Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

embu fafanua namna huo mfumo kristo unavyofanya kazi,

Mfumo kristo ni kama Mfumo wa damu umeitwa mfumo kwa sababu damu imeenea kote mwilini. Wakristo wamehodhi asasi zote nyeti za uongozi na mamlaka katika nchi hii, sehemu zote za nguvu/maamuzi ya dola zimeshikwa na wakristo tangu uongozi wa juu mpaka kiongozi wa mtaa uongozi wote umeshikwa na mfumo kristo. Na hao walioshika hizo nyadhifa wanazitumia kuuendeleza ukristo na kukandamiza uislamu.
mfano: Mfumo Kristo: Mwembechai Killings
 
Kusoma hujui hata picha nayo uoni.

Tembelea ofisi zote za serikali wizara zote za serikali angalia "Ratio" ya Waislam na Wakirsto waliojiriwa ndiyo utajua mfumo kirsto
Ritz,
Ukianza kuzungumzia "ratio" kama kigezo cha kuajiri watu utakuwa unaleta matatizo makubwa sana nchini. Tunachotaka ni level playing field, lakini ukianza kuzungumzia "ratio" kwamba pale ambapo kuna mawakili 6 watatu lazima wawe waislamu na vice versa utakuwa unaunda tatizo ambalo ufumbuzi wake utakuwa mgumu kupatikana. Kwa sababu ukiacha "ratio" ya dini itabidi sasa uingie "ratio" ya makabila. Umeliona hilo?
 
Na Jakaya Kikwete utamwitaje? Na shemeji yake Said Mwema? Na rafiki yake Ramadhani Othman? Na Kawambwa ambaye kila wizara anaboronga? Na hapo sijaingia ofisi za ubalozi wa nje ambako wanazidi kujazwa vijana wa Kiislamu. Unataka niendelee?
 
Tanzania Kwanza,
Kwa hakika sijui. Lakini tunataka solution. Tunayo serikali na wajibu wake ni kuhakikisha vitendo vya kinyama kama hivi haviwapati raia wake.

Unadhani solution ni Serikali kutumia nguvu ya dola? kama vile kufungia gazeti la Mwanahalisi kwa dai la Serikali kuwa limechochea chuki na kuandika uongo?
 
Kusoma hujui hata picha nayo uoni.

Tembelea ofisi zote za serikali wizara zote za serikali angalia "Ratio" ya Waislam na Wakirsto waliojiriwa ndiyo utajua mfumo kirsto
nipe mfano wa watu wenye sifa za kuajiriwa kwenye ofisi nyeti na hawaja ajiriwa kwasababu ya dini zao,
 
Jasusi,

Mambo ya "Ratio" sikuanza mimi alianza Mzee Mtei kwenye wajumbe wa tume ya katiba.
 
Reactions: Ami
Unadhani solution ni Serikali kutumia nguvu ya dola? kama vile kufungia gazeti la Mwanahalisi kwa dai la Serikali kuwa limechochea chuki na kuandika uongo?
Hapana. Kwa Mwanahalisi naomba nitofautiane na wewe. Mwanahalisi halijachochea kitu chochote kinacholeta chuki. Ilichofanya Mwanahalisi ni kufichua kuwa wafanyikazi wa Ikulu walihusika katika utekaji wa Ulimboka. Leo tunashuhudia mwandishi mwingine wa habari anafanyiwa ukatili ule ule aliofanyiwa Ulimboka. Serikali inapaswa kutumia nguvu ya dola kulinda haki yako na yangu na si kutoa watu meno bila ganzi kwa sababu tu wameandika au wamefanya kitu wasichokubaliana nacho. Na serikali inayoshindwa kulinda haki za raia wake ni serikali iliyoshindwa. A failed government.
 
Na Jakaya Kikwete utamwitaje? Na shemeji yake Said Mwema? Na rafiki yake Ramadhani Othman? Na Kawambwa ambaye kila wizara anaboronga? Na hapo sijaingia ofisi za ubalozi wa nje ambako wanazidi kujazwa vijana wa Kiislamu. Unataka niendelee?

Kwa kweli unashangaza! viongozi 5 unawapimaje ktk mlolongo huu: Mawaziri, Manaibu mawaziri, Makatibu wakuu wa wizara, mabalozi, wakuu wa mikoa, wilaya, viongozi wa mashirika ya umma, wafanyakazi wa Serikali na Mashirika ya umma! utawezaje kuja hapa na kuwataja Kikwete, Bilali na Saidi Mwema tu! na hao wengine je!
 
Plato...
Umesema kweli kabisa na wala mie siwezi kukupinga katika hilo.

Lakini hapo ni katika level ya mkururo hapana maslahi.

Nikuambialo mie ni katika hali ya sasa ambako kuna hasama katika
jamii na Waislam wamelengwa.

Unakijua kisa cha mauaji ya Mwembechai na propaganda zilizopikwa?
Mie nazungumza kadhia hii katika level
 
Jasusi,

Mambo ya "Ratio" sikuanza mimi alianza Mzee Mtei kwenye wajumbe wa tume ya katiba.
Kwa kitu kidogo kama tume ya katiba it is okay. Lakini tusitumie ratio kama sera za kuajiri watu kazi serikalini.
 
Plato...
Umesema kweli kabisa na wala mie siwezi kukupinga katika hilo.

Lakini hapo ni katika level ya mkururo hapana maslahi.

Nikuambialo mie ni katika hali ya sasa ambako kuna hasama katika
jamii na Waislam wamelengwa.

Unakijua kisa cha mauaji ya Mwembechai na propaganda zilizopikwa?
Mie nazungumza kadhia hii katika level hiyo.
 
nipe mfano wa watu wenye sifa za kuajiriwa kwenye ofisi nyeti na hawaja ajiriwa kwasababu ya dini zao,

Na hayo ndiyo majibu ya watetezi wa mfumo kristo unaamini kabisa Waislam hawana sifa za kuajiriwa...ha haa haaa! Uwa nacheka sana kwenye kutetea mfumo kirsto Pro-Chadema wote wanarudi CCM.
 
Kwahiyo unakubali Serikali inalinda haki yako na yangu kuzuia na kuzima Maandamano ama yawe ya Waislamu au Chadema?
 
Ndio maana nimesema unataka niendelee? Nimetaja tu hao 5 viongozi wa ngazi za juu kupinga dhana yenu nyingi mnaosema kuna mfumokristo. Na kujazana kwa civil servants katika serikali hakukuanza na Julius Nyerere. System hiyo ameirithi Mwalimu na alijitahidi sana kutoa nafasi za elimu kwa waislamu, jambo ambalo mmekataa mpaka sasa ku acknowledge.
 
Kwa kitu kidogo kama tume ya katiba it is okay. Lakini tusitumie ratio kama sera za kuajiri watu kazi serikalini.

Jasusi,

Hakuna kitu kidogo hiyo tume siyo kitu kidogo, hata kama ni kitu kidogo hakuna tatizo kutaja "Ratio" ya dini.

Kwa sababu kasema Mzee Mtei.
 
Na hayo ndiyo majibu ya watetezi wa mfumo kristo unaamini kabisa Waislam hawana sifa za kuajiriwa...ha haa haaa! Uwa nacheka sana kwenye kutetea mfumo kirsto Pro-Chadema wote wanarudi CCM.
na hilo ndo tatizo lako kubwa la kujibu majibu mepesi kama hayo.
unataka ofisi nyeti ya BOT au TRA uwapeleke watu kwasababu ya dini zao badala ya uwezo wao?
 
Kwahiyo unakubali Serikali inalinda haki yako na yangu kuzuia na kuzima Maandamano ama yawe ya Waislamu au Chadema?

Hapana. Sijaona serikali inalinda haki yangu. Mpaka tutakapoambiwa ni nani alimtesa Ulimboka, na sasa Kibanda, mpaka hapo waislamu na Chadema watakapoweza kuandamana bila bughudha ya vyombo vya dola, serikali hailindi haki yangu.
 
Kwa kitu kidogo kama tume ya katiba it is okay. Lakini tusitumie ratio kama sera za kuajiri watu kazi serikalini.

Ebo! Tume ya Katiba ambapo Katiba ndio mama na muongozo kwa nchi yetu unaita kitu kidogo! lakini sishangai hii ndio kauli ya mfumo! unamkumbuka yule bwana aliesema yeye anavijisenti tu ktk akaunti ya London?
 
Nguruvi,

Wishful thinking ina starehe yake.

Lakini unapokuja kwenye ukweli
mambo hubadilika sana.

Ikiwa hivi ndizo fikra zenu....
Kazi kubwa iko mbele yetu.
 
na hilo ndo tatizo lako kubwa la kujibu majibu mepesi kama hayo.
unataka ofisi nyeti ya BOT au TRA uwapeleke watu kwasababu ya dini zao badala ya uwezo wao?

Wangekuwa na uwezo hao wasomi wenu wa Kikirsto Tanzania isingekuwa nchi masikini wa kutupwa duniani.

Labada nisaidie kunijibu kwa nini Tanzania bado ipo kwenye kundi za nchi 20 duniani kwa umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…