Wewe skia,tuondolee upumbavu wako hapa sawa??na hatusemi Salaam aleika waislam na wale wenye kuijua lugha hiyo..!
Tuondolee upuuz wako kbs,huu mjadala si wa Moh Said,hivi unasoma lakin kinachozungumzwa hapa au umerukwa na akili??
Mambo yanayozungmuzwa hapa si mageni,na hakuna uchochezi hapa,mambo yanazungumzwa hapa yalishaandikwa na kwa sasa yana miaka mingi sana kwenye jamii hii yanasomwa,kama kitabu hiki kingekua na uchochez mbona serikali hakijakifungia??
Muanzilishi wa mjadala huu si Moh Said kwa taarifa yako,Muanzilish Wa mjadala huu ni Yericko na anafahamika,we hujui hili??muombe yericko aufunge mjadala huu na si Moh Said sawa??
Wewe kama umekosa la kuongea kaa pembeni,watu wamejifunza mengi kwenye mjadala huu waislam,wasio waislam na wapagani wamejifunza mengi na bado wanaendelea kujifunza mengi sana,
Waislam sio watu dhalili,wanajua wanachokifanya,we nani uje kuwazungumzia waislam??hapa inazungumzwa historia ya nchi hii katika uhalisia wake,wewe unapokuja na kusema ya kwamba haitawasaidia watu una maana gani??
hujui maana ya historia kwa jamii??ukitaka watu wakae kimya wasizungumze uhalisia wa historia ya nchi hii??
Ati unakuja na kusema ya kwamba huko makanisani watu wanachangishana na kujenga vitu mbali mbaliu vya maendeleo,so what??sisi yanatuhusu nin mambo hayo??sadaka wanazotoa waislam kwenye jumuiya zao na jamii zao kama unaziona ni kiduchu na hazina tija yyte kwa jamii yao wewe Mutlaq zinakuhus nini??
Ndoa za mitara na mambo mengine mengi ya kipuuzi unayoshadadia yanahusu nini kwenye mjadala huu??
Sikiliza bwana mdogo,wewe hata kama umeamua kuja kwa style nyingine ili tusikubaini lakin kaa ukitambua tushakujua kuwa ni kanjanja na umejidhalilisha sana,hakuna atakaekaa na kuskiliza upuuz wako na maneno ya kitoto yasiyo na mbele wala nyuma,huu mjadala si size yako,na mambo yanayozungumzwa hapa wewe huwez jua yakini yake,,
Na kama Rai yako unataka mjadala huu ufungwe usimwambie Moh Said,mwambie
Yericko Nyerere aufunge mjadala huu kwani yeye ndie mwanzilishaji na Moh Said na sisi wengine tumekuja kutokana na kile alichokisema yeye..
Mufilisi mkubwa wee..!!1