Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Realy? Uhuru Kenyata, Raila Odinga, Adam Malima, Makongoro Nyerere and likes, think twice.

Nimecheka bora ungekaa kimya kuliko kujibu hujui nimeandika nini.... naona hilo neno family limekuchanganya waambie wenzako wakusaidie.

Ritz... When the head of the family dies, that family breaks up.

Majibu ya Matola.

Matola...Realy? Uhuru Kenyata, Raila Odinga, Adam Malima, Makongoro Nyerere and likes, think twice.

:clap2::clap2:
 
We dogo, mapovu yanini? we kubali tu kwamba kiingereza hukijui na hivyo andika kwa kiswahili tutakuelewa. Haya makelele yote hayatabadilisha ukweli kwamba wewe ni mjinga. Achana na upuuzi wa Mohamed, nenda shule kasome uelimike. Wala usiamini kwamba unaonewa na mfumo kristo, dawa ni shule tu na kujiamini kwamba wewe unaweza kujiletea maendeleo bila msaada OIC! upo hapo dogo?
 
Kumbe hapa tunaongea na mwehu mimi nilidhani ni mtu na akili zake, labda mniambie tu kuna Mungu na kuna Allah hawa ni tofauti ndio naweza kumuelewa huyu Mzee ambaye maishani mwangu sitamani kukutana na watu wenye akili ndogo kama hizi.
Mkuu Matola, pamoja na tofauti zetu na Maalim Mohamed Said, sio haki kumuita mwehu!, na sii kweli kuwa ana akili ndogo!, tatizo lake ni moja tuu, huyu ni Muslim Fundamentalist, na anachofanya hapa ni ku propagate hiyo fundamentalism in the name of Allah!.

Mungu wa Wakristo na Waislamu ni mmoja tuu, The Almight God, Allah ni jina tuu, kama ilivyo Yehova, Alfa na Omega, Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Majeshi etc. Wakristu na Waislamu, wote ni wana wa Ibarahim/Abraham, uzao wa Kikiristo ni kupitia kwa mkewe Sara/Sarah ambapo alimzaa Isaka/Ishaq na uzao wa Kiislamu ni kupitia kwa yule mjakakazi Helga/Hagai aliyemzaa Ishamel/Ismail!.

Hata Bikira Maria/Mariam wanamfahamu, haya Yesu pia wanamtambua kwa jina la Nabii Issa Bin Mariam, na hapo ndipo tulipotofautiana kwa sisi Wakristu tukiamini Yesu ndiye Mungu na ndiye Nabii wa mwisho, huko wao, wakidai Mtume Mohamed (SAW) ndiye nabii wa mwisho!.

Tuendelee kumpinga kwa hoja ila tusiukashifu utu wake, wala dini yake!. Mimi mwenzenu nimeishi India wanakoabudu hadi ng'ombe na niliwaheshimu tuu!. Nawaheshimu hata hawa wanaoabudu mizimu, mawe, miti na hata wasiabudu kabisa kama kina Kiranga!, kitu ambacho sikubaliani nacho kwa Maalim Mhomed Saidi ni sumu tuu ya udini, aliofanikiwa kuipanda vyema na imeanza kumea!, mavuno ya awali yameonekana, sasa anazubiria msimu rasmi!. Zingekuwa ni nchi za wenzetu, mtu kama huyu angeweka under surveillance kwa 24/7!.
Pasco.
 

Kabonde,

Bila shaka hunifahamu na ndiyo maana ukanitia katika ''level'' ya JF na kuona kuwa ni maji yenye kina kirefu ambacho kinanigharikisha.

Angalia hapa chini nimecheza viwanja vipi duniani:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

8.Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

9.Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004)

10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004)

11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006)

12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children's book)

13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi

14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam

15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, Nairobi

16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban

17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.
 
Platozoom,

Unasema kitu ambacho huna ushahidi nacho.
Playing with peoples mind, haihitaji ushahidi wowote!, kwa sababu minds can never be quantified!. Maadiko yako yanajitosheleza kabisa, thank God hatuna "gallows" otherwise saa hizi ingebaki historia tuu!.
Pasco.
 
Playing with peoples mind, haihitaji ushahidi wowote!, kwa sababu minds can never be quantified!. Maadiko yako yanajitosheleza kabisa, thank God hatuna "gallows" otherwise saa hizi ingebaki historia tuu!.
Pasco.

Pasco,
Nimekusoma.
 

Darasa ninalolipata hapa kutoka kwa mzee MS kwangu ni kubwa sana, kwanza unajua maana ya neno madrasa?wacha ushabiki na unajua kwanini nyerere alikata chuo kikuu cha kiislamu kujengwa hapa na OIC kikajengwa Uganda mbale na hiyo ndio sababu ya baba yako wa taifa kumchukia Idd Amin sasa wewe mpaka leo unaakili za zidumu fikra za mwenyekiti zidumuuuu usiwe fundi saa angalia mambo na macho mawili uko hapo dingi!
 
Boko, makelele yote haya hayafuti ukweli kwamba wewe hukijui kiingereza na kwahiyo unashauriwa utumie kiswahili kuwasiliana na sisi wamatumbi wenzio!
 
Boko, makelele yote haya hayafuti ukweli kwamba wewe hukijui kiingereza na kwahiyo unashauriwa utumie kiswahili kuwasiliana na sisi wamatumbi wenzio!

Kwani mimi ndio wakwanza kutokujua kithungu kuna watu wako pale bungeni hawajui lolote lakini munawasujudia ha ha haa mfano umeshatafuta CV za mbunge wa Arusha mjini tafuta halafu jifananishe na wewe mwenye kujua kithungu halafu jitazame wewe unalipwa shilingi ngapi na kithungu chako na yeye analipwa shilingi ngapi uko hapo dingi la kinoma!!!!!!!!
 
Lugha ya watu waachie wenyewe - andika kiswahili au kiarabu unachokiweza

Ehhh na wewe mpiga picha wa Nyerere umo umebadisha fani umekuja kwa njia ya mipasho! unajua thamani ya lugha ya kiarabu chunguza kwanza kabla ya kuropoka sawa mgala
 
Boko, mbona unakuwa mgumu sana kuelewa madogo haya, nimekushauri kwamba kwa kuwa hukijui kiingereza basi tumia kiswahili kuwasliana na sisi wenzio! sasa haya mengine ya nini? mbona unajitaabisha!
 
Ikiwa maneno ni hayo basi mjadala umekwisha.
Wengine wanataka Mohamed akamatwe,na wengine wamekimbia bila kuonesha huo uchochezi.Wengi wetu tumejifunza historia ya ukweli kuhusu wazee wa kiislamu waliopigania Uhuru na harakati za Nyerere aliyegeuka kutetea imani yake baada ya uhuru kupatikana kupitia ikulu.
Mimi nipo nipo nasubiri kuona iwapo Mzee Mwanakijiji na Yerico wataweza kuchechemea kurudi ulingoni.
 
Boko, mbona unakuwa mgumu sana kuelewa madogo haya, nimekushauri kwamba kwa kuwa hukijui kiingereza basi tumia kiswahili kuwasliana na sisi wenzio! sasa haya mengine ya nini? mbona unajitaabisha!

Angekuwa ameambiwa hukijui Kingoni asingelaumu mpaka sasa hivi.
Anaona kadhalilishwa kuambiwa amekosea Kingereza, kama ahisi hivyo hilo lingekuwa limepita tayari na
tunaendelea na mengine. Boko haram (means Elimu ya Magharibi haram) andika tu Kiswahili sisi sote tutakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Boko, mbona unakuwa mgumu sana kuelewa madogo haya, nimekushauri kwamba kwa kuwa hukijui kiingereza basi tumia kiswahili kuwasliana na sisi wenzio! sasa haya mengine ya nini? mbona unajitaabisha!

Gwali mbona mimi sijaona kitu chochote cha maana ulichoandika kwenye huu uzi? halafu kama wewe umeona hajui kiingereza siumuwache au ndio umeona kiingereza ndio kichaka chako cha kujificha pumzisha vidole vyako kama huna la kuandika.
 
Platozoom,

Unasema kitu ambacho huna ushahidi nacho.

Kipi sina ushahidi nacho?
Kwamba huwa upo kwenye mikutano baada ya maandamano na hutoa hotuba na mimi sijakuona
Kwamba kila mahali Sheikh Ilunga anapotoa idhin ya kuua Maaskof wewe huwa pembeni yake na sijakuona
Kwamba huwa kila penye mikutano yako ya hapa na pale na mostly Vijana huwa unatumia muda wako
mwingi kuwahimiza kufanya kazi na kusoma kwa bidii kwa sababu Elimu kwao ni muhimu kuliko kuambiwa
wanadhulumiwa na mimi hilo sijalishuhudia.

Kwamba sina ushahidi kuwa Vijana wanapotoka kwenye mihadhara wanakumbana na ugumu uleule wa maisha
kama unavyowapata wa Imani nyingine hilo mimi nimezua!
 
Gwali mbona mimi sijaona kitu chochote cha maana ulichoandika kwenye huu uzi? halafu kama wewe umeona hajui kiingereza siumuwache au ndio umeona kiingereza ndio kichaka chako cha kujificha pumzisha vidole vyako kama huna la kuandika.

mueleze mkuu ngoja mimi nikaswali maghrib povu linamtokaaaaaaaaaaaa ahhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…