Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Mkuuu

Umewatwisha gunia la misumari!

Hahaaa Mohamed Said haya mambo hakuyatarajia kabisa!

Ona leo sasa ukweli unabainika kuwa ni Nyerere huyohuyo anatukanwa na kulaani kuwa aliinyang'anya uhuru Zanzibar kwakumtuma Okello sasa ndie aliyekuwa msaada mkubwa kwa Sultan kuikimbia Zanzibar!
 
Last edited by a moderator:
Kitabu cha Ghassany kimesomwa. Vitabu vya Mohamed vimesomwa
Mtu anayeuliza jambo si kuwa hajui bali anataka ufafanuzi. Lau kana majibu yangekuwa bayana yangeshawekwa hapa.

Hizi habari za kukata page ni udhaifu wa kueleza kile mtu alichokisoma. Udhaifu si jambo baya kwasababu kila mmoja wetu ni dhaifu. Udhaifu mbaya ni ule wa kutotaka kujua, au kugoma kujua au kugoma kuambiwa ili mtu ajue.

Hakuna sababu za mapicha, maua au nini. Maswali muhimu sana kwa mtafiti na mwandishi mwenza wa Kwaheri Uhuru mzee Mohamed said ni haya:

1. Nani kati ya TANU na ASP alimuomba mwenzake msaada?

2. Mapinduzi ya Zanzibar ni halali au ni haramu?

3. Wazanzibar waliofanya kazi na mwalimu kwa kutumia kivuli cha Baraza la Mapinduzi hao ni Wanamapinduzi au wasaliti?

4. Kitendo cha wazanzibar kusherehekea mapinduzi ya Nyerere ni kuusadia au kuusaliti uislam ikizingatiwa ndiyo iliyokuwa haja ya Nyerere?

Watu 200,000 ambao umesema wanakusoma wewe sasa wanasubiri wasikie majibu mepesi.
Mfano, swali la kwanza ni TANU au ASP kwisha!

Wasomaji 200,000 wa Mohamed tunaomba msaada wa kumshauri mzee atusadiei sisi wengine.

Mohamed kumbuka 200K wanasubiri kusikia neno lako.

200K ambao Mohamed amedai wanamsoma peke yake have the right to get the answers
Kudai himaya usiyo kidhi haja yake ni kuwatusi.

Mtafiti Mwalim mzee Said, 200K wangependa kusikia majibu yako.
It's not my audience it your audience! you claimed it, now it's time you elaborate and clear the doubt about your story.
 
Yericko Nyerere, hii hapa ndiyo hotuba ya shukhrani Abeid Karume aliitoa kwenye redio Zanzibar akimshukuru Field Marshall John Okello baada ya kukabidhiwa madaraka;
Huyo ndiye Field Marshall John Okello mkombozi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi. Juhudi zimefanyika sana kufuta hii historia na watu kama Mohamed Said na Dr. Harith Ghassany ni kama vyombo tu vinavyotumika/vinavyotumiwa kuupotosha ukweli huo. Haya maneno aliyoyatamka Abeid Karume kwa mdomo wake yanawaumbua wambea wote...shame on them!
 

Teh teh teh!! Baada ya kushindwa kuonyesha uchochezi wa Mohamedi Said sasa mmekimbilia tuvijiswali, naona sasa umejipa majukumu mapya umekuwa msemaji wa watu 200'000,teh! teh! teh! Kitabu cha Dr.Harith kichungu kwako vumilia kaka, watu 200'000 hawajakisoma.

Nafyoza Ilim kumbe Nyerere aliipokea meli ya silaha, duu!
 

Unapigana na mwenzako habari za kukata page ni udhaifu na wewe hiyo hotuba unayosema ya Karume kuileta apa ndio udhahifu wenyewe teh teh teh...siwezi kufyonza udhahifu nafyonza Ilm. Natoka tarudi siku ingine kufyonza Ilm.
 
Elimu ya kufyonza inatoka hapa
1. Mohamed Said, Mapinduzi yaliombwa na nani? ASP au TANU?
2. Mohamed Said, mapinduzi ni halali au haramu?
3. Mohamed Said, Wazanz waliotumikia taifa na Nyerere ni wasaliti wa Uislam au ni Wanamaoinduzi
4. Mohamed Said, Sherehe za Mapinduzi ni halali au ni haramu tukizingatia Wamakonde wa kipumbwi walipelekwa kuua Uislam.

Wape watu elimu wafyonze. 200K wanafutailia mjadala.

Kukaa kimya ndio uchochezi wenyewe maana kama huwezi kutetea unachokijua lakini unakishadidia ndio uchochezi.
Hayo tuyaache tuwape 200K wanachotakakupata, tukate kiu yao na tuwape elimu wafyonze.

Karibu sana Mzee wetu
 

Kaka nyie ndio mmefungua huu uzi mnasema Mohamedi Said ni mchochezi badala ya kuwathibitishia wananchi uchochozi wake mnaanza tena kumuuliza mchochezi maswali, teh! teh! teh! Kaka kumbe Nyerere aliipeleka Tanga meli ya silaha ambazo ndio zilipelekwa Zanzibari, nilikuwa sijui nimefyonza Ilm.
 

Uchochezi ni huo anaowadanganya watu kuwa Zanzibar haikukombolewa na Field Marshal na badala yake anawavalisha ushujaa akina Kasim Hanga, Mkwawa na Babu

Vilevile ni kule kusema mapinduzi ya Zanzibar sio halali kwakuwa yalikuwa na lengo la kuutokomeza Uislamu,

Huo ndio uchochezi wa wazi tunao upinga hapa,

Usione tunamuuliza maswali ukadhani hatujui, bali ni kujenga hoja juu ya maandishi yake mwenyewe Mohamed Said
 
Hata mimi nilikuwa sielewi kuwa wamakonde wa kipumbwi walipelekwa na Nyerere kule znz kumuondoa Sultan.

Ninapochanganyikiwa ni kuwa, hivi kati ya TANU na ASP nani aliomba msaada wa wamakonde wa Kipumbwi?

Halafu hawa akina Thabiti Kombo Jecha, Nassor Moyo, Natepe, Jumbe na Mwinyi na wengineo wamefanya kazi na huyu ''kafir'' Leo wanaitwa wana mapinduzi, je ni wanamapinduzi kwa heshima au ni wasaliti.

Ninapochanganyikiwa zaidi na 200K wanaomsikiliza mzee ni kuona wazanzibar wanasherehekea Mapinduzi.
Sasa ni halal au ni haramu?

Na pia nataka nielewe kutoka kwa Mohamed kama haya mapinduzi ya kuumaliza Uislam visiwani ni halali au haramu.

Hapo ndipo namwalika mzee aongee na 200K maana miongoni mwao wamekwama!

Anapokaa kimya ndio uchochezi wenyewe unaosemwana sitaki kuamini kama ni uchochezi labda akiendelea kukaa kimya.

Vipande vya vijitabu havieleweki, tuwafanyie tahfifu hawa 200K wanotaabika na vijihoja vidogo.

Ima akiendelea kukimbia basi uchochezi utakua mubashara aje hapa aweke bayana.

Spike lee naona tutulie tumsikilize Mohamed Said, hiyo ndiyo tarbiya al islam.

cc Twalib, Swahba, Al-akhyi, al watan na wanajamvi.
 

Kaka vipande vya vitabu havieleweki teh teh teh au wewe ndio ueleweki.

Ritz, tuletee hicho kitabu tufyonze Ilm.
 
Mkuu Nguruvi3 achana na huyo, yupo hapa kunyonya...sorry nilitaka kusema yuko humu kufyonza. Yaani yeye ni kufyonza tuu hadi zile ngano za Mohamed Said na sasa Dr. Harith! Huyo ndiye Spike Lee! Wanajamvi, mtu ambaye haoni haya kudai ndani ya jukwaa hili la Great Thinkers kwamba yuko humu kufyonza tu, sasa kwa nini kajiunga JF? Si angebaki tu anachungulia kama guest?

Spike Lee angalau tusaidie kufikisha ujumbe kwa mwalimu wako...watu 200,000 wanasubiri majibu kwa maswali kuhusu kuhusu mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964.
 

Nafyonza sumu!
 
Kaka vipande vya vitabu havieleweki teh teh teh au wewe ndio ueleweki.

Ritz, tuletee hicho kitabu tufyonze Ilm.

Ndugu zangu Spike Lee na Ritz,

Mkiona tumeinuka nakuja hapa kukanusha na kuwaambia Mohamed Said & Co kuwa NIWACHOCHEZI mjue TUMEVISOMA vitabu vyao!

Sio vitabu vyao tu bali tunaifahamu historia kwamapana na marefu!

Hivyo tunakosoa tukijua ukweli halisi!
 

Nafyonza ilm
 
Badala ya kuquote kitabu cha Dr. Ghassany, unaweza kutoa majibu juu ya maswali yaliyoulizwa na Wickama, Nguruvi3 na Yerricko kuhusu mapinduzi? Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa swali hili.

Nkungu; Wanajua FIKA kuwa ASP hawakulazimishwa na TANU kuchukua wamakonde, wanajua fika ASP hawakulazimishwa na TANU kuchukua silaha, wanajua FIKA ASP hawakulazimishwa na TANU kuwaiba wamakonde toka pangani kwenda kuwapigia kura kwenye chaguzi za Zenj. Wanajua FIKA ASP walikuwa waombaji wa msaada na wanajua FIKA ASP ndio waanzilishi wa AGENDA ya kumpindua Sultan. Na Dr. Harith Hajasema walilazimishwa.

TATIZO ni kutamka. Tumekwama. Ngoja tule 500 pgs kwanza kisha watujibu WAO kwa vinywa vyao. Kwa sababu wakitamka tuu kuwa ASP ndio waliowaomba TANU basi wanajipotezea UHALALI wa matusi waliyomtukana mtu for many years!!!!!! Na hili wanalijua na hicho kitabu hakina JIBU la swali.
 

Kaka hao watu 200,000 wamekutuma wewe kuwa msemaji wao teh! teh! teh!
 
Nguruvi vipi mbona hili swali hujalijibu mpaka leo pasha basi hiki kiporo moto !
 
Hahaaahaaa duuuuh!

Nimeshakwambia wewe hujui kitu kilicho kuchekesha hapo ni nini nimesema nafyonza sumu kutoka kwa Nguruvi, shida yako unavamia vitu usivyo vijua wewe ni mtu wa bashraf hapa ukumbini wacha tuendelee kufyonza ilm kutoka kwa mzee MS wewe endelea kulishwa matango pori na wagala....wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…