Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mwanakijiji na Mzee Mohamed Said, poleni sana na mjadala huu, nawaomba sana wazee wangu nyinyi punguzeni jazba, nyinyi ni alama ya sauti kuu ya mnakasha huu, masihara ni mazuri kwenye mjadala kama huu lakini yasiende mbali.

Turejee kwenye meza yetu ya mnakasha.
 
Mkuu umenikumbusha mbali yaani kumfananisha mzee Mwanakijiji na Abu Jahal wala hujakosea, siku moja Amru Ibn Hisham na wenzake walikuwa wamekaa palee Darul nadwa kwa sasa hivi ni sawa na bungeni Dodoma wakawa wanapanga jinsi ya kumuua mtume Mohamad (SAW) akawa anawaambia wenzake ongeeni taratibu Mungu wa MOHAMAD asitusikie na ndio kuanzia hapo mtume mohamed(SAW) akamuita Abu Jahal(baba wa wajinga)
 
Haya ni majungu!
 

Ni bora sana kwa wanaosuguana na serikali kuliko uovu anaofanya Mohamed Saidi. Huyu anawagonganisha watanzania wakosane na hatimae wauwane kwa misingi ya imani zao!
 
Wewe kama wewe hutaona chochote kibaya juu ya huyu mzee muovu kwa kuwa unamuangalia kwa jicho la uislam na si vinginevyo!
 
Hii ndio dalili tosha ya kuzidiwa na uzito wa hoja! pole sana kijana, msitafute visingizio, tafuteni majibu sahihi kwa matatizo yenu!
 
Ni bora sana kwa wanaosuguana na serikali kuliko uovu anaofanya Mohamed Saidi. Huyu anawagonganisha watanzania wakosane na hatimae wauwane kwa misingi ya imani zao!

.......

Nikweli kabisa, hili tulikemee sana.
 

Mohamed Said, taarifa huwa hazimilikiwi na mtu mmoja, wala hutaweza kutudanganya kwamba ulichokileta hapa ulikijua wewe peke yako!ndio maana ulileta maandishi ambayo mengine hayakuwa yako.
 
Nikweli kabisa, hili tulikemee sana.

Hili nilijua utalisupport wewe na kile chama cha maandamano ni uji na mgonjwa nakukumbusha kidogo bwana mdogo mpaka sasa hivi kitabu hichi ambacho unakiita cha uchochezi hakija sababisha mauaji, hao wanasiasa hasa wa hicho chama chako walisababisha damu kumwagika Arusha nani bora?na ninakumbuka siku ile ya mkutano pale NMC nilikuwepo Dr slaa alisema "Hivi munakubali mwenyekiti wenu akawekwe ndani? watu wakasema hatukubali ndipo watu wakatoka kuelekea kituo cha polisi yaliyo wakuta wanajua wenyewe!swali kwako Yericko, Mzee Mohamed said na Dr Slaa nani mchochezi?
 

naona kijana unatafuta ban kwa nguvu zote, muda si mrefu utakula ban...
 

Zingatia sheria za jf ili usikumbane na lungu la Mods,

Kuniita Yericko X ni kinyume na miiko na maadili ya jf.

Kwaheshima ya jukwaa na wanaotufuatilia hapa, nakusihi ulifute hilo neno hapahapa nakuwaomba radhi wasomaji wetu kisha tusonge mbele ndugu.
 
Mohamed,'
Huo mstari mwekundu umeurudia mara khamsa ishirini na kitu. Hakuna mahali popote pale kwenye kitabu cha Dr John C. Sivalon ambako anaashiria conclusion hiyo. The church has never declared islam as it's enemy. Sijaona mahali popote pale.
 

Naona Chadema inawanyima usingizi. Na bado!
 
acha wazee watwangane kidogo, ndo raha ya kijiweni,
 
Hivi kama hauna taasisi za kupewa misamaa ya kodi unataka watu/serikali ije kuwagawia hela kweli? Anzisha taasissi alafu isipewe msaada then dai haki yakooooooooo!!
 
Hivi kama hauna taasisi za kupewa misamaa ya kodi unataka watu/serikali ije kuwagawia hela kweli? Anzisha taasissi alafu isipewe msaada then dai haki yakooooooooo!!

.......

Wao hilo hilo haliwahusu, wanachotaka ni MOU tu bila kujua uhalisia wa hiyo MOU.Wanahisi ni pesa ya walipakodi wa tanzania kumbe ni ya wajerumani.
 

Ok nimekubali kosa pengine ni jazba sawa mkuu naomba basi unijibu swali langu
 
naona unatumia akili za kushikiwa,
wee hujui ni sifa kutemewa mate ni mzungu?
mbona Rais wako anatemewa mate asaiv na bado anachekacheka tu?


......

Unawaibisha wasambaa wenzako. Kutemewa mate na mzungu ndio sifa?

Waulize wa babu zako kwanini watoto wa kisambaa enzi hizo za mjerumani hawapendi kukatizia pale kilichokua chuo cha mahakama ambapo enzi hizo ilikua Deutch Schule.

Kama walikua wanapenda kutemewa mate kwanini wasitumie ile njia ya mkato kutokea Kituja kwenda Mbula?
 
Reactions: Ami
teh teh teh teh! Darwin bana!
unanielewa tofauti kabisa, pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…