Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #41
Yericko, hii ishu muda huu ni kama lava ya volcano. Ungeipumzisha tu.
Udhaifu wa serikali hii umehalalisha mambo ambayo si tu kwamba ni ya hatari sana bali pia imeendelea kuyanyamazia matendo yenye kukinzana na dhana nzima ya Utaifa, Uhuru, Ukweli, Haki na Utu (hasa pale isipostahili/kuvumilika).
DAIMA udini huendekezwa na watu wenye mawazo ya kimaskini, watu hawataki kwenda shule, tazama matokeo ya form 2 shule za kiislam zilivyofeli mawka huu, sasa hawa ndo wakija kukua wanaanza kusema nyerere mchawi kawaonea, hivi mmeona shule za wakatoliki wameshika kumi bora kwa 50% pia mmeona na majina ya watoto hao kumi bora ni ya KIKRISTU. Hii inaakisi kwamba hata form 4, 6 na elimu ya juu, itakuwa hivyohivyo, mtalaumu nyerer weeee na umaskini wa MALI na maazo vitawatafuna mpaka KABURINI
hana jibu atakuzungusha tu bila kupata kitu cha maana kutoka kwake..mimi nimesoma vitabu vyake na nimefuatilia mada zake hapa JF na nachukulia vitabu vyake kama riwaya za alfu lela ulela
Na mimi nimekuhukumu kutokana na matendo yako.
Yericko, tayari tuna mohamed Said hapa JF,je unaweza kutuletea Cardinal Pengo ili naye tumuulize maswali yetu kama anavyoulizwa Mohamed Said?
Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...
Kuna watu walisema hii nchi haitatawalika hao sio wachochezi ila watu wakimzungumzia mwenyeheri povu linawatoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ili uweze kupembuka na kufaidi mang'amuzi ya nera, ni vema ukaangalia kkilichoandikwa kuliko kuniangalia mimi!
Mimi sijamjadili Mohamed Said binafsi, bali nimeyazungumzia maandiko yake, vivyohivyo kaa katika dhana hii!
Hapo sikubaliani nawe. Hivyop anaehitaji kukoga ni alie mchafu au yule alie msafi? Anaeonewa atalalamika tu kwani si kuna mtu amefanya hivyo makusudi?
Watu wananjia nyingi za kujipatia pesa. Mzushi huyo kauza kitabu!!!!!!!!!!!!Penye ukweli uongo utajitenga...hakuna namna ya kuubadili ukweli hata angekuwa nani.
Kwani nani anaejuwa wasifu wake kati yetu? Unachojibiwa ni hicho ulichokizungumza. Kilichoandikwa unaambiwa kuwa ni ukweli mtupu na hizo data unazopewa si wasifu wa Mohamedi Saidi.
Mkuu zile paper zinakaa pale kwa muda fulani baada ya kusahihishwa ili kutoa fursa ya watakaoona wameonewa mitihani yao irudiwe kuangaliwa upya. Hakuna sababu ya kulalamika. Mashehe/viongozi wenu hawaambii ukweli kwa sababu wana agenda yao. Hivi ni kwanini ulalamike unaonewa tu bila kwenda kuangalia kama unaonewa kweli au la? kuna jambo mnalitafuta...Hapo sikubaliani nawe. Hivyop anaehitaji kukoga ni alie mchafu au yule alie msafi? Anaeonewa atalalamika tu kwani si kuna mtu amefanya hivyo makusudi?
Ni kwasababu tunawashangaa sana kulalama kumchafua mfu na wala msijipiganie kwa alie hai Kikwete awasaidie kutatua matatizo kaka.
Kupapambana na mfu ni chuki na hasira zisizo na mantiki wa faida ni ujinga wa wajinga kulilia makaburi yawasaidie, werevu hupambana na waliohai wawasaidie kutatua matatizo kwa fada ya uhai wa wanaoishi na vizazi vyao.
Jipime upo kupambana na makaburi na unaakili timamu? au nimwerevu kupambana na kiwete, Bilala, said mwemama, kinana, mohamedi shein nk iliwakukwamueni huko mlikozama? .........................
Kwani nani anaejuwa wasifu wake kati yetu? Unachojibiwa ni hicho ulichokizungumza. Kilichoandikwa unaambiwa kuwa ni ukweli mtupu na hizo data unazopewa si wasifu wa Mohamedi Saidi.
waambie haya maneno viongozi wako wa dini ambao wanampa cheo wakati kilichopo ardhini nimifupa mohamed said alikuwa anaondoa ukoko ulioko vichwani kwa watu ili waelewe ukweli kuhusu dhulma ya hii nchi kuhusu kikwete unafikiri anaongoza mwenyewe na nakumbuka chadema walivyoenda ikulu aliwambia msidhani hii nchi naongoza mwenyewe kunawatu nyuma yangu kama nchi nyingine zinavyo ongozwa na huyo mbabe wa dunia
Is it a coincidence kwamba hoja za Mohamed Said zinashabihiana na hoja za akina Malaria Sugu and the so called redio Imaan?
What is funny though, kuna vichekesho vingi sana ktk hoja zao. Ntatoa mfano, chukulia hili la waislamu kudhulumiwa kielimu, anayeonekana mbaya ni Dr. Ndalichako (some say she is a Muslim herself, how funny) sasa kichekesho hapa mbaya ni Ndalichako ila waziri na Rais safi na watenda haki kwa wasilamu! (kumbuka hawa ni mabosi wa Ndalichako!) mtu mwene akili atajua tu hapa where is this heading to.
Kwene ule uzi mwengine Mohamed Said alidai eti Nyerere alisoma kitabu chake, sasa kumuuliza what was his response kwa tuhuma nzito alizombalimbikizia? , akabaki kugwayagwaya na kutumia mbinu za kukwepa hoja. What else is new?
Lakini the irony here is, Sultan Mungungu wa Bagamoyo, would have never be in the transparent, sorry white house kama mzee mchonga angekua hai. This is a fact, anaebisha amezaliwa jana. Sasa cha kujiuliza ni kwamba hizi harakati za 'kuandika upya historia' na tuhuma nzito za mifumo islamu (wazee wa lawama) na kristu( wanaolaumiwa) ndio imeshika kasi, basi hata huyu Sultan Mangungu anakaa kimya na kusema eti siku za karibuni udini umetawala mioyo ya watz. Cha ajabui yeye hakanushi chochote au kukubali chochote, ila anaonekana hana kosa ktk vuguvugu lote hili! how funny! mi nadhani source ya hili vuguvugu na matokeo ya hili vuguvugu yanakua monitored na Sultan Mangungu, na sababu zi wazi. Sultan Mangungu is incompetent looking for excuses and cheap hide and seek.../
waambie haya maneno viongozi wako wa dini ambao wanampa cheo wakati kilichopo ardhini nimifupa mohamed said alikuwa anaondoa ukoko ulioko vichwani kwa watu ili waelewe ukweli kuhusu dhulma ya hii nchi kuhusu kikwete unafikiri anaongoza mwenyewe na nakumbuka chadema walivyoenda ikulu aliwambia msidhani hii nchi naongoza mwenyewe kunawatu nyuma yangu kama nchi nyingine zinavyo ongozwa na huyo mbabe wa dunia
Hapana! asili ya vurugu hizi za kidini ni Nyerere rejea vitabu vya Wakristo wenzako kina Dr.Sivalon na P.Bergen.Madhara ya kufumbia macho ni makubwa sana kuliko kuyatibu sasa, bila shaka umeshuhudia machafuko na vurugu za kidini hivi majuzi tu, asili ya hayo yote ni hayahaya ya akina Mohamed Said.
Jambo la kuvutia zaidi katika vituko vya wadini hawa, Rais Jakaya Kikwete aliwahi kuwaambia kuwa kama waislamu wanaamini kuwepo kwa MoU ya kanisa ni kuwadhurumu Waislamu, nao waandae yao na waipeleke serikali ishughulikiwe,
Lakini leo Mohamed Said ukimuuliza wamefikia wapi juu ya MoU hata kujibu bali atakupa rejea za vitabu vya Maulamaa