Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

nyerere_mkapa_and_warioba.jpg
 
Aligombea URAIS wa KWANZA wa TANU mpya ya St Francis Pugu. Akakosa. Akapewa cheo gani baada ya hapo? Mwalimu hakuwa mchoyo.

Abdu ni wa TANU iliyoanzia Burma.

WC,

Hiyo itatuvurugia historia rasmi ya Kivukoni.
 
Mohamed Said katika hadithi zake zote anajaribu kulazimisha jambo lisilokuwepo. Kana kwamba uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa kutumia nguvu. Wakati ni ukweli ulio wazi kwamba uhuru ulipatikana kupitia intellectualism. And guess who provided the necessary intellect by then!!!!! Leo tutaweka darsa kwa wale wanaolishwa ngano na kuziamini bila hata kufikiri wala kufanya utafiti.

Kwanza historia ya uhuru wa Tanganyika haianzii kwa Kleist Sykes, that is a lie "an absolute lie". Historia ya uhuru wa Tanganyika inaanzia kushindwa vita wajerumani: Kama wasemavyo wakoloni wenyewe hapa chini:



To make a long story short ni kwamba baada ya Tanganyika kuwa Trust territory under UN charter, kilichotakiwa kufanywa na watanganyika ni kuonyesha kuwa wako tayari kujitawala. And guess what, A Tanganyikan presented a case before a UN on behalf of the people kuwa tuko tayari kujitawala. Hapo hakukuwa na dini wala baba yake kabila bali ni hoja ya why should Tanganyilka be independent. UN walituma wawakilishi wao kuja kuhakiki and they went all around Tanganyika na ndipo hapa role ya vyama vya wakulima kama vile KNCU, RNCU, KCU vilipoplay part yake. MS awaeleze wawakilishi wa UN walifika gerezani na walikutana na nani?

And guess who made our case, hii ni kwa mujibu wa wakoloni waliokuwa wakisisitiza kuwa hatuko tayari kujitawala:



More:



The statement below has a lot to do with Nyumba inayodaiwa kupewa AA:



Wakoloni wanaendelea:



In short hakuna cha bastola ya Abdu wala mgomo uliyoorganiziwa na Babu ya MS au kifimbo cha Nyerere ndiyo vilimuondoa mkoloni. Time was up and the case was stated and proven. And the guy who did it made it because of intellect and wisdom that was acquired thru education period. Hizi habari za kina kiatu sijui Nyerere alikula dinner na nani au alilala wapi is just spicing of the whole event!

Post ifuatayo nabandika the hansard kutoka bunge la uingereza yenye jina:

TANGANYIKA INDEPENDENCE BILL



HANSARD 1803–2005 → 1960s → 1961 → November 1961 → 16 November 1961 → Lords Sitting
HL Deb 16 November 1961 vol 235 cc732-58

Ingieni humo mpate darasa.

Duuh!
Nyambala, all I can say is ulikuwa wapi?
 
Hakukuwa na UONGOZI wa KISIASA wala CHAMA cha siasa wakati huo. Walikuwepo akina Abdu na TAA yao ya Kariakoo lakini hawakuwa viongozi wa kisiasa wala TAA hakikuwa chama cha siasa. Ni ukweli mchungu mno kwako huu.

Huo ni ukweli mchungu kwa Mohamed Said,

Nililieleza awali hilo kuwa filosofia ya AA,TAA na TANU zinatofautiana sana tena sana.
 
Mzee Said, quick question... unaweza kutukumbusha ni lini Abdulwahid Sykes alimshauri Nyerere juu ya kuacha ualimu na kuingia katika siasa? do we have a specific date?
 
Zomba,
Inakuwa rahisi kama niko Dar kwenda pale RTD na kuonana nao badala ya kuwapigia simu ukiwa Marekani eti wakutumie tape/cd huko Marekani. Nilishajaribu hapo awali haikuwezekana. Lakini nikiwa hapo uso kwa uso ni rahisi kupitisha deal.
Hili swali nilikuuliza mimi, mbona unali-direct kwa Zomba?
Pili Zomba alikurahisishia, anasema unaweza kutuma PM kwa Yericko halafu atapewa dollars na Zomba akaichukue.
 
naona mjadala umekupalia naona unaleta kebehi za "uborntown"

Son,

Ndugu yangu nyie wenyewe ndiyo mnavuruga mnakasha halafu lawama mnataka kunitupia miye.

Born town!

Mimi nimezaliwa pale Traffic pembeni kulikuwa na hosptali nadhani hadi leo
ipo.

Miaka ya nyuma ilikuwa ni hospitali ya kifua kikuu.
Nimezaliwa mjini kabisa.

Nyambala kashuka na Hansard nzito na kutamba juu.
Nikamwekea vipi TAA ilikuwa 1950 kuhusu Mandate Territory.

Nyambala kapoa kama maji ndani ya jokofu juu kwenye barafu.

Na huyu kaingia na vishindo ati anitishe mie.

Kuweka ile nyote mko kimya mnakuja na kejeli na mie nakulipeni na sarafu yenu wenyewe.

Nakuwekeeni tena lakini safari hii nabadilisha rangi nakuwekeeni ya Kizungu.

TAA HQ, New Street, Dar es Salaam 1950
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Having established the political committee, Abdulwahid settled down to write to all TAA branches in the territory in order to revitalise them.

The major issue facing Abdulwahid and the political committee was the status of Tanganyika as a mandate territory.

Abdulwahid engaged Earle Seaton, a lawyer from Bermuda based in Moshi, and attached him to the committee to advise them on constitutional law and decolonisation of mandate territories under foreign rule.

The United Nations Trusteeship Council had already sent its first visiting mission to Tanganyika in 1948; but not much was gained from this mission.

TAA headquarters in Dar es Salaam under Dr Kyaruzi and Abdulwahid with the backing of the political committee was now rising from its deep slumber.

What was now required were serious issues to stimulate the minds of the young intellectuals.

The TAA leadership did not have to look far.

These issues came in the form of the Constitutional Development Committee set up by Governor Edward Twining and the Meru land evictions.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kwa wale ambao bado wanaamini kuwa shule na hospitali za misheni zililipiwa au kugharimiwa na hela za serikali, ya kikoloni au ya uzalendo, jibu lenu hili hapa, thanks to Nyambala:

Thanks to the work of the civil servants, missionaries and others who have done so much to help, the country is provided with roads, railways, harbours, hospitals and schools.
 
Hili swali nilikuuliza mimi, mbona unali-direct kwa Zomba?
Pili Zomba alikurahisishia, anasema unaweza kutuma PM kwa Yericko halafu atapewa dollars na Zomba akaichukue.

Aah, kumbe uliuliza wewe? Basi jibu ni hilo hilo. Lakini nitakupa siri moja kuhusu TBC. Huwezi kwenda pale kama huna mtu unayefahamiana naye na kuomba tape na kuipata kihivi hivi. Kwanza wamekuwa wakali sana kuzitoa hizi tapes za speech za Mwalimu. Lakini kwa kutumia "personal diplomacy" unaweza kufanikiwa. That is what I intend to do na ndio maana nimewaombeni nyote muwe na subira na tuombeane uzima.
 
Nguruvi3,

Zomba anakutosha mie kuingia ni ''over kill.''
Nakujibu kwa kuwa kwa hiyo ''mwalimu'' umenikusudia mie.

Kwa ajili hii nitakujibu.

Katika ukumbi huu sijaona mtu ambae anaweza kunifanya mimi
nioneshe visigino vyangu.

Na ngoja nikueleze Zomba wala si ''mwanafunzi'' kwa maana yako.
Zomba ni ''more than average.''

Wewe nimekusoma na ninamsoma Zomba.
Hujafikia hata kugusa ''intellect'' yake.

Kama kuna walimu unawajua waonyeshe post za Zomba na waambie
wazifanyie ''assessment'' kisha wape na zako.

Unajua sisi kuwa wakati huwa tunajizuia kwa ajili ya adabu ya mjadala
na uungwana hatupendi kukuambieni kweli ya nafsi zetu kuwa tunakuoeneni
vipi katika ufundi wa kuandika hata kupanga hoja.

Ndipo niliposema wakati fulani.

Tunao wengi humu lakini kwa kuwa chombo hakizami basi na tuendelee na
safari.
Mzee Mohamed Saidi, unafanya mizaha au ndio umekusudia?
 
Nilikuwa napenda sana kuuliza kama umejifunza mantiki; lakini kama umejifunza na bado unaandika unavyoandika itabidi tumtafute Mwalimu wako tumuulize alikufundisha mantiki gani...
Mzee Mwanakijiji, amini kabisa kuna watu wanayatumia maneno bila hata kujua maana ya maneno hayo!
 
Aah, kumbe uliuliza wewe? Basi jibu ni hilo hilo. Lakini nitakupa siri moja kuhusu TBC. Huwezi kwenda pale kama huna mtu unayefahamiana naye na kuomba tape na kuipata kihivi hivi. Kwanza wamekuwa wakali sana kuzitoa hizi tapes za speech za Mwalimu. Lakini kwa kutumia "personal diplomacy" unaweza kufanikiwa. That is what I intend to do na ndio maana nimewaombeni nyote muwe na subira na tuombeane uzima.
Si ndio maana nikakuambia mtumie Yericko Nyerere, ni mtoto wa Nyerere kwahio itakua rahisi kuipata.
 
Back
Top Bottom