Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Naona unajiuliza maswali kisha unajijibu mwenyewe, jibu lako hebu soma maneno ya Nyerere hapo juu.

Hivi kuna mtu muongo na mnafiki kama wewe si wewe ndiyo umetuletea habari humu jamvini kuwa mikutano ya TANU ilikuwa inafanyika PUGU nyumbani kwa Nyerere.

Hebu msome tena Nyerere hapo juu kwenye maandishi ya blue anaelezea jinsi alivyokuwa anatoka PUGU kwa miguu kuja mjini (Kariakoo) kufanya mikutano ya TANU, mpaka Wazee wetu wa kiswahili wanywa kahawa na wenye akili za madarassa wakamununulia baiskeli.

Wewe endelea kucheka lakini wanajamvi wanakusoma ulivyokuwa muongo na mtu wa hasad.
 

Mzee MS; Shukran sikuyasikia awali. Ila kama hata Sheikh Alishalipiwa KISASI na Mola wake kwa kuwadhalilisha waliomfitini, na wote wameshakufa, basi tuliohai hatuna tena AGENDA ya uchungu na Machungu. Wewe unajua zaidi lugha. Yaani Scores have already been settled (kama ulivyoonesha). Kwa hiyo THIS IS LIFE, WE ARE NOT GONNA BRING BACK THE SHEIKH, NOR THE EAWMS, NOR LIVE THEIR TIMES, LETS MOVE ON. Its hard for your generation but somewhere along the line one needs to be pragmatic.
 

acha kuwadanganya ndugu zangu waislamu eti ponda mfano kuigwa... Na kama akifanyacho ni heri wewe mbona ktk movement kama hizo zakuvamia viwanja vya watu huwa hushiriki.
 

SIKAJIJI; MAY YOU BE REWARDED FOR YOUR EFFORTS. EXCELLENT!!!!!!!No religion element in this stuff and to the credit of the analyst, Prof Issa Shivji is NOT A CATHOLIC.
 

Wickama,
Hakika yamepita kilichobaki ni sisi kujifunza kutoka kwao.

Allah amesema kweli haki siku zote itakuwa juu ya batil.
Kuna mtu anasema ati ninatisha watu.

Hapana sina uwezo huo.
Yaliyowakuta wale waliojenga farka yanafahamika kwingi.

Akitaka na afanye utafiti wake ataupata ukweli labda tutatofautiana
na sababu.

Huenda yeye akasema ule usaliti uliowakumba kutoka serikalini, udhalili
na hata hayo mengine hayakutoka kwa Allah.
 

Kweli Mzee MS una uwezo wa kujua huyu amekufa kwa ajili ya ubaya wake na yule amekufa kwa ajili ya mema yake.
Hivi mwili wa marehemu unatahayari vipi? na ukitahayari kwa maana hiyo huyo mtu amekufa kutokana na mabaya yake!

Vipi na Viongozi wa BAKWATA nao watakufa kifo gani? maana nao ni zao la 'fitna' na bado wanafanya 'fitna'.
Halafu wana roho ngumu, pamoja na kuona vifo vya wenzao bado wanaing'ang'ania Bakwata!!

Tena kwa hilo la Bakwata, vipi kuhusu Muft Hemed Bin Jumaa na Gorogosi vifo vyao navyo vilikuwa vya
tahayari?
 
Wacha porojo wewe Nguruvi,kuzungumzia habari za uislamu uzizozijua.Hapa tunataka vitu vipya kuhusu Nyerere ambaye wewe umejifunga kibwebwe kumtetea.Angalia vitu vipya kumhusu mungu wako ulivyokuwa huvijui kabla.
Kumbe Nyerere hakuhusiswa na kifo cha Karume na mapinduzi ya Zanzibar pekee bali hata na viongozi wa nje na machafuko yaliyopelekea vifo vya maelfu ya watu.
Mtu gani huyu wa kulazimisha watu wamsifie!.
 

Heshima yako; To be fair, nadhani ni mbaya sana ku-carry over bitterness to several other generations. Wamachame na Wakibosho sasa hata kujenga milango ikaangalia kwa wengine sio tatizo kama zamani. Mzee MS mkamilifu ni Allah (swt) pekee. Huwezi jua kama Sheikh pia hakuwa na matatizo. Mkamilifu hayupo MS. Ni adabu tuu inatuzuia kuwatafuta haswa marehemu makosa. Lakini more importantly ni kuwa anzia posting yako which i love very much. Sasa, Kama MWENYEZI MUNGU KESHAMLIPIA as you have indicated yourself, for heaven's sake what business do we have by cultivating this perennial bitterness in our Umma? Kumbe criminals walishaadhibiwa? We are robbing them the drive, the zeal, the optimism with which to face life and current challenges.

MS; Soon we shall open borders to all the East African labour market. If we can not change our stance at least NOW, we run the risk, that our muslim boys and girls shall witness fellow muslims (but from Kenya, Rwanda and Burundi and Uganda) being employed in our own backyard while they can not compete. That will be even more terrible. Mzee MS I believe umeshafika Uganda and of course you know that among the better schools in that country are those owned and run by Muslims. Lakini judging from what is currently going on MS, nachohofia ni kuwa karibu tunaendeshea gari kwenye "round-about", chasing a vicious cycle of you did that, and that, you hypocrite, munafiki etc. We drive to nowhere while others are making strides. Ndio maana REPEATEDLY NIMEKUULIZA AND OF COURSE to MANY OTHERS, ok, this is not comfortable, TUFANYE NINI? HATUWEZI KURUDISHA WATU NA NYAKATI ZILIZOPITA. LAKINI LAZIMA PIA TUISHI. NO PRAGMATIC ANSWER SEEMS TO FORTHCOMING. Believe me, THIS IS REALLY SAD.
 

Wickama, mbona unang'ang'ania sana Bakwata kwasababu naona unalazimishia watu waikubali Bakwata naona wewe ni "DOUBLE FACE"hivi unaujua vizuri uislamu?kuna mbabe mmoja alikuwa anaitwa FIRAUNI(FARAO)alijiita yeye ni mungu lakini mungu huyu alikufa kifo cha kidhalili sana alizamishwa kwenye maji na mpaka leo habari zake tunazisoma kwahiyo unataka kuniambia kwavile aliadhibiwa kwa kuzamishwa hataadhibiwa kesho kwa mungu?Adhabu iko pale pale kwahiyo watu kujadili agenda ya EAMWS hatakama ilivyunjwa ni haki yao na wale wote walioshiriki kuudhoofisha uislamu kesho kwa mungu yote yatahudhurishwa awe ni Nyerere na wenzake hata kama ni muislamu atajibu yote.
 
acha kuwadanganya ndugu zangu waislamu eti ponda mfano kuigwa... Na kama akifanyacho ni heri wewe mbona ktk movement kama hizo zakuvamia viwanja vya watu huwa hushiriki.

naona wewe ndie unae danganya ponda ni mfano wa kuigwa anae pigania haki ya waislam sio bakwata wapo kwa maslahi yao ila tatizo kila anaedai haki ya waislam kwenu nyinyi ni adai mungu mbariki shekhe PONDA.
 
Jasusi,

Mtu umekuwa Katibu wa TAA Tawi Makerere, Katibu wa TAA Tabora.

Halafu hujui jina la Katibu wa TAA Taifa.

Hii kali labda nikuulize wewe ni Katibu wa Chadema tawi la Marekani humjui jina Katibu wa Chadema taifa.

Ndugu yangu tumia angalau akili uliyopewa na Muumba!

Naomba ujibu kidogo maswali haya kwaajili ya muongozo wa kuelewa mantiki ya kauli ya Mwalimu!

1) Hivi unadhani yote hayo yalitukia katika mwaka mmoja?

2) Mwalimu alikuwa katibu wa Taa kule makelele mwaka gani?

3) Je pale Tabora mwalimu alikuwa katibu wa taa kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani?

4) Mwalimu alienda masomoni Scotland mwaka gani na alirejea nchini mwaka gani?

5) Je baada yakurejea kutoka ughaibuni Scotland, mwalimu aliendelea kuwa katibu wa TAA kanda ya tabora?


Hebu funguka kwa hayo kisha nikufunde kiutu uzima swahiba wangu!
 

Wickams,
Mimi nasomesha historia ili tusijerudia makosa.

Wala hapa simsulubu yeyote.
Historia hii laiti isingeandikwa umma ungekhasirika sana.

Leo ukweli umedhihiri kwa mengi.
Alhamdulilah.
 
Platozoom,
Laiti ungekuwa Muislam usingepata shida kutambua nini kinawafika
wanafiki.
 

Boko; KATIKA HILI LA MAUDHUI YA OSTING YAKO YOU HAVE MY 100% SUPPORT. ILA sina DOUBLE FACE. GO THRU MY THREADS. You will NEVER, and you have NEVER seen me encouraging blind support au outright dissent kwa TAASISI (sio watu) yoyote ya kiislamu. Kwa sababu sioni GAIN. If anything hapa, nasema tuu kuwa jamani sawa, inauma hatuna tena EAMWS, sasa jamani lets MOVE on. We cant have it back. Haina maana nafurahi kutokuwapo taasisi hii la hasha. Naelewa kuwa Taasisi ni kama viumbe Boko, leo vipo kesho havipo. Sikitika sawa, pata somo sawa, lakini pia endesha maisha. Anzia thread one yangu hadi hii, thats what iam trying to say. Iam also saying sio lazima wote kujazana Bakwata. Anayeoona kuna-mboa anaweza anzisha au jiunga na taasisi yoyote nyingine. Ila sio lazima kwa vile kumeku-kuboa basi lazima hiyo taasisi ife. Why? Tofauti ipo hapo. Believe, Mimi sina stake wala hisa Bakwata assuming wanakata shares. Ndiyo maana unaona navyozungumza na MS nikimdadisi what they are doing na progress yao. Kama wanaenda vizuri fine. Lakini sio kuwa kwenda vizuri lazima iendane na kufa taasisi zingine za kiislamu kama Bakwata. Sina lugha nyingine ya kuliweka hili. Haya mengine yote uliyoyasema ya kina firauni tuko pamoja. Infact, bora yeye alitubia kabla ya ku-drawn na akapata ahueni ya kubaki kama specimen pending hiyo mama wa adhabu. Some of us may never get that opportunity hata ya kuelewa tunahitaji rekebisha our ways. Nakushukuru sana Boko for your courage of speaking boldly, objectively and with felt respect. Kuna wanaosahau kuwa na mimi ni mzazi na ni mdau katika islamic development. Shukran sana.
 

Wewe unayetumia akili alikupa muumba tufahamishe Makelele ndiyo chuo gani?

Hujui hata Nyerere alisoma chuo gani.
 
 
Na mimi nimesoma kwenye madrasa yake pale upanga.

Nduka,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Nafurahi kukusikia na kutambuana hapa jamvini.

Wallahi kama upo hapo D'salaam,nipa salaam sana pia kwa Eddy Islam mwambie nduguyo "Shariff Nganganga" wa Vienna anakusalim atacheka saana!ahaha!!

Ma'salaam.
 
Wickams,
Mimi nasomesha historia ili tusijerudia makosa.

Wala hapa simsulubu yeyote.
Historia hii laiti isingeandikwa umma ungekhasirika sana.

Leo ukweli umedhihiri kwa mengi.
Alhamdulilah.

Sawa sheikh. Malipo yapo kwa Mungu. Kaza buti, na nia njema iwepo. Ila sasa, epuka kulazwa ICU yoyote katika hizi hospitali zetu. Sheikh, wajua tena umelazwa (pengine ajali-Mwenyezi Mungu akupishe nayo), kisha waungwana hawa na uniform zao wanakuwahi na mask ya oksijen, Wallah utatuwachia fadhaa kubwa hapa JF.......(hahahahahah).

Halafu you may not see my postings as often; Iam writing a paper (soil sciences) for publication into one of the journals (European Journal of Soil Science). Some deadline is attached kwa sababu tunakimbiza what they call a "special issue" Sasa hii shughuli may steal alot of my time and energy. Ila i will keep track.

with much love

cc. Nguruvi3, Mag3, Nanren, Gombesugu, Kadogoo, Boko Haram, Mwanakijiji, Platzoon, Jasusi, Ritz, Zali la Mentali, Barubaru, Son of Alaska.
 

Wickama,
Nami narejesha kwako kicheko.

Allah anasema katika Qur'an Tukufu kuwa.
Halimfiki mja jambo ila keshaliandika.

Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…