Tofauti yakuwadanganya watanzania kwa kuleta gazeti la mkoloni Mjerumani wakati wenzako wanaongelea magazeti ya kizalendo.teh teh teh teh! Darwin bana!
unanielewa tofauti kabisa, pole sana.
......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti yakuwadanganya watanzania kwa kuleta gazeti la mkoloni Mjerumani wakati wenzako wanaongelea magazeti ya kizalendo.teh teh teh teh! Darwin bana!
unanielewa tofauti kabisa, pole sana.
......
Wala hakuna aliyeiba password yake na wala sijaona mtu akimwambia atapigwa ban ila ongea hivyo utakiona cha moto na likes hujaona kapewa na zumbemkuu?Mwanakijiji una uhakika hakuna mtu aliyeiba password yako?
Hawa waliokamatwa na Kikwete kosa ni lake na wale waliokamatwa na Nyerere jukumu ni lake.Siku ikiandikwa historia ya Kikwete atakayewacha kuandika historia yake ya kuwa raisi wa mwanzo wa kiafrika kuitwa washington na kupokea mashinikizo ya kuwafitinisha raia wake basi atakuwa hakuitendea wema historia ya Kikwete.hivi unajua kuna mashehe wangapi wako ndani leo nchini? na unajua nani anaagiza kukamatwa kwao - Jakaya Kikwete - MUislamu!
Huu mkataba umesoma?.Hauna sehemu unayosomeka pesa itatoka Ujerumani.Kama hujausoma USOME BASI.Wao hilo hilo haliwahusu, wanachotaka ni MOU tu bila kujua uhalisia wa hiyo MOU.Wanahisi ni pesa ya walipakodi wa tanzania kumbe ni ya wajerumani.
Kumbe Samora mwaka 1905 ilikuw kama Ulaya.SAMORA AVENUE 1905 enzi hizo ikiitwa "Unter den Akazien"
![]()
Wa alaykum salaam wa marhabaa.Assalam Aleykum.
Mkuu ninaifahamu vema MOU ya makanisa,Huu mkataba umesoma?.Hauna sehemu unayosomeka pesa itatoka Ujerumani.Kama hujausoma USOME BASI.
Nilichokiona zaidi ni kutajwa kanisa na serikali.Ikitajwa serikali walipakodi ni sisi.Wajerumani na wakoloni wenzao hawana mali wanatumia ujinga wenu kujineemesha
Assalam Aleykum.
![]()
Ok nimekubali kosa pengine ni jazba sawa mkuu naomba basi unijibu swali langu
Mohamed,'
Huo mstari mwekundu umeurudia mara khamsa ishirini na kitu. Hakuna mahali popote pale kwenye kitabu cha Dr John C. Sivalon ambako anaashiria conclusion hiyo. The church has never declared islam as it's enemy. Sijaona mahali popote pale.
Waaleykum salaam habar lyaum pole mkuu karibu kwanza kahawa na kashata ha ha haa, wanataka kuizima nuru ya mwenyezi mungu kwa midomo yao wala hawataweza mwenyezi mungu ataitimiza nuru yake japokuwa makaf wanachukia QURAN 9:32Assalam Aleykum.
![]()
mmeanza siku nyingi kufarakana-Bakwata ni byproduct
A 1930s tussle over leadership of a local Islamic institution, the
Jamaitul al-Islamiyya Umumiyya, for example, arose from tensions between
local coastal Muslims and African immigrants including the Manyema
Son...
Ugomvi huu wa Al Jamiatul Islamiyya wa miaka ya 1940s
naufahamu huwezi kufananisha na BAKWATA.
Ule wa wa 1940s ulikuwa katika mambo ya kiakida na kukataa
kuingoizwa na Wamanyema, Wanubi na Wazulu.
Wazaramo, Warufiji, Wamashomvi nk. waliona kama vile sasa wao
wanatawaliwa na wageni ''watu wa kuja.''
BAKWATA imeanzisha na Nyerere.
Hii ndiyo tofauti kubwa ya ugomvi wa Waislam na BAKWATA.
Son...
Ugomvi huu wa Al Jamiatul Islamiyya wa miaka ya 1940s
naufahamu huwezi kufananisha na BAKWATA.
Ule wa wa 1940s ulikuwa katika mambo ya kiakida na kukataa
kuingoizwa na Wamanyema, Wanubi na Wazulu.
Wazaramo, Warufiji, Wamashomvi nk. waliona kama vile sasa wao
wanatawaliwa na wageni ''watu wa kuja.''
BAKWATA imeanzisha na Nyerere.
Hii ndiyo tofauti kubwa ya ugomvi wa Waislam na BAKWATA.
Waaleykum salaam habar lyaum pole mkuu karibu kwanza kahawa na kashata ha ha haa, wanataka kuizima nuru ya mwenyezi mungu kwa midomo yao wala hawataweza mwenyezi mungu ataitimiza nuru yake japokuwa makaf wanachukia QURAN 9:32