Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mgashi,Hatutanii haya mambo ni kweli.Itatufaa kitu gani sie kuzua uongo mzito kama huu.Ndugu zanguni tunakusihini hebu nanyi fanyeni uchunguzi.Mkiujua ukweli tutasaidiana kuondoa fitna hii.Tukijaamka mambo yeshavurugika tutakuwa tumechelewa.
Tatizo ambalo unalijua ila unasukumwa na mhemko ulio nao kwa deen tu! Hapa Tz wanaotesa/kuteseka ni Waislamu! Wapagani! Na Wakristo! Nikikuonyesha Mkrito ambaye rakaa moja haipati ndipo utafunguka! Si heri yako wewe Said mwenye uhakika wa kula Kempinski ima Serena hotel?Leo unamnyooshea kidole kwamba anakuonea! Ni msiba huo mkubwa!Kuhusu ajira mimi ni Mkristo na ninacho kwambia MMungu awe Shahid; Mwanangu amemaliza chuo kikuu masomo ya statistics ana mwaka 2 hajapata ajira! Jirani yangu ni Muislamu mwanae alikuwa form4 lakini mwanae huyo alikuwa mnojawapo wa maafisa wa sensa makao makuu! Sina wa kumlaumu! Nimemuasa tu mwanangu kuwa usihangaike ofisi hadi ofisi kutafuta kazi! Bali hangaika kutafuta Pesa! Leo ananishukuru kwa ushauri amejiajiri na kuwa mjasilia mali! Unapo anguka inuka usonge mbele na sio unagalagala chini na kulalamika!
 
nimemaliza chuo cha ardhi mwaka 2009, kulikuwa na tatizo la vyeti, hivyo ilikuwa ngumu kidogo kupata ajira serikalini, hata hivyo vyeti ndo vimeanza kutolewa mwaka jana. lakini nina ushahidi wa wanzanibar tuliokuwa nao wamepata ajira wote, wengine pale pale chuo cha adhi, wengine huko kwao znz, ila pia course za chuo cha ardhi zina fursa nzuri ya kuweza kujiajiri. wengi tulivyoona ajira zinachelewa tukaamua kujiajiri wenyewe. mdogo wako alisoma course gani?
darasa letu waliopata kazi serikalini ni hao wazenji tu, wawili kwao zenji na mmoja kabaki chuo upande wa estate.
waliobaki wote wapo kwa firm au kitaa kama mimi,

Wewe kila chuo umesoma.
 
Ushahidi kaambiwa kabisa wakati anapeleka CV zake kaambiawa kabisa nyie watu wa madrasa mnamatatizo.

Dogo katafuta kazi online kapata Japan saizi yupo huko.

Sijui unataka ushahidi gani tena.
Na hawa waislam wanaoajiriwa kila uchao huwa inawezekana vipi?
 
Turudi kwenye mjadala.

Mohamed Said,

Migeyo alikuwa Butimba jela akitumikia kifungo nini ilikuwa sababu yeye kufungwa.
 
Turudi kwenye mjadala.

Mohamed Said,

Migeyo alikuwa Butimba jela akitumikia kifungo nini ilikuwa sababu yeye kufungwa.

Nimeupenda huu mkanasha.. tulikuwa present time, sasa FLASH BACK.... Kama Lost vile.. Manake movie haiwezikuwa ndefu hivi...

I got my popcorns
 
Nimeupenda huu mkanasha.. tulikuwa present time, sasa FLASH BACK.... Kama Lost vile.. Manake movie haiwezikuwa ndefu hivi...

I got my popcorns

Mundu...
Umenipeleka mbali sana ulipotaja movie na popcorn.

Niko Empire Cinema namtazama Elvis Presley Blue Hawaii
au western yoyote ile au movie za Kirumi nina coke na
popcorn.

Au naangalia ''Play It Cool'' Billy Fury na Helen Shapiro
black and white.

Hiyo ni 1960s...

Siku moja niko London naingia hoteli yangu nikipenda kunywa
chai maeneo ya Liverpool Coach Station.

Nakutana na tangazo linasema Helen Shapiro ni born again
Christian Jesus for the Jews!

Huyu alikuwa big star tena Myahudi wa Uingereza leo karejea
kwa Mola wake.

Kwa nyie vijana haya yote yatakuwa shida kuyaelewa lakini
najua Jasusi nitakuwa nimemrudisha Dar es Salaam yake.

Hadi leo nina collection kubwa sana ya movies nikichoka
nikitaka kujikumbusha utoto wangu huweka nikatazama.

Baba yangu alikuwa na movie projector 8 mm inatoa picha
bila sauti kazi yangu ilikuwa kuwind film kazi hii nikiipenda
sana ilinifanya nijione mtu muhimu mbele ya watoto wenzangu
walokuja kwetu kutazama movie.

Nikimtaza Charlie Chaplin na rafiki zangu.
Wakati umekwenda wapi jamani!
 
Kuna mtu yeyote anaweza kutupa habari za huyu mwasia I. C. Chopra.

Wakati wa TANU alikuwa mstari wa mbele kwenye harakati za uhuru. Alikuwa anamiliki shule kadhaa Tanzania nakumbuka baadhi ya shule zake ni Mwanza Sekondari Nyanza shule ya msingi.
 
Turudi kwenye mjadala.

Mohamed Said,

Migeyo alikuwa Butimba jela akitumikia kifungo nini ilikuwa sababu yeye kufungwa.

Ritz,

Ali Migeyo hilo ndilo jina lake lakini akijulikana vilevile kwa ajili ya ushujaa wake kama Ali Matata
au Ali Maneno:

TAA Bukoba, 1950s: The Uncompromising Patriot Ali Migeyo

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In the Lake Province in 1950s Mwanza was the most active TAA branch. Its leaders, a Manyema poet, Saadani Abdu Kandoro and Bhoke Munanka were in the black books of the colonial administration.

Kandoro and Munanka were trying to give support to Ali Migeyo who single handedly was trying to establish TAA branches around Bukoba. [1]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] In Bukoba Migeyo, a senior politician then fifty-three years old, was single-handedly trying to establish TAA branches in West Lake Province.

He was once attacked with three tear gas canisters by the police at Kamachumu while addressing a public meeting campaigning for TAA.

Migeyo was a fiery orator who could easily arose the passions of his audience. On that fateful day he was in Kamachumu preparing the groundwork for TANU and addressing the people, when the police came to disperse the crowd. Tear gas canisters were fired at the crowd and Migeyo was arrested.

The colonial government tactically opened charges against Migeyo as an individual, not jointly charging him with TAA. Iliffe has captured the mood in the Lake Province:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] ''The danger-at the height of Mau Mau-was that the unsophisticated militants of the Lake Province might provoke disorder and thereby either break TAA’s unity-carrying out a ‘green revolution’ against established political leaders such as happened in Kenya, Senegal, and Sierra Leone-or embroil TAA in open confrontation with government, thereby enormously complicating the nationalist task.'' [2][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Dr Lugazia, hailing from Bukoba, had taken special interest to see that his home area was represented at the TANU founding conference.

Dr Lugazia therefore took the initiative to send the draft constitution to TAA Bukoba branch. After the arrest of Migeyo, TAA in Bukoba was as good as dead. Nothing could rekindle the fire left behind by him. An important letter of invitation to Bukoba written by Dr Lugazia, enclosing the TANU constitution to be tabled at the forthcoming delegates conference in Dar es Salaam, did not receive any attention.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Felix Muganda reflecting the problem in Bukoba wrote to Nyerere to appraise him of the situation:

‘I have called the whole executive leadership of the Buhaya to raise their morale so that they don’t despair as a result of what has happened to Migeyo.’ [3]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The TAA leadership at the headquarters saw Migeyo’s arrest as direct intimidation and harassment of its leaders, given the fact that the people had assembled peacefully for the meeting.

The incident was a clear message from Governor Twining that the government was not ready to accept mass mobilisation of the people against the state.

Abdulwahid got in touch with Seaton to represent Migeyo who was standing trial on criminal charges in Bukoba. The TAA Meru Land Case Commitee which was touring the Lake Province at that time went to Bukoba to make on the spot assessment of the Kamachumu incident.

Soon after, Abdulwahid, Nyerere and Rupia visited Migeyo’s home village Bugandika in April, 1954.[4]

On 14 th April, 1954 Migeyo was imprisoned for three years for holding a meeting without permit from the District Officer. When TANU was founded on 7 th July, 1954, Migeyo was at the notorious Butimba Prison in Mwanza serving his sentence. [5]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] See G. Mutahaba, Portrait of a Nationalist: The Life of Ali Migeyo, East African Publishing House, 1969, p. 21.

[2] Iliffe, A Modern History...p. 510.

[3] Felix Muganda to Julius Nyerere, 18 th August, 1954, TANU 10 CCM Archives.
[4] Mutahaba, ibid. p. 21.

Baada ya uhuru kupatikana mwaka 1961Ali Migeyo akawemwa kizuizini mwaka 1964. Migeyo alihamishiwa
jela ya Ukonga
Dar es Salaam ambako alikaa akiwa mpweke sana maana yuko mbali na kwao kiasi cha kuwa
hakuwa na hata nguo za kuvaa kule kizuizini.

Nyerere alimchagua Migeyo kuwa mbunge Migeyo akiwa jela.
Hamza Aziz IGP wakati ule ndiye alikwenda binafsi kumchukua Ukonga.

Alimkuta Ali Migeyo katika hali ya kusikitisha sana na hakuweza kujanae mjini akiwa katika hali kama ile hana hatanguo ya kujisitiri.

Hamza Aziz alirudi mjini akanunua nguo akampelekea kisha wakaja mjini na akampangia hoteli inayoitwa International Hotel Mtaa wa Lindi karibu na Mnazi Mmoja.

Tatizo ambalo unalijua ila unasukumwa na mhemko ulio nao kwa deen tu! Hapa Tz wanaotesa/kuteseka ni Waislamu! Wapagani! Na Wakristo! Nikikuonyesha Mkrito ambaye rakaa moja haipati ndipo utafunguka! Si heri yako wewe Said mwenye uhakika wa kula Kempinski ima Serena hotel?Leo unamnyooshea kidole kwamba anakuonea! Ni msiba huo mkubwa!Kuhusu ajira mimi ni Mkristo na ninacho kwambia MMungu awe Shahid; Mwanangu amemaliza chuo kikuu masomo ya statistics ana mwaka 2 hajapata ajira! Jirani yangu ni Muislamu mwanae alikuwa form4 lakini mwanae huyo alikuwa mnojawapo wa maafisa wa sensa makao makuu! Sina wa kumlaumu! Nimemuasa tu mwanangu kuwa usihangaike ofisi hadi ofisi kutafuta kazi! Bali hangaika kutafuta Pesa! Leo ananishukuru kwa ushauri amejiajiri na kuwa mjasilia mali! Unapo anguka inuka usonge mbele na sio unagalagala chini na kulalamika!

U,

Hapana tabu.
We umeeleza yako na tumeyasikia.

Huu ndiyo mwendo.
 
Ritz,

Ali Migeyo hilo ndilo jina lake lakini akijulikana vilevile kwa ajili ya ushujaa wake kama Ali Matata:

TAA Bukoba, 1950s: The Uncompromising Patriot Ali Migeyo

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In the Lake Province in 1950s Mwanza was the most active TAA branch. Its leaders, a Manyema poet, Saadani Abdu Kandoro and Bhoke Munanka were in the black books of the colonial administration.

Kandoro and Munanka were trying to give support to Ali Migeyo who single handedly was trying to establish TAA branches around Bukoba. [1]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] In Bukoba Migeyo, a senior politician then fifty-three years old, was single-handedly trying to establish TAA branches in West Lake Province.

He was once attacked with three tear gas canisters by the police at Kamachumu while addressing a public meeting campaigning for TAA.

Migeyo was a fiery orator who could easily arose the passions of his audience. On that fateful day he was in Kamachumu preparing the groundwork for TANU and addressing the people, when the police came to disperse the crowd. Tear gas canisters were fired at the crowd and Migeyo was arrested.

The colonial government tactically opened charges against Migeyo as an individual, not jointly charging him with TAA. Iliffe has captured the mood in the Lake Province:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] ''The danger-at the height of Mau Mau-was that the unsophisticated militants of the Lake Province might provoke disorder and thereby either break TAAs unity-carrying out a green revolution against established political leaders such as happened in Kenya, Senegal, and Sierra Leone-or embroil TAA in open confrontation with government, thereby enormously complicating the nationalist task.'' [2][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Dr Lugazia, hailing from Bukoba, had taken special interest to see that his home area was represented at the TANU founding conference.

Dr Lugazia therefore took the initiative to send the draft constitution to TAA Bukoba branch. After the arrest of Migeyo, TAA in Bukoba was as good as dead. Nothing could rekindle the fire left behind by him. An important letter of invitation to Bukoba written by Dr Lugazia, enclosing the TANU constitution to be tabled at the forthcoming delegates conference in Dar es Salaam, did not receive any attention.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Felix Muganda reflecting the problem in Bukoba wrote to Nyerere to appraise him of the situation:

I have called the whole executive leadership of the Buhaya to raise their morale so that they dont despair as a result of what has happened to Migeyo. [3]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The TAA leadership at the headquarters saw Migeyos arrest as direct intimidation and harassment of its leaders, given the fact that the people had assembled peacefully for the meeting.

The incident was a clear message from Governor Twining that the government was not ready to accept mass mobilisation of the people against the state.

Abdulwahid got in touch with Seaton to represent Migeyo who was standing trial on criminal charges in Bukoba. The TAA Meru Land Case Commitee which was touring the Lake Province at that time went to Bukoba to make on the spot assessment of the Kamachumu incident.

Soon after, Abdulwahid, Nyerere and Rupia visited Migeyos home village Bugandika in April, 1954.[4]

On 14 th April, 1954 Migeyo was imprisoned for three years for holding a meeting without permit from the District Officer. When TANU was founded on 7 th July, 1954, Migeyo was at the notorious Butimba Prison in Mwanza serving his sentence. [5]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] See G. Mutahaba, Portrait of a Nationalist: The Life of Ali Migeyo, East African Publishing House,
1969, p. 21.

[2] Iliffe, A Modern History...p. 510.

[3] Felix Muganda to Julius Nyerere, 18 th August, 1954, TANU 10 CCM Archives.
[4] Mutahaba, ibid. p. 21.

Baada ya uhuru kupatikana mwaka 1961 Ali Migeyo akawekwa kizuizini
mwaka1964.

Migeyo alihamishiwa jela ya Ukonga
Dar es Salaam ambako
alikaa akiwa mpweke sana maana yuko m
bali na kwao kiasi cha kuwa
hakuwa na hata nguo za kuvaa kule kizuizini.

Nyerere alimchagua Migeyo kuwa mbung
e Migeyo akiwa jela.
Hamza Aziz
IGP wakati ule ndiye alikwenda binafsi kumchukua Ukonga.

Alimkuta Ali Migeyo katika ha
li ya kusikitisha sana na hakuweza kujanae
mjini akiwa katika hali kama ile hana hatanguo ya kujisitiri.

Hamza Aziz
alirudi mjini akanunua nguo akampelekea kisha wakaja mjin
i na akampangia hoteli
inayoitwa InternationalHotel Mtaa wa Lindi karibu
na Mnazi Mmoja.

Mohamed Said,

Nashukuru kwa kunifahamisha kisa hiki.
 
Hata wewe binafsi kuna nyakati umejaribiwa kukiri au kusema usichokiamini usembuse kutoka kwa huyo anayekuhusu?
boKwamba siku hiyo hakukuwa na ri, wataka kutuaminisha kuwa matamshi na hamasa za kuandamana Polisi walizitungae na kujipa kazi ya kuwakamata, vyombo vya habari-Tv na magazeyi zilionyesha picha za maktaba.

W,

Hapo alipokamatwa huyu kijana hapakuwa na maandamano.
Ikiwa unasema kulikuwa na maandamano siku ile siwezi kubisha.

Lakini siku ile hawakutoka Waislam katika maandamano.
Misikiti yote ilikuwa shwari.

Hii ndiyo taarifa niijuayo mimi.
 
Na lipo sio moja, kuna mengi. Lakini duara ni kubwa sana ukitaka tu-breakdown matatizo ya nchi hii kulingana
na Rangi, Dini, Kabila na eneo hutakosa la kukuunga mkono.

Tuseme hivi:
Hakika Wahindi na Waarabu katika nchi wana afueni sana, lakini Wamatumbi kama sisi wengi wetu dhoofu hali.
Walioko jela wengi weusi, wanaokula mlo mmoja tu kwa siku wengi weusi n.k n.k.

Waislam wengi tu (Ismailia, Bohora) wana afueni na mambo yao Alhamdulillah yamewanyookea kwenye Elimu na hali. Lakini Waislam wa Kilwa, Rufiji, Kisarawe hali si hali. Halafu rudi kwa Waislam wa Machame mambo yao si mabaya kulinganisha na hao wengine ingawa si mazuri sana kama Ismailia/Bohora!

Njoo kwenye kanda, Kusini si bora sana Kielimu na Kiuchumi kuliko Kaskazini na Nyanda za juu kusini. Lakini hapohapo Kaskazini Manyara wako nyuma kuliko Arusha na Kilimanjaro. Hata mkoa wa Kilimanjaro, Moshi iko mbele kuliko Same.

Unataka na makabila?
Wanyakyusa wako vizuri kielimu kuliko Wagogo. Lakini Wanyakyusa wa Rungwe wako vizuri zaidi ya wale wa Chunya!

Sasa Humo kwa Weusi utakuta Wakristo, Waislam, Wachaga, Wanyakyusa, Wasukuma n.k.
Kwa Kanda utakuta Weusi, Weupe, Wakristo ,Waislam, Wasukuma, Wadengereko n.k
Kwenye dini utakuta kuna Weupe, Weusi, Wasukuma, Wachaga , Wadengereko nk n.k
Na kwenye kabila Hao woote juu pia wamo.

Ndio maana nakushauri toka kwenye hiyo level nenda level ya juu zaidi. Hata miongoni mwa watoto wa familia moja kuna tofauti itakuwa Taifa?
Yatazame matatizo ya Nchi hii kwa upana wake utagundua mengi na hapana shaka tutatoka hapa tulipo kama Taifa.

P,

Vyema tunabadilishana mawazo.
 
U,Hapana tabu.We umeeleza yako na tumeyasikia.Huu ndiyo mwendo.
Usiwe na jibu rahisi kihivyo!Sababu kesho watukuu zetu watafukua makaburi yetu kupima mafuu ya kichwa maabara kuona kwamba tulikuwa kweli wanadamu au mithili ya manyani! Pale watakaposhindwa buku jero kufukia mashimo ambayo wenzetu wametuachia baada ya kuchimba madini na kuondoka, wakati sie tunauana kugombea kuchinja! Nikuulize mzee Said kati ya deen na Utaifa kimeanza kipi ktk uumbaji?
 
hembu nyie muslim brothers nifafanulien hapo kwenye red na blue,
adui Yenu ni christians , chadema au serikali?
pia naomba unipe uhusiano wowote wa maandamo ya CHADEMA chama cha siasa na maandamano ya shekhe ponda

Kwani kuna tofauti kati ya Waislamu kuandamana na maandamano yanayofanywa na chama cha siasa? Sheria ya nchi inasemaje kuhusu maandamano?
 
Back
Top Bottom