Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar



Niwazi kwamba kila mtu ameamua kuchagua upande ambao ameridhika nao kwa hoja baina ya pande hizi mbili,

Mimi nimeridhika na hoja za ndgu Mohamed Said,na wewe umeridhika na hoja za upande huo,vema kilamtu abakie upande unaompa faraja,lakini hata kama ukiamua kuniita mfia dini ni sawa tuh,ni faraja pia kwangu kufia dini yangu hii ya Uislam,Uislam ni vazi langu,Uislam ni mfumo wangu,Uislam ni kila kitu maishan mwangu,dont underestimate my islam,i real love my islam..

Turudi kwenye hoja kuu,sijaona uchochezi wa Mohamed Said hadi sasa..
 
Last edited by a moderator:



Vp yana ukakasi??

Tafakari chanzo cha kufikia hapo,usipatwe na huzuni kwa matokeo haya ya leo,

Kila litokealo mara nyingi huwa lina sababu yake..
 


Kila mtu ana namna ya kueleza hisia zake,

Ilunga kaelezea hisia zake kwa style anayoiona yeye ni muafaka kulingana na uelewa wake yeye kidini huku akinasibisha na hali halisi iliyotokea kwenye jamii yake,
Kumuuliza muislam mwingine kuhusu uhalali wa yale aliyoysema Ilunga ni kutaka kupima yeye upande gani kuhusu yale aliyoyazungumza Ilunga,ndio tunakujibu sasa Maulamaa kazi yao ni kutoa fatwa'a katika vipengele tata vinausisha sharia za kiislam na hekima inayostahiki kutumika,,

Jiulize kwanin mtu kama ilunga aibuke leo kuongea haya,miaka yote alikuwa wapi?,je ni ishara ya kukosa uvumlivu au ishara ya kuona unyonge umeongezeka upande wao kutokana na wao kutozungumza yanayowasibu?

Kila tukio tulionalo sasa halikuja kwa bahti mbaya..
 
Salum Abdallah alipotoka kizuzini jela ya Uyui, si tu aliichukia TANU chama alichokipenda bali alimchukia hata Nyerere mwenyewe. Jina la Nyerere lilikuwa halitajwi katika nyumba yake.
Mkuu Maalim Mohamed Said, siku nyingi nimekuwa nikijiuliza kwa nini unamchukia sana Nyerere?!, sasa nimeanza kuelewa!. Karma ya chuki inarithishika hadi vizazi 4!.

Wanabodi mnaomlaumu Mohamed Said kwa chuki dhidi ya Ukristo, msimlaumu, sio kosa lake!, haya ni mambo ya "karma", dawa ni kwa sisi Wakristu kumuombea na Waislamu kumswalia ili hiyo "karma" imtoke, vinginevyo "akishuka nayo", inaendelea kuhamia hadi 4th generation!. Huyu sii mtu wa kubezwa bali kuombewa!.Tena tushukuru Mungu sana kwa huu utulivu mnamuona nao humu jukwaani, ni Swala za Bibi yake, kumuombea "yasicharuke!", "yakicharuka!", Sheikh Ilunga atakuwa cha mtoto!.

Pasco.
 
Mohamed hapo huoni kuna irresponsibility na ignorant ya kiwango cha juu sana.
Tena hiyo umeipaka rangi na kuiita ilm! Real!
.
Mkuu Nguruvi3, tafuta maneno ya Bibi ya Maalim Mhommed Said kumhusu Babu yake, alikuwa na "wazimu" fulani!, ukimpanda!. Yaonesha Mohamed Said kamrithi babu yake!, Bibi kamuombea dua "asiurithi ule wazimu!", hivi mnavyomuona ndio umetulia!, angalieni sana msije mkaupandisha!. Kama kuna element ya "wazimu", its obvious kwake yale mahubiri ya Sheikh Ilunga ni "ilm!". Kwenye "wazimu" bado unaulizia irresponsibility na ignorance?!.
Pasco.
 
Nguruvi,

Hili nilijibu.

Nikasema kauli ya kisasi kama alivyozungumza Sheikh Ilunga
ni suala la maulamaa watoe fatwa mimi sina ujuzi huo.

Yaani wakati mwingine nachoka kabisa; yaani katika umri wako huo hujui uovu mbele ya macho yako? Kwamba Ilunga kapotosha Qurani tena vibaya sana unasema unahitaji maulamaa wakuambie? Huu ni uvivu gani wa fikra? Ndio vijana wetu unawaambia hivi kuwa Shehe akisema kitu asihoji kiakili kama hakina mantiq?
 

Pasco,
Lugha inakwenda na utamaduni.

Ukisikia Mswahili anasema, ''Hebu acha wazimu wako'' haina maana anaeambiwa ni mwendawazimu.
Unaona Kiswahili kinakushida unachanganya lugha.

Pale Bi. Zena bint Farijallah alikuwa anakusudia ushujaa sio wazimu.
 

Pasco,
Hivi unachukulia kuandika historia ya kweli ni chuki?
 
Bibi yangu alikuwa akiniombea dua akisema ''Mume wangu nakupenda
sana lakini naogopa huo wazimu wenu sasa sijui kama na wewe umerithi mie
wanangu Allah kawanusuru, nawe Allah akunusuru.''
Mkuu Maalim Mohamed Said, inawezekana sana umemrithi babu yako "lakini naogopa huo wazimu wenu sasa sijui kama na wewe umerithi", ila ni dua tuu ya Bibi yako iliomfanya Allah akakunusuru!, kitendo cha mafundisho ya Sheikh Ilunga kuyaita "ilm!", ni uthibitisho tosha tuu, kuwa japo Allah amekunusuru, hajakunusuru jumla!, bado kuna masalia, na ndio chanzo cha chuki yako dhidi ya Nyerere na kuuitishwa kwenye scapegoat ya mfumo Kristo!.

Wewe sio wa kubezwa, bali ni wa kuombewa na kuswaliwa ili hiki kipaji chako cha simulizi, kitumike kupanda upendo na mshikamano baina ya watu wa dini zote kwa kuleta utengamano kinyume cha mahubiri yako ya kumwaga sumu ya kujenga chuki, utengano, mparaganyika na uhasama utakaopelekea kuunda boko haram yetu na alqaeda yetu kama rehasal zilivyoamza kule Zanzibar.

Pasco.
 

Mag,

Narudia tena kusema.
Mimi siwezi kumfikia Ilunga kwani yeye ni alim.

Ikiwa majibu yangu hukuyapenda ni bahati mbaya.
 

Pasco,
Unarahisisha sana mambo.

Alqaeda, Boko Haram hawaingii katika haya matatizo
yanayoikabili nchi yetu.
 
Pasco,
Hivi unachukulia kuandika historia ya kweli ni chuki?
Mkuu Maalim Mohamed Said, with due respect, nauheshimu sana uandishi wako, napenda sana simulizi zako za hadithi za kale za harakati za uhuru, pia nakubali kuwa "you have the powers!", ila natatizwa na jambo moja tuu, "ill motives" katika huo uandishi wako unaouita "historia ya kweli!". Kama ni kweli, mbona huzijibu hoja za Mkuu Nguruvi3, haswa pale anapobainisha, unaongopa "delibarately" ili to soit your "ill motives!".
Ili historia iwe ya kweli, it has to be "nothing but the truth!".

Pasco.
 

Nguruvi,

Hayo mengine uloandika sitayazungumza.
Nitazungumza kuhusu kauli ya Sheikh Ilunga kuhusu ''kisasi.''

Sheikh Ilunga kazungumza kuhusu kisasi.
Katika Uislam kisasi ni haki.

Haya ni maneno yake Allah mwenyewe.
Hata hivyo Allah kaeleza mengine katika hicho kisasi.

Kuna kusamehe pia.

Filosofi ya kisasi ni kuwa kinafanya watu waogope kuwafanyia ubaya
wenzao kwa kujua kuwa na wao yatawakuta.

Huu ni uwanja wa maulamaa.
Uislam umekataza mtu kuzungumza kitu usichokuwa na ujuzi nacho.
 
Pasco,
Lugha inakwenda na utamaduni.

Ukisikia Mswahili anasema, ''Hebu acha wazimu wako'' haina maana anaeambiwa ni mwendawazimu.
Unaona Kiswahili kinakushida unachanganya lugha.

Pale Bi. Zena bint Farijallah alikuwa anakusudia ushujaa sio wazimu.
Mkuu Maalim MS, maneno huumba!, hata kama ulikuwa huna wazimu, ile kuambiwa tuu acha wazimu wako, unakuwa ndio hivyo, umeumbiwa wazimu!. Sio kila wazimu ni mbaya, kuna wazimu wakenda wakiimba na kuburudisha watu!, kuna wazimu wa kufanya ushujaa mkubwa hadi kuhatarisha maisha au kuyapoteza kabisa, ila pia "a man with a mission, kumwaga sumu ya udini kwa kisingizio cha kila madhila yanayowakumba Waislamu chanzo ni Nyerere na mfimo Kristu!", nao pia ni wazimu!.
Pasco.
 

Pasco,
Sina sababu ya kusema uongo.

Kama ni sifa na ushujaa hiyo ndiyo historia ya wazee wangu
ipo hapo siku zote sihitaji mimi kuzua mambo ili kuwakweza.

Nani anaeweza kuukataa mchango wa Abdu Sykes katika TANU?

Nani aneweza kufuta mchango wa Sheikh Hassan bin Amir katika
TAA Political Subcommittee na katika TANU?

Nani aneweza kuubadili mchango wa Idd Faiz Mafongo katika safari
ya Nyerere UNO 1955?

Nani aneweza kufuta historia ya Bi Titi Mohamed, Tatu bint Mzee,
Bi Shariffa bint Mzee, Bi Halima Selengia, Mama bint Maalim katika akina
mama walioinyanyua TANU?

Historia hii haihitaji mtu kuongopa.

Kuandika yalofanywa na mashujaa hawa ndiyo ''ill motives?''
 

Pasco,
Sitakulazimisha.
 

Nguruvi,

Umeniuliza ''Waislam wapi.''
Hebu soma hapa chini huenda ukawaona hao Waislan ninaowazungumza.

Maneno haya nimeandika miaka mingi nyuma:

The Second Muslim Crisis [1] and the Formation of the Supreme Council of Islamic Organisations and Institutions of Tanzania (Baraza Kuu)

By 1993 BAKWATA was literally dead. Its decision to appease the government and to distance itself from each and every Muslims issue made it irrelevant. Yet its leadership had the audacity to blame the government that it had not supported it by allowing other independent organisations to exist. On 17 April 1991 during an Idd Baraza at Arnautoglo Hall, Dar es Salaam President Mwinyi was invited to the occasion by BAKWATA as a guest of honour. In his speech to welcome the president, the Vice-Chairman of BAKWATA, Suleiman Hegga accused the government of indecision in hesitating to curb Muslim groups, which in his views were undermining BAKWATA. Hegga's speech was in fact a lament to the government that it had withdrawn its support to a long time ally in face of opposition from a common foe.[2]

In his reply President Mwinyi told the BAKWATA leadership to stop complaining and advised them to convene a meeting of all Muslim organisations to discuss whatever differences BAKWATA might be having with Muslims. This advise by the government was ignored by BAKWATA. What BAKWATA envisaged was for the government to use its powers to effect a crackdown of those independent Muslims organisations to enable BAKWATA enjoy centre stage in Muslims affairs. Muslims had long decided that the only way forward was for each organisation in its locality to try and help Muslims in its own way. As these Muslims became engaged in various activities from building simple madras to providing tuition to school children BAKWATA increasingly became redundant and hence the statement by BAKWATA that the government was allowing other Muslim organisations to "meddle" into their exclusive zone, that of preventing Muslims to have any influence in the political system.

It was now obvious that BAKWATA did not neither command support nor respect of Muslims. It did not have a competent leadership in terms of education and experience to administer such an organisation. BAKWATA did not have a single graduate in its administrative machinery. It had become the norm rather than the exception that in order for a Muslim to be accepted in BAKWATA his education has to be mediocre. Since Muslims were supportive to these independent organisations it was felt that it was high time for this loose leadership to manifest itself and take-over the leadership BAKWATA for the good of Islam. This act it was felt was important and necessary in order to formalise and confirm its status as the true Muslim representatives.

The only organisation thought fit to co-ordinate all those Muslim organisations and convene a meeting to discuss the future of Islam in Tanzania was the Dar es Salaam University Muslim Trusteeship (DUMT). DUMT convened a meeting in which all Muslim organisations based in Dar es Salaam including BAKWATA were invited. The agenda of the meeting was how to solve the leadership crisis in BAKWATA. The meeting was held at the University of Dar es Salaam and was chaired by Tewa Said Tewa the former chairman of the EAMWS.[3] BAKWATA refused to attend this meeting. Several meting were to be held at the university under the chairmanship of DUMT between July and September 1991. Emissaries were sent to the regions to consult with the independent Muslim leadership on the possibility of convening a national Muslim conference to debate on the future of Islam in Tanzania. The responses from the regions were very encouraging. BAKWATA tried its best to sabotage the conference. It sent its own emissaries to the region to try to persuade Muslims not to attend the conference. It also sent a letter to the government to ask its intervention to stop the conference.

On 15 September 1991 a National Muslim Conference was held at Nkrumah Hall of Dar es Salaam University. [4] Appreciating the sensitivity of Muslim politics the select committee that was co-ordinating Muslim affairs sent each and every minutes of the meeting to the President's Office. President Mwinyi realising religious issues, which required government intervention, he established a special desk of religious affairs. President Mwinyi sent Abdulrahman Kinana, Deputy Minister of Foreign Affairs and International Co-operation to open the conference. Kinana delivered a message from the government, which said that the government would cooperate with Muslims in finding a solution to their problems so long as Muslims pursued their goal peacefully.

In the history of Muslim movement in Tanzania never before had such a huge number of activists assembled in one place. Delegates came as far as Kagera and Rukwa. All who rose to speak had nothing but condemnation for the leadership in BAKWATA and none was more vocal than Sheikh Kassim bin Juma. In his speech to the delegates he said he supported the new initiative to provide a strong and dependable leadership to Muslims of Tanzania but was worried with the fact that the leadership, which was poised to lead Muslims comprised of the Ansar (Orthodox Muslims). The conference by acclamation ousted the BAKWATA leadership from power except the Grand Mufti Sheikh Hemed bin Juma bin Hemed on the ground that it did not have qualifications to lead a Muslim organisation. A 15-man caretaker committee under Sheikh Salum Khamis, a retired civil servant was elected and given the task to prepare for general election to enable Muslims choose its own leadership freely.

The committee was to run the organisation for an interim period of three months after which a general election was to be called. Its other task was to give BAKWATA direction according to the Holy Qur'an and Sunna of the Prophet. But its most important responsibility was the amendment of the constitution passed in Iringa in 1968 and change of the official name. This had a special significance to Muslims and the organisation as a whole because the amendment of the constitution and change of name meant a break with the dark past. The BAKWATA constitution was a replica of the constitution of the then ruling party TANU.

[1] The first Muslim crisis was in 1968, which culminated in the ban of the EAMWS by the government.

[2] Hotuba ya Suleiman Hega Aliyotoa Kwenye Baraza la Idi El Haj Tarehe 23 June, 1991 Mbele ya Mheshimiwa Rais.

[3] It should be bared in mind that organised effort to emanse support from Muslims had begun in 1987 and several meetings were held in Dar es Salaam under different venues. See minutes: Muhtasari wa Kikao cha Kamati ya Kupendekeza Muundo wa Chombo Kilichofanyika Tarehe 17/9/89 Shule ya Haramein. Contents of the minutes show that the thrust of the meeting was to forge unity among different da'awa groups and avoid duplication of efforts.

[4] The night before in an attempt to play down the Muslim National Conference the state-radio announced in its prime time news bulletin that the conference was involving delegates from Dar es Salaam only.
 
Ukiangalia mazingira aliyoongelea Ilunga ni yale ya mauaji ya Sheikh Rogo. Na kwa mujibu wake mauaji hayo yamefanywa na serikali.

Yeye anasema kwa uchache sana kuwa njia ya kuzuia hayo ni kutafuta Askofu mmoja na kuua kama kulipiza Kisasi.
Akanukuu aya inayozungumzia Kisasi ingawa sijui kama aliinukuu yote. Ninachojua hakueleza kisasi hicho kimetafsiriwa vipi kwa mifano, hadithi n.k. hadi kufikia hapo. Kwa maneno mengine amechukua mistari michache tu na kuwalisha wasikilizaji wake. Hilo sina ujuzi nalo na wala sitaki kulizungumzia kwa maana ya tafsiri n.k.

Lakini basi busara zinasema iweje mzozo wa Kenya aufanye uwe wa Tanzania? Na kwanini mazingira ya Kenya ayafananishe na Tanzania. Ni kwanini mzozo wa waislam na Polisi uingize watu wengine. Kwa mantiki yako Mohamed, ninani anatishwa hapo na kwasababu gani, ni Polisi au Maaskofu na kwa nini.
Kuna connection gani kati ya maaskofu na Polisi wa Tanzania

Kwa vile kauli hiyo imeleta utata sana miongoni mwa wenye weledi basi ni hatari sana kwa akina 'sisi'' wanao amini kuwa dini ni yale anayosema sheikh wala si kisomo na fikra. Hawa ndio tunaona wanabeba maneno ya ''kisasi ni haki'' ili mradi kasema sheikh na mabalaa yameonekana.

Kama mtu huyu angekuwa na Ilm kweli kauli ile asingeitoa katika mazingira yale na kwa wepesi ule kana kwamba kuua ni kama kupopoa embe Ng'ongwa. Kwamba Uislam umeagiza kufanya hivyo.

Tunaambiwa(na hapa nisahihishwe) kuwa kuzini tu hukumu yake inahitaji mashahidi walioona na si kuona walioshuhudia utupu mmoja ukiingia kwingine(ashakum) kwa macho yao. Hapo ndipo Fatwa inaweza kutolewa.
Tazama ugumu wa kutimiza jambo hilo, leo iweje Ilunga asikie hadithi za Kenya ambazo hajui kiini chake na azitumie katika kutoa Fatwa dhidi ya watu wasiohusika kwa maneno rahisi na mepesi kiasi kile? Hebu nieleimishwe hapa.

Hata ukichanganya vitu vinne, Sheikh Rogo, Polisi, Kenya, Tanzania na Maaskofu hakuna flow of information zinazounganisha habari nzima. In other words alitumia tu jina la Rogo na Uislam kuchochea mauaji bila kuwa na msingi wa kauli zake. Ndiyo maana tunaonya sana kuwa majina na matukio ni njia nyepesi sana ya kupandikiza chuki iwe kwa mahubiri au historia.

Kwangu mimi kilichonivuta ni kauli ya Mohamed kuwa Ilunga ana Ilm kubwa. Nadhani ana Ilm lakini je anaitumiaje Ilm hiyo? Ndipo nikamuuliza Mohamed kuhusu msimamo wake kwa mtu anayemtaja kuwa ana Ilm na mentor wake. Kikubwa zaidi ni kile alichowahi kukisema Mwanakijiji kuwa generalization katika maongezi na maandishi ni kitu kischo sahihi.

Unaposema Ilunga ametumwa na waislam akahubiri kuhusu mfumokristo, swali ni kuwa ni waislam wapi hao? Maana kuna BAKWATA, Shia, Ismaili, Kamati ya mali za waislam, kamati ya haki, Baraza kuu, Muslim foundation n.k. Sasa ni kundi lipi ambalo Ilunga anliwakilisha na kwanini kundi la Ilunga liwe waislam?

Kuhusu Ilunga kuonyesha hisia zake hilo nalo lina utata. Mathalani, kwanini yeye ahimize watu wakaue kwa siri? Kwanini wasiende kuua hadharani ili wawe mashahidi na waonyeshe hisia zao( ni mfano kwasababu siafiki mauaji ya kiumbe chochote). Endapo angekwenda yeye hadharani hilo lingekuwa hisia, lakini kuwaambi watu ua kwa siri usijulikane hapo hakuna hisia kuna uhalifu kwa mwenyezi mungu (mtazamo wangu).

Sijui ni Maaulamaa wangapi wamekaa na kuwafikia wale waislam waliokuwa wanamsikiliza Ilunga. Watu wale waliondoka na kutawanyika wakijua kuwa ''kisasi kwa Askofu ni haki'' sasa utawapata wapi kuwaelezea kiini, chimbuko na maana nzima iliyokusudiwa kwa hilo lenye utata.

Sidhani kuwa kauli zake zinatokana na kukosa uvumilivu. Kama kuna kukosa uvumilivu kwasababu hawasikilizwi tutauliza je wale Wasomali wamekosa uvumilivu wa kutosikilizwa na nani? Je, wale Sunni wanaowalipua Shia kule Iraq na Pakistan nao wamekosa uvumilivu kwa kusikilizwa na nani? Nataja huko kwasababu hakuna sababu ya kukosa uvumilivu mahali penye asilimia 100 au 99 ya waislam.

Mtu kama Ilunga na wengine walikuwepo,na huko nyuma hawakusema hayo.

Kinachotokea ni kuwa wachungaji wenye dhamana wameamua kukaa chini ya mti ili wachome nyama ya mbuzi na kuacha makundi ya ng'ombe,kondoo na mbuzi yakijiendea bila uelekeo. Fisi, Chui na Simba wanatumia fursa hiyo kushibisha matumbo yao.
 



Nimekuewlewa,japo mara nyingi mimi huwa napenda kuziiita hizo nazo kama ni nguruvi's histohisia,,

Sio mara moja wala mara mbili kwa nyinyi kujaribu kufananisha masahibu yanayowakuta waislam kadhaa dunian katika maeneo mbalimbali na waislam wanaoish Tanzania na kusema je yanayotokea huko yamesababishwa na sababu zile zile na yanayotokea huku??si mara moja wala mara mbili,kwa ufupi mmeshazoea hilo,well mimi sina la kuzid ila nakuambia ya kwamba kila waislam na kila sehemu walipo dunian na kila wanapoonesha nia ya kuish na kutaka kuusimamisha mfumo wa sharia katika maeneo yao kuna hila mbali mbali za mifumo mingine kama ubepari,U-vatican,U-anglican n,k lazima mifuo hiyo isimame kidete na kuhakikisha mfumo-islam hausimami kwa maslahi yao ya kidunia..

Aliyosema ilunga si tu alikua analandanisha yanayotokea kenya-mombasa pekee la hasha,ila ametumia hapo kama mfano hasa ukizingatia shekhe Rogo ni mtu ambae alikuwa ni mwenye kuwa na ushawish mkubwa hapa kwetu,kwaiyo kamtumia yeye kama mfano huku akilandanisha na hali halisi ya yanatokea tanzania,,

Ni rahis sana mtu kama wewe Kusahau mwembechai killings,na mambo mengine yakiwemo madhila mbali mbali yaliyowasibu waislam,unasahua ya kwamba watu kama Ilunga wanaibuka saiz kwa kuona kuna maswali mengi yanafichwa kutolewa majibu huku upande flan wa watu katika nchi hii kufanywa kama ni SECOND CLASS CITIZENS,,

Yan wasihoji,wasiongee,na wasisimamie chochote wanachokiona ni haki yao hasa hasa kikatiba,wakisema na kuhoji wanaangaliwa kama ni watu watata na EXTRIMISTS...,HAPA NDIPO TULIPOIFIKSHA NCHI HII...
 
Last edited by a moderator:

Nguruvi3,

Wewe ni Mkisto na mtetezi mkubwa wa mfumo Kirsto huna mamlaka ya kuwasemea Waislam wala kuwapangia.

Siku zote unapenda sana kutolea mifano ya matatizo ya Waislam wa mataifa mengine kama ndiyo Uislam, hata siku mmoja hujawahi kutolea mifano matatizo kutoka kwenye mataifa yenye Wakisrto wengi ambao wanafanya mauaji ya kutisha kama Rwanda, Congo, Burundi, Angola, Uganda, Kenya, na nk.

Hizi hoja zako unazojenga dhidi ya Uislam na Waislam umeishajiuliza kwa nini wanaoziunga mkono ni Wakirsto wenzako, Remote, Mag3, Bashadido, Mwanakijiji, Jasusi, Yericko Nyerere, na Wakirsto wengine kwa nini ujihulizi mbona hakuna Muislam hata mmoja anayekupongeza kwa michango yako kwenye huu uzi fikra zako za chuki na husda pamoja na ghirba dhidi ya Uislam na Uislam zipo wazi kabisa wala hauitaji miwani ya 3D kukusoma.

Waislam wataendelea kueleza madhila yaliowapata pamoja dhulma wala hawajali mpaka nyie mkubali huo ndio msimamo wa Waislam wewe mwenyewe ndiyo utatafuta kundi la kutuweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…