATUPA SHAKA SANA,NI KWAMBA MMEZIDIWA NA KAZI AU NAMNA GANI??

Kwa ututusa wako chinga boy utakuja na single yako mpya ya MODS wana mfumo kristo! Pole sana msomi wa Mzumbe Special School na div.1.
 
Back
Top Bottom