Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Na hapa umewasahau Flaming Stars. They had a big contribution to Dar youth music in the years 1965-1967 when they left for Kenya. The lead guitarist was Mike Mhuto.
 
Na hapa umewasahau Flaming Stars. They had a big contribution to Dar youth music in the years 1965-1967 when they left for Kenya. The lead guitarist was Mike Mhuto.

Jasusi,
Umenikumbusha kweli nimewasahau.

Flaming Stars lead guitarist alikuwa Cuthbert Sabuni siyo Mike Muhuto.
Bass alikuwa Peter Kondowe (Peko).

Muhuto alikuwa Sparks.
 
Ninazo picha hapa za Okello akiwa na jeshi lake, na nyingine akiwasili Dar,

Pia ninazo picha za Abdulaman Babu akiwasili Zanzibar akitokea Dar, hii ni baada ya mapinduzi!

Yericko,
Hizo picha ni za baadae sana baada ya usiku wa mapinduzi yenyewe.

Babu, Hanga na Karume walikuja na boti ya Mzee Shebe ambae alikuwa
kaajiriwa na Myahudi.

Huyu Yahudi hatajwi katika historia ya mapinduzi.

Lakini alikuwapo pamoja na mwenzake na wote hawa walihusika katika
kuiangusha serikali ya Mohamed Shamte.

Jeshi la Okello lilikuwako lakini ni hao Wamakonde wa Kipumbwi.
 
Ndiyo maana namkatalia Mohamed Said kuwa Okelo alifukuzwa Unguja kama mbwa, thubutu! Hakuna mtu ambaye angeweza kupata ujasiri wa kumgusa Okelo na hata Karume mwenyewe alimuogopa. Hii ndio ilipelekea Mwalimu Nyerere kumwalika Okelo kuja Dar es Salaam kwa mazungumzo katika jitihada za kumtenga na wafuasi wake Unguja ili kumsaidia Karume. Kulingana na ripoti za CIA ambazo sasa zipo wazi kwa mtu yeyote kuzisoma;
Na hapa chini tunashuhudia jinsi Filed Marshall John Okelo alivyoitawala Unguja kwa mkono wa chuma;
Field Marshall Okello hakuwapa nafasi hata hao mabeberu wanaodaiwa kumtumia...shuhudieni anavyowapa vidonge vyao Waingereza na Wamarekani;

Naam huyo ndiye Okello, pamoja na kumkabidhi Uraisi Karume, yeye ndiye alikuwa serikali kama iavyosimuliwa hapa chini;


Huyo ndiye Field Marshall Okello, halafu kuna mtu anadai hakuwa na jeshi...surely lies should be made of sterner stuff! Hadithi za mara Babu kuongoza Mapinduzi, Hanga kuongoza Mapinduzi au Karume kungoza Mapinduzi ni funika kombe tu mwanaharamu apite...Waunguja hawautaki huo ukweli ingawa ni wazi kuwa kabla ya Okello hakuna ambaye angeweza kufurukuta mbele ya Sultani. Field Marshall John Okello ndiye aliweza kuwakomboa toka utumwani na kumkimbiza huyo Mkoloni wa Kiarabu hadi kuvikimbia hivyo visiwa vya karafuu na historia hiyo haitafutwa wala kufutika.
 
Last edited by a moderator:

MS kawataja akina Kambona na Hanga. Sasa kama ana udini Kambona ni Muislamu? we Bin Nyerere vipi?
 


Wickama,
Hebu achana na hao Wazungu.

Karume usiku ule wa Mapinduzi alilala nyumbani kwa mmoja wa wazee wangu.

Huyu mzee wangu yu hai hadi leo na habari hii yeye ukimuuliza anaingia hapa
anatokea kule.

Lakini unajua mama zetu walikuwapo na wakifahamiana vizuri sana na hawa watu.

Wapi hao CIA wametaja Sakura na Kipumbwi.

Kama s Dk Gahassany nani angelijua habari za Mohamed Mkwawa na Victor Mkello?

Angalau intelligence report za Waingereza wamemtaja Victor Mkello kwa sifa yake
ya kuteleza kama samaki.

Okello Pemba akijulikana kwa matofali yake si kuwa alikuwa kiongozi wa ASP.

Ukitaka kupata habari hizo za kuvamia ngome achana na maneno ya ''Field Marshal''
wa Matofali msome Mzee Aboud Mmasai katika kitabu cha Dk. Ghassany.

Historia ya mapinduzi ina mengi watu hawayajui kama ulivyoona historia ya TANU kabla
sijafungua kinywa changu.
 
MS kawataja akina Kambona na Hanga. Sasa kama ana udini Kambona ni Muislamu? we Bin Nyerere vipi?

Kadogoo,
Yericko anazungumza kuhusu dini...

Hebu angalia hapa chini habari za Okello:

''John Okello in his book Revolution in Zanzibar used a language with Christian undertones and the source states that one of the presidents of Zanzibar said that Mwalimu Nyerere decided to oust Okello from Zanzibar because he was too much taken by Christian sentiments.

Okello wrote without mincing words that those who participated in the revolution were screened with utmost care and among 4,000 people 270 askaris were selected and among them 245 "were from outside Zanzibar (Kenya, Uganda, Tanganyika, Msumbiji, Malawi, Congo na Zimbabwe, all of them were repsresented)." https://www.jamiiforums.com/#_edn1

It is not important that Okello never mentioned among those how many were Muslims and how many were Christians since the venom against Muslim Arabs includes also Muslims and Christians.




https://www.jamiiforums.com/#_ednref1 John Okello, p. 131

[ii] Ibid. p. 108
 

Wanaukumbi,

Kama ni kuchegemea ukuta wa CIA Reports hebu msikize hapa chini nini Hamza Aziz
kamwambia Dk. Harith Ghassany:

''The late Mzee Hamza Aziz who was Inspector General of Police in Tanganyika during the revolution assured me that the CIA report has plausable explanation on Tanganyika's involvement in the Zanzibar revolution. At that time even if I had that report it would not have helped me much without local research and that would not have assisted me without being lead by signs and symbols from national archives in Britain and United States. https://www.jamiiforums.com/#_edn1 Helen-Louise Hunter, researcher and and expert in economics was an employee of the CIA for more than twenty years and is the author of the CIA report which I was told about by the late Mzee Hamza Aziz. ''

Wanaukumbi,
Huyo hapo juu anaezungumza ni Dr. Ghassany akisema kuwa hizo ripoti za CIA si lolote bila ya utafiti wa ndani. Ndipo mie ninaposema ''Historia za Wazungu'' haziaminiki.



https://www.jamiiforums.com/#_ednref1 Hamza Aziz na ripoti ya CIA
 

Hapa tatizo ninaloliona ni moja tu...wewe Mohamed Said na Dr. Ghassany ni kitu kile kile. Kwa miaka nenda rudi mmeachiwa ukumbi mhubiri chochote kile bila kuhojiwa lakini sasa mambo yamebadilika. May I take this opportunity to remind you that your audience now is very different from the one you are used to, the one that will never blink an eyelid whatever you threw at them. Nimesoma baadhi ya maandishi yake na maudhui ni yale yale ninayoyaona kwenye maandishi yako...hamlitakii mema taifa letu.
 
Last edited by a moderator:
Jasusi,
Umenikumbusha kweli nimewasahau.

Flaming Stars lead guitarist alikuwa Cuthbert Sabuni siyo Mike Muhuto.
Bass alikuwa Peter Kondowe (Peko).

Muhuto alikuwa Sparks.

Kweli kabisa. Cuthbert Sabuni bado tuko in contact. Peter Kondowe sijui alipotelea wapi. George Mzinga alikuwa kwenye drums. Alifariki Italia miaka kadhaa sasa. John Sabuni naye sijamwona miaka lakini najua yuko maeneo ya Arusha.
 
Mag3, Mohamed ni co-author wa kitabu cha Ghassany.
Haya kayasema mwenyewe kwahiyo ukisoma vitabu vyao vinafanana kwasababu lengo lao ni moja.
Nilisoma vitabu vya Mohamed halafu nikasoma cha Ghassany kwakweli kuna wakati nilichanganyikiwa kuwa hawa watu ni mmoja ana majina mawili au!! Kwabahati nzuri namfahamu Mohamed hivyo nili confirm tu kuwa siyo a.k.a.Ghassany
 
Mag3# 14711. Sijui kama watu wanafahamu kuwa kuna de-classified information sasa hivi kuhusu haya mambo.
Nimeuliza kuwa kama Nyerere kwa sababu za kidini na hasa kuushambulia Uislam Zanzibar alichagiza Mapinduzi, je ni kwanini waislam hao hao wazanzibar wanaadhimisha Mapinduzi? Na ni kwanini wale waarabu na wenye unasaba nao wanayapinga mapinduzi? Ni kwasababu uya Uislam au wanasukumwa na kuondoka kwa sultan.

Nimeuliza tena vipi basi Nyerere ambaye ni ''adui'' wa uislam aisadie Polisario na Palestina?
Nikauliza hata kama alifanya hayo Zanzibar,je hiyo ndio alama ya Nyerere kuupiga vita Uislam?

Ukishauliza maswali haya mara nyingi mjadala unakwisha zinakuja hoja za kitoto sana za kukwepa ukweli.

Utashangaa kuwa wanamapinduzi baadhi yao wapo hai. Hawa wanaosema Karume alilala kwa bibi zao wakati huo hawana maelezo kwanini hawakuchukua kumbu kumbu kutoka kwa wahusika hasa waliopo hai na waliotangulia mbele za haki hivi karibuni bali wanataka kutuaminisha hadithi za kusimuliwa.

Maana nzima ya masimulizi ni kumhusisha Nyerere kwa ubaya halafu wapate kuingia kwa gia ya ukristo kisha ukatoliki na kusambaza chuki zao za wanadamu kutoana roho. Sijui wanafaidika na nini kwasababu dini ya Uislam haielezi hayo.
Kama inaeleza basi awaye anipe ukweli kwa hadithi sunna au Kuran.

Ukimsikia Ilunga akiongea Zanzibar huku akisaidiwa na Mohamed na akina Ponda it's all lies, fabrications and spinning shamelessly. Hawa watu wangekuwa na chama chao wala isingesumbua, kinachowasumbua waislam wengi ni pale wanaposimama na kuutanguliza Uislam kabla ya kuanza ulaghai. Insikitisha sana!
 

Kaka, kama hautaki habari za kusimuliwa basi ruksa na wewe kuandika habari ulizopata kuziona kuhusu mapinduzi na uhuru wa tanganyika, Tufyonze Ilm.
 
Kaka, kama hautaki habari za kusimuliwa basi ruksa na wewe kuandika habari ulizopata kuziona kuhusu mapinduzi na uhuru wa tanganyika, Tufyonze Ilm.
Hapam unakosea, kwanza nikukumbushe kuwa ilm haifyonzwi bali inafanyiwa fikra.

Hata kwenye vitabu vitakatifu kuna watu wanaofanyia fikra mathalan waislam waliofuzu Theology.

Si kila kitu ni cha kufyonza unawezajikuta una fyonza majitaka.

Pili, nashangaa nikiweka hoja nashambuliwa personal na hoja hazijibiwi.
Narudia tena
1. Kama Mapinduzi ni ya Nyerere kwa ajili ya kuhalifu uislam, vipi waislam waliohalifiwa wayatukuze kule Znz.
2. Kama lengo lilikuwa waislam na uislam na kwa upande wa POLISARIO na Palestina nani hapo mlengwa wa Nyerere?
4. Je, ni znz tu Nyerere alikofanya ''uhalif''? Frontline state pamoja na kwa Boers nako alimlenga nani?
 

Sio kweli unashambuliwa personal uoga wako tu, wewe na mzee Mohamed Said, nani anashambuliwa personal.

Wewe unaweza kujiona unaweka hoja za maana kumbe ni majitaka watu wanashindwa Kufyonza Ilm.

Nani alikudanganya Palestine ni ya waislam peke yao?

Mwl Nyerere alikuwa anaitetea Palestine kutokana na Bethelem na Nazareth pamoja na Jerusalem, Yesu alizaliwa wapi?

Tarudi baadae kufyonza Ilm.
 
Kweli kabisa. Cuthbert Sabuni bado tuko in contact. Peter Kondowe sijui alipotelea wapi. George Mzinga alikuwa kwenye drums. Alifariki Italia miaka kadhaa sasa. John Sabuni naye sijamwona miaka lakini najua yuko maeneo ya Arusha.

Jasusi,
Nadhani umemkusudia Raphael Sabuni.

Huyu amekufa alikuwa na band Six Masai
wakipiga AICC.
 

kama ndio unafyonza elimu ya namna hii nakushauri uache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…