Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

The expression says it all "A man ahead of his time"

Ha ha haaa...Mzee Mohamed Said akiona picha ya Mwalimu nyerere anaona kama amerushiwa nyama ya nguruwe mdomoni.

Son Of Alaska endelea kututupia mapicha kwa faida ya wafia dini wa Gerezani.
 
WildCard,

Umechoka wewe usiwe msemaji wa wana JF acha watu wachote elimu kutoka kwa Mohame Said.
 
WildCard,

Umechoka wewe usiwe msemaji wa wana JF acha watu wachote elimu kutoka kwa Mohame Said.

elimu kutoka kwa Mohamed Said imefikia"dead end"kakutana na vichwa humu ana regret kukanyaga JF,naona ataji squeeze hata kwenye tundu la shindano kukimbia dhana hili-in the meantime mimi namwekea mapicha to keep him awake-ili atupe na kujibu hii barrage ya un un answered questions anayo ulizwa
 
Last edited by a moderator:

Mohamed Said,

Hizi nondo za historia ya Tanganyika unazitoa nusu nusu.
 
WildCard,

Umechoka wewe usiwe msemaji wa wana JF acha watu wachote elimu kutoka kwa Mohame Said.
huyo zomba bado yuko sidelined????? naona MS is struggling anahitaji msaada wa huyu yes man
 
Last edited by a moderator:
WildCard,

Umechoka wewe usiwe msemaji wa wana JF acha watu wachote elimu kutoka kwa Mohame Said.
Nimetumia neno "baadhi yetu", sifikirii wala sijawahi kuota kumsemea mtu humu. Mwambie mzee wetu atuwekee barua ya Ally kwenda kwa KK. Halafu atutafutie angalau picha ya kubumba ya Abdu alipokutana Jomo Kenyatta
 
Abdu alishakuwa "spent force" wakati huo. Labda Mzee Mohamed atueleze kwa nini Abdu na akili zake nyingi, uongozi wake mzuri,..., hakuingia kwenye serikali ya Mwalimu badala yake Ally akaja kuwemo kama Balozi wetu Ulaya.

Abdulwahid kafariki lini? Au kazi ni moja tu kupinga mpaka mwisho.
 
Mohamed Said,

Hizi nondo za historia ya Tanganyika unazitoa nusu nusu.
Bora umuokoe mzee huyu kwa njia hii. Kali kabisa ni hii, nanukuu kwa ruhusa yako mzee Mohamed, "This behaviour by the Association and its leadership had transformed it a de facto political party", mwisho wa kunukuu.
 
Endelea kujifariji na kujiliwaza bahati nzuri au mbaya Mohamed Said anakuja na data na facts za kutosha nyie mnakuja na maneno matupu hiyo ndiyo tofauti yenu na Mohamed Said.

Mohamed Said khabari ingine.
 
Last edited by a moderator:
Nimetumia neno "baadhi yetu", sifikirii wala sijawahi kuota kumsemea mtu humu. Mwambie mzee wetu atuwekee barua ya Ally kwenda kwa KK. Halafu atutafutie angalau picha ya kubumba ya Abdu alipokutana Jomo Kenyatta

Baadhi yenu wangapi? Kuna watu zaidi ya 80,000 wanafuatilia huu uzi. Hebu tutajie ambao hamtaki.
 
Dogo hilo?
 
Mohamed Said,

Anatoa darsa hata yule mtu ambaye akwenda shule kabisa anamuelewa kwa kiasi kikubwa.
 
Baadhi yenu wangapi? Kuna watu zaidi ya 80,000 wanafuatilia huu uzi. Hebu tutajie ambao hamtaki.
Wengi tu. Hasa tuliouanza mnakasha huu tokea mwanzo. Nukuu zenyewe zinajirudia tuuu!
 
Mohamed Said,

Anatoa darsa hata yule mtu ambaye akwenda shule kabisa anamuelewa kwa kiasi kikubwa.
Ni kweli kabisa. Hata misikitini anakohubiri wamemwelewa sana. Jina la Mwalimu likitajwa tu huko, inafuata "laana tullah!"
 
Labda kama kuna mahali sijapaelewa,lakini maandishi ndivyo yanavyosomeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…