Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mwanakijiji una uhakika hakuna mtu aliyeiba password yako?
Wala hakuna aliyeiba password yake na wala sijaona mtu akimwambia atapigwa ban ila ongea hivyo utakiona cha moto na likes hujaona kapewa na zumbemkuu?
 
hivi unajua kuna mashehe wangapi wako ndani leo nchini? na unajua nani anaagiza kukamatwa kwao - Jakaya Kikwete - MUislamu!
Hawa waliokamatwa na Kikwete kosa ni lake na wale waliokamatwa na Nyerere jukumu ni lake.Siku ikiandikwa historia ya Kikwete atakayewacha kuandika historia yake ya kuwa raisi wa mwanzo wa kiafrika kuitwa washington na kupokea mashinikizo ya kuwafitinisha raia wake basi atakuwa hakuitendea wema historia ya Kikwete.
Kwa muktadha wa huu mjadala kukamatwa kwa masheikh wakati wa Nyerere ni jambo la kihistoria ambalo Mohammed amelitaja kwa vizuri.Sasa huu ni uchochezi au ndio ukweli wenyewe?.
Eleza kipi unakipinga na kipi unakiunga mkono.
 
Wao hilo hilo haliwahusu, wanachotaka ni MOU tu bila kujua uhalisia wa hiyo MOU.Wanahisi ni pesa ya walipakodi wa tanzania kumbe ni ya wajerumani.
Huu mkataba umesoma?.Hauna sehemu unayosomeka pesa itatoka Ujerumani.Kama hujausoma USOME BASI.


Nilichokiona zaidi ni kutajwa kanisa na serikali.Ikitajwa serikali walipakodi ni sisi.Wajerumani na wakoloni wenzao hawana mali wanatumia ujinga wenu kujineemesha
 
Assalam Aleykum.
Wa alaykum salaam wa marhabaa.
Huna haja ya kutoa kisa chako cha kuwekwa kuzuizini.Tunajua umepata suna ya Mitume.
Ingia kazini kama mwenzako Zomba
 
Mkuu ninaifahamu vema MOU ya makanisa,

Undani wahiyo ni kuwa serikali imesimama kama mdhamini tu lakini wahusika ni makanisa ya tz na ujerumani.

Hakuna pesa yamlipakodi wa nchi hii inayohusika na MOU.
 
Assalam Aleykum.


Karibu sana rafiki, pole sana kwa adhabu ya jf,

Nakusihi zingatia sheria za jf mkuu wangu ili tusonge mbele salama na kuwasomesha wenzetu historia ya nchi yetu.
 
mmeanza siku nyingi kufarakana-Bakwata ni byproduct

A 1930s tussle over leadership of a local Islamic institution, the
Jamaitul al-Islamiyya Umumiyya, for example, arose from tensions between
local coastal Muslims and African immigrants including the Manyema
 
Mohamed,'
Huo mstari mwekundu umeurudia mara khamsa ishirini na kitu. Hakuna mahali popote pale kwenye kitabu cha Dr John C. Sivalon ambako anaashiria conclusion hiyo. The church has never declared islam as it's enemy. Sijaona mahali popote pale.

Jasusi,

Citation iko hapo na pg. no.
 
Assalam Aleykum.

Waaleykum salaam habar lyaum pole mkuu karibu kwanza kahawa na kashata ha ha haa, wanataka kuizima nuru ya mwenyezi mungu kwa midomo yao wala hawataweza mwenyezi mungu ataitimiza nuru yake japokuwa makaf wanachukia QURAN 9:32
 

Son...

Ugomvi huu wa Al Jamiatul Islamiyya wa miaka ya 1940s
naufahamu huwezi kufananisha na BAKWATA.

Ule wa wa 1940s ulikuwa katika mambo ya kiakida na kukataa
kuingoizwa na Wamanyema, Wanubi na Wazulu.

Wazaramo, Warufiji, Wamashomvi nk. waliona kama vile sasa wao
wanatawaliwa na wageni ''watu wa kuja.''

BAKWATA imeanzisha na Nyerere.
Hii ndiyo tofauti kubwa ya ugomvi wa Waislam na BAKWATA.
 
Wa alaykum salaam wa marhabaa.
Huna haja ya kutoa kisa chako cha kuwekwa kuzuizini.Tunajua umepata suna ya Mitume.
Ingia kazini kama mwenzako Zomba

Ami,

Ndugu yangu tupo pamoja naingia mzigoni kama kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Ami

Mimi mzee nikikusupport wanasema nilamba viatu vyako lakini mzee kuhusu ili swala la BAKWATA yaani umeongea points sana NYERERE NDIE ALIYEANZISHA BAKWATA hilo swala wala halihitaji tochi ishaalah mzee MS mungu akujalie umri.
 

BAKWATA ilianzishwa kuwanusuru na janga la bloodbath between yourselves.Mzee Masasi alijitahidi sana kwa cause ya waislam Tanzania
 
Waaleykum salaam habar lyaum pole mkuu karibu kwanza kahawa na kashata ha ha haa, wanataka kuizima nuru ya mwenyezi mungu kwa midomo yao wala hawataweza mwenyezi mungu ataitimiza nuru yake japokuwa makaf wanachukia QURAN 9:32

Boko haram,

Ndugu yangu nashukuru sana tupo pamoja napata kahawa na tende za Saudia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…