Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Aligombea URAIS wa KWANZA wa TANU mpya ya St Francis Pugu. Akakosa. Akapewa cheo gani baada ya hapo? Mwalimu hakuwa mchoyo.
Abdu ni wa TANU iliyoanzia Burma.
Mohamed Said katika hadithi zake zote anajaribu kulazimisha jambo lisilokuwepo. Kana kwamba uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa kutumia nguvu. Wakati ni ukweli ulio wazi kwamba uhuru ulipatikana kupitia intellectualism. And guess who provided the necessary intellect by then!!!!! Leo tutaweka darsa kwa wale wanaolishwa ngano na kuziamini bila hata kufikiri wala kufanya utafiti.
Kwanza historia ya uhuru wa Tanganyika haianzii kwa Kleist Sykes, that is a lie "an absolute lie". Historia ya uhuru wa Tanganyika inaanzia kushindwa vita wajerumani: Kama wasemavyo wakoloni wenyewe hapa chini:
To make a long story short ni kwamba baada ya Tanganyika kuwa Trust territory under UN charter, kilichotakiwa kufanywa na watanganyika ni kuonyesha kuwa wako tayari kujitawala. And guess what, A Tanganyikan presented a case before a UN on behalf of the people kuwa tuko tayari kujitawala. Hapo hakukuwa na dini wala baba yake kabila bali ni hoja ya why should Tanganyilka be independent. UN walituma wawakilishi wao kuja kuhakiki and they went all around Tanganyika na ndipo hapa role ya vyama vya wakulima kama vile KNCU, RNCU, KCU vilipoplay part yake. MS awaeleze wawakilishi wa UN walifika gerezani na walikutana na nani?
And guess who made our case, hii ni kwa mujibu wa wakoloni waliokuwa wakisisitiza kuwa hatuko tayari kujitawala:
More:
The statement below has a lot to do with Nyumba inayodaiwa kupewa AA:
Wakoloni wanaendelea:
In short hakuna cha bastola ya Abdu wala mgomo uliyoorganiziwa na Babu ya MS au kifimbo cha Nyerere ndiyo vilimuondoa mkoloni. Time was up and the case was stated and proven. And the guy who did it made it because of intellect and wisdom that was acquired thru education period. Hizi habari za kina kiatu sijui Nyerere alikula dinner na nani au alilala wapi is just spicing of the whole event!
Post ifuatayo nabandika the hansard kutoka bunge la uingereza yenye jina:
TANGANYIKA INDEPENDENCE BILL
HANSARD 18032005 → 1960s → 1961 → November 1961 → 16 November 1961 → Lords Sitting
HL Deb 16 November 1961 vol 235 cc732-58
Ingieni humo mpate darasa.
Hakukuwa na UONGOZI wa KISIASA wala CHAMA cha siasa wakati huo. Walikuwepo akina Abdu na TAA yao ya Kariakoo lakini hawakuwa viongozi wa kisiasa wala TAA hakikuwa chama cha siasa. Ni ukweli mchungu mno kwako huu.
Hili swali nilikuuliza mimi, mbona unali-direct kwa Zomba?Zomba,
Inakuwa rahisi kama niko Dar kwenda pale RTD na kuonana nao badala ya kuwapigia simu ukiwa Marekani eti wakutumie tape/cd huko Marekani. Nilishajaribu hapo awali haikuwezekana. Lakini nikiwa hapo uso kwa uso ni rahisi kupitisha deal.
Abdu Sykes kwani anahusika na TANU?
naona mjadala umekupalia naona unaleta kebehi za "uborntown"
Hili swali nilikuuliza mimi, mbona unali-direct kwa Zomba?
Pili Zomba alikurahisishia, anasema unaweza kutuma PM kwa Yericko halafu atapewa dollars na Zomba akaichukue.
Mzee Mohamed Saidi, unafanya mizaha au ndio umekusudia?Nguruvi3,
Zomba anakutosha mie kuingia ni ''over kill.''
Nakujibu kwa kuwa kwa hiyo ''mwalimu'' umenikusudia mie.
Kwa ajili hii nitakujibu.
Katika ukumbi huu sijaona mtu ambae anaweza kunifanya mimi
nioneshe visigino vyangu.
Na ngoja nikueleze Zomba wala si ''mwanafunzi'' kwa maana yako.
Zomba ni ''more than average.''
Wewe nimekusoma na ninamsoma Zomba.
Hujafikia hata kugusa ''intellect'' yake.
Kama kuna walimu unawajua waonyeshe post za Zomba na waambie
wazifanyie ''assessment'' kisha wape na zako.
Unajua sisi kuwa wakati huwa tunajizuia kwa ajili ya adabu ya mjadala
na uungwana hatupendi kukuambieni kweli ya nafsi zetu kuwa tunakuoeneni
vipi katika ufundi wa kuandika hata kupanga hoja.
Ndipo niliposema wakati fulani.
Tunao wengi humu lakini kwa kuwa chombo hakizami basi na tuendelee na
safari.
Mzee Mwanakijiji, amini kabisa kuna watu wanayatumia maneno bila hata kujua maana ya maneno hayo!Nilikuwa napenda sana kuuliza kama umejifunza mantiki; lakini kama umejifunza na bado unaandika unavyoandika itabidi tumtafute Mwalimu wako tumuulize alikufundisha mantiki gani...
Si ndio maana nikakuambia mtumie Yericko Nyerere, ni mtoto wa Nyerere kwahio itakua rahisi kuipata.Aah, kumbe uliuliza wewe? Basi jibu ni hilo hilo. Lakini nitakupa siri moja kuhusu TBC. Huwezi kwenda pale kama huna mtu unayefahamiana naye na kuomba tape na kuipata kihivi hivi. Kwanza wamekuwa wakali sana kuzitoa hizi tapes za speech za Mwalimu. Lakini kwa kutumia "personal diplomacy" unaweza kufanikiwa. That is what I intend to do na ndio maana nimewaombeni nyote muwe na subira na tuombeane uzima.