Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Lakini cha kushangaza - sijui kama kinashangaza kwako - mtu anasema ati "Wakristu 85% na 15% Waislamu". Hivi kweli hakuna [COLOR=#ff0000 said:
Wahindi na watu wasio na dini yoyote au wenye imani za jadi?[/COLOR] Kwenye pointi hii tu unaweza kuona kuwa hizo takwimu haziwezi kuwa zimefanywa na wasomi.

MM,
Mara nyingine jaribu kuongea kama mtu mzima! hao wahindi na wasio na dini wako asilimia ngapi ktk nchi hii yenye idadi kubwa kabisa ya Waislamu na Wakristo? wanafika asilimia ngapi? sensa ya mwisho kufanyika nchi hii iliyoonyesha uwiano wa dini ilikuwa mwaka 1967 na ilionyesha Waislamu ni wengi kwa asilimia zaidi ya 60 huku wakristo wakiwa 36 na dini zingine 4! baada ya Sensa hiyo zilizofuatia hazikuonyesha idadi ya dini za watu na sababu haijulikani mpaka leo ni kwanini Serikali ya Nyerere haikutaka kujua idadi ya watu wake kwa mujibu wa dini zao huku umoja wa Mataifa na dunia nzima huhesabu watu wao na kujua idadi ya watu na dini zao sambamba na jinsia nk!

La kushangaza mwaka jana kabla ya Sensa kufanyika Serikali kupitia TBC na kanisa walitangaza kuwa TZ ina wakristo wengi kuliko dini zingine na kusababisha mtafaruku mkubwa nchini kwa Waislamu kutaka kipengele cha dini kiingizwe ktk madodoso ya sensa ili takwimu sahihi zijulikane na ndipo TBC ikabidi waombe radhi na kukanusha takwimu zao!

Leo Mwanakijiji unatumia takwimu zipi kulinda hoja zako za kuwataja Hindus na wasio amini Mungu? Shule ya Secondari niliosoma mwaka 1981 mpaka 83 tulikuwa na Hindus1, Shia 1 na Mhindi wa kisunni 1! tuliobakia kipindi cha dini kikifika Wakatoliki, Wasabato na Walutheri wanaingia madarasa yao, Waislamu wote wanaingia kwao huku Hindus na Walokole wachache wakibaki madarasani ama kujisomea au Walokole kuimba nyimbo zao peke yao kwa sababu walikuwa hawatembelewi na viongozi wao wa dini! sijawahi kuona mwanafunzi hata mmoja asiemwamini Mungu! labda wewe mwenzetu umesoma na Wasiomwamini Mungu kwa asilimia zaidi ya 1! Allahu Aalamu!

Sasa ikiwa miaka 4 ya Secondari sikuwahi kuona asieabudu mungu hata mmoja form 6 na Chuo kikuu idadi yao itakuwa ngapi?
 
Huo ni mfano wako mmoja, na bado ipo mifano mingi kadhaa. Ndiyo kama yale mtu kusema mdogo wake ana miaka mitatu
hajaajiriwa toka amalize chuo kumbe wengine pia wana wadogo zao hawajapata kazi na wanaitwa John na Paul.

Turudi hapo. Wewe unasema miaka ya 80's darasani yuko Hindu mmoja. Mimi nimesoma 90's na darasani walikuwepo
wasiokuwa kwenye Ukristo wala Uislam kama kumi achilia mbali akina John ambao hata mlango wa Kanisa
hawaujui!
Wewe unafikiria wale wahindi wanaosoma pale Aghakan, Al Mutanzir n.k wote wanaenda London au Bombay
wakimaliza Sekondari ? Tena afadhali wewe umesema darasani alikuwepo Hindu, lakini utafiti wa Mzee wetu
uko "fixed"!!
 
MM,
Mara nyingine jaribu kuongea kama mtu mzima!

kama ulichoandika kina karibiana na utu uzima basi utu uzima umepoteza maana yake... hivi nani alifanya huo utafiti? Na tangu lini kwenye takwimu huweki namba chache kwa sababu ni "insignificant"? ndio maana kwenye takwimu watu hawaogopi kuweka 0.001% unajua kwanini?
 
Mwanakijiji, wala usipate taabu, mwalimu wake Mohamed Said aliitwa Malik, mdini kutoka Pakistan aliyeingia nchini kama mtaalam wa hisabati. Huyo ndiye aliasisi wazo la mihadhara nchini lakini wakati huo ikitolewa tu ndani ya misikiti ila kwa kuwa tulikuwa na serikali iliyo macho, alifungashwa virago mara moja. Mohamed Said ni matunda ya mbegu alizozipanda huyo jamaa na mpaka leo vijana wengi wanapata mafunzo ndani na nje ya nchi kwa ufadhili wake. Aliyevaa viatu vyake baada ya kutimuliwa ni Mohamed Said mwanachama na mshauri mkuu wa vijana MSAUD, lengo kuu likiwa kuchafua amani nchini...of course serikali inamvumilia na sababu zipo.

Mag3,

Hakika Sheikh Malik (Allah amuwie radhi) ni mwalimu wangu na natafakhari kuhusishwa na jina lake.

Nimesoma tafsir ya Qur'an kwake pamoja na mambo mengine ya akhlak njema.
Ama hilo la kumwita mdini hiyo ni khiyari yako hakuna wa kukuzuia.

Kuwa yeye ndiye aliyeasisi mihadhara si kweli.

Historia ya mihadhara kwa haraka inarudi kwa Makadiani lakini hapa huu si uwanja wake hivyotuyaache.

Hilo la vijana wa Kiislam kupata mafunzo ndani na nje ya nchi kwa ufadhili wa Sheikh Malik sijapatapo
kusikia kuwa hairuhusiwi.

Kuwa mimi ni mshauri mkuu wa MSAUD na mwanachama na nia ni kuchafua amani ya nchi wala sitaligusa
kwa kuwa halina maana ya yoyote.

Hizi ni propaganda za miaka ya 1960/70 wakitishwa Waislam wakati walipokuwa wanyonge.
Ila nitalizungumzia hili la mimi kuvumiliwa na serikali.

Unasema sababu za kuvumiliwa zipo.
Sababu ni zipi?

Zitaje tuzijue.

Hilo mosi.
Pili mimi haya nisemayo sikuanza leo.

Nimezungumza kuhusu dhulma na historia ya Waislam kuwa ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika
Nyerere yu hai na yuko kitini.

Nimeyazungumza haya hapa nchini na nje ya nchi.

Labda ungependa nikamatwe nipelekwe mahakamani kwa ''uchochezi.''
''Uchochezi'' wangu ni upi?

Ni huku kuandika historia ya wazee wangu na yale waliyoyafanya katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
Uchochezi wangu ni upi?

Ni huku kuandika kitabu cha Abdulwahid Sykes aliyekuwa rafiki kipenzi wa Nyerere?

Uchochezi wangu ni upi?

Ni huku kuitahadharisha serikali kuhusu dhulma dhidi ya Waislam?

Ikiwa utapenda kujua habari za mwalimu wangu Sheikh Malik nifahamishe nami naahidi nitatoa darsa kila
mtu atafurahi Insha Allah.
 
Kama mnapata muda wa kugombania kuchinja nyama mtapa muda wa kusoam kweli? wakat wote wakristo wanaendelea kusoma na kujihusisha na elimu nyie watoto asub wanawah kwenda kukarir kuran kweli wataelimika? tena sio kusoma kuelewa ni kukariri. wakat wakristo wanaenda kusoma nyie wengine mnataka mkachinje ng'ombe mbuz nakadhalika hapo muda wa kusoam mtapata wap ndugu zanguni?nyerere sis wakristo tulipaswa kumlaumu zaidi kwa kunyang'anya shule zetu na matokeo yake tunayaona. waislamu sehemu nying dunian zina shida. nenda somalia,syria,sudani,nigeria, hapa tanzania nena mikoa ya pwan haina elimu. kama mnaoza watoto wakiwa na umri mdogo kabisa kwa kufata tamadun zile zile za...watasoma saa ngap hawa? mimi nimekaa pwani nimesoma kibiti.waislamu walikuwa wengi sana shuleni pale lakini weng wao hawakuwa wakipenda kusoma sana sana ni kusambaza chuki n.k sasa hapo tutamlaumu nani? tuache kuwa walalamishi huu ni udhaifu. necta hawahusiki na kufaulisha watu,mimi nimehusika sana na kusahisha mitihani ambayo huwa inasaishwa na waislam kwa wakristo .hakuna anayepanga nan afaulu au nani afeli.huko zanzibar asilimia 100 ni waislamu nambie umaskin uliopo huko? nenda nchi kadhaa za kiafrika ambzo ni za kiisalmu utaona hal zao.TUACHE KUMTAFUTA MCHAWI AU PA KUANGUKIA TUBADILIKE SISI WENYEWE.TUPENDE ELIMU NA TUELIMIKE TUJITOE KWENYE UCHAW WA KIARAB.
 
Mkuu ninaifahamu vema MOU ya makanisa,

Undani wahiyo ni kuwa serikali imesimama kama mdhamini tu lakini wahusika ni makanisa ya tz na ujerumani.

Hakuna pesa yamlipakodi wa nchi hii inayohusika na MOU.
Jaribu kunielewesha kwa style ya Mohammed Said ili nikuelewe.Hebu nukuu baadhi ya ibara za hiyo mOU ili tuone nafasi ya Ujerumani.
Ukija kwa makanisa ya Tanzania yanayopokea ruzuku za serikali na kukataa kuondoshwa kwa misamaha ya kodi basi hoja iko pale pale kuwa fedha zi zetu walipa kodi wala si za kanisa.
 
Kama mnapata muda wa kugombania kuchinja nyama mtapa muda wa kusoam kweli? wakat wote wakristo wanaendelea kusoma na kujihusisha na elimu nyie watoto asub wanawah kwenda kukarir kuran kweli wataelimika? tena sio kusoma kuelewa ni kukariri. wakat wakristo wanaenda kusoma nyie wengine mnataka mkachinje ng'ombe mbuz nakadhalika hapo muda wa kusoam mtapata wap ndugu zanguni?nyerere sis wakristo tulipaswa kumlaumu zaidi kwa kunyang'anya shule zetu na matokeo yake tunayaona. waislamu sehemu nying dunian zina shida. nenda somalia,syria,sudani,nigeria, hapa tanzania nena mikoa ya pwan haina elimu. kama mnaoza watoto wakiwa na umri mdogo kabisa kwa kufata tamadun zile zile za...watasoma saa ngap hawa? mimi nimekaa pwani nimesoma kibiti.waislamu walikuwa wengi sana shuleni pale lakini weng wao hawakuwa wakipenda kusoma sana sana ni kusambaza chuki n.k sasa hapo tutamlaumu nani? tuache kuwa walalamishi huu ni udhaifu. necta hawahusiki na kufaulisha watu,mimi nimehusika sana na kusahisha mitihani ambayo huwa inasaishwa na waislam kwa wakristo .hakuna anayepanga nan afaulu au nani afeli.huko zanzibar asilimia 100 ni waislamu nambie umaskin uliopo huko? nenda nchi kadhaa za kiafrika ambzo ni za kiisalmu utaona hal zao.TUACHE KUMTAFUTA MCHAWI AU PA KUANGUKIA TUBADILIKE SISI WENYEWE.TUPENDE ELIMU NA TUELIMIKE TUJITOE KWENYE UCHAW WA KIARAB.

Ehh makubwa yaani hapo unaona umeandika kitu cha maana yaani mtu mwenye elimu anaweza kuandika upumbavu kama huu?mhhh huu uzi umevamiwa! hivi hiyo madrasa unayo isema unaijua au ni ushabiki umekuleta huku,Hivi ulishawahi kubahatika ukasoma Quran na tafsiri yake na ukaielewa vizuri nenda kawaulize hao munaowaita wanasayansi halafu utakuta kuna mambo ambayo leo hii wao ndio wana yatambua lakini muda mrefu yamesha zungumziwa kwenye Quran. Quran kila kitu imezungumzia biashara,geograph,history mambo mengi yamezungumzwa mpaka binadamu ameumbwaje mambo mengi halafu wewe unaona watu kupeka watoto madrasa ni ujinga, Yani wewe umefumbua macho umeona dunia ni mahali pazuri duh kazi ipo wewe binadamu ni sawa na kuku anaenda kununuliwa sokoni anapewa mtama anakula kwa rahaaa kumbe kesho anachinjwa upo hapo bwana mdogo
 
Mohamed,
Kumbuka kuwa hakuna binadamu aliye kamili. Washington ametawala wakati utumwa umetamalaki. Hata yeye alikuwa anamiliki baadhi ya watumwa. Ilichukua miaka, mpaka enzi za Lincoln, ambapo utumwa ulisimamishwa hapa Marekani. Lakini huyu anasifika kama baba wa taifa, pamoja na madhaifu yote yaliyokuwepo. Sasa badala ya kumlaumu Nyerere kwa kushindwa kuondoa hali ya hohe hahe kwa baadhi ya jamii, tujikite sisi tuliopo tuziondoe hizo kasoro, na yeye tumpe sifa zake kwa jitihada alizofanya kukabiliana na kasoro hizo badala tu ya kumbeza. How does that sound?
Hii ni kinyume na mafundisho ya kiroho.Itakuwaje Nyerere akosee watu halafu tuchakachue tumpe sifa kwa makosa yake.
Qur'an inasema kama ifuatavyo.
وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَى وَإِن تَدْعُ مُثْقَلَةٌ إِلَى حِمْلِهَا لَا يُحْمَلْ مِنْهُ شَيْءٌ وَلَوْ كَانَ ذَا قُرْبَى
Na mbebaji habebi mzigo wa mwingine. Na aliye topewa na mzigo wake akiomba uchukuliwe hautachukuliwa hata kidogo, na angamwomba jamaa yake. Hakika wewe unawaonya wale wanao mcha Mola wao Mlezi kwa ghaibu, na wanashika Sala. Na anaye jitakasa, basi anajitakasa kwa ajili ya nafsi yake. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu (Qur'an 35:18)
 
Kama mnapata muda wa kugombania kuchinja nyama mtapa muda wa kusoam kweli? wakat wote wakristo wanaendelea kusoma na kujihusisha na elimu nyie watoto asub wanawah kwenda kukarir kuran kweli wataelimika? tena sio kusoma kuelewa ni kukariri. wakat wakristo wanaenda kusoma nyie wengine mnataka mkachinje ng'ombe mbuz nakadhalika hapo muda wa kusoam mtapata wap ndugu zanguni?nyerere sis wakristo tulipaswa kumlaumu zaidi kwa kunyang'anya shule zetu na matokeo yake tunayaona. waislamu sehemu nying dunian zina shida. nenda somalia,syria,sudani,nigeria, hapa tanzania nena mikoa ya pwan haina elimu. kama mnaoza watoto wakiwa na umri mdogo kabisa kwa kufata tamadun zile zile za...watasoma saa ngap hawa? mimi nimekaa pwani nimesoma kibiti.waislamu walikuwa wengi sana shuleni pale lakini weng wao hawakuwa wakipenda kusoma sana sana ni kusambaza chuki n.k sasa hapo tutamlaumu nani? tuache kuwa walalamishi huu ni udhaifu. necta hawahusiki na kufaulisha watu,mimi nimehusika sana na kusahisha mitihani ambayo huwa inasaishwa na waislam kwa wakristo .hakuna anayepanga nan afaulu au nani afeli.huko zanzibar asilimia 100 ni waislamu nambie umaskin uliopo huko? nenda nchi kadhaa za kiafrika ambzo ni za kiisalmu utaona hal zao.TUACHE KUMTAFUTA MCHAWI AU PA KUANGUKIA TUBADILIKE SISI WENYEWE.TUPENDE ELIMU NA TUELIMIKE TUJITOE KWENYE UCHAW WA KIARAB.

Kama wewe ndiyo unajitapa msomi wa Kikristo basi Watanzania tumekwisha.

Mimi nakushauri rudi shule kajifunze kuandika hujui hata kuandika kiswahili ukiandika kiingereza sijui itakuaje.

Mngekuwa mmesoma Tanzania isingekuwa masikini wa kutupwa dunia.
 
Ehh makubwa yaani hapo unaona umeandika kitu cha maana yaani mtu mwenye elimu anaweza kuandika upumbavu kama huu?mhhh huu uzi umevamiwa! hivi hiyo madrasa unayo isema unaijua au ni ushabiki umekuleta huku,Hivi ulishawahi kubahatika ukasoma Quran na tafsiri yake na ukaielewa vizuri nenda kawaulize hao munaowaita wanasayansi halafu utakuta kuna mambo ambayo leo hii wao ndio wana yatambua lakini muda mrefu yamesha zungumziwa kwenye Quran. Quran kila kitu imezungumzia biashara,geograph,history mambo mengi yamezungumzwa mpaka binadamu ameumbwaje mambo mengi halafu wewe unaona watu kupeka watoto madrasa ni ujinga, Yani wewe umefumbua macho umeona dunia ni mahali pazuri duh kazi ipo wewe binadamu ni sawa na kuku anaenda kununuliwa sokoni anapewa mtama anakula kwa rahaaa kumbe kesho anachinjwa upo hapo bwana mdogo

Huyu mtoto kaja na pumba za ajabu anasema sehemu zenye Waislam wengi kuna shinda katoa na mifano yake ya chekechea.

Labda tumuulize vipi Dubai, Oman, Qatar, Saudia Arabia, Uturuki, Kuweit Iran. Kuna shida sana kuzidi Tanzania kwenye Waislam wachache.
 
Ndio maana nahoji mwalimu wako wa Mantiq alikufundisha madudu gani... hivi unaposema "mbele ya macho ya Waislamu" kweli kabisa unaamini Waislamu WOTE Tanzania wamempunguzia Nyerere heshima? ... I know i know.. unamaniisha ni wale Waislamu wa kweli wenye kukubaliana histohisia yako
Hii kitu unapenda sana kuileta hapa.Hata upande wa wakristo si wote wanaomtukuza Nyerere.
Hebu naipigwe kura ya maoni kwa waislamu pekee bila serikali kujihusisha na tume zake tuone ni wapi wengi watakaomtukuza Nyerere na wangapi watakaomponda.Baada ya hapo labda ndipo iangaliwe iwapo kweli Nyerere anapasa kuitwa baba wa taifa au la.
 
Hii ni kinyume na mafundisho ya kiroho.Itakuwaje Nyerere akosee watu halafu tuchakachue tumpe sifa kwa makosa yake.
Qur'an inasema kama ifuatavyo.
وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَى وَإِن تَدْعُ مُثْقَلَةٌ إِلَى حِمْلِهَا لَا يُحْمَلْ مِنْهُ شَيْءٌ وَلَوْ كَانَ ذَا قُرْبَى
Na mbebaji habebi mzigo wa mwingine. Na aliye topewa na mzigo wake akiomba uchukuliwe hautachukuliwa hata kidogo, na angamwomba jamaa yake. Hakika wewe unawaonya wale wanao mcha Mola wao Mlezi kwa ghaibu, na wanashika Sala. Na anaye jitakasa, basi anajitakasa kwa ajili ya nafsi yake. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu (Qur'an 35:18)

Basi kwa mantiki hiyo endeleeni kumlalamikia na kumtakia laana tull!
 
kama ulichoandika kina karibiana na utu uzima basi utu uzima umepoteza maana yake... hivi nani alifanya huo utafiti? Na tangu lini kwenye takwimu huweki namba chache kwa sababu ni "insignificant"? ndio maana kwenye takwimu watu hawaogopi kuweka 0.001% unajua kwanini?

Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndio gumzo kuu na ni wao tu ndio mmoja atakuwa Rais wa Kenya ama iwe kwa halali au wamechezeana rafu! kuna wengine akina Mudavadi, Mohamed Didi, Paulo Muite na Mama Martha Karua wao pamoja na kuwa wanaasilimia kadhaa ktk mchakato huo, jee, wao na pasenti zao wanaweza kumuathiri Mwana Kenyata au Odinga asiwe Rais? ni Raila na Kenyatta ndio watachezeana rafu na sio hao wengine!

TZ hata kama Hindus na Wasiamini Mungu wako asilimia 2! hiyo haiwezi kuwafanya Wakristo na Waislamu wasichezeane rafu ktk kugombea madaraka ya utawala! haiwezekani Mkristo au Muislamu amchezee rafu Hindus au wengine ambao ni wachache sana!
 
Mzee Mohamed haya umeyasema sana. Nimeuliza swali kwa specific context ya mdogo wake Ritz na nataka jibu specific na si generalization. Sasa nahotaka ni Ritz anipe majibu yangu maana kamtaja mdogo wake jambo ambalo ni zuri kwa mjadala kwa kuwa anamtaja mtu wa "nguoni mwake." Ritz nasubiri majibu.
Mara nyingi unashauriwa ukitaka uapte jibu kutoka kwa Ritz tu basi tumia PM.au wewe ni mgeni hapa?.
 
Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndio gumzo kuu na ni wao tu ndio mmoja atakuwa Rais wa Kenya ama iwe kwa halali au wamechezeana rafu! kuna wengine akina Mudavadi, Mohamed Didi, Paulo Muite na Mama Martha Karua wao pamoja na kuwa wanaasilimia kadhaa ktk mchakato huo, jee, wao na pasenti zao wanaweza kumuathiri Mwana Kenyata au Odinga asiwe Rais? ni Raila na Kenyatta ndio watachezeana rafu na sio hao wengine!

TZ hata kama Hindus na Wasiamini Mungu wako asilimia 2! hiyo haiwezi kuwafanya Wakristo na Waislamu wasichezeane rafu ktk kugombea madaraka ya utawala! haiwezekani Mkristo au Muislamu amchezee rafu Hindus au wengine ambao ni wachache sana!

Hebu ongea na Mods ubadili ID uitwe Tanganyika Kwanza.

Umetisha kwa mipini yako.
 
Mara nyingi unashauriwa ukitaka uapte jibu kutoka kwa Ritz tu basi tumia PM.au wewe ni mgeni hapa?.

Ami,

Jamaa hajui kama hii ni forum.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom