THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mohamed Said,
Leo Jamvi limetulia tuli baada ya hukumu ya Sheikh Ponda hakuna tena habari za kuvamia kiwanja wala uchochezi wa ugaidi.
Nadhani sasa watu wataanza kukuelewa vizuri ulichoandika kwenye kitabu chako, wakati umeweka "mpini" wa Sheikh Bilali Waikela, watu walikuletea kejeli, dhihaka, na matusi bahati mbaya walikuwa hawajui wanapinga nini.
Leo hii baada ya hukumu ya Sheikh Ponda Waislam wameshinda.
Mohamed Said
Mungu akubariki sana,haya madudu ya kina Adam Nasibu sisi tungeyajulia wapi??
Kama wameshinda mbona Ponda kapewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja nje?
Ritz,Mahakimu na Majaji wa NCHI hii ni WATANZANIA, WAZALENDO. Wanapoweza kuepusha vurugu, machafuko, ugomvi kwa kutumia hekima, busara na sheria zilizopo watafanya hivo kila mara. Hawa wafuasi wa Sheikh Ponda wanafahamika ni WATANZANIA wa aina gani. Wewe na Mzee Mohamed hamkwenda kule Chang'ombe. Kwa nini?Hujui zaidi ya Waislam 50 waliokamatwa mahakama imewakuta hawana hatia kama siyo kushinda ni nini hebu tusaidie kaka.
Mzee Mohamed,Haya madhila na taabu zote hizi ndiyo yaliyosababisha Mwalimu kutaifisha shule zote za madhehebu ya DINI ingawa wewe unaiona hatua hii kuwa haikuwa ya maana. Chuki yako kwa Mwalimu haiwezi kukuelekeza vinginevyo. Lipo tatizo kwenye mila, desturi na tamaduni za Kiislam ambazo kwa bahati zilikuja kubaliana na mila, desturi na tamaduni za baadhi ya Makabila nchi hii (Soma Mwananchi ya leo uk. wa 7 uone ya Mbarali ambako Waislam sio wengi).Katika mahubiri yako ya sasa waambie Mwalimu hayupo tena duniani kuwazuia Waislam kwenda shule na kwamba tunaye Rais Muislam safi tangu mwaka 2005.Wild Card,If your uninitiated in Tanzanian politics as it is related to Muslims and Islam, it isadvisable to read first the research paper, ''Islam and Politics in Tanzania by MS before reading this expose. This will help you in having a better grasp and understanding of the plight of Muslims in the country.This paper will attempt to narrate and at times analyse problems facing Muslims in Tanzania in their quest to uplift themselves from the lower strata by equipping themselves with skills which can only be acquired through education. In this research paper we are introducing a hypothesis which we believe has not been researchedinto and therefore has remained hidden much as it has been in existence since independence - the concept of the power and influence of the Christianity and its role in the Tanzanian administrative machinery to counter Islam. This is the Christian lobby. This is an opportunity to see how the Christian lobby functions. It is a subject worth researching at the moment since it is one of the clues to the Muslims riddle of stagnation.To understand the problem of Muslim stagnation in education we need to goback to the history of Islam and its relation with missionaries and colonialism.When colonialists and missionaries set foot in the East African coast thenknown as Zanj their main aim was to wipe out Islam. Muslims in the East African coast had their first glimpse of what Christianity was all about in 1498with the arrival of the Portuguese. In 1567 the Augustinian order was established in the East African coast to counter the influence of Islam so that Christianity becomes the religion of the whole world.Christianity extended its influence further when Cardinal Lavigirie founded The White Fathers, the Catholic institution whose purposewas and still is to confront Islam. About the same time period Church Missionary Society (CMS) imposed upon itself the duty to deliver the world from Islam, ignorance and darkness . The White Fathers are in Tanzaniaand are still involved in the work which brought them to the country more than a hundred years ago.When the Germans first arrived in Tanganyika they found Muslim already literate, they could read, write and count. The missionary Ludwig Krapf when he appeared at the court of Chief Kimweri of the Sambaa in 1848 he found him and his children literate. They could read and write with ease. The alphabet in use was the Arabic script. Being educated Muslims were employed by the German colonial government as teachers, interpreters and administrators. The institution responsible for all this excellence and achievement was the madras. Missionaries and colonialists were envious of the level of educational advancement achieved by Muslims and therefore initiated plans to subvert its progress.The first step taken by the British at the turn of this century was to abrogate the Arabic script which was in use for many years in favour of the Roman script. By a stroke of a pen people who were educated were overnight reduced to illiterates. All these machinations against Muslim were part of a systematic campaign as provided in article IV of the Berlin Conference of 1884 which stated that Christianity should be safeguarded and given specialpreference over Islam. The vacuum created by the abrogation of Muslim education was filled with missionary education in Tanganyika with the British colonial government as the overseer. Between 1888-1892 in compliance with that article as agreed in the Berlin Conference, Imperial BritishEast Africa Company used political and military force to prop up Christianity in East Africa. The Church has been making propaganda that it were missionaries who laid down the first foundation of education in Tanganyika. The truth is that the missionaries followed the madras education system and the teachers they employed in their schools were Muslims who were product of the madras education system. Abel Ishuwi, an educationists has revealed this fact in his work, Education and Social Change, (1980).Realising the importance of education Muslims initiated their own schools under colonialism. These came to be known as Muslim schools. Where as missionary schools were being provided with assistance by the government known as Grant-in-Aid, this privilege was denied to Muslim schools. Due to this privilege mission schools were well equipped and could afford well trained teachers. It was therefore impossible for schools run by Muslims to compete with missionary schools.Muslims therefore were the most oppressed people by colonialism compared to other communities. The propaganda being spread far and wide by enemies of Islam in Tanzania that Muslims do not value education and that is why they lag behind is false and malicious.
Mzee Mohamed,Haya madhila na taabu zote hizi ndiyo yaliyosababisha Mwalimu kutaifisha shule zote za madhehebu ya DINI ingawa wewe unaiona hatua hii kuwa haikuwa ya maana. Chuki yako kwa Mwalimu haiwezi kukuelekeza vinginevyo. Lipo tatizo kwenye mila, desturi na tamaduni za Kiislam ambazo kwa bahati zilikuja kubaliana na mila, desturi na tamaduni za baadhi ya Makabila nchi hii (Soma Mwananchi ya leo uk. wa 7 uone ya Mbarali ambako Waislam sio wengi).Katika mahubiri yako ya sasa waambie Mwalimu hayupo tena duniani kuwazuia Waislam kwenda shule na kwamba tunaye Rais Muislam safi tangu mwaka 2005.
Ritz,Mahakimu na Majaji wa NCHI hii ni WATANZANIA, WAZALENDO. Wanapoweza kuepusha vurugu, machafuko, ugomvi kwa kutumia hekima, busara na sheria zilizopo watafanya hivo kila mara. Hawa wafuasi wa Sheikh Ponda wanafahamika ni WATANZANIA wa aina gani. Wewe na Mzee Mohamed hamkwenda kule Chang'ombe. Kwa nini?
Kama wameshinda mbona Ponda kapewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja nje?
Waislam hatujakatazwa na chombo chochote kuanzisha vyombo vyetu,ndio kwa maana unaona tuna jumiya nyingi tunazoziamin tofauti na bakwata na zenye ushawish mkubwa katika jamii yetu,lakini serikali kwa kutumia bakwata chombo chake na kwa shinikizo la watu wa upande wa pili huwa wamekuwa shubiri katika jumuiya hizo na viongozi wake mfano halali kama shekhe ponda na hali kadhalika...
Si kilio cha waislm kuitaka serikali iwaazishie mahakama ya kadhi,ni kilio cha waislam kutaka uhuru katika kuendesha shughuli na jumuiya zao kama vile wanavyopewa uhuru watu wa madhehebu mengine,mahakama ya kadhi waislam wangeweza kuanzisha wenyewe endapo wangeachiwa uhuru wa kuendesha mambo yao katika nyanja mbali mbali,
Matumizi ya serikali katika MOU ni ya ridhaa baina yenu na serikali,lakini matumiz ya pesa katika BAKWATA si ya ridhaa baina ya waislam na serikali,ni ya ulazimisho ambayo serikali imeyafanya tena mbaya zaid bila ya mkataba wowote baina ya pande hizi mbili,yan waislam na serikali,so kwa mantiki hiyo basi nyinyi kama wakristo mnayo haki ya kwenda kuihoji serikali legitmate ya kutumia pesa za kodi kuiendesha BAKWATA wameipata wapi??
Mkuu Ngongo,
Ungomvi wetu mkubwa na serikali ni kutulazimisha Waislam wote kuwa chini ya Bakwata, Sheikh Mkuu wa Bakwata anachakugulia na kikundi cha watu 20 ambao wanachaguliwa na Serikali.
Masheikh wa Mikoa wanachaguliwa na na Sheikh mkuu na kikundi chake na kusimamiwa na Serikali, mfano Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam hana Ilm yoyote ya kuwa kiongozi wa Waislam.
Sijui kama unajua taasisi zote lazima zisajiliwe na Bakwata na hazina mamlaka ya kutangazo jambo linalowahusu Waislam, wenye mamlaka ni Bakwata peke yake.
Kichekesho kingine mwanafunzi akipata nafasi kwenda nje kusoma kwenye chuo cha Kiislam kibali mpaka kitoke Bakwata.
Hata cheti cha ndoa kinachokubalika ni cha Bakwata tu.
Bakwata wanauziana mali za Waislam zilizotolewa waqfu Upanga peke yake wameuza nyuma zaidi ya 50, bado Kariakaoo, unajua ilipo hotel ya Hollday Inn kilikuwa kiwanja cha Bakwata. Kuna mengi sana mengine ni aibu kuandika huku.
Nadhani unaniunga mkono kuwa kuna tatizo si BAKWATA tu bali sehemu kubwa.
Ningependa ukumbuke kuwa ni lazima kuwe na udhibiti wa taasisi na pesa. Nadhani utanielewa kwa hili.
Swali linaweza kufuata ni kuwa je hiyo ni accross za board?
Ndio maana nimesema kuwa lazima kuwe na responsible organization. Shia au Ismailia wanao utaratibu wao.
Hata mimi nisingependa kuona kila mtu anaingiza pesa tu bila kujua nani ni responsible especially katika zama hizi.
Kwa weenzetu hata mtu binafsi kusafiri na 10,000 dollar bado kuna maswali, vipi taasisi ziingize bila utaratibu?
Sasa kama BAKWATA ni kikwazo hayo ndiyo ninayosema kuwa ni tatizo la waislam wala wasimsingizie mwingine asiyehusika.
Mkuu Ritz
Sielewi ni kwa jinsi gani serekali inaweza kuwalazimisha waIslamu wote Tanzania wawe chini ya BAKWATA.Jambo moja lililowazi pasipo shaka ni kuwa jumuiya nyingi za kiIslamu kukosa mtandao ulioenea Tanzania nzima.Ukijaribu kuangalia kwa undani utakuta taasisi nyingi zimejazana hapo Dar ukitoka nje ya Dar hazipo sasa utakapoitaka serekali ifanye mawasiliano na jumuiya yenye mtandao unaoanzia Kariako na kuishia Kibaha inakuwa taabu kubwa.
Shida nyingine ya BAKWATA ni Sheikh Mkuu kuchaguliwa na waIslamu 20 baraza la maulama (wewe umesema kikundi ambao wamechaguliwa na serekali mimi nimeweka tafsiri yangu ni waIslamu nadhani unasema kikundi kwasababu haukubaliani nao).Hivi Sheikh Ponda na Ilunga wamechaguliwa na kikundi cha watu wangapi ?,tangu nianze kumsikia Ponda miaka mingi imepita sijasikia taasisi yake ikifanya uchaguzi,utaona ni afadhali BAKWATA wanaomchagua kiongozi wao kuliko Ponda &... wasiotaka utaratibu wa uchaguzi kabisa.
Taabu nyingine ni uteuzi wa Masheikh wa mikoa kuteuliwa na Sheikh Mkuu na umetoa mfano wa Sheikh wa Dar hana Ilm yoyote ya kuwa kiongozi wa waislam.Nadhani huo ni utaratibu waliojiwekea BAKWATA wa kuwateua masheikh wa mikoa,kwani jumuiya zenu zimenyimwa kuchagua viongozi wa mikoa ?.Umesema BAKWATA haina uhalali wa kuwaamulia waislam wote shida ni pale wanapojiwekea taratibu zao linawakera !.Iweje BAKWATA usiyoikubali ikifanya jambo likukere,kwanini usijushughulishe zaidi na taasisi uanyoikubali.
Nadhani ukiangalia rekodi utaona hakuna mahali ambapo nimesema huyo ni mwislam kwa kuthibitisha. Tena nimesema kama ni ''hivyo''
Anaweza kuwa na multiple ID au iwavyo, hoja yangu kubwa ni kuwa kile alichoandika hakuna hata kimoja mlichoona cha maana cha kujifunza ndugu zangu?
Huko nyuma nilishasema kuwa lazima taasisi za waislam ziendeshwe kwa utaratibu wa uongozi wa imani na uongozi wa taasisi. Nimeona Rweye1 karudi hilo in different way kidogo, sasa hapo kuna tatizo lipi.
Nilisema kuwa lugha yake ilikuwa na ghadhabu lakini hilo halizui kuona kimoja au viwili vya maana.
Unajua tatizo la baadhi ya watu ni kuifahamu dini nusu nusu. Hili lipo kwa dini zote.
Sasa unapoungana na Ilunga kushabikia mauaji eti ni mwenzako, it'silly, insane and stupid.
Hakuna mahali pana sema hivyo hata ninyi mnaweka tafsiri zikionesha hilo kuwa unapaswa kumzuia na si kumuunga mkono.
Kuna bwana kasema kuzuia mtu asifanye dhulma ni jambo la kheri, sasa kwanini mtu asitende hivyo eti inatafutwa hukmu kutoka kwa maulamaa. Mnaogopa kusema huu ni uongo, ule ni uzushi, hii ni fitna kwa jina la undugu, sijui hapo mnazuia au mnaendekeza dhulma.
Ukitaka kujifunza lazima kwanza uwe tayari kufunzwa.
Rweye1 alisema jambo moja muhimu ambalo kutokana na hasira na kuamini kuwa watu wapo kwa ajili ya kupinga, spinning n.k. watu hawalikubali.
Angalia chuo cha MMU utaona kuwa hakuna diversity jambo ambalo si zuri kitaaluma na kimaendeleo. Naliachia hapo.
I am on record right here in JF. Nimesema mara nyingi sana kuwa nadhani serikali ivunje BAKWATA na kuacha waislam waunde chombo chao wanachodhani ni kwa masilahi yao.
Hata hivyo nimeonya kuwa tatizo si BAKWATA tu, tatizo ni kubwa zaidi likihusisha matumbo ya watu zaidi ya waumini.
BAKWATA ikiondoka hata hicho chombo kingine kitakuwa na matatizo kwasababu hakuna mpangilio na nia ya kuleta utengamano. Nitasema ukweli najua itawaudhi, lakini kama kusema ni kuzuia dhulma basi nasimama na hilo! ha ha
Leo kuna taasisi zaidi ya 10 zikiwa zimeshindwa kuungana katika mwamvuli wa Baraza kuu, zinasuburi BAKWATA ivunjwe ili kila moja ichukue supremacy.
Na taasisi zote hizo utashangaa kazi zake.
Hivi mali za waislam zipo kariakoo tu! hivi haki za waislam zipo Kariakoo tu! n.k.
Huwezi kusikia taasisi za kuinua elimu au kuhimiza kilimo, zote zilizopo ni za kiujanja ujanja tu.
Sasa bila kuliondoa tatizo hilo hata BAKWATA ikivunjwa bado kuna tatizo!
Ufisadi ulio iondoa tasisisi iliyotaka kujenga chuo cha ufundi Kibaha si BWAKATA! ni hawa hawa wanaowaaminisha kuwa kwao ndio waadilifu. Fikiri hapo
Angalia tena, taasisi hizo zinaongozwa na watu wa namna gani. Ilimradi kaitwa ustadh basi huyo anafaa kuongoza taasisi.
Kuna watu wana uwezo lakini hawajitokezi kwasababu hawa fanatics wamepewa umuhimu sana kuliko vichwa halisi.
Najua haya ni maudhi lakini tuvumiliane maana anayekwambia ukweli anakupenda na ndio tija za mnakasha.
Lazima kuwe na organization ya kufanya mambo kulingana na nyakati na mahitaji.
Nasema kuwa hawa akina Mohamed wanaolilia nafasi za ukurugenzi hawana nia njema.
Taifa zima likitoa nafasi zinazodaiwa kwa waislam tupu bado hilo halijawa suluhisho.
Hawa watu wakichukua madaraka ni wao si waislam.
Kwanini watu wasifikirie mamilioni ya Watanzania wasioweza kufanya kilimo cha kisasa, hawana access to education na afya eti wanalilia nafasi za uwaziri.
Think about that! Yaani Mohamed amefika mahali amefinyanga akili za watu hadi kudhani kuwa nafasi za madaraka ni muhimu sana kuliko maendeleo ya waislam. Niulize, hivi waziri mwislam anamsaidia yule mkulima wa Ikwiriri au Mjasani.
Uwaziri utamsaidiaje mwislam hilo ndilo la kufikiri kwanza.
Sasa mtu kama huyo ukimweka mbele ni hatari kwasababu mtazamo wake una limitation.
Ni ukweli nawaambi hata kama hamtaki.
Lini umemsikia Mohamed akililia nafasi za bwana shamba au vertenary au nurse na pengine ualimu.
Watu wakae chini watafute viongozi wenye nia njema na malengo mazuri. Waangalie matatizo na chanzo chake na watafute suluhu kwa njia za kisayansi na zinazokwenda na wakati.
Nitatoa mfano utakaoudhi sana! kuna rafiki X alitembelewa na rafiki yake. Pale nyumbani watoto wakawa wanapita pita na baba yao kaamua kutoa utambulisho. Huyu ni kijana anaitwa Z, eeh sasa hivi ataingia darasa la la la.... eti mama Z, mwakani Z anaingia darasa la tano au la nne! ( ni mfano halisi usiofungamana na imani yoyote)
Mzazi hajui kuwa mtoto anasoma darasa la ngapi. Hivi huyu mzazi anaweza kusimama na kuongelea suala lolote la elimu kweli kama hajui mtoto anasoma darasa la ngapi.
Hivi huyu mzazi ameshawahi kukaa na mtoto na kumsaidia homework kweli kama hajui anasoma la ngapi.
Kwahiyo matatizo si uwaziri anaoudai Mohamed Said, na wala si kuunga na kutunga hadithi kuamsha hisia za watu. Suluhu ni kuangalia tatizo lipo wapi.
Badala ya kufikiri watu mikoani watafaidika vipi na huduma za MMU, miezi mitatu sasa na zaidi ya miaka 10+ watu wanasoma na kujadili chuo kikuu hypothetical. Kwamba hilo ndilo suluhisho la matatizo. Wakati ngano inaendelea wengine wanapiga hatua!
Sasa tatizo la BAKWATA linaleta sura nyingine, kwamba kumbe serikali inaendesha chombo kwa kodi za watu. Msome Ngongo hapo juu. Halafu waislam wanataka chombo huru wakati huo huo wanataka kiwe ndani ya katiba.
Don't shoot yourself on your own feet.
Niwatake radhi watakaokereka lakini huwa nasema ninachotaka kukuambia na si kile unachotaka kusikia.
Pakacha tayari nasubiri kutupia ng'ongo ndani na kibandameno.
Ponda amehukumiwa kufungwa, sasa ushindi wa "waislam" uko wapi?Mohamed Said,
Leo Jamvi limetulia tuli baada ya hukumu ya Sheikh Ponda hakuna tena habari za kuvamia kiwanja wala uchochezi wa ugaidi.
Nadhani sasa watu wataanza kukuelewa vizuri ulichoandika kwenye kitabu chako, wakati umeweka "mpini" wa Sheikh Bilali Waikela, watu walikuletea kejeli, dhihaka, na matusi bahati mbaya walikuwa hawajui wanapinga nini.
Leo hii baada ya hukumu ya Sheikh Ponda Waislam wameshinda.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.
Labda nikuulize swali kidogo kutoka huko Tanzania hususan Bara. Je unajuwa Swala za idi zote ni lazima ziratibiwe na BAKWATA na vile vile viongozi wote waandamizi wa Serikali LAZIMA waswali kwenye misikiti ya BAKWATA? Fanya utafiti kwa hilo utagundua . Mimi nilikutana nalo nilipokuwa Mwanza.
Jiulize Je kwa wakristo ipo hivyo pia? Kwanini Serikali isiyokuwa na DINI ilazimishe viongozi wake waislam waswali katika misikiti ya BAKWATA. je kuna dili gani kati ya Bakwata na Serikali ya JMTz.
Pole sana
Mkuu THE BIG SHOW ikiwa hakuna sheria inayozuia waIslamu kujianzishia jumuiya zao,na wewe binafsi umekiri mmeshaanzisha jumuiya nyingi amabazo unadai zina ushawishi mkubwa katika jamii ya kiIslamu kuliko BAKWATA.
Naomba unitajie hizo jumuiya zenye ushawishi kuliko BAKWATA zimefanya maendeleo yapi mpaka sasa,mfano ujenzi wa mahospital,vyuo vikuu na nk.
Wild Card,
If your uninitiated in Tanzanian politics as it is related to Muslims and Islam, it is
advisable to read first the research paper, ''Islam and Politics in Tanzania by MS
before reading this expose.
This will help you in having a better grasp and understanding of the plight of Muslims
in the country.
This paper will attempt to narrate and at times analyse problems facing Muslims in
Tanzania in their quest to uplift themselves from the lower strata by equipping
themselves with skills which can only be acquired through education.
In this research paper we are introducing a hypothesis which we believe has not
been researchedinto and therefore has remained hidden much as it has been in
existence since independence - the concept of the power and influence of the
Christianity and its role in the Tanzanian administrative machinery to counter Islam.
This is the Christian lobby.
This is an opportunity to see how the Christian lobby functions.
It is a subject worth researching at the moment since it is one of the clues to the
Muslims riddle of stagnation.
To understand the problem of Muslim stagnation in education we need to go
back to the history of Islam and its relation with missionaries and colonialism.
When colonialists and missionaries set foot in the East African coast then
known as Zanj their main aim was to wipe out Islam.
Muslims in the East African coast had their first glimpse of what Christianity was
all about in 1498with the arrival of the Portuguese.
In 1567 the Augustinian order was established in the East African coast to counter
the influence of Islam so that Christianity becomes the religion of the whole world.
Christianity extended its influence further when Cardinal Lavigirie founded The White
Fathers, the Catholic institution whose purposewas and still is to confront Islam.
About the same time period Church Missionary Society (CMS) imposed upon itself the
duty to deliver the world from Islam, ignorance and darkness .
The White Fathers are in Tanzaniaand are still involved in the work which brought them
to the country more than a hundred years ago.
When the Germans first arrived in Tanganyika they found Muslim already literate, they
could read, write and count.
The missionary Ludwig Krapf when he appeared at the court of Chief Kimweri of the
Sambaa in 1848 he found him and his children literate.
They could read and write with ease.
The alphabet in use was the Arabic script.
Being educated Muslims were employed by the German colonial government as teachers,
interpreters and administrators.
The institution responsible for all this excellence and achievement was the madras.
Missionaries and colonialists were envious of the level of educational advancement achieved
by Muslims and therefore initiated plans to subvert its progress.
The first step taken by the British at the turn of this century was to abrogate the Arabic script
which was in use for many years in favour of the Roman script.
By a stroke of a pen people who were educated were overnight reduced to illiterates.
All these machinations against Muslim were part of a systematic campaign as provided in article
IV of the Berlin Conference of 1884 which stated that Christianity should be safeguarded and given
specialpreference over Islam.
The vacuum created by the abrogation of Muslim education was filled with missionary education in
Tanganyika with the British colonial government as the overseer.
Between 1888-1892 in compliance with that article as agreed in the Berlin Conference, Imperial British
East Africa Company used political and military force to prop up Christianity in East Africa.
The Church has been making propaganda that it were missionaries who laid down the first foundation of
education in Tanganyika.
The truth is that the missionaries followed the madras education system and the teachers they employed
in their schools were Muslims who were product of the madras education system.
Abel Ishuwi, an educationists has revealed this fact in his work, Education and Social Change, (1980).
Realising the importance of education Muslims initiated their own schools under colonialism.
These came to be known as Muslim schools.
Where as missionary schools were being provided with assistance by the government known
as Grant-in-Aid, this privilege was denied to Muslim schools.
Due to this privilege mission schools were well equipped and could afford well trained teachers.
It was therefore impossible for schools run by Muslims to compete with missionary schools.
Muslims therefore were the most oppressed people by colonialism compared to other communities.
The propaganda being spread far and wide by enemies of Islam in Tanzania that Muslims do not value
education and that is why they lag behind is false and malicious.
The Big Show,
Amin ndugu yangu.
Moja ya sifa za Allah ni kuwa hadhulumu.
Nilipewa makaratasi ya Sheikh Bilal Rehani Waikela kabla sijakutana na yeye.
Wakati huo nilikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Waikela alikuwa katibu wa EAMWS Jimbo la Magharibi na ''mgogoro'' wa EAMWS
ulipoanza yeye alikuwa mmoja wa Kamati ya Upatanishi baina ya genge la Adam
Nasibu na Waislam.
Kwa ajili hii basi nyaraka zote na mgogoro ule na mikutano yote yeye alihudhuria.
Lakini kubwa zaidi Waikela alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU Tabora na mmoja ya
watu waliokuwa karibu sana na Nyerere wakati wa kupigania uhuru.
Nyaraka za Waikela zilikuwa na mengi sana.
Nyaraka hizi ndizo zilizonisaidia kuandika sehemu ya mwisho ya kitabu changu sehemu
niliyoipa jina: ''Njama Dhidi ya Uislam.''
The Big Show,
Allah amlipe Sheikh Waikela kwa kuwa na ujasiri wa kuzitunza hizi nyaraka hadi zikatufikia
sisi baada ya miaka 20 kwa wakati ule.
Wenzake waliokuwa katika kamati ile walitishwa na serikali na wakatia moto nyaraka zao.
Waikela anasema yeye hakutishika alitafuta mahali salama akaficha zile nyaraka zake.
Nilipomuuliza ilikuwaje akaamua kufanya hivyo jibu lake lilikuwa ni kuwa yeye alijua Allah
kwa utukufu wake hawezi kuachia dhulma ikatamalaki iko siku atamleta mtu kuyaandika
yote yaliyotokea.
MGASHI;
Hivi kuvimba shavu ni dalili ya kupona?