Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

KWA hiyo hapa kulikuwa na mkalimani?? au waliongea kiarabu naomba utujuze Mohamed Said

""Nitakuongeza pia kuwa Baraza la Udhamini lilipokuja Tanganyika mwaka 1950 aliyetoa maelezo ya TAA alikuwa
Said Chamwenyewe"
 
Last edited by a moderator:
KWA hiyo hapa kulikuwa na mkalimani?? au waliongea kiarabu naomba utujuze Mohamed Said

""Nitakuongeza pia kuwa Baraza la Udhamini lilipokuja Tanganyika mwaka 1950 aliyetoa maelezo ya TAA alikuwa
Said Chamwenyewe"

Son...

Yericko sahib wangu alinitahadharisha wakati huo mie mgeni hapa
barzani akanambia nisikasirike nikitaniwa hapa jamvini kwani si vyema
tukawa serious wakati wote.

Tunahitaji kuchekeshana.
 
nimeshasoma mahali huyu Said cha mwenyewe akipanda baiskeli toka dar mpaka rufiji kuhamasisha watu kujiunga na TANU-hii kweli inawezekana au ndio ku prop up un sung heroes-what i know hii njia ilikuwa infested na man eating lions
 
Son...

Yericko sahib wangu alinitahadharisha wakati huo mie mgeni hapa
barzani akanambia nisikasirike nikitaniwa hapa jamvini kwani si vyema
tukawa serious wakati wote.

Tunahitaji kuchekeshana.

hakuna kucheckeshana hapa-sisi tunauliza maswali hili tujaze jigsaw ya historia yetu-tukihisi kitu hakieleweki tunauliza
 
Mbona kina Sykes wametajwa katika maandiko mbalimbali ya TANU na mchango wao?
 
Hakukuwa na UONGOZI wa KISIASA wala CHAMA cha siasa wakati huo. Walikuwepo akina Abdu na TAA yao ya Kariakoo lakini hawakuwa viongozi wa kisiasa wala TAA hakikuwa chama cha siasa. Ni ukweli mchungu mno kwako huu.

wakati huo kilikuwa chama cha ghahawa na kucheza bao
 
Hakukuwa na UONGOZI wa KISIASA wala CHAMA cha siasa wakati huo. Walikuwepo akina Abdu na TAA yao ya Kariakoo lakini hawakuwa viongozi wa kisiasa wala TAA hakikuwa chama cha siasa. Ni ukweli mchungu mno kwako huu.

WC,

Huyu Abdu Sykes hakuwa lolote ndugu yangu wala asitushughulishe.
Hiyo TAA yao wakinywa kahawa kutwa nzima.
 
Baada ya Julai 7, 1954, Abdu alibaki na cheo gani ndani ya TANU ya St Francis Pugu?
 
MM,

Mwalimu mwenyewe alikuwa hajui kitu.
Si unaniona mwanafunzi wake hapa jamvini sina moja nilijualo.

inabidi ujifunze mantiki tena; huwezi kutengeneza hoja huku unavunja kanuni zote za mantiq... huitendei kazi hiyo elimu...
 
inabidi ujifunze mantiki tena; huwezi kutengeneza hoja huku unavunja kanuni zote za mantiq... huitendei kazi hiyo elimu...

MM,

Haya yote yule mwalimu alikuwa hana moja alijualo na matokeo
yake ndiyo mimi mwanafunzi wake natia aibu JF.

Wala sisomi tena nimkomeshe yule mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…