Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mwanakijiji na wenzako mmeikosa ile golden chance ambayo mlipewa!!
Kuleta ile audio, kutoileta mpaka sasa kumetupa nafasi sisi wafuatiliaji kuamini kwamba kuna mambo yanayofichwa.
Yericko,
Hebu soma hapa chini:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
The photograph was taken by Gomes, a very famous Goan photographer in those days. Abdulwahid had arranged for Gomes to come to the TAA headquarters to take the historic photograph. Gomes did not come on time. Getting impatient with waiting, Abdulwahid asked his young brother Abbas to go and fetch Gomes from his studio at Acacia Avenue (now Samora Avenue) in the town center. The only means of transport for TAA was a beaten old bicycle. While Abbas was paddling towards the town center to fetch Gomes, the photographer came and took the group photograph. And this is how Abbas Sykes missed the group photograph. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] But this famous photograph was not to escape controversy. Mischievous hands tempered with it by cleverly inserting the face of Kasella Bantu in the original photograph. Bantus face has been inserted between Abdulwahid and Chief Patrick Kunambi. It would have been understandable if Ally and Tewas photographs were also inserted. There are now so to speak two photographs of the same historic occasion. The original copy with the three founder members out of sight; and the new one showing the inserted face of Kasella Bantu, but with two of the original TANU founder members, Ally and Tewa, missing. Germano Pacha has commented that, if it were not for this photograph there would have been many TANU founder members other than the original seventeen who met in Dar es Salaam on 7 th July, 1954. An interested observer has noted that: [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] ...(Bantus) portrait in the historic photograph was inserted 20 years after it was taken, by the Photographic Unit at the University of Dar es Salaam in May 1974. Second, his claim to have been the convenor of the founding conference typifies a man drunken with historical fantasy. President Nyerere was elected TAA President in October 1953 to replace Kleist Sykes. He was entrusted with the task of transforming TAA into a dynamic nationalist and independence movement. Kasella Bantus claim for credit is unsupported by history. [1] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[1] The present author has written a short article to clarify the controversy. See New African
(London) issues of March and May, 1985. The author's May article was in response to a March
article by Kasella Bantu.
Yericko,
Hiyo makala ya New African May 1985 mwandishi ni mimi.
Hili gazeti mmoja wa wahariri wake Anwar Versi tukajajuana baadae Uingereza.
Mohamed Said:
The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika, 1929-1933
Mohamed, ulichokuwa unambishia Mag3 ni nini? Mag3 alikuuliza ukasema hujui, akakuuliza kuhusu Ali Ramadhani ukasema hakuwepo kumbe unajua na sasa unakiri kuwa rais wa kwanza wa AA hakuwa Sykes ingawa umeficha kusema katika founding members nani alikuwa Rais, mwekahazina na Makamu. Nadhani walengwa hawakuwa miongoni mwa wapendwa wako. Kama kivukoni kilivyoficha nawe pia umeficha ukweli, kwanini usote kidoele kwa wenzako vinne vikiwa vimekuelekea? Hebu angalieni, Ibrahim Hamisi ametajwa kama Manyema wengine wakitajwa majina yao. Hapo anachotaka kusema ni kuwa Wamanyema ndio walioanza kuikomboa nchi hii kama alivyowahi sema asilimia 100 ni waislam Ushahidi huu pia umemtaja Matola na sasa ni wazi kuwa ile ngano ya from Sykes to Sykes si kweli. Ahsante sana Mag3 maana taratibu nyoka anatoka pangoni Tusijekataa kuwa urafiki wao uliishia hapo tu.Na Cameron alikuwa gavana wa Uingereza iliyokuwa chini ya Mfalme na mkuu wa Anglican, hili tusilisahau Huyu Cameron alikuwa Mwanglican akifanya kazi chini ya mfalme ambaye ni mkuu wa kanisa la Anglican. Mohamed aliwahi kulaani Tanzania kuwa mwanachama wa commonwealth iliyo chini ya kanisa. Hapa anatuonyesha jinsi gani Anglican walivyokuwa wakarimu hadi kusaidia kuanzisha chama wakiwa sambamba na wazee wake |
Abdulwahid remembered his father telling him the reasons for forming the Association''At that time there were two Associations existing. There was the European Association and the Indian Association. Both these were concerned with their own nationalities. But the Africans had no such Association to defend them. In the Legislative Council the Africans were represented by a white missionary named Father Gibbons, who worked at Minaki Mission several miles outside Dar es Salaam. But in reality this European did not establish any connections with the Africans whom he represented. For that reason the Africans, feeling unrepresented and having no Association similar to that of the Europeans and Asians for securing their rights, met and decided to form their own Association'' Hewalaaa! Mashallah! Hapa Sykes anawaambia wanawe sababu za kuundwa kwa AA kama chama cha kuwawakilisha Waafrika. Katika maneno yake Kleist hakuwahi kusema chama cha kuwawakilisha waislam. Sasa hili la Mohamed kuingiza uislam kalipata wapi. Kleist Sykes kamkana, Abdul kamkana, Mohamed anaongelea akina nani? Wenyewe wanamkana mchana kweupee! : Hapa anasema ilikuwa imeundwa mbali na misingi ya udini na ukabila. Kumbuka wanaosema hayo ndio wenye chama. Sasa Mohamed anapata wapi kuelezea habari za Waislam na si Watanganyika. Huko nyuma Mag3 aliwahi kumwambia Mohamed AA kilikuwa chama cha starehe. Mohamed akasema si kweli sasa maandishi yanaonyesha kuwa hiyo ni kweli. Soma mstari wa mwisho '' missionaries cautioned Christians not to involve themselves with the organisation as it would eventually lead to politics against the state'' Kwa maana kuwa hakikuwa chama cha siasa kwa kuanzia ingawa leo tunajua ndicho kilichozaa vyama vilivyofuata. Mohamed ame skew history kwa bahati nzuri maandishi yake yanamjibu Wewe ukiwa kama mwandishi na mtafiti hutakiwi kuwa kama waandishi makanja nja, unatakiwa u-provide authenticated proof. Mohamed where is the proof. |
Hakuna kilichochakachuliw ndugu, usilushwe ngano hizo,
Picha imepigwa kama ilivyo hapo ilipo,
Teknolojia ya udahiri na usanifu wa picha kwa njia ya kompyuta imeingia nchini miaka ya 2000, sasa tungeshuhudia hiyo picha ama ni yakuchorwa na wanafunzi wa chuo cha ardhi hapo Udsm ama vinginevyo,
Msiishi kama kuku wa kienyeji nyie viumbe wa Mungu.
Mkuu Nguruvi3, umemaliza yote...mimi huyo Ritz kuanzia sasa sitahangaika naye tena, yeye ni tarumbeta tu (vuvuzela), muathirika anayemeza kila anayolishwa na huyo mchochezi Mohamed Said aliyehamisha kabisa kitanda chake JF na kukesha akitetea ngano zake. Kaazi kweli kweli!
Mohamed, ulichokuwa unambishia Mag3 ni nini? Mag3 alikuuliza ukasema hujui, akakuuliza kuhusu Ali Ramadhani ukasema hakuwepo kumbe unajua na sasa unakiri kuwa rais wa kwanza wa AA hakuwa Sykes ingawa umeficha kusema katika founding members nani alikuwa Rais, mwekahazina na Makamu. Nadhani walengwa hawakuwa miongoni mwa wapendwa wako. Kama kivukoni kilivyoficha nawe pia umeficha ukweli, kwanini usote kidoele kwa wenzako vinne vikiwa vimekuelekea?
Hebu angalieni, Ibrahim Hamisi ametajwa kama Manyema wengine wakitajwa majina yao. Hapo anachotaka kusema ni kuwa Wamanyema ndio walioanza kuikomboa nchi hii kama alivyowahi sema asilimia 100 ni waislam
Ushahidi huu pia umemtaja Matola na sasa ni wazi kuwa ile ngano ya from Sykes to Sykes si kweli. Ahsante sana Mag3 maana taratibu nyoka anatoka pangoniTusijekataa kuwa urafiki wao uliishia hapo tu.Na Cameron alikuwa gavana wa Uingereza iliyokuwa chini ya Mfalme na mkuu wa Anglican, hili tusilisahau
Huyu Cameron alikuwa Mwanglican akifanya kazi chini ya mfalme ambaye ni mkuu wa kanisa la Anglican.
Mohamed aliwahi kulaani Tanzania kuwa mwanachama wa commonwealth iliyo chini ya kanisa.
Hapa anatuonyesha jinsi gani Anglican walivyokuwa wakarimu hadi kusaidia kuanzisha chama wakiwa sambamba na wazee wake
Abdulwahid remembered his father telling him the reasons for forming the Association''At that time there were two Associations existing. There was the European Association and the Indian Association. Both these were concerned with their own nationalities. But the Africans had no such Association to defend them. In the Legislative Council the Africans were represented by a white missionary named Father Gibbons, who worked at Minaki Mission several miles outside Dar es Salaam. But in reality this European did not establish any connections with the Africans whom he represented. For that reason the Africans, feeling unrepresented and having no Association similar to that of the Europeans and Asians for securing their rights, met and decided to form their own Association''
Hewalaaa! Mashallah! Hapa Sykes anawaambia wanawe sababu za kuundwa kwa AA kama chama cha kuwawakilisha Waafrika. Katika maneno yake Kleist hakuwahi kusema chama cha kuwawakilisha waislam. Sasa hili la Mohamed kuingiza uislam kalipata wapi.
Kleist Sykes kamkana, Abdul kamkana, Mohamed anaongelea akina nani?
Wenyewe wanamkana mchana kweupee!
: Hapa anasema ilikuwa imeundwa mbali na misingi ya udini na ukabila.
Kumbuka wanaosema hayo ndio wenye chama.
Sasa Mohamed anapata wapi kuelezea habari za Waislam na si Watanganyika.
Huko nyuma Mag3 aliwahi kumwambia Mohamed AA kilikuwa chama cha starehe.
Mohamed akasema si kweli sasa maandishi yanaonyesha kuwa hiyo ni kweli.
Soma mstari wa mwisho '' missionaries cautioned Christians not to involve themselves with the organisation as it would eventually lead to politics against the state'' Kwa maana kuwa hakikuwa chama cha siasa kwa kuanzia ingawa leo tunajua ndicho kilichozaa vyama vilivyofuata.
Mohamed ame skew history kwa bahati nzuri maandishi yake yanamjibuWewe ukiwa kama mwandishi na mtafiti hutakiwi kuwa kama waandishi makanja nja, unatakiwa u-provide authenticated proof. Mohamed where is the proof.
Unapotumia neno Christians kwa ujumla, je Maryknoll walikuwa wapagani?
Clement Mtamila, John Rupia, Dr Kyaruzi, Dunstan Mhando, Thomas Plantan, Cecil Matola n.k wao walisalimika vipi na zuio la kanisa?Kwanini iwe Christian collectively na si individuls.
Hivi ni sawa mtu kuwachukulia AMNUTau UAMSHO kama waislam in general. Hivi huoni hapa unauweka Uislam katika njia panda kitu ambacho si sahihi. Mtu atakaposema Waislam ni magaidi kwa kumwangalia Osama, Alshabaab au Taliban kama waislam na si makundi atakuwa amekosea?
Hapa anachokifanya ni kujenga taswira ya awali kuwa wakristo hawakushiriki katika harakati.
Ndivyo anavyoanza na elimination ili mwisho wabaki Wazulu, wamanyema na Wazee wake na hapo apigilie msumari wa moto.
Ukisoma between the lines utaona Mohamed anavyo change positions, anavyo misrepresent masimulizi kwa kuingiza fikra zake katikati ya ukweli.
Kleist Sykes anasema waliunda chama ili kuwa na uwakilishi wa Waafrika. Hakusema Manyema Zulu au waislam.
Abdul Sykes alirudia maneno ya baba yake kuwa waliunda chama kumkomboa mwafrika si Mzulu, Mmannyema au waislam
Hawa ndio wazalendo ambao leo maneno yao yanakuwa skewed ili kukidhi haja na kiu ya ubaguzi, farki na fitna katika jamii. Wanaofanya hivyo wametanguliza jina la Mwenyezi mungu na dini yake mbele. Sad!
Ritz nashukuru kwa mwaliko huenda ningekikosa kipande hiki, thread imefika mbali ati.

Sir Donald Cameron aliandika kabisa kitabu kinaitwa My Service in Tanganyika na kuchapishwa na Oxford Press mwaka 1939 tusaidiane kukitafuta...kitakata kabisa mzizi wa fitina jinsi kiwanja kilivyotolewa na serikali ili AA ikiongozwa na Mwalimu Cecil Matola, iweze kupata pa kukutania kama ilivyokuwa kwa Wazungu na Waasia...tukumbuke kuwa mkutano wa kwanza wa kuizindua AA mwaka 1929 ulifanyika nyumbani kwake Mwalimu Cecil Matola, Mtanganyika.
.......

Yericko wakati mwingine unashangaza sana, hivi unafikili mambo ya ku-doctor picha kwa kupachika au kuondoa sura ambazo hazitakiwi na DORA umeanza leo!! Mbinu hizo zilianza tangu siku binadamu alipogundua jinsi ya kupiga/safisha picha za kudumu i.e mwaka 1826 na baadae usafishaji/upigaji ukaboreshwa zaidi na Eastman Kodak kwenye miaka ya 1880s.
Taifa ambalo lilikuwa limekubuhu katika uchakachuaji wa picha za wanasiasa ni URUSI wakati wa Utawala wa dikteita J.Stalin, wanasiasa wengi na watu mashuhuri walifutwa kwenye Historia ya URUSI na sura zao kuondolewa kwenye picha za pamoja - Looking back now nafikili wanafunzi Watanzania waliosomea Urusi mambo ya siasa za ki Marxists ndio walikuja kuwa washauri wakuu katika mambo ya siasi za kiimla na uchakachuaji wa historia wa Taifa letu - aidha kwa kutaka kujipendekeza au kwa lengo maalumu - ni vigumu kuelewa kilicho kuwa kinaendelea akilini mwao - kwa nini walikuwa wamepania kumfanya binadamu mwenzetu OMNIPOTENT?
Mimi siamini kama Mwalimu alikuwa anahafiki na kundi hili lilokuwa linampaka mafuta kwa mgongo wa chupa, wengi wao ndio tunawashuhudia wamekuwa mafisadi wa kutupwa baada ya Kambarage kutangulia mbele ya haki, kundi hili lilikuwa linamshauri vibaya Kambarage mpaka anajikuta anakorofishana na watu waliomkaribisha kwenye kundi lao bila ya ubaguzi, wanamtafutia walinzi, wanamtafutia mpishi wakati yuko katika safari za kisiasa mikoani, mpishi anahapishwa asimuwekee sumu kwenye chakula, wanabuni kila mbinu za kuhakikisha usalama wake na mengine mengi - baadae wanakuja kugeuziwa kibao na kuonekana ni watu wabaya SANA wataka shari!!
Hapo juu nimeona ndugu Jericko anazungumzia kuhusu apps za Computer, nafikili anazungumzia micro-computer (PC) kama sikosei, mkuu kwani Chuo Kikuu cha DSM hakijawahi kuwa na Main Frame au Mini Computers, je zilikuwepo tangu miaka gani? Je unajua zina uwezo wa ku-run programs zipi? Kwani unafikili hapakuwepo na programmes nyingine duniani zinazo husiana na michoro/picha kabla ya PHOTOSHOP kuingia sokoni?
Nimalizie kwa kuonyesha wana JF wenzangu picha zinazo thibitisha kwamba michezo ya ku-doctor picha ulianza zamani sana, wala uhitaji Computer kufanikisha hilo - computer haina akili za binadamu, itabaki kuwa a serial processor kwa kusubiri maagizo kutoka kwa binadamu na kufanya mahamuzi yaliyo kuwa programmed na mwanadamu, haina uwezo wa kwenda kinyume cha maagizo.
******************************************************************************************
Picha hapo chini ilipigwa mwaka 1860, hapa wali kuzuga watu kwa kumuonyesha Raisi Abraham Lincoln akiwa amesimama ofisini mwake; ukweli wa mambo ni kwamba walipachika kichwa cha Lincoln kwenye kiwiliwili cha mwana siasa mahili John Calhoun (angalia picha ya kulia)
[h=2]*********************************************************Picha upande wa kulia ilipigwa mwaka 1936, hapo ni Mao Tse-Tung na wanaharakati wenzake, Po Ku aliposhindwa kuelewana na Mao, basi DORA ikachezea picha (upande wa kushoto) kwa kuondoa sura ya Po Ku wakiwa na madhumuni ya kumfuta katika historia ya wana harakati wa Uchina.[/h]
*****************************************************************************************
2. Picha hapo chini ilipigwa mwaka 1939, Waziri Mkuu wa Canada L.Mackenzie alimuondoa King George VI kwenye original photo na kumbakiza Queen Elizabeth ili baadae atengeneze vipeperushi wakati wa kampeini vimuongezee sifa za kushinda uchaguzi eti kwa kuwa kupiga picha na Queen!!
******************************************************************************************
ayaaa!Wewe kweli kauzu kumbe umekuja JF kuahangaika na Ritz. tu.
Kwanza mie sina haja na chochote kutoka kwako vuvuzela tu. Lete hicho katabu au hadithi ya hotuba ya Nyerere.
Unatia huruma sana unaandika vitu bila ushahidi wowote halafu unataka watu wakuamini na ngano zako hujui chochote kuhusu historia ya Tanganyika wewe Dar es Salaam umekuja mwaka 1960 una nini wewe.
Naona ile kauli yako ya mkwala imejifia yenyewe sasa umefika wakati wa kumuumbua Mohamed Said. usemi tena saizi unali lia ovyo kuwa watu wanakesha JF wewe umekatazwa kukesha.
Jenga hoja usijenge viroja na bado utalia sana.
Mohamed, ulichokuwa unambishia Mag3 ni nini? Mag3 alikuuliza ukasema hujui, akakuuliza kuhusu Ali Ramadhani ukasema hakuwepo kumbe unajua na sasa unakiri kuwa rais wa kwanza wa AA hakuwa Sykes ingawa umeficha kusema katika founding members nani alikuwa Rais, mwekahazina na Makamu. Nadhani walengwa hawakuwa miongoni mwa wapendwa wako. Kama kivukoni kilivyoficha nawe pia umeficha ukweli, kwanini usote kidoele kwa wenzako vinne vikiwa vimekuelekea?
Hebu angalieni, Ibrahim Hamisi ametajwa kama Manyema wengine wakitajwa majina yao. Hapo anachotaka kusema ni kuwa Wamanyema ndio walioanza kuikomboa nchi hii kama alivyowahi sema asilimia 100 ni waislam
Ushahidi huu pia umemtaja Matola na sasa ni wazi kuwa ile ngano ya from Sykes to Sykes si kweli. Ahsante sana Mag3 maana taratibu nyoka anatoka pangoniTusijekataa kuwa urafiki wao uliishia hapo tu.Na Cameron alikuwa gavana wa Uingereza iliyokuwa chini ya Mfalme na mkuu wa Anglican, hili tusilisahau
Huyu Cameron alikuwa Mwanglican akifanya kazi chini ya mfalme ambaye ni mkuu wa kanisa la Anglican.
Mohamed aliwahi kulaani Tanzania kuwa mwanachama wa commonwealth iliyo chini ya kanisa.
Hapa anatuonyesha jinsi gani Anglican walivyokuwa wakarimu hadi kusaidia kuanzisha chama wakiwa sambamba na wazee wake
Abdulwahid remembered his father telling him the reasons for forming the Association''At that time there were two Associations existing. There was the European Association and the Indian Association. Both these were concerned with their own nationalities. But the Africans had no such Association to defend them. In the Legislative Council the Africans were represented by a white missionary named Father Gibbons, who worked at Minaki Mission several miles outside Dar es Salaam. But in reality this European did not establish any connections with the Africans whom he represented. For that reason the Africans, feeling unrepresented and having no Association similar to that of the Europeans and Asians for securing their rights, met and decided to form their own Association''
Hewalaaa! Mashallah! Hapa Sykes anawaambia wanawe sababu za kuundwa kwa AA kama chama cha kuwawakilisha Waafrika. Katika maneno yake Kleist hakuwahi kusema chama cha kuwawakilisha waislam. Sasa hili la Mohamed kuingiza uislam kalipata wapi.
Kleist Sykes kamkana, Abdul kamkana, Mohamed anaongelea akina nani?
Wenyewe wanamkana mchana kweupee!
: Hapa anasema ilikuwa imeundwa mbali na misingi ya udini na ukabila.
Kumbuka wanaosema hayo ndio wenye chama.
Sasa Mohamed anapata wapi kuelezea habari za Waislam na si Watanganyika.
Huko nyuma Mag3 aliwahi kumwambia Mohamed AA kilikuwa chama cha starehe.
Mohamed akasema si kweli sasa maandishi yanaonyesha kuwa hiyo ni kweli.
Soma mstari wa mwisho '' missionaries cautioned Christians not to involve themselves with the organisation as it would eventually lead to politics against the state'' Kwa maana kuwa hakikuwa chama cha siasa kwa kuanzia ingawa leo tunajua ndicho kilichozaa vyama vilivyofuata.
Mohamed ame skew history kwa bahati nzuri maandishi yake yanamjibuWewe ukiwa kama mwandishi na mtafiti hutakiwi kuwa kama waandishi makanja nja, unatakiwa u-provide authenticated proof. Mohamed where is the proof.
Unapotumia neno Christians kwa ujumla, je Maryknoll walikuwa wapagani?
Clement Mtamila, John Rupia, Dr Kyaruzi, Dunstan Mhando, Thomas Plantan, Cecil Matola n.k wao walisalimika vipi na zuio la kanisa?Kwanini iwe Christian collectively na si individuls.
Hivi ni sawa mtu kuwachukulia AMNUTau UAMSHO kama waislam in general. Hivi huoni hapa unauweka Uislam katika njia panda kitu ambacho si sahihi. Mtu atakaposema Waislam ni magaidi kwa kumwangalia Osama, Alshabaab au Taliban kama waislam na si makundi atakuwa amekosea?
Hapa anachokifanya ni kujenga taswira ya awali kuwa wakristo hawakushiriki katika harakati.
Ndivyo anavyoanza na elimination ili mwisho wabaki Wazulu, wamanyema na Wazee wake na hapo apigilie msumari wa moto.
Ukisoma between the lines utaona Mohamed anavyo change positions, anavyo misrepresent masimulizi kwa kuingiza fikra zake katikati ya ukweli.
Kleist Sykes anasema waliunda chama ili kuwa na uwakilishi wa Waafrika. Hakusema Manyema Zulu au waislam.
Abdul Sykes alirudia maneno ya baba yake kuwa waliunda chama kumkomboa mwafrika si Mzulu, Mmannyema au waislam
Hawa ndio wazalendo ambao leo maneno yao yanakuwa skewed ili kukidhi haja na kiu ya ubaguzi, farki na fitna katika jamii. Wanaofanya hivyo wametanguliza jina la Mwenyezi mungu na dini yake mbele. Sad!
Ritz nashukuru kwa mwaliko huenda ningekikosa kipande hiki, thread imefika mbali ati.
Mkuu Nguruvi3, umemaliza yote...mimi huyo Ritz kuanzia sasa sitahangaika naye tena, yeye ni tarumbeta tu (vuvuzela), muathirika anayemeza kila anayolishwa na huyo mchochezi Mohamed Said aliyehamisha kabisa kitanda chake JF na kukesha akitetea ngano zake. Kaazi kweli kweli!
Sir Donald Cameron aliandika kabisa kitabu kinaitwa My Service in Tanganyika na kuchapishwa na Oxford Press mwaka 1939 tusaidiane kukitafuta...kitakata kabisa mzizi wa fitina jinsi kiwanja kilivyotolewa na serikali ili AA ikiongozwa na Mwalimu Cecil Matola, iweze kupata pa kukutania kama ilivyokuwa kwa Wazungu na Waasia...tukumbuke kuwa mkutano wa kwanza wa kuizindua AA mwaka 1929 ulifanyika nyumbani kwake Mwalimu Cecil Matola, Mtanganyika.
ayaaa!
mbona umehamaki hivyo mkuu? Mag3 kajibu hoja na ushahidi anaweka, mbona wewe na mwalimu wako mnashindwa kujibu hoja na kutoa ushahidi badala yake majibu yenu ni ya kuhamaki kama hivi?
Buk,Yericko wakati mwingine unashangaza sana, hivi unafikili mambo ya ku-doctor picha kwa kupachika au kuondoa sura ambazo hazitakiwi na DORA umeanza leo!! Mbinu hizo zilianza tangu siku binadamu alipogundua jinsi ya kupiga/safisha picha za kudumu i.e mwaka 1826 na baadae usafishaji/upigaji ukaboreshwa zaidi na Eastman Kodak kwenye miaka ya 1880s.
Taifa ambalo lilikuwa limekubuhu katika uchakachuaji wa picha za wanasiasa ni URUSI wakati wa Utawala wa dikteita J.Stalin, wanasiasa wengi na watu mashuhuri walifutwa kwenye Historia ya URUSI na sura zao kuondolewa kwenye picha za pamoja - Looking back now nafikili wanafunzi Watanzania waliosomea Urusi mambo ya siasa za ki Marxists ndio walikuja kuwa washauri wakuu katika mambo ya siasi za kiimla na uchakachuaji wa historia wa Taifa letu - aidha kwa kutaka kujipendekeza au kwa lengo maalumu - ni vigumu kuelewa kilicho kuwa kinaendelea akilini mwao - kwa nini walikuwa wamepania kumfanya binadamu mwenzetu OMNIPOTENT?
Mimi siamini kama Mwalimu alikuwa anahafiki na kundi hili lilokuwa linampaka mafuta kwa mgongo wa chupa, wengi wao ndio tunawashuhudia wamekuwa mafisadi wa kutupwa baada ya Kambarage kutangulia mbele ya haki, kundi hili lilikuwa linamshauri vibaya Kambarage mpaka anajikuta anakorofishana na watu waliomkaribisha kwenye kundi lao bila ya ubaguzi, wanamtafutia walinzi, wanamtafutia mpishi wakati yuko katika safari za kisiasa mikoani, mpishi anahapishwa asimuwekee sumu kwenye chakula, wanabuni kila mbinu za kuhakikisha usalama wake na mengine mengi - baadae wanakuja kugeuziwa kibao na kuonekana ni watu wabaya SANA wataka shari!!
Hapo juu nimeona ndugu Jericko anazungumzia kuhusu apps za Computer, nafikili anazungumzia micro-computer (PC) kama sikosei, mkuu kwani Chuo Kikuu cha DSM hakijawahi kuwa na Main Frame au Mini Computers, je zilikuwepo tangu miaka gani? Je unajua zina uwezo wa ku-run programs zipi? Kwani unafikili hapakuwepo na programmes nyingine duniani zinazo husiana na michoro/picha kabla ya PHOTOSHOP kuingia sokoni?
Nimalizie kwa kuonyesha wana JF wenzangu picha zinazo thibitisha kwamba michezo ya ku-doctor picha ulianza zamani sana, wala uhitaji Computer kufanikisha hilo - computer haina akili za binadamu, itabaki kuwa a serial processor kwa kusubiri maagizo kutoka kwa binadamu na kufanya mahamuzi yaliyo kuwa programmed na mwanadamu, haina uwezo wa kwenda kinyume cha maagizo.
******************************************************************************************
Picha hapo chini ilipigwa mwaka 1860, hapa wali kuzuga watu kwa kumuonyesha Raisi Abraham Lincoln akiwa amesimama ofisini mwake; ukweli wa mambo ni kwamba walipachika kichwa cha Lincoln kwenye kiwiliwili cha mwana siasa mahili John Calhoun (angalia picha ya kulia)
*********************************************************Picha upande wa kulia ilipigwa mwaka 1936, hapo ni Mao Tse-Tung na wanaharakati wenzake, Po Ku aliposhindwa kuelewana na Mao, basi DORA ikachezea picha (upande wa kushoto) kwa kuondoa sura ya Po Ku wakiwa na madhumuni ya kumfuta katika historia ya wana harakati wa Uchina.