Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nimeeleza kwa kiswahili fasaha kabisa kuwa Ubalozi wa USA hapa nchini ni wafadhiri wa mradi huo,
Mengi zaidi ni ya ndani.....
Nakumbuka ulishawahi kufanya hivyo mkuu.Sasa tusubiri tuone hizo mbinu za kupinga ugaidi kutoka kwenye kitabu hicho.
Ulisema walikuondoa kwenye listi?Ama waliconfuse na Mwamedi mwengine?
Nakumbuka ulishawahi kufanya hivyo mkuu.Sasa tusubiri tuone hizo mbinu za kupinga ugaidi kutoka kwenye kitabu hicho.
Ulisema walikuondoa kwenye listi?Ama waliconfuse na Mwamedi mwengine?
Mohamed, hoja yako kuhusu BAKWATA elimu n.k. ni dhaifu sana na ningekuomba ujenge hoja zenye mashiko. Ni dhaifu na bandiko lako lina matundu mengi sana.Sasa kama "waislam" hamuitaki BAKWATA ambayo mnadai si ya "waislam" ila ni chombo cha serikali ya mfumo kristo, inakuwaje tena mnaiomba majibu serikali hiyo hiyo ya mfumo kristo? Ni sawa sawa tu ukiwa pale Cairo, ukatae kusaidiwa na ubalozi wa Tanzania huko Egypt lakini bado unaomba msaada wa serikali ya TZ iliyoko Dodoma/DSM.
Honestly, Kadogoo
unafikiri kweli wewe kama "muislam" (Baraza kuu la waislam) utaelewana zaidi na serikali kuliko na waislam wenzako wa BAKWATA?Ipo haja ya kujiangalia upya.
Mohamed, serikali ya nani na masheikh gani wamekamatwa bila sababu? Ni lazima ukiandika paper uwe specific na wala si ku-generalize. Pili, Mohamed hivi huoni hapa ndipo uchochezi wako ulipo wazi. Tumekuwa na awamu nne za uongozi, unatakiwa uonyeshe hiyo silent war ni ipi, imetokea lini na kwa namna gani.Mohamed Said;6153908]Jmushi1,Ugaidi upi anaoujua Yericko?Hana ''intellect'' ya kuandika kitu kizito kama hicho.
Angalia hapa ''tatizo la ugaidi'' Tanzania kama nilivyowasilisha katika mkutano wa Chuo Kikuu cha Ibadan:
The government was engaged in its own silent war against Muslims who were opposing Christian hegemony over the country and several times the government had to use force, harassment and arrest of the Muslim leadership in trying to contain the agitation.
Weka takwimu Mohamed.Corresponding to this awakening, Islam has gradually been gaining ground over Christianity in Tanzania. There is a noticeable number of Christians reverting back to Islam.
Hapa anaweka wazi ushiriki wake katika mihadhara. Lakini ndivyo ilivyosemwa katika Dini? Kwamba walinganieni watu kwa namna ile!The Church is facing opposition on two fronts.It is facing Muslims on the political front agitating against the status quo and on the second front there is Islam as a doctrinaire attacking the very foundations of Christianity.
Kwamba hukumbuki tumeshambuliwa hapa hapa Tanzania. Kwamba huoni kuna tatizo la magaidi wanaoichafua dini ya Uislam. Na kama basi ni kweli, je Wasengeli na Wabaidoa wanagombania nini wakati hakuna mfumokristo. Mohamed, Alishabaab nao wanapigana kwa ajili ya Uislam.The United States government in supportingthe Tanzanian government in its war against terrorism was in actual sense supporting the Christian lobby in the government in its anti Islam stand
White elephant! Wajina wako Mohamed Ghailan alishambulia ubalozi wa Marekani, hapo hakuna US interest kweli. Real Mo!In so doing was creating out of Muslims an unwilling adversary who had never threatened American interests
Hii ni kauli yako ya kichochezi Mohamed, hakuna mahali waislam wamekaa wakakubaliana hilo.Muslims had now two powerful adversaries to watch out. Muslims had to confront local adversaries as well as the United States.
Ni personal opinion siyo ya waislam. Narudia hakuna mahali wamekaa wakaandika haya. Umekaa Tandamti ukaandika.Ni mawazo yako yaheshimiwe lakini si mawazo ya Waislam.The entry of the United States in the conflict on the side of the government gave the conflict religious undertones, which were translated by Muslims as an impending American crusade hidden behind the façade of war against terrorism.
Mohamed, acha uzushi. Umeamua makusudi kuweka Pentecost kwa vile unafahamu kuwa Catholic haitaweza kuunga vizuri habari yako. Na wala Anglican. Hakika ungejua maknisa ya Marekani yalivyo usingethiubutu kuweka kituko hiki. Hivi huko Marekani unapokwenda huwa unapata wasaa wa kuongea na wenyeji japo kidogo. Wakisoma haya nadhani asubuhi hii ni kicheko tu. Makanisa ya Marekani ni ya watu wala hayafuati domination kama ilivyokuwa desturi.What was worse is the fact that in the last ten years there had been a large influx of Pentecost churches into the country from the United States and these churches were not openly hostile towards Islam but were also very aggressive towards other Christian sects.
Mohamed hakuna ukweli. So sad. Umetafuta mahali tu pa kuingiza neno kanisa kama sehemu ya chuki lakini mwenye akili timamu hadi hapa amesha disqualify paper yakoHowever with the passing of the anti-terrorist legislation it seemed all Christian churches in Tanzania where united incombating Islam under the banner of terrorism.
Mohamed, hoja yako kuhusu BAKWATA elimu n.k. ni dhaifu sana na ningekuomba ujenge hoja zenye mashiko. Ni dhaifu na bandiko lako lina matundu mengi sana.
Huyu bwana Nanren ana hoja moja muhimu sana.
Kama alivyoiweka hapo ni vema tukaiangalia kwa jicho mujarab.
Nashadidi alichosema. Mohamed, kama BWAKTA imewekwa na Serikali kwa kushirikiana na mfumokristo, iweje wewe na baraza kuu bado mnapeleka madai, maombi na malalmiko kule kule BWAKATA walipojikita?
Karibu sana
Hujaelewa hoja ya Nanren. Hebu kaisome vizuri kwanza.Serikali ya Tanzania inawajibika kwa maaskofu peke yao tu? waislam hawana haki ya kupeleka malalamiko yao serikalini au unataka kutufahamisha kuwa serikali ya tanzania inawafanyia tu hisani waislam wa tanzania. Waislam ni watanzania kama wengine wana haki kama wakiristu wanalipa kodi serikalini tatizo lenu nyie wakiristu chuki zimewajaa dhidi ya waislam lakini endeleeni kuwaona waislam wapuuzi kwenye malalamiko yao tutafika tu huko mnapotaka twende.
Mohamed hiki ndicho kitu unasema ''intellect'' kweli!
Mohamed, serikali ya nani na masheikh gani wamekamatwa bila sababu? Ni lazima ukiandika paper uwe specific na wala si ku-generalize. Pili, Mohamed hivi huoni hapa ndipo uchochezi wako ulipo wazi. Tumekuwa na awamu nne za uongozi, unatakiwa uonyeshe hiyo silent war ni ipi, imetokea lini na kwa namna gani.
Uchochezi wa Hegemony unauleta na kuuneza wewe na akina Ilunga na Rukara. Waislam wa kawaida wanaishi maisha yao kama kawaida wakiwa na ndugu zao. Tunajua kuwa upo katika biashara ya vitabu na CD lakini hapa unaongea tuu kwa ujumla si mahali pa kufumbia macho.Weka takwimu Mohamed.
Noticeable ni general term ambayo mtu yoyote anaweza kuitumia. Wasababto wanaweza kusema there is noticeable increase of Wasabato.
Hapo hawana maana kuwa ongezeko ni zaidi, noticeable inaweza kuwa relative term.
Mfano kama mwaka 1960 wakristo waliosilimu ni 100 na mwaka 2013 ni 5000 unaweza kusema noticeable.
Hii haina maana kuna ongezeko kwasababu hujaangalia ongezeko la population Mohamed Sadi! Noticeabla ni general term na ni relative term. Ukitaka ueleweke weka namba. Mtaani watasema hivyo katika academic arena that's fumbling big time Hapa anaweka wazi ushiriki wake katika mihadhara. Lakini ndivyo ilivyosemwa katika Dini? Kwamba walinganieni watu kwa namna ile!
Kwamba hukumbuki tumeshambuliwa hapa hapa Tanzania. Kwamba huoni kuna tatizo la magaidi wanaoichafua dini ya Uislam. Na kama basi ni kweli, je Wasengeli na Wabaidoa wanagombania nini wakati hakuna mfumokristo. Mohamed, Alishabaab nao wanapigana kwa ajili ya Uislam. White elephant! Wajina wako Mohamed Ghailan alishambulia ubalozi wa Marekani, hapo hakuna US interest kweli. Real Mo!
Hii ni kauli yako ya kichochezi Mohamed, hakuna mahali waislam wamekaa wakakubaliana hilo.
Haya ni mawazo yako unayoyafanya ya waislam. Wewe ni Mohamed ambaye ni mwislam si Waislam. Nina uhakika wapo waislam wakisoma haya unayoandika wanakereka sana na wanatamani usitumie jina Islam maana kiwango cha hoja ni dhaifu sana.Ni personal opinion siyo ya waislam. Narudia hakuna mahali wamekaa wakaandika haya. Umekaa Tandamti ukaandika.Ni mawazo yako yaheshimiwe lakini si mawazo ya Waislam.Mohamed, acha uzushi. Umeamua makusudi kuweka Pentecost kwa vile unafahamu kuwa Catholic haitaweza kuunga vizuri habari yako. Na wala Anglican. Hakika ungejua maknisa ya Marekani yalivyo usingethiubutu kuweka kituko hiki. Hivi huko Marekani unapokwenda huwa unapata wasaa wa kuongea na wenyeji japo kidogo. Wakisoma haya nadhani asubuhi hii ni kicheko tu. Makanisa ya Marekani ni ya watu wala hayafuati domination kama ilivyokuwa desturi.
Mohamed hakuna ukweli. So sad. Umetafuta mahali tu pa kuingiza neno kanisa kama sehemu ya chuki lakini mwenye akili timamu hadi hapa amesha disqualify paper yako
Mohamed anajua vema Pentecoste na ujio wake. Hajui kabisa World Muslim League walikuwepo Tanzania kwa shughuli gani na kwanini waliondoka!!! Think about it. Kwamba ni mtaalam wa mambo yasiyomhusu kuliko yanayomhusu na aliyoshiriki kama hili la WML.
[
Serikali ya Tanzania inawajibika kwa maaskofu peke yao tu? waislam hawana haki ya kupeleka malalamiko yao serikalini au unataka kutufahamisha kuwa serikali ya tanzania inawafanyia tu hisani waislam wa tanzania. Waislam ni watanzania kama wengine wana haki kama wakiristu wanalipa kodi serikalini tatizo lenu nyie wakiristu chuki zimewajaa dhidi ya waislam lakini endeleeni kuwaona waislam wapuuzi kwenye malalamiko yao tutafika tu huko mnapotaka twende.
Mohamed hiki ndicho kitu unasema ''intellect'' kweli!
Mohamed, serikali ya nani na masheikh gani wamekamatwa bila sababu? Ni lazima ukiandika paper uwe specific na wala si ku-generalize. Pili, Mohamed hivi huoni hapa ndipo uchochezi wako ulipo wazi. Tumekuwa na awamu nne za uongozi, unatakiwa uonyeshe hiyo silent war ni ipi, imetokea lini na kwa namna gani.
Uchochezi wa Hegemony unauleta na kuuneza wewe na akina Ilunga na Rukara. Waislam wa kawaida wanaishi maisha yao kama kawaida wakiwa na ndugu zao. Tunajua kuwa upo katika biashara ya vitabu na CD lakini hapa unaongea tuu kwa ujumla si mahali pa kufumbia macho.Weka takwimu Mohamed.
Noticeable ni general term ambayo mtu yoyote anaweza kuitumia. Wasababto wanaweza kusema there is noticeable increase of Wasabato.
Hapo hawana maana kuwa ongezeko ni zaidi, noticeable inaweza kuwa relative term.
Mfano kama mwaka 1960 wakristo waliosilimu ni 100 na mwaka 2013 ni 5000 unaweza kusema noticeable.
Hii haina maana kuna ongezeko kwasababu hujaangalia ongezeko la population Mohamed Sadi! Noticeabla ni general term na ni relative term. Ukitaka ueleweke weka namba. Mtaani watasema hivyo katika academic arena that's fumbling big time Hapa anaweka wazi ushiriki wake katika mihadhara. Lakini ndivyo ilivyosemwa katika Dini? Kwamba walinganieni watu kwa namna ile!
Kwamba hukumbuki tumeshambuliwa hapa hapa Tanzania. Kwamba huoni kuna tatizo la magaidi wanaoichafua dini ya Uislam. Na kama basi ni kweli, je Wasengeli na Wabaidoa wanagombania nini wakati hakuna mfumokristo. Mohamed, Alishabaab nao wanapigana kwa ajili ya Uislam. White elephant! Wajina wako Mohamed Ghailan alishambulia ubalozi wa Marekani, hapo hakuna US interest kweli. Real Mo!
Hii ni kauli yako ya kichochezi Mohamed, hakuna mahali waislam wamekaa wakakubaliana hilo.
Haya ni mawazo yako unayoyafanya ya waislam. Wewe ni Mohamed ambaye ni mwislam si Waislam. Nina uhakika wapo waislam wakisoma haya unayoandika wanakereka sana na wanatamani usitumie jina Islam maana kiwango cha hoja ni dhaifu sana.Ni personal opinion siyo ya waislam. Narudia hakuna mahali wamekaa wakaandika haya. Umekaa Tandamti ukaandika.Ni mawazo yako yaheshimiwe lakini si mawazo ya Waislam.Mohamed, acha uzushi. Umeamua makusudi kuweka Pentecost kwa vile unafahamu kuwa Catholic haitaweza kuunga vizuri habari yako. Na wala Anglican. Hakika ungejua maknisa ya Marekani yalivyo usingethiubutu kuweka kituko hiki. Hivi huko Marekani unapokwenda huwa unapata wasaa wa kuongea na wenyeji japo kidogo. Wakisoma haya nadhani asubuhi hii ni kicheko tu. Makanisa ya Marekani ni ya watu wala hayafuati domination kama ilivyokuwa desturi.
Mohamed hakuna ukweli. So sad. Umetafuta mahali tu pa kuingiza neno kanisa kama sehemu ya chuki lakini mwenye akili timamu hadi hapa amesha disqualify paper yako
Mohamed anajua vema Pentecoste na ujio wake. Hajui kabisa World Muslim League walikuwepo Tanzania kwa shughuli gani na kwanini waliondoka!!! Think about it. Kwamba ni mtaalam wa mambo yasiyomhusu kuliko yanayomhusu na aliyoshiriki kama hili la WML.
[
Mohamed, hoja yako kuhusu BAKWATA elimu n.k. ni dhaifu sana na ningekuomba ujenge hoja zenye mashiko. Ni dhaifu na bandiko lako lina matundu mengi sana.
Huyu bwana Nanren ana hoja moja muhimu sana.
Kama alivyoiweka hapo ni vema tukaiangalia kwa jicho mujarab.
Nashadidi alichosema. Mohamed, kama BWAKTA imewekwa na Serikali kwa kushirikiana na mfumokristo, iweje wewe na baraza kuu bado mnapeleka madai, maombi na malalmiko kule kule BWAKATA walipojikita?
Karibu sana
Wana jamvi,
Niwarejeshe nyuma kidogo,
Maandiko haya ni sehemu ya kitabu nilichokiandika mimi kiitwacho "vitadhidi ya ugaidi"
Spike zamani alikuwa hazungumzi.Alikuwa akifyonza tu ilm.Sasa ameamua kutumia ilm yake.Kitabu chako kinapatika wapi na kilitoka lini?
Vipi mauzo yake sokoni?
Kipo baadhi ya maduka hapa Dar,kama dar bookshop centre
Lakini waweza kukipata ukienda ubalozi wa USA, wao ndio wanakisimamia.
:A S angel:Kinauzwa kiasi gani?
Kitabu ni cha kwako au cha ubalozi wa Marekani?
Wanajamvi,
Ubalozi wa Marekani wanasimamia kitabu cha Yericko Nyerere!
Hii ngoma pevu.
Sasa ngoma inogile.
Ubalozi wa Marekani...
Sasa wanauza vitabu vya Yericko... ?
Hii ni ishara ya kuishiwa hoja.
Samahani lakini unasema kitabu ni chako mwenyewe kinaelezea ugaidiinakuaje mpaka mchakato wake wahusike ubalozi wa marekani. Labda tufahamishemarekani wana maslahi gani na kitabu chako wanakulipa au umejitolea.
JokaKuu,
Nakushukuru na nimekufahamu. Pia nafuatilia ule mjadala wa masuala ya elimu hapa jamvini baina yako na Kadogoo,unanifurahisha kumpa changamoto kwa njia ya ustaarabu ndugu yetu Kadogoo. Nae pia ni mahiri wa stats na maelekezo mazuri.
Nafikiri "baadhi yetu" yaelekea tunaanza kuelekea pahala pema na kusikizana. Nafsi ya kukubali kuwa kuna tatizo hapo nchini, na pia kukubali kuwa baadhi ya wenzetu walio wengi kwenye baadhi ya maeneo hususan waIslam, wanahitaji kusaidiwa na kushauriwa kwa njia mbalimbali. Ama kwa hakika hii ni dalili njema. Basi tuendelee na mnakasha.
Nakutakia siku njema.
Ahsanta.
Mohamed,
Kwanini umekuwa ni binadamu mwenye ubora mimi sana?
Ninakuambia kuwa mimi nimeandika kitabu kiitwacho "Vita dhidi ya Ugaid"
Na nimekifikisha mezani pa ubalozi wa USA, wakaomba kujiridhisha Na wamevutiwa nacho,
Mohamed nakujuza tu kuwa ni kweli tabu kilichomeza mda mwingi na pesa nyingi ili kukiandika.
Japokuwa ni mzee lakini umeathiriwa na kasumba ya ubora mimi na umimi zaidi ndugu yangu,
Kwakuwa mada haihusu suala hili naomba tuliache litulie lakini nitakulisha maarifa na tunu iliyo kwenye kitabu hicho kwa ufupi ufupi ikibidi, kwa lengo la kuboresha mnakasha wetu.
Tuendele.....
Naam! Naam! Nafyonza Ilm tu hapa bila wewe watu wasingetafuta vitabu kuwafahamu kina Kleist.
Leo hii watu ndio wanataka kujua habari za Aggrey wkt wewe umezielezea zaidi ya miaka 15 iliyopita.
Endelea kutoa Ilm Mkubwa.
Wickama;
Kubadilisha jina kuna madhara yake! mfano wakati wa ukoloni baadhi ya Waislamu walibadilisha majina ili wapate elimu lakini ndio wakabadili na dini kabisaaaa! mfano; Mzee Peter Kisumo alikuwa akiitwa Abdallah Kisumo na kujiita Peter ili asome na ndipo akawa Peter kikwelikweli! sasa nani anaetaka mtoto wake abadili dini ili apate elimu?
Nanren,
Unasema hayo bila shaka kwa kuwa hujui hali ya Waislam na jinsi
wanavyowaona BAKWATA.
Mfano ambao labda unaweza kuuelewa ni huu.
Ni mfano wa Kanisa Katoliki na Wanamaombi.
Heshima yako mzee MS, masuala ya terrorism hata wamerakani wamelia nayo wakati wa George Bush, nadhani ulikosea ndege mzee wangu, ungebadili uingie na KLM tokea Amsterdam. Wewe unatokea Iran tena na huku paper yako ilijaa washawasha? Hujipendi? waswahili na hata waingereza wanasema mtoni kuogelea kwa kushindana na mkondo wa maji huwa ni tatizo. Pole bwana mzee. Lakini hamna haja ya pole si umeshachuma thawabu bwanaaaaa?
Swadakta ahali yangu. Hapa sasa atakuwa amekupata sana sana na kukuelewa namna ilivyo Bakwata na Waislam ambao sio viongozi wa Serikali.