Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Pole sana ndugu yangu kama nimekuudhi kweli,

Nimekileta hapa hicho kipande cha kitabu ili kusherehesha mnakasha na na kutia mbinyo wa hoja kuu.

Yericko Nyerere,

Nashukuru kwa ustaarabu wako. Wala haina shida ndugu yangu,mimi nilikua tu nakufahamisha fikra na msimamo wangu binafsi kuhusu yale niloyaona kwenye ule utangulizi wa zile "hadithi za kitabu chako". Nafikiri ni muhimu kwenye shughuli kama hizi tuwe wakweli baina yetu hata kama hatukubaliani au tuna mawazo na fikra tafauti.
Naona na leo umeongeza kiduchu yale yaliyomo ndani ya hicho kitabu chako,nachelea tusijekwenda nje ya mada/shutuma zako dhidi ya Sheikh Mohammed Said!? Au labda ndo "shughuli" imeshakwisha unatufahamisha kistaarabu!?ahahaha!!

Ahsanta na nakutakia jioni njema.
 

Gombesugu, jamaa anakuwekea maneno kinywani mwako ya kuwa umesema sheikh Rukara eti "ana haki" na kajenga hoja zake, cha kushangaza hawezi kuchukuliwa hatua yoyote dhidi ya kauli yake tumeona Ritz kapewa ban kwa kumuwekea maneno member mwenzake.
 

Gombesugu,
Yericko.

Hapana mchezo huyu ni mwamba.
Anasema "Desert One" hapo kakusudia "Desert Storm."

Hilo ndilo buku lake linalosimamiwa na Ubalozi wa Marekani.
Anaandika "Cliton" badala ya "Clinton."

Anatamba anasema mimi si chochote najua habari za Kariakoo.

Masikini hajui kuwa mimi nimesoma historia ya Marekani kisha
nikashindilia na Politics of Industrial States.

Nikisoma hiyo riwaya hata sijui kama namsoma yeye au tafasiri
ya riwaya za Kimarekani.
 
Yericko hiko kitabu chako nikikitia mikononi nakitia moto..!
Umeandika nini sasa.?ndio kitabu hiko?
Huna adabu kabisa,liombe radhi jukwaa hili..

Big show kulikoni
Mkubwa?
Dawa ni kujua kampuni inayochapa, vikitolewa kiwandani tu, vinunue vyote na viunguze.
Ingawa huenda ukamtajirisha Mwandidhi zaidi, si atachapisha vingine!
 
Mohamed Said,
Upatapo nafasi inshaallah tujuze khabari za Profesa Malima. Tunangoja kwa hamu kubwa darsa hilo tujichotee twende zetu!
 
Mohamed Said,
Upatapo nafasi inshaallah tujuze khabari za Profesa Malima. Tunangoja kwa hamu kubwa darsa hilo tujichotee twende zetu!

Insha Allah,
Kuna mtu alimsema vibaya Malima.

Mimi nikamwambia marehemu atajibu
kutoka kaburini.

Niliweka kitu.
Jamvi zima likawa kimyaaaaaa!

Jambo niloweka lilikuwa zito na
nilitegemea maswali.

Kimya hadi leo.
 
Big show kulikoni
Mkubwa?
Dawa ni kujua kampuni inayochapa, vikitolewa kiwandani tu, vinunue vyote na viunguze.
Ingawa huenda ukamtajirisha Mwandidhi zaidi, si atachapisha vingine!

Wimana,
Hana kitabu.
 
Insha Allah,
Kuna mtu alimsema vibaya Malima.

Mimi nikamwambia marehemu atajibu
kutoka kaburini.

Niliweka kitu.
Jamvi zima likawa kimyaaaaaa!

Jambo niloweka lilikuwa zito na
nilitegemea maswali.

Kimya hadi leo.
Mohamed, ni jambo gani ambalo jamvi lilikaa kimya kwasababu ya Malima? Tafadhali tukumbushe
 
Gombesugu, jamaa anakuwekea maneno kinywani mwako ya kuwa umesema sheikh Rukara eti "ana haki" na kajenga hoja zake, cha kushangaza hawezi kuchukuliwa hatua yoyote dhidi ya kauli yake tumeona Ritz kapewa ban kwa kumuwekea maneno member mwenzake.
Jibu lipo hapa
Na wewe unasema Rukara '' ana haki'' kwasababu yupo mkristo alifanya abacd.
Nashangaa pia unadai kuwa nilisema ati Alhaj Rukara ana haki, na pia umeichukua yalemaelekezo yangu yoote out of context na unajuwa wazi hilo!? Tafadhaliacha utoto mimi nakuheshimu na nimeshakwambia hilo mara kadhaa!Ahsanta
Nadhani unaelewa maana ya alama hizi '' ''. kama unaelewa maana yake ni busara ukaomba radhi kwa maneno niliyo underline. Kama huelewi basi ibaki ilivyo tuendelee na mnakasha.
 
Jokakuu hapa ndipo ninaposema kila siku kuwa hoja nyingi ni za kutunga na siku za baadaye zinajichanganya. Kuna baadhi yao wanasema Nyerere alimshambulia Idd Amin kwasababu ya imani tu.
Mohamed anasema Idd Amin aliua sana watu wake. Kama aliweza kufanya hivyo angeshindwaje kuvamia Kagera?

Mohamed anasema Karume aliua watu wake wengi, wakati huo huo anasema Nyerere ndiye aliyeandaa mapinduzi.
Wazanzibar wanasema Mapainduzi ni kazi yao, lakini wanadai Idd Amin alishambuliwa kwasababu ya imani yake.

Haya yaweza kuwa maoni ya watu na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake.
Kibaya ni pale mtu huyo atakapochukua maoni yake na kuyafanya maoni ya wengi.
Inapotokea kujikanganya kama huku, maoni ya mtu mmoja yatachukuliwa kama maoni ya jamii nzima. Ni hatari
 
Jibu lipo hapa Nadhani unaelewa maana ya alama hizi '' ''. kama unaelewa maana yake ni busara ukaomba radhi kwa maneno niliyo underline. Kama huelewi basi ibaki ilivyo tuendelee na mnakasha.

Unazidi kujichanganya hiyo quote ulioweka sio ya Gombesugu, hakusema hayo maneno hayo umeamua kuleta ujanja ujanja, tuendelee na mjadala.
 
Unazidi kujichanganya hiyo quote ulioweka sio ya Gombesugu, hakusema hayo maneno hayo umeamua kuleta ujanja ujanja, tuendelee na mjadala.
cc Gombesugu, Spike Lee. Kila mara huwa nasema kwa msemo wa kabila fulani ''ukioga na watoto hutataka''. Mwisho, najadili hoja sijadili spinning. Nitapiga hoja kwenye mfupa bila huruma wala hofu.

Mohamed, hoja ya Malima uliyoisema ni ipi hadi jamvi likakaa kimya?
 

Nguruvi, move on. Mimi mara kadhaa nimeshasema kwa wahusika (including MS) IAM SORRY napohisi sikuwa on correct path na sijapoteza kitu. Just move on.
 

Mzee MS, are you sure sio majina ambayo yamegeuzwa kimakusudi ili kuto-clash na actual historical events and people? Sijaelewa lengo la kitabu lakini kama ni namna ya riwaya huenda amebadili majina makusudi, i may also be wrong. Kama vile Salman Rushdie alivyobadili majina ya wakuu fulani fulani. Sasa mzee MS, usomi wako wa sisa na historia za Marekani zina-relate vipi na kitabu cha huyu bwana?
 
Unazidi kujichanganya hiyo quote ulioweka sio ya Gombesugu, hakusema hayo maneno hayo umeamua kuleta ujanja ujanja, tuendelee na mjadala.

Spike Lee,

Salaam. Nafurahi kufahamiana hapa.
Nakusoma saana mtaalamu. Nimekufahamu na wala sitie shaka. Hayo mambo anifanyiyayo Nguruvi3,nafikiri anatafuta unnecessary provocation ambayo kwangu hasha hataipata!
Halafu si unafahamu hawa jamaa woote hapa JF ni "uwanja wao wa nyumbani",kwahiyo wanajihisi wana kila haki ya kufanza watakacho. Haina neno tuendelee na mnakasha.

Ahsanta sana.
 

Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum. Nakufuatilia kwa utuvu mwingi kama nilivyokuahidi. Japo nashindwa mpaka sasa kufahamu kule twendako, maana pamengia "mada juu ya mada". Tafadhali Al Akhiy nijuza kama hii shughuli ishikwisha!? Nimejaribu kumuuliza "Kinara wa mada" lakini naona nae kimya.
Taarifa zilizopo ni kuwa hata Muheshimiwa Mwanakijiji nae amechukua sabbatical leave ili akadurusu "mambo kadhaa" ambayo kumbe alikua hayajui!? Lakini nafikiri pia amefanya ustaarabu mkubwa kutujuza vile,japo hatujajua mpaka sasa kama ile delivery ya vile vitabu aloagiza imefikia wapi!? Nakumbuka awali alidai ameagiza vitabu 14 na tayari alishapokea viwili tu! Nilicheka kiduchu kwa ile suggestion alotoa Muheshimiwa Mwanakijiji ati tukitaka kujua ukweli na ukhalisi wa historia ya TA,TAA,TANU/Tanganyika inatulazim turejee nyuma kwa Bwana Aggrey na labda mpaka Ghana!? Nahisi huu mnakasha utachukua milele. Ndo yale yale niloyasema kwenye ile bayana yangu ya awali nilokuletea.
Ahsanta na bado nimo hapa kukusikiza.

Insha Allah nakutakia Al Jummaa Kareem.
 
Yericko hiko kitabu chako nikikitia mikononi nakitia moto..!
Umeandika nini sasa.?ndio kitabu hiko?
Huna adabu kabisa,liombe radhi jukwaa hili..

Ohhhh!!! The Big Show; you again, Strong words from a strong person; here we go! Of course You mean you will burn your bought copy, dont you? Fully support you Biggie, though Iam likely to keep mine just in case one day you need it to quote something for this JF Jamvi and of course against Yericko himself (.....hahahahah). Nice weekend sir.
 
Nimejaribu kupitia hoja za bwana JF, pamoja na kuangalia maelezo ya bwana Mohammed Said,pia nimekisoma kitabu cha bwana Mohamed Said,(MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES 1924-1968) nilichokiona mimi,nimeona hoja za msingi ambazo bwana Mohamed Said amesimamia na katika hiki kitabu chake utangundua mambo mengi juu ya udhaifu wa hoistoria ya Tanganyika.Pamoja na hayo yote bwana JF anaonekana ni mtu asieweza kutoa hoja kwani kila jambo yeye analifananisha na waislam wa Somalia,nataka nimsaidie kitu kwamba kuna tofauti ya muislam na uislam, kama vile tunavyoona baadhi ya makanisa Marekani yakiruhusu ushoga na kufungisha ndoa mashoga,mimi naamini hili ni matakwa yao wala halifungamani na mafundisho ya kikristo, na hatuwezi kwamba hapa napo wanaruhusu ufedhuli kama huo,kwa maana hiyo kama bwana JF hajui chanzo cha migogoro ya watu wa Somalia ni vizuri atafute ukweli wa chanzo cha machafuko ya Somalia,then ndio aweze kutoa mifano hai inayolandana....
 
Insha Allah,
Kuna mtu alimsema vibaya Malima.

Mimi nikamwambia marehemu atajibu
kutoka kaburini.

Niliweka kitu.
Jamvi zima likawa kimyaaaaaa!

Jambo niloweka lilikuwa zito na
nilitegemea maswali.

Kimya hadi leo.

Sheikh Mohamed Said,

Asalaam Aleykum.

Embu naomba unipe reference ya hiyo uliyoweka juu ya Almarhum Professor Kighoma Ali Malima.

Ni mimi kijana wako wa Tanzanet, alwatan wa Gerezani pale Kipata na Sikukuu kwa Marehemu Mzee Clement Mtamila.
 
That Sheikh Mohammed Said, "mchochezi,analeta dhihaka kwa Historia ya Kivukoni na ni hatari kwa amani na usalama wa nchi",mumbo jambo is for the birds. So far we have not see anything to suggest that ridiculous claim.

We've witness The Escape Route,meticulously delivered by The Big Show a.k.a The King Of kings tracing some core issues facing Muslims in this country today. Popular knowledge of this has been prevented by Politicians and the Government lies for too long. The situation and reality on the ground is a mess,a mere pack of cards on wobbly ground,teetering over an abyss of "artificial created peace and harmony" at the expense of many among Muslim population. The Government and Politicians from all political spectrum know this situation is unsustainable.
Surely,it is very convinient for the Politicians,the Government and others in here to be selective of historical facts and memories.
Colonists
constructed barriers on social and economic development,education and many other stuff against and mainly on Muslims or Muslim populated/dominated areas for their own nasty selfish white supremacy reasons. And now everyone must bear the consequence.
The Government in this country have been against others but mainly Muslim population for years,and in many ways still is,if you know any better.

Again, how is Sheikh Mohammed Said is putting hate on hate!? Muslims/Sheikh Mohammed Said didn't create the conditions of hate in Tanzania,he is just the product of them and just reacting to them responsibly.
Majority of Muslims were put through a process of allienation and marginalized from social and economic mainstream for decades.The process has never been reversed effectively.

Although,some people like to think that was a long time ago,lets sweep it under the rug and move on. It is not that simple. In most Muslim dominated/populated areas; almost zero social and economic mobility, systematic depravation of quality education ,blockage of strategic position in many key Government Institutes and many other issues as discussed here,it doesn't solve anything.
It is an insidious,yet very sophisticated method of control that conditions majority of Muslim population in this country to accept others dominance over their lives by misleading them to believe that they are now themselves their own worst enemies.

This is similar kind of method Colonists used against Wazee wetu. To the detriment of many Muslims in Tanzania,this method has been an extremely effective.

It would be a catastrophe of Biblical proportion and distortion of historical facts if one is to try and write any "other history" with regard to Tanganyika independence struggle without recognise and acknowledge the importance of Mzizizma and that vital role its people/Wazee wetu played and sacrificed during that vicious colonial struggle(ofcourse majority of them were "Waswahili").

Naona kuna baadhi ya jamaa hapa wanajaribu kwa hali na mali na ujasiri uso mfano,kuonyesha kuwa madai ya wananchi wenzao/ Wailsam aidha ni dhaifu,hayana ufumbuzi au ni yao "wenyewe kwa wenyewe" na ati suluhu iwe baina yao. Kuna wengine nao ndo kabisa hawakubali kuwa hata kuwa kuna tatizo lolote au karaha hapo nchini dhidi ya Waislam,na kuwa Wailsam/wananchi wenzao inalazim japo wasikilizwe na wana haki hiyo. Nafikiri hawa ndio wapo kinyume hata na Rais wao Bw. W. Mkapa na Serikali yake. Ambaye alikubali japo kwa shingo upande kuwa kuna tatizo/dhiki hapo nchini dhidi ya Waislam. Infact, their hidden agenda and motives outweigh sense of objectivity and naturally diminish their entire credibility.
Katika moja ya bayana zangu hapo awali naliwahi uliza; "wawajuaje kunguni wa kitanda sichokilala"!?

I know for fact,some of us don't need to rely entirely on corrupt minded patronising Politicians to educate us about our history.
Naona hapa quotations nyingi saana na "researches" takriban zoote zimetokea kwa "wataalam" wa kizungu!? Inasikitisha mpaka leo karne ya 21 bado tuna tegemezi kubwa pita kiasi kwa hawa jamaa,na yaelekea bado tunaamini mno kila wasemalo. Wallahi staajabu inakuja pale wanapojaribu kutufunda na kutujuza "wenzetu" tunawadhararu na kuwakatisha tamaa pasi kiasi! Hawa wazungu si ndo haohao walokuja na Bible mikononi na kutuambia tufumbe macho tusali kwa pamoja;kutahamaki wakasafisha Afrika yoote mpaka na watu!?

As for Sheikh Mohammed Said and others keep mentioning of Mzizima,Kariakoo na Wazee wetu,on and on and on. I can imagine it must be pretty tiring and boring! I'm sorry, but it's an undeniable historical fact that Mzizima/Kariakoo,for many historical factors happened to be a vital political hub during that era. It's an unescapable predicament. And would be social and political illiterate for anyone to deny or acknowledge fully this historical link/connection between Mzizizima,Wazee wetu,Kariakoo with the either formation of TA,TAA,TANU or either colonial struggle.
Why most of them appeared to be Muslims!?I f it were me I wouldn't loose sleep over it. As it never cross my mind before,unless if you are mdini/mfia dini!

Lakini hii haimaanishi ati huko mikoani/vijijini hakukuwa na Wazee wetu wengine walojishughulisha na kujitoa muhanga mkubwa na hizo harakati za madhalimu wa kikoloni;tena wake kwa waume toka tamaduni,rangi,matabaka na dini mbalimbali. Naona hata Sheikh Mohammed Said kajitahidi saana kuwataja kitabuni mwake.

Ahsantani.


Ps: I'm only responsible for what I say/write. I'm not responsible for what you understand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…