Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Kadogoo,

Salaam Al Akhiy.

Ahsanta kwa kutujuza na kutupa ilm hii,mimi binafsi nasoma pia vitu fulani kupitia kwako kila wakti unaponyambua kwa bayana zako.

Mola takulipa fadhila zako Insha Allah.

Shukran.
 
Jasusi,
Umekereka kwa kuona salama imepatikana?

Hujui hasama ambayo ingejengeka kwa Sheikh Ponda
kufungwa kwa kuupigania Uislam?

Sasa hivi viongozi wetu wanahimizi uelewano katika
jamii.
Hapana. Haijanikera chochote. Sina beef yoyote na Sheikh Ponda. Nilikuwa namweka sawa tu Ritz kuwa kapewa kifungo cha nje.
 
Mohamed na wafuasi wako, pateni chakula cha mchana hapa,



UNDANI KUHUSU C.I.A

Taifa la Marekani lina vyombo vingi vya usalama vinavyofanya kazi mbali mbali, inamulikwa CIA tu kwa sababu ndio tunao suguana katika maisha ya kila siku. Maamuzi ya siasa za ndani na nje za Marekani hufanyika baada ya ripoti ya CIA, hata FBI inafanya kazi chini ya ripoti ya CIA. FBI kirefu chake ni Federal Bureau Investigation, ambayo ni sawa na kitengo cha upelelezi makosa ya jinai hapa kwetu yaani (C.I.D) na CIA kirefu chake ni Central Intelligence Agency

Vyombo vingine vya usalama Marekani ni kama:-

1. Wakala wa usalama wa Taifa (National Security Agency)
2. Wakala wa ulinzi (Defence Security Agencies)
3. Ujasusi wa kijeshi (Military intelligence)
4. Kitengo cha ujasusi wa Navy (Wanamaji)
5. Ujasusi wa anga
6. Ofisi ya Ujasusi na utafiti teknolojia
7. Ofisi ya umoja wa upelelezi makosa ya jinai FBI
8. Kamati ya nguvu za Atomic .kitengo cha ujasusi
9. Kamati ya ujasusi hazina.


Vyombo vyote hivi vya ujasusi viko chini ya CIA kwa njia moja ama nyingine. Pia ieleweke kuwa vitengo hivyo vinaweza kuzidi au kupunguza kutokana na mahitaji ya mahali na wakati munasibu, Kwa mfano: kulikuwa na kitengo kipya cha kumfuatilia Osama Bin Ladeni na kumtafuta yeye tu, hicho ni kitengo maalum kwa ajili yake tu.

Hapa tutaangalia vitengo viwili tu kutokana na kusuguana navyo katika nyanja mbali mbali hasa wanaharakati wa kiislamu kwa ujumla nazo ni:.

1. Kitengo cha kupambana na majasusi (CENTRAL INTELLEGENCE)
2. Kitengo cha kupambana na ugaidi duniani,
CENTRAL INTELLEGENCE

Kitengo hiki kina majukumu muhimu ya kuwafuatilia wageni wote kwa ukaribu sana. Kama vile wanadiplomasia, wafanyabiashara , wafanyakazi wa kigeni, waandishi wa habari, watalii na wanafunzi kwa ujumla bila ya kusahau kusomabarua zao, kurekodi simu zao, kuwafuatilia katika mizunguko na shughuli zao, kufumbua mafumbo ya ishara (shafron) Kitengo hiki kina uwezo wa kumfuatilia mtu kwa masaa 24 kwa muda wa mwezi bila mtu kujua, lakini wapo wale majasusi waliokubuhu, mfano majasusi kutoka Urusi na Uchina wanazo mbinu za kuwapoteza kwa urahisi sana.

Kitengo hiki pia humfuatilia jasusi kwa kumpiga picha, kurekodi sauti kwa kupandikiza microphone chumbani kwake au kupandikiza kamera ndogo (microcamera). Kitengo hiki vile vile huwafuatilia wale majasusi waliopandikizwa deep cover au (Natural deep cover). Kitengo hiki cha kupambana na majasusi hufanya kazi ngumu ya kugundua wale wenye nia mbaya na Taifa lao (Marekani)
KITENGO CHA KUPAMBANA NA UGAIDI

Kitengo hiki kinakazi ya kufuatilia taasisi zote za kigaidi duniani za ndani na nje ya nchi, kujua wanapata wapi mapato yao, Viongozi wao, Kazi zao, Watu gani ni active (hai) katika taasisi hizo, Watu wangapi wanasilimu, kiwango cha kukua kwa ugaidi kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, kiulinzi, kiteknolojia, kijamii na kuutekeleza ugaidi kwa vitendo. Ugaidi unaenea kwa kiwango gani huko Mashariki ya mbali, Asia ya kati, Mashariki ya kati, Afrika, Ulaya na Marekani ya kaskazini na kusini.

Kitengo hiki hakiishii hapo tu bali huwatafuta wale magaidi wote waliojitolea nafsi zao baada ya kuvunjika kwa muungano wa Kisoviet. Kila mpiganaji ambaye hakupata shahada kuwa ni gaidi! au Mujahidina kama ambao walitokea karibu dunia nzima kujibu wito wa jihadi dhidi ya wakomonisti baada ya jihadi walisambaratika duniani kote na wale waliokuwa wanatafutwa na serikali zao waliamua kubaki huko wengine walienda huko Bosnia, Tajikstani Chechnya, Algeria, Yugoslavia na kwingineko duniani na kuendelea kusimika serikali za zenye msimamo mkali na jihadi wakiwa wanaomba wafe wakiwa mashahidi, Watu hawa wameuoanisha ugaidi na imani yao na kufanya dunia igawike.





Na Yericko Nyerere

Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"
 

The Big Show,

Ahsanta sana Al Akhiy,hii fadhila njema ulofanza kwa kuurejesha huu mpini adimu hapa jamvini. Mnakasha wetu nahisi utarejea kwenye kwenye Mada kwa utulivu.

Shukran Mola takulipa Insha Allah.

Cc;Ritz
 

THE BIG SHOW,

Naomba nikuulize je? Wakati hao waasisi wanaasisi hicho chama cha Tanu je? Walipendekeza majina mangapi? Au walikuja na jina la Tanu moja kwa moja bila ya mapendekezo mengine?
 
Yericko Nyerere,

Naona hapa kwenye mnakasha umetoweka kitambo,maswali ya wanajamvi kwako hutaki kuyajibu unadai ati "huyaoni" au "hayana mshiko"(japo sifahamu mshiko maana yake ni nini!?),mengine unadai ni ya kipuuzi!? Najua pia unafanza kusudi, kutuharibia kila wakati na kutuchanganyia mambo na upuuzi wako wa ngonjera za kigaidi. Kuna wakti pia ulileta mpaka picha za matusi na kashfa za yule Padri hapa jamvini!? Sidhani kama vile vitu vilikua relevant hapa!
Nahisi wewe unaona raha tu ya hii publicit ya kitoto ulopata/upatayo kutokana na Mada/mnakasha huu.

Kwa taarifa yako sisi walamba boots za Sheikh Mohammed Said,tunakupa Ilani ya siku sabaa-7 tu ili ujirekebishe tabia yako. Ikiwa kama mleta mada,basi yatakiwa uwe responsible.

La kama si hivyo, sisi soote tunaondoka rasmi kwenye hii thread yako na tutafungua thread yetu wenyewe na Sheikh mohammed wetu, ili tukapate ilm zaidi na huku tukiendelea kulamba boots zake!

Natumai utanifaham japo kiduchu.

Shukran.

Cc;Sheikh Mohammed Said

NB:
Hizo siku7 zinaanzia leo hii!
 



Huu ni upumbavu na upuuzi wa hali ya juu uliouandika hapa,and you must be ashamed kwa bandiko lako hili lilikosa weledi na staha dhidi yetu sisi waislam,

Mara nyingi nakuambia ya kwamba kwa jins nyerere alivyokwa bright n smart hawez kuacha offspring dull na ya kikanjanja ya sampuli yako,na hata hao wamarekani wenyewe unaowasema wakekufadhili kwa unandishi wa kitabu chako hawawez kuwa wapuuz kias hicho,

Naona umekuja moja kwa moja kumdhalilisha Allah kwa kusema wale wanaojitolea kufa kwaajili yake ni magaidi na kwamba waislam wote ni magaidi kwa itikadi hizo,huo ni upuuzi wa hali ya juu,unashindwa kuelewa kulikuwa na mikataba gani baina ya osama bin laden na marekani kabla ya hizo pande mbili kuhitilafiana kikaz na marekani wakaamua kuuvisha umma mzima wa kiislam kwa shutuma ya ugaidi ili hali uhalisia wanaujua,,

Sasa kitu unachotakiwa kujua,hata hao waamerika hawaangalii tafsiri ya ugaid kwa kuangalia aliefanya ni nani,hata wasiokuwa waislam wanafanya hayo anayoyasema yeye mmarekani,ila sasa kwa kuwa ana ajenda yake ya kuufight uislam katika kuamua kuchagua kumpa mbwa jina baya kisha amshoot vizur risasi alichokiona kinafaa zaid kwa uislam ni kuunasibisha na ugaid,,

Wewe upeo wako ni wa hali ya chini sana,tunakuuliza unatuletea upumbavu kama huu,je uchochez wa Moh Said umekushinda??umetosheka nao??

Sisi tunazid kukupuuza na kukudharau kwa kias kikubwa saana,kwa sababu umeanza mwenyew kujidharaulisha,

Allah s.w unaemtaja taja kwa dhihaka sisi ni muumba wetu na tegemeo letu la kila kitu,unapoanza kuja kumtaja taja kwa dhihaka na kejeli tutazid kukuweka katika daraja la kilimbuken au la kihayawani yericko,jifunze adabu sana...

Mufilisi mkubwa we..
 

gombesugu
Salaam sana,hilo ulilolisema litakuwa la maana zaid,kama hoja zishatolewa humu na hakuna jipya analolifanya huyu chakubimbi zaid ya kuja kuuonesha pishi lake jingi la ujinga hapa,,

Me nadhan hakuna haja ya kuendelea kumpa umaarufu usio na sababu,huu alioupata unatosha sana,kama kuna uwezekano tumwombe tuh mwalimu wetu Mohamed Said akapumzike na tuanzishe uzi mwingine ili wenye nia ya kutaka kuipata ilm kutoka kwake tuipate bila bughdha za aina yyte,kwa maana sasa tushaanza kufanyana wote ni watoto wadogo,mtu mpuuzi anakuja hapa na mabandiko yake ya kifedhuri ati ugaid ugaid na yericko nyerere anachokiandika na anachokisema cha maana wala hakionekani,mpumbavu sana huyu jamaa,,ndio kwa maana Invisible anawaambia wafiche upumbavu wao na waoneshe werevu wao lakini walizingatii kabisa hili..
Yericko umaarufu ulioupata hadi sasa nadhani unakutosha sana,kama unataka kuuuza kitabu chako na kukitangaza fungua uzi watu wenye kukitaka watakufuata huko,usitegemee kusafiria nyota ya Moh Said hapa umeskia we limbuken???
 
Last edited by a moderator:
Wild Card,
kwani huzioni shule zetu zinavyojengwa?

Huoni hijab asubuhi mabinti wakenda shule?
Tunajenga shule nyingi tatizo letu ni NECTA.
Hijab naziona mzee ingawa hakuna zinachoongeza kwenye elimu kwa aliyezivaa! Hawa mabinti usiku tunakumbana nao mitaani kama wale wengine. Jitahidini na wavulana wavae kanzu na kale kakofia. Kasi ya ujenzi wa shule ni ndogo mno ukilinganisha na wale wa upande wa pili. Kazania sana hili kwa kweli.

Hii NECTA mnaweza kuiruka mkasajili shule zenu kwa mitihani ya Cambridge au kule Uarabuni kama kuna boards za mitihani kama hii NECTA (@Barubaru atasaidia). Natamani JK akuteua kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA tuone mabadiliko ya kweli. Asiangalie umri wako bali nia yako njema ya kuleta mabadiliko ya ELIMU kwa watoto wa Kiislam.
 
Wild Card,
Ponda hana wafuasi ana nduguze Waislam.

Hayo ya kwenda Markaz nakuachia mwenyewe.
Nilidhani unataka mjadala wa adabu na heshima.

Ikiwa umeshindwa staha na tuagane kwa amani.
Mzee nimekosa staha kwa lipi? Msaidieni Sheikh Ponda kwa vitendo. Naamini kwa muda alookaa kule kuna kitu amejifunza. Hatarudia upuuzi kama ule wa Markaz ambayo ilianza kuuzwa siku nyingi kwa waYemen.

Nikuulize swali dogo tu mzee Mohamed, Markaz itarudi?
 
Mohamed Said said:
kwani huzioni shule zetu zinavyojengwa?
Mohamed Said said:
Huoni hijab asubuhi mabinti wakenda shule?
Tunajenga shule nyingi tatizo letu ni NECTA.




..mbona Seminari ya Kirinjiko, Mudio, Feza, etc zinafanya vizuri?

..kinachotakiwa kufanyika ni ku-replicate best practices za Kirinjiko.

..mnawa-distract vijana na haya mambo ya udini-udini.

..nimesoma watoto wanataka kuandamana kumuondoa Ndalichako!! sasa mwanafunzi mwenye mawazo hayo atakuwa na wa kujisomea??

..pia hili tatizo la elimu ni la kitaifa, mmeshafikiria kuunganisha nguvu na taasisi kama Haki Elimu na nyingine zinazopigania haki ya mtoto kupata elimu??

..sasa hivi viwango vya ufaulu vya Tanzania ni vya chini kulinganisha na majirani zetu, pamoja na nchi nyingine nyingi za Kiafrika.

cc: gombesugu


 
Last edited by a moderator:
Baubaru, ninachosema hapa ni kuwa baadhi ya Waislam ndio wameufikisa Uislam katika picha inayoonekana.
Tumekupa mfano na Mag3 kaliongelea vizuri sana suala la Sheikh Malik huko nyuma.

Huyu hakuja na pesa alikuja na cheti lakini matatizo aliyoyaacha nyuma ni makubwa sana.
Sasa kama ukimpa mtu wa aina hii pesa basi ujue chochote kinaweza kutokea.

Ndio maana mimi nilidhani watu wangewalaani akina Ilunga kwa kuweka taswira chafu juu ya Uislam.
Hivi nani atakubali msaada wa fedha kupitia Ilunga uingie nchini bila kujua unakwenda au unatoka wapi.
Huwa nasema lazima watu wawe na mtazamo mpana wakati wanatoa kauli zao.

Hata kama leo nitasikia Mohamed amepata msaada wa kujenga kituo cha afya bado nitajiuliza sana, huyu mtu aliyefundishwa na Maliki na anayemuunga mkono Ilunga anadhamira ya kutenda alichokusudia au amejificha nyuma ya jambo jingine! Yote hayo ni kwasababu ya kauli na presentation ya baadhi ya waislam.

Kuhusu msamaha wa kodi, naomba tusiliongelee hilo. Huo ni mradi mkubwa sana wa wafanyabiashara wa kiislam wa Dar es Salaam na mamlaka kama BAKWATA. Ni mradi wa kuingiza magari na vitu vingine kwa jina la waislam lakini si kweli kuwa vinawafikia waislam

Na ndivyo ilivyo kwa dini zingine, magari na kila aina ya vitu vinapata misamaha kumbe ni miradi ya watu.
Kuna tuhuma za kuthibitika kuhusu hili.

Mimi binafsi siamini kwa msamaha wa kodi wa yoyote awe mwislam, mpagani au mkristo kwasababu kuna abuse kubwa sana kwa hilo. Ninachotaka kukuasa ni kuwa usiongelee kuwa waislam wanadhulumiwa, waislam wanajidhulumu kwasababu wanaotumia loophole hiyo ni waislam tena Ma-alhaji na masheikh wenye biashara siyo Kapuku wa mtaani.

Baru baru hivi unahitaji Microscope ya resolution gani kuona tatizo la waislam wa Tanzania?
Wauziane viwanja lawama watupe kwa Nyerere na wakristo.
Waingize bidhaa kwa msamaha wa kodi kwa biashara zao lawama itupiwe serikali.
Shule zao zifanye vibaya lawama watupiwe NECTA n.k.
Ninahitaji kuwasha taa ya kandili mchana, watu hawaoni.

Kitu kimoja tu sikubalini nacho ni kaucha pesa ziingie hovyo! sasa ni kwa wote hilo sijui ila kwa waislam niseme wazi wamejenga mazingira ya kutoaminika si hapa nchi tu bali duniani kwasababu ya baadhi yao.
Nitasema ninachotaka kukuambia siyo unachotaka kusikia. Hawa akina Mohamed, Ilunga sijui kama wanajenga mazingira mazuri kwa taswira ya dini.


Nikukumbushe kula Amani Muheza, pale ni karibu na nyumbani Kiwanda baada ya kupita KM7 na Bombani.
Ile ni green belt.
Ngoja nijazie ngogwe katika pakacha la Gombesugu.
 

Wild Card,
Usipende kutumia neno ''upuuzi'' ni tusi.

Leo Ponda kazungumza Msikiti wa Mtambani.
Kwa mukhtsari kawaambia Waislam wasisikilize propaganda za wanasiasa.

Kama wao kweli wanataka amani wajibu kwanza maswali ambayo Waislam
wamekuwa wakiiuliza serikali kuhusu dhulma dhidi ya Waislam.

Ponda huyo.

Na kweli kaeleza kuwa kajifunza mengi Segerea na kubwa ni jinsi
mfumo wa sheria inavyowabagua Waislam.

Markaz irudi kwani ilikwenda wapi?
 
Neno hilo upuuzi linatumika kwingi tu tena hadharani. Mpe pole Sheikh Ponda. Yote haya anajitakia tu huku ninyi wenzake mkisubiri tiketi za ndege kwenda nje kutoa paper za ugaidi!

Hata jela mnabaguliwa? Hii kali. Tugawane tu nchi hii. Unapokuwa na RAIS na MAKAMU wake wote Waislam safi bado dhulma inaendelea hadi jela ujue suluhu hapo ngumu kupatikana.
 

Mgashi;
Tuwekee picha basi tuone shavu lilivyovimba na kupendeza!
 

Mkuu Ngongo,

Hivi taasisi za Wakiristo Tanzania uwa zinawakilishwa na taasisi gani naomba utupe darsa.
Sielewi ni kwa jinsi gani serekali inaweza kuwalazimisha waIslamu wote Tanzania wawe chini ya BAKWATA.
Bakwata peke yake ndiyo wanaruhusiwa kutangaza maswala ya ibada, wamepewa mamlaka ya kutangaza mwezi, kutangaza idd, yoyote atakayekwenda kinyume na Bakwata ni makosa, ni marufuku taasisi yeyote kutangaza mwezi wala idd wakati ni ibada.
The Islamic Foundation


Education

Through out of Islamic history one of the most important and is a key to paradise is knowledge. We Muslim were very well educated and scholars. For example, Daughter of Mohammed al-Fihri, Fatima al-Fihri, also called Umm al Banine, ‘Mother of the Boys', is known for creating the oldest academic degree-granting university in existence today. TBut even way before this many teachers sacrificed there whole life in order to educate their student so that they become successful in this world and the hereafter. And this is the aim of the Islamic Foundation to develop leader for our children into the next generation as we won't be there looking after them but our leaders will. The Islamic Foundation Education Department was started on 1998 which was first started in a masjid, then moved to a rented place in Forrest hill. They taught in that nursery school nursery subjects as well as Islamic studies. Allhamdullilah after 2 years of struggle on 2000 we bought a huge land about 2.5 hector in order to plant our seed of education so that through this education of secular as well as islamic studies we can then develop Muslim scholars of the next generation for the betterment of this world and the akhirah. This was the beginning of Dar al Arqam Academy. Up-to-date now not only did we open a nursery school but also primary school was launched as well as secondary school. Another school such as Muzdalifah Nursery school and primary which is in Masasi District, in Mtwara region southern part of Tanzania. And lastly a third school called Nusra English Medium in which has a nursery school and primary school which is in Mafia District in coast region. In total The Islamic Foundation opened 7 schools.

FUTURE PLAN

The future plan is to:

Open girls boarding school
Safaa girls seminary secondary boarding school is in a process to being built in Msamvu where Dar al Rahma Orphanage hostel, al jami'ah mother and child care center is located. The architect of the building is already designed but we haven't started construction yet. The only problem now is finance. We need your help and support in order to start this project. Without you there will be no Girls boarding school.

Transforming Dar al Arqam into a boarding school and open a day school in Hilux
Same as the Girls boarding school the boys boarding school is ready in terms of the paper work, architect and design. All we need is Financial support. Remember that everything in life is business. So remember that you are investing in our children future and yes every Muslim child is our children and it is our responsibility to equip our children with the best quality of education in order to create great leaders of our next generation.

Dar-ul-Arqam Academy

Dar-ul-Arqam Academy (soon to be boarding inshallah) now consist of three school nursery, primary and secondary. Altogether there are about 755. Nursery has about 130 students, Primary have 521 students, and secondary 104 students. Nursery School The Nursery school have three sections.

The first section is baby class which is made up of 1 class in it has 30 students.The second section is kindergarten 1 which consist of 2 classes, the boy class and the girl class. In the boys class has 30 student and the girls class 25 student. and lastly the third section kindergarten 2 which consist of 2 classes, the boys class and the girls class. Same as kindergarten 1 in boys class there are 30 students and in the girls class 25. Alhamdullilah we have enough classes in the nursery school. Since 2011 the nursery school so far are doing very well. This nursery building consist of:
- 5 classes
- 16 toilet
- kitchen
Primary School The primary school is consist of standard 1 up to standard 7 each has two stream except for standard 7 where to classes were put into one as we are shortage of classes. Altogether the building consist of:
- 13 classes
- 20 toilet
- Wudhu Area
- Prayer room for boy and for girls
- Library (still under-construction)
- Stationary shops (still under-constructions)
- Staff room (under-construction)
The Primary school in Dar-ul-Arqam Academy won number one out of 69 primary schools in Morogoro 5 times in Mucipal district which was in 2006, 2007, 2008, 2009, 2010 and we won number one 4 times in 2006, 2007, 2008, 2009. However sadly in 2010 in Morogoro region we fell down very hard to becoming number 9. The reason being possibly because: 1. Too many student in primary plus not enough classes 2. Lack of teacher due of salary increase in government school and other private school many of our teacher left. About 9 of our teachers left some without even notice 3. Lack of Facilities such as library, equipment and materials 4. More new school are being established, meaning more competitions
Dar-ul-Arqam Secondary School The Islamic foundation wanted to establish secondary in 2007 however we failed to do so because lack of building. Sadly our first standard 7 intake went to other schools in 2007. But all of this is by the will of Allah (s.w.t). We never gave up until 2008 we commenced on the building. Form 1 was started 2008 and every year we open a new form and now we have until form 4. This year it will be our first Dar-ul-Arqam National Examination. Make du'a for our children to get good result. Until now the building is still under construction but inshallah this year we will Finnish. This building will consist of
: - 3 laboratory
- One library
- 9 classes
- Toilet
Shida nyingine ya BAKWATA ni Sheikh Mkuu kuchaguliwa na waIslamu 20 baraza la maulama
Maulama wanachaguliwa na nani hebu tupe darsa ndugu yangu Ngongo,
Tatizo siyo kutukera hao Masheikh ndiyo wanaopanga maswala yote ya ibada hao ndiyo wanaipa taarifa serikali kuwa leo ni IDD kusiwe na kazi watoto wasiende shule, katika Uislam ni marukfuku kumpangia mtu ibada.
afadhali BAKWATA wanaomchagua kiongozi wao kuliko Ponda &... wasiotaka utaratibu wa uchaguzi kabisa.
Naona hapa umeitimisha vizuri kabisa umeipenda Bakwata kwa maendeleo yao kwa Waislam, kuna taasisi nyingi zinafanya vizuri zingine hatuwezi kuweka ramani ya vita hapa jamvini.

[h=2]Muzdallifah English Medium Pre and Primary School[/h] Just like nusra Muzdaliffah English Medium School started in 2006 which is based in the southern part of Tanzania, Masasi district in Masasi region which is in the border of Mozambique. It is the first Islamic school in the region. It started with a Nursery then slowly each year we open a new class until now we reached to standard 4 of primary school. Altogether there are 60 students, 16 of them are in Nursery school and 44 of them are in primary school. Alhamdullilah we started with very few student but now it is increasing which means that people are getting more and more interested to educate their children. Also our Facilities:
- 3 student toilet and 2 staff toilet for the whole compound
- They have 4 classes which are used by standard 1 to standard 4 and the nursery school are using another building as we are low in classes
- and primary, teachers, staff offices.

[h=2]Nusra[/h] Nursa English medium pre and primary school at kilondoniarea , Mafia district 8 acres. Mafia district is an island. Although it is a Muslim dominant island they lack schools and more specifically muslim schools. The Nursery school was opened in 2006 and primary school was opened in 2008. There are about 160 students, 122 students are nursery and 38 students in primary school.

Nusra Primary school

The building consist of:
- 4 classes
- 4 toilets
- Kitchen

Nusra primary school

The building is made up of:
- 4 classes
- 4 toilet
- kitchen

Nusra English medium pre and secondary school also have the same problem as other school which is:

- Parent still do not pay their school fees
- Lack of resources and materials
- No library or sports and games for children
- No prayer room All of these things are necessities for the school to be in good standard.
[h=2]AL JOMAIH FOR MOTHERS AND CHILD CARE DISPENSARY[/h] UNDER CONSTRUCTION INSHALLAH IT WILL BE READY SOON
[h=2]SARATEIN DISPENSARY[/h] UNDER CONSTRUCTION INSHALLAH IT WILL BE READY SOON











[h=2][/h]
 
Kadogoo,

Salaam Al Akhiy.

Ahsanta kwa kutujuza na kutupa ilm hii,mimi binafsi nasoma pia vitu fulani kupitia kwako kila wakti unaponyambua kwa bayana zako.

Mola takulipa fadhila zako Insha Allah.

Shukran.

Gombesugu;

Aamin, Aamin kwa sote, wenzetu wanaudhi sana! wanafikiri Waislamu wamelala! hii nchi ni yetu sote Allah katuumbia hapa wote ima ni Mkristo au Muislamu sote tutabanana papa hapa!
 
mtu yeyote aliyesoma hapo juu hahitaji ilmu yeyote kujua nia yako. Unachuki na waislamu na mungu wao bila kujua kuwa huyo mungu kuna wakristu na mayahudi wanamwita kwa jina hilo hilo.

Tuombe radhi waislamu!
 

Umeshindwa kuonyesha kwamba Marekani si magaidi kutokana na definition yako ya ugaidi. Kitabu chako chote kinakuwa hakina maana kama wewe mwenyewe umeshindwa kunyambua tu definition yako ya ugaidi na kuhalalisha kwa nini Marekani sio magaidi? Mimi ningekushauri utafute kazi nyingine ya kufanya yenye manufaa kwako na familia yako. Hii ya kuandika kuhusu vita ya Wamarekani dhidi ya ugaidi itakudhalilisha tu na kukupotezea muda wako.
 
mtu yeyote aliyesoma hapo juu hahitaji ilmu yeyote kujua nia yako. Unachuki na waislamu na mungu wao bila kujua kuwa huyo mungu kuna wakristu na mayahudi wanamwita kwa jina hilo hilo.

Tuombe radhi waislamu!


Achahasira,
Huyu kijana hana uwezo wa kuandika kitu cha kisomi wala hana uwezo
wa uchambuzi wa kiasi cha wasomi kumsoma.

Zaidi sana anakopi mahali anabandika.

Hao Waamerika anaowasemea kuhusu ugaidi wao ndiyo wanaongoza kwa
ubaya duniani.

Naweka hapa chini machache katika ugaidi wa Waamerika miaka na miaka:

Out of its own free will Tanzania after the bombing of the United States Embassy in Dar es Salaam in 1998 and after 9/11 found itself being dragged into a war of attrition which it had no justified cause to get involved.

Despite of the Cold War politics of the post WW II era Tanzania had never considered the United States as an adversary much as it was supporting oppressive regimes and conducting illegal acts of aggression in Vietnam, Laos Cambodia, Nicaragua and in many other places.

Nowhere was this policy abhorrent than in South Africa under apartheid and in Palestine where Israel is forcefully with the full support of the United States was occupying Muslim land, killing and maiming innocent children with lethal weapons supplied by the United States.

Through its policies in the Middle East and elsewhere the United States was creating and is still creating more enemies, but it does not care because the primary objective of the United States is to guard its national interest, other matters are secondary.

And to back up its national interest the United States has in possession a formidable war machine which no country on earth can defeat in conventional warfare.


Hii inatoka katika mada niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006 likiwa jibu kwa Balozi wa Marekani Robert Royall kutokana na mada yake aliyowasilisha Bungeni Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…