Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Umemsahau Ali Maswanya aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na ambaye alitoa tangazo. Wakati huo Rashid Kawawa alikuwa waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais.
Makamu wa kwanza alikuwa Sheikh Karume.
 

Ok, that said, THEN?
 
Sawia! Kwahiyo Abdul Sykes siyo founder ni among the founding members. Record ipo straight sasa. Bado hapa hujakaa sawa. Political Career ya Nyerere haikuanza na A.Sykes na hivyo information alizonazo ni zile za wakati walipokuwa pamoja katika harakati,siyo wakati akianza politics.

Kwanini isiwe Kasellabantu, aliyekuwa naye Tabora kama Mwenyekiti wake au Mwapachu waliyekuwa wote Makerere n.k.. Nadhani kama mtu anataka kupata habari za Nyerere kuhusu early political career Sykes si mtu sahihi.

Huyu alimjua Nyerere mwaka 1950+ sasa atawezaje kuwa na info za Nyerere aliyekutana na Dosa mwaka 1947 wakati wa National conference? na Nyerere huyo huyo akiwa tayari katika Politics
[/QUOTE]
 
Nimeweka bandiko la Nyerere anasema alikuwa anatoka Pugu kwa miguu mpaka mjini kila jumamosi kufanya kwenye mikutano na wazee.

Wazee wakamnunulia baiskeli kama usafiri akawa anakuja nayo mjini kwenye mikutano.

Mohamed Said akiwaambia kuwa wazee walikuwa wanajaza kapu la Nyerere kina Mshume Kiyate walikuwa wana mahaba na Nyerere wamejitolea chakula watu wanakataa sababu kasema Mohamed Said.

Nyerere kakiri kanunuliwa baiskeli na wazee lakini amsemi chochote.
 


Si haba..
Si haba hata kidogo..
 
Ritz, hongera kwa article nzuri yenye historia nzuri. Ila sikuona ikimpa Mkapa angalau credit ya kuwapa waislamu facility ya kuanzishia Chuo Kikuu pale Morogoro. Ni uungwana kuwa fair.

Fahamu hata panya ukimtega unampa chakula lakini umekitia sumu
 
Duh!
(nilivyoelewa mimi) Nyerere anakiri kabisa katika hotuba yake ya kuaga kuwa siasa hasa ameanzishwa na wazee wa Dar es salaam!

‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.
 

Ritz,

Akitoka Pugu Nyerere alikuwa anafika kwanza Mtaa wa Mbaruku alipokuwa akiishi
Dossa Aziz na baada ya hapo ndipo wanapofatana kwenda kwa Abdu Sykes Mtaa wa
Stanley.

Hizi ndizo sehemu mbili ambazo walikuwa wakifanya mazungumzo yao.
 

Nguruvi,

Utahangaika sana katika historia hii.

Ridhika na unavyoona imekukalia sawa. Unajua kwa nini mimi niko bukheri wa hamsa ishirini?

Naamini kile ninachokijua. Nakushauri na wewe amini unachoamini.

Amini kuwa TANU iliasisiwa Pugu na hutopata shida ya kuniuliza hili wala lile.

Hustaajabu kwa nini mimi siulizi mtu swali lolote? Siulizi kwa kuwa najua na ukijua unauliza nini?
 
Umemsahau Ali Maswanya aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na ambaye alitoa tangazo. Wakati huo Rashid Kawawa alikuwa waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais.
Makamu wa kwanza alikuwa Sheikh Karume.

Nguruvi,
Sijawasahau.

Wote wako katika kitabu changu.
 

Ritz, nadhani hapa hakuna "conflict". Nyerere amekiri KILA alikoenda wazee walimpa support kubwa kuliko VIJANA. Sababu pia kazitaja (refer Mbeya). Baiskeli na vyakula vinaashiria mahaba na uzalendo wa hao wazee. Lakini haviashirii kama wao ni Shia au Sunni au Freemason.
 
Mohamed, hawa WML walipewa kibali na nani, walikuwa wanashughulikia nini, walikuwa wanajamii gani wanayoihudumia?
Je, walifukuzwa au waliondoka wenyewe?

Majibu ya hapa yanamafaa zaidi kwa eaamini wa mnakasha huu.
 

Gombesugu;

Wenzetu ndivyo wanavyofikiri tuwahurumie! Rais Kikwete aliposhinda uchaguzi mwaka 2010 walimshambulia ile mbaya kwa kudai hakushinda kihalali na alimpora kura mgombea wao!

Mwaka 2007 pia hawakumwacha Kibaki kwa madai kama hayo ya uporaji wa kura! leo ni hawa wanashangilia Kibaki kupewa Jina ktk barabara zetu! Kibaki kupewa barabara ni sawa lakini mtaje Abdu Syke nae apewe barabara utasikia huo ni udini! lakini majina ya Nyerere road, Sokoine road, Msuya road, Mkapa road watafurahia!!!!!
 

ACCORDING to MS,zamani mitaa ya kariakoo,ukiwa mkristo unatafuta chumba unaelekezwa Mission Quarter anyway else hupati chumba-sasa hii ya African Association kuanzishiwa Mission Quarter really beats my head-does it mean townsfolk walikuwa wanakaa mission quarter? Au watu wenye financial clout ndio walikuwa wakazi wa mission quarter?? if so basi history imesahau wengi
 
Ritz, hongera kwa article nzuri yenye historia nzuri. Ila sikuona ikimpa Mkapa angalau credit ya kuwapa waislamu facility ya kuanzishia Chuo Kikuu pale Morogoro. Ni uungwana kuwa fair.

Kwani ili kuwa ni mali yake binafsi au shirika la umma? kama ilikuwa niyake binafsi, bas Waislamu wanawajibu wa kumshukuru lakini kama ni mali ya umma basi Waislamu ni miongoni mwa umma wa TZ na ni haki yao kuchukua jengo hilo maana hata Wakristo wanachotewa mabilioni ya fedha za Walipakodi wa nchi hii chini ya mkataba haramu wa MOU!

Usituletee story za kumwambia mwananchi ashukuru Serikali ati inajenga Barabara, Hospitali, Shule nk! huu ni wajibu wa Serikali kufanya kazi hizi na Wananchi ni waajiri wao! Mkapa ashukuriwe kwa lipi alilowafanyia Waislamu zaidi ya kuwauwa ndani ya Misikiti na kuwatesa Mashekhe ndani ya Magereza!

Ktk utawala wake sheria haramu ya ugaidi ilianzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuwashughulikia Waislamu lakini Mungu si Athumani leo sheria yao inawarudia wenyewe mpaka Mnadhimu wa Chadema anaishangaa Serikali kumkamata Lwakatware kwa ugaidi wakati sheria hii inawahusu Waislamu! Mtazame Tundu Lisu hapa.....Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare - YouTube
 

Nguruvi:
Hivi nawewe Elimu yako ni ya Madrasa? nani kakufundisha kuwa Serikali ni Mkuu wa Polisi, Mkuu wa Usalama, Waziri wa Elimu, Rais, na Makamu wake? hao ndio Serikali kwa mujibu wa definition yako? Mahakama na Bunge uliambiwa sio Sehemu ya Utawala? The government is a system that decided the state of affairs for our country, state, and community. This is where new rules and laws are made. What does government mean?
 

Kadogoo punguza ukali bwana, ukiwa na jirani anayeku-bore sana lakini siku moja akakusaidia kumkamata mwizi basi japo mwambie ahsante kwa siku hiyo. Si ndiyo desturi yakheee!!!! weee vipi bwana. Nadhani hapa mwisho utasema Subhanallah, Mtazame huyuuuu!!!!
 

Sijui wenye MJI wao watasemaje. Navyojua miji karibu yote ilipangwa kwa rangi (Uzunguni, uhindini, na Uswahilini) huku uswahilini waliishi pia Arabs kwa vile wakoloni waliwaona wana ukaribu na waswahili, la wakristo kuelekezwa na wenyeji wa kariokoo waende eneo lao hapo Dar litahitaji verification ya anayelijua. I hope somebody will respond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…