Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Yericko,
Hakuna mapinduzi mawili.

Okello hakuwa na jeshi.
Hao waliokuwa wanaranda na mapanga ndiyo hilo jeshi la Kipumbwi la Wamakonde.

Hilo ndilo jeshi lililotengenezwa na Hanga na Kambona Tanganyika.

Okello walimvisha kilemba cha ukoka wakamwambia wewe ni Field Marshal.
Kutoka mtengenezaji matofali kwa Mazrui hadi kuwa Field Marshal wa jeshi la Wamakonde.

Okello angekuwa na jeshi asingeweza kufukuzwa Unguja kama mbwa.
 

Hahaahaa mkuu umenivuja mbavu,

Nimeamua kwenda na Mohamed Said taratibu, nafurahi kwa jinsi anavyotiririka kihistoria!

Tatizo la Mohamed ni pale masimulizi yake anapoyabebesha udini tu,

Sasa katika hali yamshangao anamkana waziwazi Jemadari wa vita Mungu wa Afrika (Okello)
 
Last edited by a moderator:

Yericko,
Hakuna mapinduzi mawili.

Okello hakuwa na jeshi.
Hao waliokuwa wanaranda na mapanga ndiyo hilo jeshi la Kipumbwi la Wamakonde.

Hilo ndilo jeshi lililotengenezwa na Hanga na Kambona Tanganyika.

Okello walimvisha kilemba cha ukoka wakamwambia wewe ni Field Marshal.
Kutoka mtengenezaji matofali kwa Mazrui hadi kuwa Field Marshal wa jeshi la Wamakonde.

Okello angekuwa na jeshi asingeweza kufukuzwa Unguja kama mbwa.
 
Okello walimvisha kilemba cha ukoka wakamwambia wewe ni Field Marshal.
Kutoka mtengenezaji matofali kwa Mazrui hadi kuwa Field Marshal wa jeshi la Wamakonde.

Okello angekuwa na jeshi asingeweza kufukuzwa Unguja kama mbwa.

duh! Hichi kipande kimenifurahisha sana... Nimebaki nacheka tu!
 

Mohamed Said mimi nasema wazi kuwa Okello ndie aliyeongoza mapinduzi yale

Nakwakuzama zaidi narudia tena kukupeni hili,

Ndani ya Zanzibar John Okello alipata umaarufu kwa vijana majabari, ambao wengi katika wao walikuwa ni makuli na wachukuzi wa meli zilizoingia na kutoka bandarini Zanzibar, kundi lake hili John Okello lilikutana kwa siri.

Okello aliwapa matumaini ya mabadiliko watu wake hawa, wafuasi, ambao wakifanya kazi pamoja kwa muda mrefu, mara nyingine katika mazingira ya hatari, na tayari kufuata amri za kiongozi yeyote ambaye ataweza kuwalipa. Wao walikuwa waasi wanaotafuta makaazi.-

Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu.

Mchafuko wa kisiasa ulikuwa ukiongezeka ndani ya Zanzibar na Pemba tangu kifo cha Sultani Khalifa katika mwaka 1960. Sultani Khalifa alitawala Zanzibar kwa karibu ya miaka 50, tangu mwaka 1911. Baada ya udanganyifu mkubwa kwa majimbo ya uchaguzi na mseto katika chaguzi kuu mbili za mwaka 1961 vyama vikuu vilishindwa kujipatia wingi wa kura kwa kila kimoja.

Waingereza waliondosha majeshi yao kikiwemo kikosi maalumu cha Kiarishi ambacho kilikuwa kimewekwa karibu na uwanja wa gofu na mpaka wa mji mkongwe mapema mwaka 1963. Wakati mfalme mpya, Jemshid- akipandisha bendera ya Taifa huru la Zanzibar tarehe 12 Disemba 1963, aliadhimisha uondokaji wa Gavana wa kiingereza Zanzibar na mwisho wa ukoloni Zanzibar.

Uchaguzi mwingine uliofanyika mwishoni mwa mwaka 1963 ukiipa ushindi mdogo wa kura Muungano wa vyama viwili ZNP na (chama cha kizalendo Zanzibar) na ZPPP (Chama cha watu wa Pemba na Unguja). A.S.P (Chama cha Afro shirazi) kilikuwa kiwe kipo katika Serikali iliyo na chini ya nusu ya wabunge kwa mtindo wa bunge la Kiingereza na Sultani, akiwa kama ni mtawala tu lakini sio mtawala mwenye maamuzi ya mwisho. Taifa hili la Zanzibar ambalo lilikuwa mwanchana kamili wa Jumuia ya madola na mwanachana mpya wa Umoja wa Mataifa lilidumu kwa siku 33 tu.

------------- ?
Majadiliano makali ya kisiasa na maandamano yalikuwa ni matukio ya kawaida siku hizo.

Kuliibuka makundi ya watu yaliyokuwa yakiimba na kusifu majina mbalimbali ya viongozi wa kisiasa, huku yakivuka vizuizi vya barabara vilivyokuwa vikilindwa na askari wa kiingereza. Vikundi mbalimbali vilijadiliana juu ya mambo mbali mbali; mfano Haki dhini ya- fursa, Wageni dhidi ya wenyeji wa zamani, Ubepari dhidi ya Ujamaa, Wafanyabiashara dhidi ya wamiliki ardhi, Waunguja dhidi ya Wapemba, Waasia dhidi- ya pazia la nyuma- la vita baridi na harakati za utaifa na kuondosha ukoloni ambazo zilikuwepo kipindi hiki ndani ya Afrika lakini hapakuwa na mtazamo wakidini.

?

John Okello hakuwa na jawabu ya mambo haya nyeti, lakini alikuwa na kipawa cha kutambua kwamba vikundi hivi vinavyoshindana vinatoa nafasi nzuri kwa mtu wa harakati kama yeye Okello.

Hata hivyo, watu kama mia waliojizatiti wangaliwez kutwaa vituo muhimu vya kienyeji vya habari na kambi za Polisi.- Mara tu baada ya vituo vya habari na Kambi za polisi pamoja na silaha kudhibitiwa na John Okelo, Ni nani katika visiwa angeweza kumshinda? Jee, wanasiasa wangeliungana na kumshutumu na kumpinga kwa vitendo vyake visivyo halali?- Au kama alivyotaraji, wangeendelea kutoaminiana na kutuhumu kwamba kati yao ndio wanaomuunga mkono?- Jee, wasingelitaka kukubaliana na yeye, haraka kabla mwengineo hajafanya hivyo?- John Okello alichezesha dadu usiku huo wa mwezi wa Januari.

-

Viongozi wa A.S.P walifadhaishwa na matendo ya Okello (wengi wao, walikuwa hata hawapo visiwani wakati huo walikuwa mjini Dar).- Walikimbilia haraka kuwaunga mkono waasi.- Mamia ya wafuasi wa vyama walipigwa na butwaa juu ya wale ambao walikuwa na shuku ya kukata fundo hilo- gumu la majadaliano ya kidemokrasia na kukimbilia moja kwa moja kwenye utawala.-

Hawawalitafuta njia ya kuiandaa jamii kwenda sambamba na kanuni zao.- Kanuni siku hizo zilikuwa ni ghali sana kama sarafu ya Marekani.- Ubinadamu ulikuwa ni kitu adimu sana.

-

?Baadhi ya viongozi wa ASP baada kuona kwamba serikali itakuwa haina udhibiti na uwezo kujilinda na kutokuwa na imani matokeo ya chaguzi huria zilizofanyika, viongozi hawalitafuta njia za haraka za kuhalalisha udhibiti yale ambayo yaliitwa sasa- "Mapinduzi".- Makundi ya watu wenye fujo yalikuwa huru.- Sheria na amani zilikuwa hazipo katika mitaa ya Zanzibar.

Walimiliki- ardhi na wafanya biashara waliburutwa kutoka majumbani na madukani mwao, uporaji na mauaji yalienea mji mkongwe mzima.- Kwa kweli mji wenyewe uliporwa.

-

Waarabu na Waasia , waliokuwa- wakiunga mkono vyama vingine waliuliwa kwa makundi.- Kwa usiku mmoja maisha ya watu yasiyovika yalipotea na siku nyingine baadae maelfu ya watu waliikimbia nchi pamoja na kila walichoweza kubeba.

-

?John Okello mwenyewe alijipachika cheo cha Jemedari Mkuu akishirikiana na bataliani zake zenye nguvu kijeshi walianzisha utawala wa vitisho ndani ya visiwa vya Unguja na Pemba.- John Okello alitangaza vitisho visivyo vya kawaida na ahadi ya kifo kwa wote watakaojaribu kumpinga yeye.-
John Okello aliamini alikuwa akipokea maelekezo /dokezo kutoka kwa Mungu na akionyesha uwezo usiokuwa wa kawaida kwa kutumia nambari, kwa mfano tarehe 13 Januari, 1964, alitangaza ujumbe ufuatao." Serikali sasa inaendeshwa na sisi… ikiwa mtakuwa wakaidi na kukataa kutii amri, Nitachukua hatua kali mara 88 zaidi ya hatua ninazozichukua hivi sasa" na- "Na ikiwa yeyote atashidnwa kutii amri ya kutotoka nje ya nyumba kama walivyofanya wengine….sitokuwa na njia nyingine lakini kutumia silaha nzito.- Sisi, ni jeshi lenye nguvu ya 99,099,000".

-

Vitisho vyake na uwezo wake wa kuvitekeleza viliwatia hofu raia, hasa makundi mbali mbali ya jamii zilizo ndogo.- Tarehe 14 Januari, 1964 alitangaza maneno haya ya kufadhaisha

"Huyu hapa ni Jemedari Mkuu wa Unguja na Pemba…Nafikiria kuelekea kijiji cha Mtendeni kukiangamiza ikiwa watu wa hapo hawatafuata amri.- Baada ya dakika 40- nitawamaliza nyote hasa- Wangazija", "na kwa vijana wote wa kiarabu wanaoishi Malindi, Nitapita Malindi nikiwa nimesheheni silaha ambazo mimi mwenyewe ndie nizijuazo.- Nataka kuona kila mmoja abakie na chupi na kulala chini.- Nataka kuwaona wao wanaimba... Baba wa- Waafrika.- Mungu Mbariki yeye na malengo yake na yale ya Jemedari Mkuu"

-

?Wakati unyanyasaji uliposima jamii za tamaduni tofauti za- Zanzibar zilikuwa zimeparaganyika.- Taifa la chama kimoja lilitangazwa.- Lakini bado Taifa hili likihofia uwezekano wa kufufuka upinzani kutoka kwa wapinzani waliokimbia nchi.- Kile kilichoitwa "wanamapinduzi" hawa baadae walijihakikishia udhibiti zaidi baada ya kusaini mkataba wa muungano wa Tanganyika.- Hii ingeruhusu maelfu ya marafiki wa kisiasa wa Tanganyika kuingilia kati upinzani wowote wa baadae katika visiwa hivi.- Askari polisi wa Zanzibar walibadilishwa kwa askari polisi kutoka Tanganyika ambao ni watiifu kwa chama cha TANU na pazia la siasa za utengano ziliwakumba wazanzibari ambazo zilitakiwa kudumu kwa zaidi ya miaka ishirini tu

-
 

Umetaja mambo mengi na sijui nianzie wapi. Lakini kuhusu civil rights na role ya Kennedy ni fact kwamba ile simu Kennedy aliyompigia Martin Luther King, Sr. wakati mwanae akiwa jela ndiyo iliyobadilisha historia ya black America. Hawa tangu enzi za emancipation walikuwa ni wafuasi wa Republican. Lakini kuanzia uchaguzi wa 1960 they voted democratic and are still voting that way to this day. Civil rights legislation of 1965 chimbuko lake lilikuwa ni mawasiliano kati ya Kennedy na Martin Luther King, jr. mwaka 1963, kabla ya Kennedy kuuawa. Ni kweli rais Kennedy alijaribu kuzuia yale maandamano ya August 1963 pale Luther King alipotoa hotuba yake landmark ya "I have a dream." But the event went on and as we all know the rest is history. Hii ya Lumumba kuuawa 1961 ni kweli Wabelgiji walishirikiana na Wamarekani kwa sababu ya Lumumba kuonekana leaning left. Lakini kinachonishangaza ni wewe kumshirikisha Nyerere eti alikubaliana na Kennedy katika mauaji hayo. How and where? Ya Matabele land si kwamba sina facts. Ninazo chungu nzima, lakini you are being disingenious kumshirikisha Nyerere wakati unamwacha Joshua Nkomo blameless. Hayo ya kina Mrs Kennedy na Marilyn Monroe nakuanchia wewe. Hayanihusu na hayahusu mnakasha huu. Kuhusu Chadema, mimi si bendera fuata upepo. Sikubaliani nao kuhusu muungano na si kila tamshi atakalotoa kiongozi wetu nitapiga makofi kama shabiki bila kuchambua.
 
duh! Hichi kipande kimenifurahisha sana... Nimebaki nacheka tu!

Mkuu

Kwakweli inachekesha,

Lakini mbele ya Mohamed Said, Okello anakosa uhalali wakuwa kiongozi wa mapinduzi yale kwasababu ya DINI yake,

Laiti angekuwa muislamu basi leo hii angeimbwa sana na Mohamed Said!

Fikiria leo Abdul Sykes aliyestaafu/achana na siasa tangu uchaguzi wa kwanza wa TANU mwaka 1954 mpaka kifo chake,

Lakini leo Mohamed Said amemrudisha nakupaza kuwa ndie nguli wa TANU na Nyerere sio lolote!
 
duh! Hichi kipande kimenifurahisha sana... Nimebaki nacheka tu!

Unacheka habari mpya kwako kabla ujacheka hivi unalijua kundi la John Okello lilipindua Zanzibar 1964 unawajua hata viongozi wanne?
 

Nguruvi,
Kusema siyo kuwa ndiyo iwe kweli.

Hawakupanga mapinduzi Umma Party ya kina Babu aje
apange Okello?

Jeshi lile la Kipumbwi likilishwa na nani na nani alilidhamini
kuja kuipigia kura ASP kisha kuja kufanya mapinduzi?

Aliyewaruhusu kuvamia Zanzibar kutoka Kipumbwi ni nani?
 

Sasa Mzee MS kama wewe tena unasema hao wenye mapanga ndio wale wa Kipumbwi na awali ulishasema walipewa silaha za Algeria Sheikh pana conflict hapa. CIA report inasema vijana wa ASP na Umma party walifika kesho yake wakiwa na silaha bora (automatic weapons na hata pistols). Lakini wanasema wale 25 waliopindua na okello ni pamoja askari waliokuwa hawaridhishwi na utawala wa kule kwa hiyo wakampa support, na hawa 25 kwanza walizipiga KAVUKAVU hadi kupora silaha. Hawa Askari 25 sio wa Kipumbwi. Hao wa kipumbwi walikuja wakati RAMBO keshamaliza movie. Kwanayeweza kuisoma report nzima ni hii hapa; Kila kiko wazi.

http://www.foia.cia.gov/sites/default/files/document_conversions/14/esau-28.pdf
 

KUMBE huyu Ali mwinyi Tambwe ndio yule baba wa marehemu Tanisa-nikimjua huyu mzee lakini sikujua ana historia- on a sad note- Vijana tulikuwa tunamkimbia
 

Unaposema mwenzako muongo basi wewe unakuja na ukweli kupingana na uongo sasa wewe unakuja na maneno matupu ya kusifia pombe.

Andika habari za mapinduzi ambazo unaona ukweli mambo ya kucheza disco siyo muhimu jamvini.

Siku zote watu makini hawasifiana kwa pombe.
 
Last edited by a moderator:
Attn: Gombesugu. Nadhani tumemaliza ubishi kuhusu Kennedy na civil rights. [TABLE="class: infobox, width: 22"]
Civil Rights Act of 1964 [TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Enacted by the[/TH]
[TD="align: left"]
88th United States Congress[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Effective[/TH]
[TD="align: left"]July 2, 1964[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Citations[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Public Law[/TH]
[TD="align: left"]88-352[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Stat.[/TH]
[TD="align: left"]78 Stat. 241[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Title(s) amended[/TH]
[TD="align: left"]42[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Legislative history[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
  • Introduced in the House as H.R. 7152 by Emanuel Celler (D–NY) on June 20, 1963
  • Committee consideration by: Judiciary
  • Passed the House on February 10, 1964 (290–130)
  • Passed the Senate on June 19, 1964 (71–29) with amendment
  • House agreed to Senate amendment on June 30, 1964 (289–126)
  • Signed into law by President Lyndon B. Johnson on July 2, 1964
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Major amendments[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Codification[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]United States Supreme Court cases[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Heart of Atlanta Motel v. United States
Katzenbach v. McClung
Alexander v. Holmes County Board of Education
Griggs v. Duke Power Co.

Ricci v. DeStefano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: right"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Civil Rights Act of 1964 (Pub.L. 88–352, 78 Stat. 241, enacted July 2, 1964) is a landmark piece of civil rights legislation in the United States[SUP][1][/SUP] that outlawed major forms of discrimination against racial, ethnic, national and religious minorities, and women.[SUP][2][/SUP] It ended unequal application of voter registration requirements and racial segregation in schools, at the workplace and by facilities that served the general public (known as "public accommodations").
Powers given to enforce the act were initially weak, but were supplemented during later years. Congress asserted its authority to legislate under several different parts of the United States Constitution, principally its power to regulate interstate commerce under Article One (section 8), its duty to guarantee all citizens equal protection of the laws under the Fourteenth Amendment and its duty to protect voting rights under the Fifteenth Amendment. The Act was signed into law by President Lyndon B. Johnson, who would later sign the landmark Voting Rights Act into law.


The bill was called for by President John F. Kennedy in his civil rights speech of June 11, 1963,[SUP][3][/SUP] in which he asked for legislation "giving all Americans the right to be served in facilities which are open to the public-hotels, restaurants, theaters, retail stores, and similar establishments," as well as "greater protection for the right to vote." Kennedy delivered this speech following a series of protests from the African-American community, the most concurrent being the Birmingham campaign which concluded in May 1963.
Emulating the Civil Rights Act of 1875, Kennedy's civil rights bill included provisions to ban discrimination in public accommodations, and to enable the U.S. Attorney General to join in lawsuits against state governments which operated segregated school systems, among other provisions. However, it did not include a number of provisions deemed essential by civil rights leaders including protection against police brutality, ending discrimination in private employment, or granting the Justice Department power to initiate desegregation or job discrimination lawsuits.[SUP][4][/SUP]
 
Attn: Gombesugu. Nadhani tumemaliza ubishi kuhusu Kennedy na civil rights. [TABLE="class: infobox, width: 22"]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Enacted by the[/TH]
[TD="align: left"]88th United States Congress[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Effective[/TH]
[TD="align: left"]July 2, 1964[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Citations[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Public Law[/TH]
[TD="align: left"]88-352[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Stat.[/TH]
[TD="align: left"]78 Stat. 241[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Title(s) amended[/TH]
[TD="align: left"]42[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Legislative history[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
  • Introduced in the House as H.R. 7152 by Emanuel Celler (D–NY) on June 20, 1963
  • Committee consideration by: Judiciary
  • Passed the House on February 10, 1964 (290–130)
  • Passed the Senate on June 19, 1964 (71–29) with amendment
  • House agreed to Senate amendment on June 30, 1964 (289–126)
  • Signed into law by President Lyndon B. Johnson on July 2, 1964
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Major amendments[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Codification[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]United States Supreme Court cases[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Heart of Atlanta Motel v. United States
Katzenbach v. McClung
Alexander v. Holmes County Board of Education
Griggs v. Duke Power Co.

Ricci v. DeStefano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Civil Rights Act of 1964 (Pub.L. 88–352, 78 Stat. 241, enacted July 2, 1964) is a landmark piece of civil rights legislation in the United States[SUP][1][/SUP] that outlawed major forms of discrimination against racial, ethnic, national and religious minorities, and women.[SUP][2][/SUP] It ended unequal application of voter registration requirements and racial segregation in schools, at the workplace and by facilities that served the general public (known as "public accommodations").
Powers given to enforce the act were initially weak, but were supplemented during later years. Congress asserted its authority to legislate under several different parts of the United States Constitution, principally its power to regulate interstate commerce under Article One (section 8), its duty to guarantee all citizens equal protection of the laws under the Fourteenth Amendment and its duty to protect voting rights under the Fifteenth Amendment. The Act was signed into law by President Lyndon B. Johnson, who would later sign the landmark Voting Rights Act into law.


The bill was called for by President John F. Kennedy in his civil rights speech of June 11, 1963,[SUP][3][/SUP] in which he asked for legislation "giving all Americans the right to be served in facilities which are open to the public—hotels, restaurants, theaters, retail stores, and similar establishments," as well as "greater protection for the right to vote." Kennedy delivered this speech following a series of protests from the African-American community, the most concurrent being the Birmingham campaign which concluded in May 1963.
Emulating the Civil Rights Act of 1875, Kennedy's civil rights bill included provisions to ban discrimination in public accommodations, and to enable the U.S. Attorney General to join in lawsuits against state governments which operated segregated school systems, among other provisions. However, it did not include a number of provisions deemed essential by civil rights leaders including protection against police brutality, ending discrimination in private employment, or granting the Justice Department power to initiate desegregation or job discrimination lawsuits.[SUP][4][/SUP]
 
Mohamed Said said:
Okello angekuwa na jeshi asingeweza kufukuzwa Unguja kama mbwa.
duh! Hichi kipande kimenifurahisha sana... Nimebaki nacheka tu!
Mohamed Said, sijui unawachukulia vipi wasomaji wa JF, yaani unatuona kama mazezeta yasiyo hata na akili...wapi unapata ujasiri wa kusema uongo kama huu hapa, eti Okello alifukuzwa Unguja kama mbwa. Please please please, tupe heshima kidogo...wakati mapinduzi yanafanyika Unguja ulikuwa na umri gani ama ni zile zile porojo ulizosimuliwa utotoni kwenye vibaraza Gerezani!



Okelo huyu hapa Dar es Salaam siku alipotua akitokea Unguja, je ulisimuliwa alifuata nini Dar es Salaam? Mbwa anavaa suti na kupokelewa na maafisa wa serikali ya Tanganyika?



Okelo huyu hapa akimkabidhi Karume Uraisi na yeye akiendelea kuwa mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi. Kama itabidi tutaandika jinsi Okelo alivyokuwa tishio Afrika Mashariki hata ikabidi mbinu zitafutwe za kumtenganisha na wafuasi wake kwa kumshawishi atoke Unguja aje Dar es Salaam!
 
Unacheka habari mpya kwako kabla ujacheka hivi unalijua kundi la John Okello lilipindua Zanzibar 1964 unawajua hata viongozi wanne?

Ritz,
kama unawajua si uwataje, maana tupo hapa kupata ilm, tatizo lako ndio hilo unaweza ukawa unajua halafu unamjaribu mtu vipi hivi na yeye anajua kama mimi

nimekwisha kutazama muda mrefu unapenda kuuliza mtu vitu ambavyo unajua yaani kumjaribu

Mwaga vitu funguka Ritz
 
Last edited by a moderator:

Yericko,
Nakuwekea ''uongo'' wangu mwingine hapa.
Mwambie jamaa yangu kuwa hapa kwa nyakanga hakwishi nyimbo:

''When Sal Davis came to Dar es Salaam and recorded a programme with
Chipukizi, I remember that he sang ''The Moon was Yellow and the Night was
Young.''

That show with Sal Davis was the pinnacle of Chipukizi Club's career;
soon after, Chipukizi Club was off the air, banned for political reasons.
The young boys and girls were not portraying the image of the youth Mwalimu
Julius Nyerere was trying to project.

The vacuum left by Chipukizi was soon to be filled by new groups like The
Rifters, The Sparks and The Tonics and the afternoon "boogies" at the
Arnatouglo Hall, which we sometimes called the Sunday School.

However, thesegroups did not have the elegance of Chipukizi. While Chipukizi
was elitist,these new groups were sort of "free for all."

Chipukizi inspired me to pick up the guitar. I had excelled in playing the
flute and mouth organ. I could play all the Kwela songs by the legendary
Spokes Mashiane.

However, it was the music of stars like Sal Davis thatexerted the greatest
influence on me. Many young boys at that time whoplayed the guitar tried
to copy the style of Hank B. Marvin, lead guitaristof the Shadows, the group
which backed Cliff Richard. Dar es Salaam was notshort of talent.

There was the late Adam Kingui (the Rifters) Abby Sykes (the father of Dully
Sykes the Bongo Flava artist), George Muhuto (the Sparks), David Gordon (of
the Safari Trippers, who introduced me to the music of Eric Clapton, the
British blues guitarist)), and others. Hank B. Marvin liked to play open
strings mixed with high pitch picking right at the back of the guitar just
behind the pick up, thus producing a peculiar sound.

It was many years later when Hank Marvin had faded and guitarists like Jimi
Hendrix, Carlos Santana, Jose Feliciano and others came into the scene that
we also bent with the wind of change.

I personally strove to emulate thejazz guitarist Wes Montgomery but with little
success, for no one can playthe guitar the way Wes - a slow melodious riff using
all his fingers beforeswitching octaves midway or in the last part of the song.

Some few years ago, I met Salum Hirizi, a former member of Chipukizi, in
Dubai and we got down to talking of our days growing up in Dar es Salaam.
Salum married his childhood sweetheart Amina.

Their son, Abdullah, ateenager, was surprised to hear that his old man used to be
a singer. Heasked me, in English with a London accent, what kind of songs his father
used to sing.

I told the boy that whenever I think about his father, thesong ''Summertime'' comes
to my mind.

This, briefly, was what cultural life was like in the Dar es Salaam ofthe1960s.''
 
Hiki ndicho nilichokitambua na nilikiamini hivyo,

Ukimsoma Barghash nae anasema hivyo hivyo, lakini Mohamed Said na Dr Ghasany wanamitazamo tofauti kabisa
-
 

Mag; Nimepost hiyo report ya CIA. Soma hizo pages 33-40s wanamsifu kama a good street fighter kiasi kwamba by the end of the day wapinaji wote walimkubali kama kamanda wao. HAO ni CIA. Wanasema nobody knows alitoa wapi umashuhuri. wanasema huko Pemba ALISHAWAHI KUWA KATIBU WA TAWI LA ASP (1960????) Wanasema alipohamia Unguja alishakuwa na wafuasi si chini ya 200 na kila mara akizungumza kuwapindua waarabu. Ipo humo Soma. Ni kweli hata CIA wanasema by mid 1963 Kambona alimpelekea Hanga silaha (automatics 5 na rifles 10) lakini hizi zilikuwa za ASP. Huyu Okello na WALE 25 alioenda nao kule police posts WALIZIPIGA KAVUKAVU. Hakuna cha automatics. Wakati huo vijana 200 wa ASP wameshaogopa na wamekimbia. Just read. Katika kitabu chake huyu Okello anamlaumu Nyerere kuwa hakuwa mtu wa kuamika na alimnyanyasa!!!! Sasa how can the two be partners???? It is obvious kuwa kufukuzwa kwake ilikuwa ili watawala wa zenj wapumue na isitoshe alikuwa tayari anapendwa sana na askari.
 
Last edited by a moderator:
Ninazo picha hapa za Okello akiwa na jeshi lake, na nyingine akiwasili Dar,

Pia ninazo picha za Abdulaman Babu akiwasili Zanzibar akitokea Dar, hii ni baada ya mapinduzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…