Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mheshimiwa,

Kabla zungumza chochote naomba kufahamu,

Umeiangalia hiyo video ya Okello inayomuonyesha akiendesha mapinduzi?

Labda nikuulize kidogo.

Je hiyo video ilichukuliwa mwaka 1964 wakti wa mapinduzi au imetengenezwa baadae kwa kumpaisha juu mtu kisiasa?

 

WC,
Tafadhali mkuu, we msomi mbona unashindwa kujibu swali fupi na rahisi hivyo? nimekuuliza nipe ushahidi kuwa Mungu hana dini, wewe unanitajia dini za kiasili na za kichina! bado hujanijibu! kuhusu wachina pia wataenda Mbinguni naomba unitoe ujinga kidogo, huko Mbinguni wataenda kufanya nini? au labda niulize kwa namna nyingine, unaamini kuwa binaadamu wataenda Mbinguni kufanya nini huko? mimi kwa akili yangu ndogo huona watu wakifa na kuzikwa ardhini, sasa wewe unadai mnaenda Mbinguni kivipi?
Unajua kuuliza sio ujinga! mi nasikiaga tu watu wataenda Mbinguni! lakini sijui wataendaje huko na watafanya nini huko?
 
Kwani kama angeegemea upande wa wayahudi dhidi ya wapalestina ingekuwaje?
 
Pilau la biriani? Ndiyo likoje hebu tupe darsa.

RITZ,
nilikuwa sijaona hili Pilau la Biriani! nimecheka sana! amenikumbusha Jomo Kenyatta kuomba apewe mbegu za Kalmati na vitumbua huko Mambasa! haa haa!
 

Upotoshaji huo wanajaribu kuupa nguvu kwakutumia kigezo cha "wale ni wazee wetu"

Wakati taifa linasimama kwenye fact, na historia husimama hapo bila kuwa fabricated kwa minajiri flani!

Mjadala huu unahitaji umakini, hekima na ustarabu sana, kwakuwa ni ukweli kuwa kuna watu hapa walipoteza ndugu zao wa damu!

Vivyo hivyo tuepuke kuweka itikadi au hisia za kidini, tufanye hivyo kwakuangalia wahusika wamapinduzi hayo kuwa hawakuweka mbele itikadi ya kidini,

Hili la udini juu ya Zanzibar limekuwa agenda ya wachache ama niseme kuwa ni kikundi kidogo ndani ya jamhuri kinachohubiri haya kwa maslahi yao!
 
Mkuu sikajiji

Kwa mtazamo wa wewe unataka kuniambia kuwa Mwalimu Nyerere aliinjinia mapinduzi yale kwalengo la kupambana na uislamu?

Nyerere alikuwa na nia kubwa ya kupambana na Uislam wa Tanganyika.

Kumbuka kuwa wazungu walitumia devide and Rule katika utawala wao na kwa kuangalia mazingira ya nchu husika.

Tukianzia na Kenya na Uganda huko kulikuwa na makabila machache sana huko waliyumia UKABILA katika kuwatawala na hilo mpaka leo linawasibu kama kovu la ukoloni.

Kwa upande wa Tanganyika ambako kulikuwa na makabila mengi sana alishindwa kutumia mbinu hiyo na hapo walitumia UDINI yaani dini moja kuifanya superior zaidi ya nyingine, wasomi zaidi ya nyingine na walifanikiwa kwalo.

Kwa kuwa Nyerere alikuwa na nia ya kuliendeleza hilo alipenda kuungana na waZnz ili kuwalagha waislam kutoka Bara. na hata alipogawa madaraka hakukuwa na waislam kutoka bara bali walichukua watu kutka Znz.

ndio maana nasema ni vizuri tuweke uzi maalum tusasambue kwani wengine tumeyaona hayo bila kusimuliwa.

 

Nilipo RED.

naomba usahihishe hapo. Zanzibar hakuna UDINI kwani raia wa nchi hiyo more than 99.9% ni waislam, Je udini huo utatoka wapi?

Fuatilia katika wabunge wake wa kuchaguliwa na wanchi more than 99% ni waislam na wawakilishi wake wa kuchaguliwa na wanchi 100% ni waislam .

Je udini huo utatoka wapi?

 

Halafu dini ya Mabudha wanaamini kuwa mtu mweusi ni shetani nayo ni dini toka kwa Mungu? wayahudi wanaamini kuwa wao ni wateule na binaadamu wengine wote bure tu na dini yao haichukui wanachama wapya wasiokuwa Wayahudi nayo inatoka kwa Mungu?
 
Yericko,
Umenikweza sana mdogo wangu.

Harith Ph D Harvard aelekezwe mambo na mie
mbumbu mzungu wa reli!
Mzee Mohamed Said, wewe ulikuwa mtafiti mwenza wa Ghasany, wewe ulipiga picha nyingi sana za waliosimulia habari ya utafiti, vipi leo unajitoa? au unamkejeli rafiki yako Yericko?
 
Yericko,

Naona tunatoka nje ya mada au Hili la uchochezi limekwisha? Tuanze mambo ya Znz.

Kama ni hivyo ni vizuri tuanze uzi huo maalum ili tutoe darsa kwani wengine tunajua mengi sana kuhusu hilo.


Mkuu

Labda kichwa cha uzi huu ulikuwa hujakielewa vizuri ndugu yangu!

Kichwa kinasema

"Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"

Tulianza na historia ya Uhuru wa Tanganyika, tukaja Ugaidi kidogo, na sasa tupo na Zanzibar,

Lakini nikusihi mkuu wangu, mada hii katika kipengele tulichoingia (Zanzibar) kinahitaji umakini na busara sana!

Hii inatokana na ukweli wa kihistoria kuwa damu za watu zilituama pale!

Tusonge mkuu, tunahiji elimu yako maalim!
 
Barubaru,
Mbona wewe kichwa ngumu? Nimeshakupa darsa hapa kuwa Uganda wana makabila 66 na Kenya wana makabila zaidi ya hamsini. Lakini unarudi na hoja zako sizizo sahihi kuwa Kenya na Uganda wana makabila machache sana. Nitaendelea kukuelimisha mpaka ilm iingie ubongoni.
 

Vema sana mkuu, sasa tunaweza kusonga mbele hoja kwa hoja!

Ikiwa umeaminisha kuwa Mapinduzi yale yaliyoungwa mkono na Nyerere yalikuwa Kharama, kwamaana ya yalikuwa ya kuua uislamu,

Naomba ujibu swali hili,

Kwanini Mapinduzi hayo ya (Okello) leo hii yaadhimishwe tena kwa heshima tere huku ikiaminika kuwa Zanzibar ni 99% ni waislamu?
 

SITA SAHIHISHA,

Hoja hiyo ilihusu mapinduzi na mtazamo wa baadhi ya watu juu yayo wakiwemo Ghassany na Mohamed Said,
 
Mzee Mohamed Said, wewe ulikuwa mtafiti mwenza wa Ghasany, wewe ulipiga picha nyingi sana za waliosimulia habari ya utafiti, vipi leo unajitoa? au unamkejeli rafiki yako Yericko?

Maulaga,
Sikuwa mtafiti mwenza bali mtafiti msaidizi.

Hilo la kwanza.
Pili nimejitoa kwenye nini?
 

Ever read the "genealogy" of god? Ever heard the story of Onan?

Read the Bible! In the Bible, surprisingly and without a shame, "son" of "God" or is it THE "god"? is a simple product of incest, ooopss, or rather "inbreeding depression".

Wonder if you have that knowledge! Lets come to terms.
 
Yericko,

Naona tunatoka nje ya mada au Hili la uchochezi limekwisha? Tuanze mambo ya Znz.

Kama ni hivyo ni vizuri tuanze uzi huo maalum ili tutoe darsa kwani wengine tunajua mengi sana kuhusu hilo.


Barubaru; Baada ya salaam hata mie nakuunga mkono. Naona hoja za awali zimekwisha bora kuwe na thread nyingine. Shukran
 
Jasusi, mimi hoja za Barubaru hata sihangaiki nazo, huyu jamaa ameikana hata nchi yake ya kuzaliwa...labda ni moja katika wale wenye ndoto ya Sultani Sayyid Jamshid bin Abdullah Al Said kurudi Zanzibar kumalizia awamu yake ya utawala iliyotibuliwa na mponda matofali Field Marshall John Okello baada ya kudumu kwa miezi sita tu kuanzia July 1, 1963 hadi January 12, 1964.
 
JOKAKUU,Kama ndio hivyo, inakuaje Kanisa Katoliki wanataka kumtawaza Julius kama Mwenyeheri Mtakatifu? ina maana Kanisa halina taarifa za Nyerere kuipiga vita? haingii akili Kanisa limtawaze Mkomunisti!
 
Last edited by a moderator:
Barubaru hapa si suala la quantity tu, udini ni pamoja na tolerance.
Wazanzibar wanaposema Wakristo wanakuja znz kufanya abdc huo ni udini.
Waznz wanaposema Nyerere alipeleka ukatoliki huo ni udini

Lakini udini zaidi ni pale wznz wanaposema wao 99.9% ni waislam.
Sijui Uislam unautafsiri vipi kwasababu kupata 99 ni jambo linalohitaji fikra zaidi.

Je 1% mbayo ni sawa na 12,000 kwa population ya 1.2m ni idadi ndogo ya kuweza kuondolewa katika population
12,000 kwa upande wa znz ni jimbo la uchaguzi. Kwahiyo huwezi ku-ignore constituent hiyo.

Je, kila anayeitwa Mohsin ni mwislam. Vipi wale wenzetu ambao si rizki nao wanaingia katika uislam na kama hawaingii wanaingia wapi! 1% au wanaongezea idadi n.k.

Hoja yangu kubwa ni kuwa majina kwa asilimia 99 ni ya kiislam lakini si lazima wawe waislam na hivyo ku-justify kuwa kisiwa kina 99% ni ku-ignore facts nyingine.

Unapomchapa mtu risasi eti kwasababu tu anaimani tofauti huo ni udini (nakusubiri hapa maana utakuja na hoja fulani)
Unapochoma nyumba ya ibada kwasababu hutaki iwepo znz huo ni udini.
Unapomwita mtu asiye mzanzibar kafir huo ni udini.

Tukiangalia kwa namna za kufyonza ilm ni kweli 99% ni waislam, tukiweka fikra si kweli na idadi iliyobaki inapuuzwa kwasababu tu si waislam. Huo ni udini.

Kwahiyo udini si suala la namba ni suala la analysis hasa tukiangalia tolerance,mtazamo wa jamii husika kuhusu imani,na jamii inaangalia vipi wale wasiofanana na jamii hiyo!

Naweza kusema Iran siyo wadini kama Zanzibar! ipo hoja hapa
 
Kama Nyerere angekuwa madarakani mwaka 2001 mauaji ya Waislamu Zanzibar yasingetokea! pengine mauaji ya Waislamu wa Mwembechai mwaka 1998 yasingetokea! Sasa ilikuaje Nyerere atume majeshi Biafra Nigeria ili kuwasaidia Wakristo wa huko wajitenge? huku akihubiri umoja wa Afrika na umuhimu wa kuulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar! yatokayo mdomoni sio ya moyoni!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…