Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,171
Son,
Ndugu yangu nyie wenyewe ndiyo mnavuruga mnakasha halafu lawama mnataka kunitupia miye.
Born town!
Mimi nimezaliwa pale Traffic pembeni kulikuwa na hosptali nadhani hadi leo
ipo.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni hospitali ya kifua kikuu.
Nimezaliwa mjini kabisa.
Nyambala kashuka na Hansard nzito na kutamba juu.
Nikamwekea vipi TAA ilikuwa 1950 kuhusu Mandate Territory.
Nyambala kapoa kama maji ndani ya jokofu juu kwenye barafu.
Na huyu kaingia na vishindo ati anitishe mie.
Kuweka ile nyote mko kimya mnakuja na kejeli na mie nakulipeni na sarafu yenu wenyewe.
Nakuwekeeni tena lakini safari hii nabadilisha rangi nakuwekeeni ya Kizungu.
TAA HQ, New Street, Dar es Salaam 1950
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Having established the political committee, Abdulwahid settled down to write to all TAA branches in the territory in order to revitalise them.
The major issue facing Abdulwahid and the political committee was the status of Tanganyika as a mandate territory.
Abdulwahid engaged Earle Seaton, a lawyer from Bermuda based in Moshi, and attached him to the committee to advise them on constitutional law and decolonisation of mandate territories under foreign rule.
The United Nations Trusteeship Council had already sent its first visiting mission to Tanganyika in 1948; but not much was gained from this mission.
TAA headquarters in Dar es Salaam under Dr Kyaruzi and Abdulwahid with the backing of the political committee was now rising from its deep slumber.
What was now required were serious issues to stimulate the minds of the young intellectuals.
The TAA leadership did not have to look far.
These issues came in the form of the Constitutional Development Committee set up by Governor Edward Twining and the Meru land evictions.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
We mzee una matatizo kweli yaani mimi nimeleta hansard wewe umeenda kujinukuu kuna ulinganisho hapo?? Halafu eti nimepoa, au sijui nimekukimbia hahahaha!!!! Nadhani hiyo hansard imekuchoma sana and I betcha ni mara yako ya kwanza kuiona halafu unatamba eti umeandika historia ya Tanganyika what a joke? Karibu JF.
Tatizo mzee wetu unafanya mjadala kwa ushindani na kinachokusumbua ni ile "trophy collecting mentallity" katika kila mjadala. Hiyo ningekushauri uwaachie vijana wako, haipendezi kwa umri na staha yako. Hansard hiyo ni fact kitu amabacho katika hadithi zako huweki. Yaani hata vipande vya magazeti vya wakati huo umeshindwa kuleta.
Unachotakiwa kufahamu sisi wengine tuko busy, you have to work, play some games, pick kids from school, sleep etc. Sasa wewe ndugu yetu uliyeamua kukesha humu you know how you get ur bread.