Kiukweli, amini nawaambieni, by the time anaachiliwa wakati kesi inaisha, He'll just be done!. Wasiwasi wangu ni hii promo tunayoendelea nayo kumpa huyu mchochezi kupitia uzi huu, lazima tukubali, amepata follewes wengi kuliko nakala zote za kitabu chake zilokwisha somwa duniani kote!, kitu kimoja ambacho tukikubali tukikatea, Maalim Mohamed Said is very intelligent person, kwa wale tunaomkumbuka, alikichapisha humu kitabu chote, ila alikuwa akiulizwa kitu, alikuwa hajibu bali ana ku refaa kwenye kitabu ili ukasome!.
Kwenye uzi huu, amegundua Watanzania sio wasomaji, bali wana prefer kulishwa!, hivyo anachofanya sasa ni kupakua tuu hiyo sumu na kulisha!, tena akiulizwa kitu, anahakikisha hakujibu hapo hapo, atavuta vuta kwanza ili akusubirishe ndipo humwaga dozi na sumu juu!. Kwa uzi huu tuu pekeyake, tayari anao watu mia ambaop wakiambiwa wavae mabomu na kujilipua!, watakuwa tayari!.
Kwa upande wa maarifa, kiukweli kawazidi ma great thinkers wetu wengi humu ndio maana ndio maana ameendelea kuwafunga kamba kwenye shingo zao akiwaelekezea machinjioni!, nao wanakwenda nae!. He is taking a good advantage ya jfRegistered Members: 117,538
to reach as many as possible huku akiendelea kutuvuta, nasi kuvutika na kuendelea kumbeba!.
Kiukweli, MS ni mwisho!.
Pasco.