hiyo haitamsaidia mzee mwanakijiji,mzee mwanakijiji lazima tambue moh' said hazungumzi hapa kwa mihemko mikali ya kidini kwa uchoche la hasha.,ila sasa nongwa huja pale anapowazungumza wasahauliwa kwa ushahid na majina,hao wasahauliwa wanapoonekana ya kwamba wana majina ya kiislam ndipo sasa wanakuja juu tena kwa ghazabu na kumsema ya kwamba anachochea udini,hana hoja,hana mantiki na weledi wa uandishi n,k,,swali kwao,lini wao walishaandika mandiko yao kisha wakayaleta mbele ya macho ya walimwengu wayapime na kuyafafanua kama alivothubutu kufanya moh' saidi??
Ukishajiuliza hivo utapata majibu ya wazi wazi juu ya wepesi wa hoja zao.
Victory won..!