Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hapana. Sijaona serikali inalinda haki yangu. Mpaka tutakapoambiwa ni nani alimtesa Ulimboka, na sasa Kibanda, mpaka hapo waislamu na Chadema watakapoweza kuandamana bila bughudha ya vyombo vya dola, serikali hailindi haki yangu.

Unawaunga mkono Waislamu kutumia haki yao ya kuandamana kutaka Shehe Ponda apewe dhamana? Uliunga mkono Chadema kufanya maandamano Arusha kushinikiza wafuasi na viongozi wao kuachiliwa na Polisi?
 
Wangekuwa na uwezo hao wasomi wenu wa Kikirsto Tanzania isingekuwa nchi masikini wa kutupwa duniani.

Labada nisaidie kunijibu kwa nini Tanzania bado ipo kwenye kundi za nchi 20 duniani kwa umasikini.
dah!
usiku mwema
 
Plato...
Umesema kweli kabisa na wala mie siwezi kukupinga katika hilo.

Lakini hapo ni katika level ya mkururo hapana maslahi.

Nikuambialo mie ni katika hali ya sasa ambako kuna hasama katika
jamii na Waislam wamelengwa.

Unakijua kisa cha mauaji ya Mwembechai na propaganda zilizopikwa?

Mie nazungumza kadhia hii katika level

Na mimi nikuulize unakifahamu kisa cha Wanakijiji wa Bulyanhulu kufukiwa kwenye mashimo
ya dhahabu ili kuwanyamazisha na kumpisha Mwekezaji?

Unakifahamu kisa cha Geita wananchi kuswaga ili kupisha Mwekezaji (Anglo gold wakati huo)?

Unakifahamu kisa cha wanakijiji wa Nyamuma huko Serengeti kuchomewa nyumba zao na kuhamishwa kinyama,
mpaka Tume ya haki za binadamu kuiagiza Serikali iwafidie kwa madhila yanayowapata? (na hawajafidiwa mpaka leo),
na Mkuu wa Wilaya aliyeagiza hilo anadunda mtaani!

Nami hiyo ndiyo level nayoongelea. Inawezekana tunapishana padogo sana. Kwamba akionewa Said
imeonewa Dini yake, lakini wakionewa Wasukuma wa Bulyanhulu potelea mbali.

Kwa hilo utazunguka sana na utapata mengi yasiyoleta ufumbuzi. Ukitaka hata sasa hivi kumpata Hassan aliyeonewa
utampata au utawapata sana. Na usiishie hapo ulizia na John yupo aliyeonewa au hata Maganga. Utawapata
halafu tutarudi kwenye mduara!
 
Wangekuwa na uwezo hao wasomi wenu wa Kikirsto Tanzania isingekuwa nchi masikini wa kutupwa duniani.

Labada nisaidie kunijibu kwa nini Tanzania bado ipo kwenye kundi za nchi 20 duniani kwa umasikini.

Wanadhani kuhodhi madaraka na kazi zote wao wenyewe nchi itapata maendeleo! ni sawa na ngamia kupita ktk tundu la sindano! haijawahi kutokea nchi nusu ya raia wake hawana elimu ati ipate maendeleo abadan! hata tukiondoa CCM na kuwapa Chadema tatizo halitaisha sababu bado hatujagundua mdudu wa maradhi ni yupi! mgonjwa hapewi dawa kabla ya vipimo! tuangalie damu, choo, mkojo kama kuna vijidudu vya maradhi kama hamna una muuliza maswali mgonjwa halafu daktari atakadiria ama ampe dawa au mgonjwa anywe maji kwa wingi na huenda maradhi yakaisha!

Sasa leo wa TZ tunaambiwa tuitoe CCM na kuwapa Chadema kwa kuzingatia lipi?
 
Mdondoaji wakati mwingine unatuangusha bana; rudi nyuma kasome mkataba ya Lateran ambayo ilitambua Papal States. Ukishasoma na kuelewa historia ya Vatican kuwa nchi rudi tujadiliane lakini ukiridhika sema umeridhika tusonge mbele. Lakini huwezi tu kwa vile hupendi kukataa Vatican kuwa ni nchi. Inaweza isiwe vizuri au isiwe na mantiki au ikavuruga nadharia uliyo nayo lakini hilo peke yake halitoshi kukufanya ukatae kuwa Vatican ni nchi. Vinginevyo utakuwa unabishhana na sisi kwa kitu ambacho majawabu yako tayari.

Vatican in Mkuu wake wa Nchi - Papa
Vatican ina katiba yake
Vatican inatambulika kama Sovereign State (Umoja wa Mataifa na nchi nyingine -
Vatican ina bendera yake na nembo yake ya taifa
Vatican ina wimbo wake wa Taifa
Vatican City in passport zake na Holy See ina passport zake...

Sasa sijui tukusaidiaje ndugu yangu.

Mkuu,

Kwanza mpe salamu Jasusi kwani siku hizi sina nafasi ya kuingia humu sana maana siku siingiagi sana nimebanwa na shughuli nyingi.
Tukirudi katika majibu yako na ya Jasusi again mnarudia yale yale ya mwanzo kuwa Vatican ni nchi kwa kulazimisha but ukweli ni kuwa vatican sio nchi. Mkataba wa Lateran wa 1929 was a bilateral agreement between the monarch of italy and Roman Catholic church to parden a portion of Rome consist of 110 acres to have its own sovereignty.

However, according to the International Law it is not identified as a legitimate state. Vile vile ndio maana wakaamua Holy See iwe inawakilisha Vatican City as a non-member state. Labda soma hii statement below itakufungua macho:-

Status at the United Nations

In 1944, the Roman Catholic Church made tentative inquiries regarding the eligibility of the Vatican City to become a member state of the United Nations.13 Although the United Nations does not provide the international community with a definition of the term "state,"14 it does have requisite conditions for admission as a member.15 An applicant to the United Nations must: (1) be a State; (2) be peace-loving; (3) accept the obligations of the United Nations Charter; (4) be able to carry out these obligations; and (5) be willing to do so.16 Although the historical record is scant, there is some indication that member states viewed the Vatican City as being ineligible for United Nations membership

Pengine labda hujafahamu vizuri hebu soma statement aliyotoa US Secretary of State Cordell Hull in his reply to the Vatican City alisema haya:-

United States Secretary of State Cordell Hull, in his reply to Vatican inquiries regarding possible membership, concluded that the Vatican City did not meet the requirements for admission.17 Article 24 of the Lateran Agreement binds the Holy See and the Vatican City to neutrality, and this policy of neutrality is regarded as incompatible with membership. In fact, the Vatican City has never made a formal membership application.

Sasa Mwanakijiji mbona tunalazimisha ustatehood wakati in the eyes of international law vitu havipo hivyo??? Kuwa na passport sio kigezo, kuwa na katiba sio kigezo na sio nchi kwasababu hawajapeleka formal application. Vile kuna wasiwasi kuwa ikiwa Vatican itatambulika kuwa ni nchi basi kuna uwezekano wa papa kushtakiwa for human rights abuses kama wanavyoshitakiwa viongozi wengine wa nchi (for example Kenyatta ICC). Catholics followers wengi wao wanalipinga hili na hivyo wanapendelea iendelee kuwa sio state. Kama wanavyosema hapa:-

Consequences of the Catholic Church's claim of statehood

Opinion

The practice of treating the Catholic Church as a state has been bad for women's equality and gay rights. Now, the unfolding sexual abuse scandal reveals another dark side of the Holy See's status.

April 11, 2010|By Kal Raustiala and Lara Stemple

    • [TD="align: left"]

      [TD="class: gig-button-td"]

      [TD="align: left"]
      Email

      [/TD]
      Share
      [/TD]
      [/TD]

Giuseppe dalla Torre, a top Vatican legal advisor, declared in a preemptive strike last week that Pope Benedict XVI could not be sued in an American court. His statement -- in response to allegations that the pope played a role in covering up, among other scandals, the sexual abuse of children at a Wisconsin school for the deaf -- was unequivocal. "The pope is certainly a head of state, who has the same juridical status as all heads of state," Dalla Torre said, which grants him immunity from foreign courts.
But is the spiritual leader of the world's Roman Catholics really a "head of state" as well?

pixel.gif

Ads by Google

Benedict XVI is the head the church's governing body -- known as the Holy See -- which claims many of the privileges of a sovereign country. In recent decades the Holy See has welcomed ambassadors, signed international treaties and used its status to influence developments at the United Nations.
That the Holy See is often treated as a state is deeply troubling, for several reasons. For one thing, the Catholic Church isn't truly a sovereign nation; to allow it to play one on the international stage perverts the meaning of statehood.
Moreover, the church's claim to statehood gives it even more political influence than it would otherwise wield and grants outsized power to only one of the world's many religions. And its claim is particularly worrisome now that the church -- embroiled in a disturbing scandal that has reached from Boston to Berlin -- is claiming the sort of immunity enjoyed by prime ministers and presidents.
How did this situation come about? The concept of sovereign statehood first developed in 17th century Europe, where the church was long treated as a quasi-state by Western powers. The Papal States existed within Italy for centuries. At their height, the Papal States comprised most of central Italy and parts of what is now southern France.
But the church's territorial holdings were lost in battles over time, and by the end of the 19th century the church was essentially landless. Then, in the late 1920s, Vatican City was carved out of Rome via a treaty with Italy. The Holy See and Vatican City are legally distinct, but Vatican City was created to give the Holy See a territorial home and thereby safeguard its independence.
Despite opposition from many quarters, the Reagan administration initiated formal diplomatic relations with the Holy See in the 1980s. Today, nearly every country maintains diplomatic ties, and the Holy See is a "permanent observer state" at the U.N. This persists despite its lack of most of the key legal characteristics of statehood.
It's true that Vatican City runs a popular post office and mints its own currency. But international law requires that a "state" have four attributes: territory, a permanent population, a functioning government and the ability to engage in international relations. The last requirement largely builds on the others: Whether a state can engage in international relations is decided by whether other states treat it like one.
As to the question of territory, there exists only the small parcel of land known as Vatican City. But as any visitor knows, Vatican City is in the middle of Rome and is little more than half the size of the Mall in Washington, D.C. In any event, the Holy See continues to claim that its international status is based on its religious authority, not its territorial enclave.

Ads by Google

pixel.gif

To say that Vatican City possesses a permanent population of the sort envisioned by international law is even more of a stretch. Most residents are simply members of the church hierarchy, a body composed solely of men. They number less than the student bodies of many high schools -- about 800. As to the Catholics of the world, they are already represented by the governments of other nations.
Vatican City does have a functioning bureaucracy, and so has a government of sorts. Yet it is surely the most unusual government of the world, given its minute size and lack of any standard government functions, such as the administration of justice, education of the young or provision of defense. It even relies on Italy for its water, police and firefighting services.
For decades the strange practice of treating the Catholic Church as a state has been bad for women's equality, gay rights and reproductive freedom. The Holy See's fictive statehood allows it to promote its retrograde views on gender and sex in diplomatic settings and during treaty negotiations.
Now, the unfolding sexual abuse scandal reveals another dark side of the Holy See's claim to statehood: the extraordinary immunities claimed by the pope in the face of conspiracy accusations that span the globe.
Pope Benedict XVI's predecessor, John Paul II, recognized the tenuous claim to statehood. When Vladimir Putin visited Vatican City some years ago, he offered to invite the pope to Russia. Russian Orthodox leaders opposed the pontiff's visit, seeing it as an encroachment by Rome on their turf. Putin proposed a solution. As Putin later recalled, he told the pope: "I am ready to invite you as the head of state. I, as the head of state, invite you as the head of state." The pope replied, "Look out the window. What kind of state do I have here? You can see my whole state right from this window."

Kal Raustiala is professor of law and director of the Burkle Center for International Relations at UCLA. Lara Stemple is director of graduate studies at UCLA Law School.

Source: LA Times (2010).

Kwahivyo ndugu Mwanakijiji Tumsikilize nani Professor wa Law kama huyo hapo au wewe Mwanakijiji au Dr Slaa ambaye hajui chochote kuhusu sheria kasomea PhD ya Biblical Studies????? Naomba majibu
 
Nguruvi,

Wishful thinking ina starehe yake.

Lakini unapokuja kwenye ukweli
mambo hubadilika sana.

Ikiwa hivi ndizo fikra zenu....
Kazi kubwa iko mbele yetu.
Mohamed hayo ndiyo maisha ya Watanzania ingawa yanatiwa nyongo sasa.
Babu yako aliongoza mgomo, nakuhakikishia ungekuwa mkurugenzi wa Bandari au Reli haya unayoyasema usingeyasema.
Msukumo upo pale unapofikiria babu, umanyema, ukombozi wa taifa n.k.

Jitihada zako si kheri kwako au vizazi vijavyo. Nani mshindi Rwanda, Bosnia au Serbia?
 
Wangekuwa na uwezo hao wasomi wenu wa Kikirsto Tanzania isingekuwa nchi masikini wa kutupwa duniani.

Labada nisaidie kunijibu kwa nini Tanzania bado ipo kwenye kundi za nchi 20 duniani kwa umasikini.

rais kikwete na mwenyekiti wako wa magamba hana jibu la swali hilo...
 
Unawaunga mkono Waislamu kutumia haki yao ya kuandamana kutaka Shehe Ponda apewe dhamana? Uliunga mkono Chadema kufanya maandamano Arusha kushinikiza wafuasi na viongozi wao kuachiliwa na Polisi?

Jibu kwa yote hayo ni NDIYO!
 
Mkuu,

Kwanza mpe salamu Jasusi kwani siku hizi sina nafasi ya kuingia humu sana maana siku siingiagi sana nimebanwa na shughuli nyingi.
Tukirudi katika majibu yako na ya Jasusi again mnarudia yale yale ya mwanzo kuwa Vatican ni nchi kwa kulazimisha but ukweli ni kuwa vatican sio nchi. Mkataba wa Lateran wa 1929 was a bilateral agreement between the monarch of italy and Roman Catholic church to parden a portion of Rome consist of 110 acres to have its own sovereignty.

Sawa, lakini inaonekana hujazingatia historia ya kwanini iyo ilikuwa lazima. Fanya utafiti kuhusu kitu kinachoitwa "Papal States". Monarch wa Italy ilikuwa haigawi ardhi ya Italy kwa Kanisa; ilikuwa inambakishia Papa baadhi ya maeneo yake na mali zake kama kiongozi wa Vatican. Ni vizuri ukajua hili kwani utawala wa Papa katika ardhi ya Vatican haukuanza na Mkataba wa Lateran.
However, according to the International Law it is not identified as a legitimate state. Vile vile ndio maana wakaamua Holy See iwe inawakilisha Vatican City as a non-member state.

Hivi huoni unavyojiichanganya "a non member state" kwa Kiswahili unasemaje?

Status at the United Nations

In 1944, the Roman Catholic Church made tentative inquiries regarding the eligibility of the Vatican City to become a member state of the United Nations.13 Although the United Nations does not provide the international community with a definition of the term "state,"14 it does have requisite conditions for admission as a member.15 An applicant to the United Nations must: (1) be a State; (2) be peace-loving; (3) accept the obligations of the United Nations Charter; (4) be able to carry out these obligations; and (5) be willing to do so.16 Although the historical record is scant, there is some indication that member states viewed the Vatican City as being ineligible for United Nations membership

Pengine labda hujafahamu vizuri hebu soma statement aliyotoa US Secretary of State Cordell Hull in his reply to the Vatican City alisema haya:-

United States Secretary of State Cordell Hull, in his reply to Vatican inquiries regarding possible membership, concluded that the Vatican City did not meet the requirements for admission.17 Article 24 of the Lateran Agreement binds the Holy See and the Vatican City to neutrality, and this policy of neutrality is regarded as incompatible with membership. In fact, the Vatican City has never made a formal membership application.

Mzee Historia haisomwi hivyo; ni lazima urudi kidogo utambue uhusiano kati ya Vatican City na US ulikuwaje wakati huo. Wamarekani walikuwa wanaona Kanisa Katoliki kuwa ni kinyumem na Maslahi ya Wamarekani (Un-American) na hivyo kwa muda mrefu katika nyanja za kimataifa hakukuwa na mahusiano mazuri na shuku kubwa hadi mwaka 1984 ambapo Marekani ilianzisha mahusiano ya Kibalozi na Vatican City (Holy See).

Angalia US State Department inavyosema kuhusu Holy See:

Sasa Mwanakijiji mbona tunalazimisha ustatehood wakati in the eyes of international law vitu havipo hivyo??? Kuwa na passport sio kigezo, kuwa na katiba sio kigezo na sio nchi kwasababu hawajapeleka formal application. Vile kuna wasiwasi kuwa ikiwa Vatican itatambulika kuwa ni nchi basi kuna uwezekano wa papa kushtakiwa for human rights abuses kama wanavyoshitakiwa viongozi wengine wa nchi (for example Kenyatta ICC). Catholics followers wengi wao wanalipinga hili na hivyo wanapendelea iendelee kuwa sio state. Kama wanavyosema hapa:-

You are missing the point; Papa ni Mkuu wa Kanisa na Mkuu wa Vatican City..

Mambo mengine uliyosema ni kuchanganya vitu tu. Legal opinions za mijadala ya wasomi mbalimbali siyo facts. Vatican City ni nchi kama ilivyo Tanzania. Inalindwa na haki zile zile katika shheria za Kimataifa. Mkuu wake ni Papa ambaye ni Mkuu wa Kanisa Katoliki vilevile. Nikupe mfano mzuri:

Iran ni nchi? Jibu ndio.. lakini kiongozi wake mkuu (Supreme Leader) ni Ayatollah Imam Khamenei . Iran ni nchi ya Kidini yenye kuongozwa na kidini na Rais wake ndiye kiongozi mkuu wa dini hihhyo kwenye hiyo nchi. Vatican City ni hivyo hivyo.

Iran------------------------------------------------------ Vatican City
Nchi inaongozwa kidini------------------------------------Nchi inaongozwa kidini
Supreme Leader -Imam Khamenei -----------------------Supreme Leader - Papa
Official Religion - Shia Islam ------------------------------Official Religion - Catholicism
Head of State - President Ahmedinajad -------------------Head of Vatican City Government -
Giuseppe Bertello
National Anthem -------------------------------------------- wanayo Vatican City - Wanayo
Member International Organization----------------------------- Member INternational Organization

Ina uhusiano wa Kibalozi na Tanzania-----------------------Ina uhusiano wa kibalozi na Tanzania

La muhimu kwako ni kuelewa tofauti na uhusiano uliopo kati ya Holy See na Vatican City. Ukielewa hili hutapata sida kukubali ukweli (fact) kuwa Vatican City ni nchi. Holy See siyo nchi.
 
BH,

Amin ndugu yangu.

Ndiyo maana hadhi ya Nyerere imeshuka mbele
ya macho ya Waislam.

Huu ni ukweli.

Unatisha unaogopesha lakini huu ndiyo ukweli
unaotukabili hivi sasa.

Ndio maana nahoji mwalimu wako wa Mantiq alikufundisha madudu gani... hivi unaposema "mbele ya macho ya Waislamu" kweli kabisa unaamini Waislamu WOTE Tanzania wamempunguzia Nyerere heshima? ... I know i know.. unamaniisha ni wale Waislamu wa kweli wenye kukubaliana histohisia yako
 
Mwanakijiji, wala usipate taabu, mwalimu wake Mohamed Said aliitwa Malik, mdini kutoka Pakistan aliyeingia nchini kama mtaalam wa hisabati. Huyo ndiye aliasisi wazo la mihadhara nchini lakini wakati huo ikitolewa tu ndani ya misikiti ila kwa kuwa tulikuwa na serikali iliyo macho, alifungashwa virago mara moja. Mohamed Said ni matunda ya mbegu alizozipanda huyo jamaa na mpaka leo vijana wengi wanapata mafunzo ndani na nje ya nchi kwa ufadhili wake. Aliyevaa viatu vyake baada ya kutimuliwa ni Mohamed Said mwanachama na mshauri mkuu wa vijana MSAUD, lengo kuu likiwa kuchafua amani nchini...of course serikali inamvumilia na sababu zipo.
 
Mohamed, inasemwa Malik alipewa 24 hrs deportation, ni sababu zipi ziipelekea hayo kutokea.
 
[FONT=Arial,Helvetica]University of Dar es Salaam Student Enrollment[/FONT]

[TD="width: 32%"] Year [/TD]
[TD="width: 36%"] Christians [/TD]
[TD="width: 32%"] Muslims [/TD]

[TD="width: 32%"] 1985/86 [/TD]
[TD="width: 36%"] 85% [/TD]
[TD="width: 32%"] 15% [/TD]

[TD="width: 32%"] 1986/87 [/TD]
[TD="width: 36%"] 84% [/TD]
[TD="width: 32%"] 16% [/TD]

[TD="width: 32%"] 1988/89 [/TD]
[TD="width: 36%"] 82% [/TD]
[TD="width: 32%"] 18% [/TD]

[TD="width: 32%"] 1989/90 [/TD]
[TD="width: 36%"] 82% [/TD]
[TD="width: 32%"] 18% [/TD]
Source: Research Data
[FONT=Arial,Helvetica]Table 6[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica]Muslim and Christian Appointments in the Ministry of Education 1961-1989[/FONT]

Christian
Commissioners
31

[TD="width: 49%"] Post [/TD]
[TD="width: 51%"] Muslim [/TD]

[TD="width: 30%"]1[/TD]
[TD="width: 30%"]7[/TD]

[TD="width: 49%"] Directors [/TD]
[TD="width: 51%"] 6 [/TD]
Source: Research Data
KUtoka [SIZE=+2]Intricacies and Intrigues in Tanzania:[/SIZE]

[SIZE=+2]The Question of Muslim Stagnation in Education[/SIZE]
Kweli kabisa kuna msomi anaweza kuangalia data hizo na kuamini ni za kweli? Hivi nikiweka hapo na wewe ni msomi swali la kwanza utaniuliza ni nini?
 
Unawaunga mkono Waislamu kutumia haki yao ya kuandamana kutaka Shehe Ponda apewe dhamana? Uliunga mkono Chadema kufanya maandamano Arusha kushinikiza wafuasi na viongozi wao kuachiliwa na Polisi?
hembu nyie muslim brothers nifafanulien hapo kwenye red na blue,
adui Yenu ni christians , chadema au serikali?
pia naomba unipe uhusiano wowote wa maandamo ya CHADEMA chama cha siasa na maandamano ya shekhe ponda
 
University of Dar es Salaam Student Enrollment

YearChristians

[TD="width: 32%"] Muslims [/TD]

[TD="width: 32%"] 1985/86 [/TD]
[TD="width: 36%"] 85% [/TD]
[TD="width: 32%"] 15% [/TD]

[TD="width: 32%"] 1986/87 [/TD]
[TD="width: 36%"] 84% [/TD]
[TD="width: 32%"] 16%
[/TD]

[TD="width: 32%"] 1988/89 [/TD]
[TD="width: 36%"] 82% [/TD]
[TD="width: 32%"] 18% [/TD]

[TD="width: 32%"] 1989/90 [/TD]
[TD="width: 36%"] 82% [/TD]
[TD="width: 32%"] 18% [/TD]
Source: Research Data
Table 6
Muslim and Christian Appointments in the Ministry of Education 1961-1989

PostMuslimChristian
Commissioners
31

[TD="width: 30%"] 1 [/TD]
[TD="width: 30%"] 7 [/TD]

[TD="width: 49%"] Directors [/TD]
[TD="width: 51%"] 6 [/TD]
Source: Research Data
KUtoka Intricacies and Intrigues in Tanzania:

The Question of Muslim Stagnation in Education
Kweli kabisa kuna msomi anaweza kuangalia data hizo na kuamini ni za kweli? Hivi nikiweka hapo na wewe ni
msomi swali la kwanza utaniuliza ni nini?

......

Kuna mambo mengi, niyaona mimi haraka haraka

1. Hiyo study iliangalia enrollment kuanzia primary hadi secondary au iliangalia enrollemnt University tu

2. Kama ni University, study hiyo ilikuwa retrospective au progressive

3. Kama ilikuwa retrospective kwanini iliangalia kipindi cha miaka 5 (1985-1990)

4. Enrollment iliangalia Uislam na Ukristo,82% au 18% kwa kigezo gani ili kupata 100%

5. Je, foreign students na wale wasio katika Uislam na Ukristo waliingizwa katika kundi gani.
Na kama hawakuwa na kundi iliwezekanje kupata 100% (Hapa nina maana Budha, Hindu, Atheist, Pagans n.k.)

6. Methodology gani ilitumika ili kuthibitisha kuwa Juma ni Mwislam na hawezi kuwa Mkristo. Zawadi ni mkristo na hawezi kuwa Mwislam.

7. Study hiyo ilionyesha ni wanafunzi wangapi waliachwa ili hali walikuwa na sifa na ni kigezo gani kilitumika kupata idadi hiyo

8.Idadi ya comminissioners iliyotajwa ni ya nafasi zipi za kitaifa. Je, Tanzania ina commissioner 8 kwa ujumla

9.Directors, ni directors wa nafasi zipi na je Tanzania ina Directors 37 kwa ujumla?

10. Ni nani au chombo gani kilichohusika na uteuzi huo wa commissioners na Directors!
 
Mzee Nguruvi safi kabisa; lakini lipo swali moja la kwanza na la msingi linalopaswa kuulizwa kuhhusiana na "research data"...Nani alifanya utafiti huu na umekuwa publishhed wapi ili watu wengine waweze kupitia (kujibu maswali yako kumi)?
 
Kusoma hujui hata picha nayo uoni.

Tembelea ofisi zote za serikali wizara zote za serikali angalia "Ratio" ya Waislam na Wakirsto waliojiriwa ndiyo utajua mfumo kirsto
Kwani muda wa kuomba kuajiliwa huwa unapeleka cheti cha ubatizo? Au cheti cha kiislam?
tuwekee mwislam mwenye vyeti vyake ambae anasota uswahilini kwa kukosa kazi.
Anavyeti vizuri na akaomba kazi kulingana na dini yake na akaikosa hiyo kazi. Weka walau mmoja.
 
Na mimi nikuulize unakifahamu kisa cha Wanakijiji wa Bulyanhulu kufukiwa kwenye mashimo
ya dhahabu ili kuwanyamazisha na kumpisha Mwekezaji?

Unakifahamu kisa cha Geita wananchi kuswaga ili kupisha Mwekezaji (Anglo gold wakati huo)?

Unakifahamu kisa cha wanakijiji wa Nyamuma huko Serengeti kuchomewa nyumba zao na kuhamishwa kinyama,
mpaka Tume ya haki za binadamu kuiagiza Serikali iwafidie kwa madhila yanayowapata? (na hawajafidiwa mpaka leo),
na Mkuu wa Wilaya aliyeagiza hilo anadunda mtaani!

Nami hiyo ndiyo level nayoongelea. Inawezekana tunapishana padogo sana. Kwamba akionewa Said
imeonewa Dini yake, lakini wakionewa Wasukuma wa Bulyanhulu potelea mbali.

Kwa hilo utazunguka sana na utapata mengi yasiyoleta ufumbuzi. Ukitaka hata sasa hivi kumpata Hassan aliyeonewa
utampata au utawapata sana. Na usiishie hapo ulizia na John yupo aliyeonewa au hata Maganga. Utawapata
halafu tutarudi kwenye mduara!

......

Kula 5,
Hao kwa mzee ms, ni makafili wala hajari yeye na mwembe chai au maandamano ya wapemba. Huo ni ubaguzi wa hali juu sana.

Kama suala la madhila yanoyowapata wtz ni mengi sana, bila kuangalia dini. Sarikali ya chama cha mapinduzi ni yakionevu sana.

Inapolinda maslahi yake haiangalii dini kabila wala eneo mtu atokalo.
 
Kwani muda wa kuomba kuajiliwa huwa unapeleka cheti cha ubatizo? Au cheti cha kiislam?

Tuwekee mwislam mwenye vyeti vyake ambae anasota uswahilini kwa kukosa kazi.

Anavyeti vizuri na akaomba kazi kulingana na dini yake na akaikosa hiyo kazi. Weka walau mmoja.

.......

Swali la kitoto kabisa nikikuwekea jina utafanyaje.
 
Swali la kitoto kabisa nikikuwekea jina utafanyaje.
Sawa ni la kitoto, ila naludia tena nitafutie mwislam mwenye vyeti vyake amekosa kazi kwa sababu ya dini yake.acha upotoshaji unapata faida gani kuongea uongo?
 
Back
Top Bottom